Lissu ATUKANA TENA, HAOGOPI?? Hii HAIKUBALIKIIII!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 363

  • @JlmwinukaOnlineTv
    @JlmwinukaOnlineTv 4 місяці тому +3

    Mama yetu sio mwizi.ilaunachuki binafsi ya wivu.mama nikiongozi bola balani Africa na anapendwa na wengi.❤

    • @stevensosipita
      @stevensosipita 4 місяці тому

      MJINGA MKUBWA WEWE MAMA SAMIA MWIZI KAUZA BANDARI ZETU ZA TANGANYIKA BILA ZANZIBAR MWIZI ATOKEEEE

    • @AbdulMgude-iv1ql
      @AbdulMgude-iv1ql 4 місяці тому

      kiongozi bora wa nyumba yako labda

    • @NuruBarnabss
      @NuruBarnabss 3 місяці тому

      ​@@AbdulMgude-iv1qlwaarabu nyerere ah.

    • @AbdallahMakwanda
      @AbdallahMakwanda 19 годин тому

      Facta mkuuu mama sio mwizi bali chapakazi na kipenzi Cha watu

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 Рік тому +8

    Uongozi ni kazi nzito inahitaji hekma nidham uvumilivu na kuheshim watu wake.mwenye kutumia busara.Naninamuona hivyo mama raisi wetu Samia suluhu.mungu Akuzidishie uvumilivu hekma na busara.Akuzidishie Afya njema na Atunie nuru uongozi wako uzidi kututendea mema na haki.muibariki tanzania mungu ibariki Afrika.tunakupenda mama rais wetu.

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 Рік тому +2

      Tumia akili acha ujinga, kuna jizi lenye hekima?

    • @akimu-gl7zp
      @akimu-gl7zp Рік тому +1

      Waarabu sasa watatutoboa vichwa

    • @abbassalum6824
      @abbassalum6824 Рік тому +2

      Umepata kacheo nin nawew au ndio unataka akuone akufikilie

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j Рік тому +1

      Mtu yeyote akiwa mwizi, hastahili heshima yoyote ile bila kujali cheo chake mwizi anashughulilkia kama mwizi mwengine yeyote yule

    • @jleeclassic9853
      @jleeclassic9853 Рік тому +1

      Mwiz mwingine mwenzie huyu hapa sjui kapewa cheo anatetea

  • @AbdallahMakwanda
    @AbdallahMakwanda 19 годин тому

    Tundu lissu alizoea kupitisha mizigo yako bandarini bila kulipa Kodi sasa wote kulipia tu Kodi uwezi danganya umma Kodi ya bandari mwekezaji atalipa mara tatu zaidi kwahiyo Yuko sawa na katiba machedema muligomea lakini machadema mungu anawaona

  • @MusaGeorgePaschal-nt8ju
    @MusaGeorgePaschal-nt8ju 3 місяці тому +1

    Huyu Mzee anazingua, ajifunze kutumaa hekima akiwaendea anazungumza na watu waxing wenye uwenzo wa kuchambua anachie jongea na kuangalia yanayofanyika.. Afu kinginee ajifunze kusema Asantee. Magapi serikali imemfanyia na Akiwepo hapo alipo.. Asitungombanishe stymie mhimu my new na Sio kufedheesha watu

  • @Uhuru1234
    @Uhuru1234 5 місяців тому +1

    Hapo lisu gusa wengine wote ila magu usimguse, wtz wengi walimwelewa, zungumzie mazuri ya magu utapwndwa sana

  • @jonathansirkintungi7434
    @jonathansirkintungi7434 Рік тому +4

    Ukiona ni matusi sheria zipo wazi ni kumshitaki mtu mahakamani. Kutumia nguvu kudhibiti ni kinyume na utawala wa sheria.

  • @OhongoihondeIhondeohongoihonde

    Malofa wakubwa nyie ngoja risu awape ukweri IPO cku yenu tu

  • @doctorngowi4870
    @doctorngowi4870 Рік тому +3

    Nawapenda Dr Samia,Dr Mpango, na Majaliwa wanaongoza nchi kwa maadili na uwezo mkubwa
    Heko viongozi wetu Mungu awabariki sana sana

  • @DulaMudi
    @DulaMudi 2 місяці тому +1

    sema tundurisu apo unapotea bwana Yani waisiramu sisi wezi aaaaa unazinguwa bwana Kuma nini turisu nakuchukiaa

  • @ZainaRashid-t3m
    @ZainaRashid-t3m Рік тому +2

    Wewe hukulelewa kwa maadili mema wala hutakuja kuitawala nchi hii kwani wewe sio mwizi kwenda huko hutatawa hata siku moja mpaka unakufa

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 Рік тому +6

    Leo Lissu amechafukwa kweli kweli.

  • @DanyNgailo
    @DanyNgailo 7 місяців тому +1

    Uwo ni upumbavu hakuna kiongozi mjinga kama lissu nilitamani asem wizi wa mam uko wapi happy sijamwelewa kabisa ila kwakuwa uwongozi wake karisishwa na mkwe wake saw

  • @eradiusdezideri
    @eradiusdezideri Рік тому +12

    We ni chuma rissu nakupenda sana unasema ukweli na MUNGU atakulinda zaidi

  • @kisa6022
    @kisa6022 Рік тому +2

    Lugha kali sio nzuri jamani kunatakiwa kuchuja maneno kabla kuyatamka
    Tanganyika imeiba Zanzibar na vilvyo ndani ya Zanzibar Lkn lugha kali hizi hazijengi kuheshimiana

    • @IsmailJafari-pe1dv
      @IsmailJafari-pe1dv 4 місяці тому

      Wajiibia Wenyewe Ukiangalia Hakuna Mtanganyika Aliewah Kuiyongoza Zenj Lakin Now Tanganyika Yaongozwa Nanan Nakwann Asiliwekesw Hilo

  • @AthumanKinyange
    @AthumanKinyange День тому

    Ww medius hapo ulipo umekufa unaunga mkono ujinga huna akili achana kiongozi wa mashoga

  • @jamesbayo1910
    @jamesbayo1910 Рік тому +4

    Lugha zisizo staha tusizitumie.Ila tuungane kwa pamoja Kuchambua Mkataba wa Bandari

  • @allyorry2013
    @allyorry2013 Рік тому +3

    We mwenyewe mwizi mkubwa, chuki za kipumbavu!

  • @doctorngowi4870
    @doctorngowi4870 Рік тому +2

    Sioo Lugha nzuri sema sera usiwe kama kichaa , Kosoa kwa hoja sema hoja usilete usichochee ugomvi mama ni chapa kazi
    Lugha hiyo haikufai Lissu Sema kwa ustaarabu na kuelimisha

  • @SemawaziAlly-uy1wc
    @SemawaziAlly-uy1wc 11 місяців тому +1

    Dini na siasa wapi na wapi usi tuchedue tuka kuona mjinga kua na adabu na dini za watu

    • @MTAMANRAJABU
      @MTAMANRAJABU 11 місяців тому

      ndugu ajaongelea din au ujui kusikiliza mjuba kasema niwezi sio kwa sababu ya dini ajagusia din mjuba

  • @eradiusdezideri
    @eradiusdezideri Рік тому +5

    Ukiingia ikuru rissu mwaka 25 aomba uwarudishe machinga kwenye maeneo yao kama magufuri alivyowaacha wakifanya biashara zao magu aliwasamini sana watu wa chini so na wewe ukifanyiwa kazi.

    • @Fredrickrobson01
      @Fredrickrobson01 5 місяців тому

      Akiwa Rais lissu niite nimekaa pale ,huyo ndo mwiz muulize tukimpa nchi atafanya nini,atupendi kiongozi anayependa apecheapeche alolo

    • @PASCKALMARSELI
      @PASCKALMARSELI 5 місяців тому

      Siasa nindefu Sana hawezi

    • @EmanuelLuhwago
      @EmanuelLuhwago 3 місяці тому

      Nakukubali lisu kwa hoja zako kura mi nitakupa 2025 we ni noma oamoja sana

  • @allymwandama2496
    @allymwandama2496 Рік тому +1

    Sasa basi tundu lisu ndio apewe nchi maana yeye ndio anajiona kakamilika kumbe na yeye bwege tuu Ila roho mbaya ndio inamsumbua

  • @edsonjohakimjoel
    @edsonjohakimjoel 9 місяців тому +1

    Uko sawa brother, tuna wezi tuu hatuna viongozi, baba mwizi, mama mwizi na watoto wezi ndo serikali ya leo😂😂

  • @KelvinAmos-ow7pf
    @KelvinAmos-ow7pf 4 місяці тому +2

    Uyo mama ni mwizi kweli yani atuelewi na ss watanzania shezi zake uyo mama

  • @HawaJuma-km9ed
    @HawaJuma-km9ed Рік тому +4

    Hongera lisu

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 5 місяців тому

    Lissu Wewe ni Mshezi Tena Huna Adabu na Huna Shukrani
    Mbona Ulikimbia Kama Unapenda Haki Ungekaa Mpaka Tone la Mwisho Ukakimbilia Ukimbizini Hana Lolote Tena Sahau Kuchukua Kiti Cha Urais Mama Atapita Bila Shaka Tunajua Unaumia Kwa Maendeleo yanayo Fanywa na Mama yetyu Samia Sulhu Hassan

  • @BonaBonala-bp5qm
    @BonaBonala-bp5qm 5 місяців тому

    Tundu lissu mkweli Sana anatufaa WA tz kua Rais

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o 7 місяців тому +2

    Wewe katika wasiokuwa na akili namba hapa Tanzania unachuki na uwisilaam lakini utakwama

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 Рік тому +1

    Ni mwizi tu. Samia Suluhu ni mwizi mkubwa na kama sio mwizi basi ni dubwasha lisilotumia hata akili.

    • @GiaKuminasita
      @GiaKuminasita Рік тому

      We na wazazi wako ndo madubwasha🤣mkundu wew kumaramamako.

  • @EsauKalipesa-hh2rp
    @EsauKalipesa-hh2rp Рік тому +2

    Kweli kabisa

  • @mukhtaribura6159
    @mukhtaribura6159 Рік тому +1

    KWEL9 HUYU MAMA BONGE LA MWIZI ALAFU NI MWARABU AWEZI KUWA MTETEZI WA TANGANYIKA LAZIMA TUMKATAE KWA KISHINDO ATUFAI KABISA NA TUSIWAPE KURA ZETU CCM..WANATUUMIZA MNO TOKA MWAKA 1961 WANATUBURUZA TU BILA FAIDA..

  • @SalehLofy
    @SalehLofy 4 місяці тому

    Lissu hufai kuishi huna shukrani

  • @HassanUpunda-bz5vr
    @HassanUpunda-bz5vr 5 місяців тому +2

    Mpenikazi mh lissu, kazi anaijua tusiangalie chama.

  • @Emanuelkimondo
    @Emanuelkimondo Рік тому +2

    Lissu kwa magufuli umechemka kaz yake ilionekana so kuwa na mipaka na uache kuchafua jina la JPM hapo nakupinga mkuu

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim 4 місяці тому

    Lissu wewe huna jipya..na mara hii utakimbilia Marekani mbwa wewe..

  • @Mmarimanka
    @Mmarimanka Рік тому +1

    Jamani hebu watu wakishatangulia mbele ya khaki waheshimiwe kwa ssb Kila nafsi iitaonja umauti isiwe na kibuiri Cha uzima shindana kwa hoja usitukane

  • @SamsonAmos-ly6ml
    @SamsonAmos-ly6ml 4 місяці тому

    Kuzungumuza kwa mdo sio shida kila mtu na matatizo yake na lisu naye tutamwita mchawi swali kati ya mwizi na mchawi utachagua nani😂😂😂😂

  • @StephanoSylivester
    @StephanoSylivester 19 годин тому

    Walikuibia familia yako au hebu ukiwa unajinadi Kwa wananchi tumia MANENO ya hekima kiufupi mwizi huwa anahofia kuibiwa tengua kauli hata hao wanakupongeza ila moyoni mwao wanakuzalau sana

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace3509 Рік тому +1

    Hapo umeleweka,hakuna mtu anafanya kitu bila ya maslahi hata mimi mbulula kila siku najiuliza manufaa ya mkataba ni yapi

  • @nassorcholo2515
    @nassorcholo2515 5 місяців тому

    Lisu unachukia sans wanzibar ww nihatari sana mungu atakulipa

  • @AthumanKinyange
    @AthumanKinyange День тому

    Ww chit
    Ww mama ndo kiongozi wasio muelew a nimazuzu yakae chinni yatulie ma vichwa maji hayo

  • @MichaelSikapili-ur4sr
    @MichaelSikapili-ur4sr 11 місяців тому

    Lisu wewe ni tapeli. Njoni vijijini ccm wapoimala kuliko

  • @FebistaNyungu
    @FebistaNyungu Рік тому +4

    Safi,Sana,risu,mungu,yupo,juu,yako

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 11 місяців тому

    Hili lisu nilijinga hata uvuwenguo uraisi huwezi kupata

  • @KhadijaJuma-zb7or
    @KhadijaJuma-zb7or 6 місяців тому

    Mungu akupe nguvu na moyo wakutumikia wanachama wako kwa musimamo uwouwo🎉

  • @fortunatuswangubo6013
    @fortunatuswangubo6013 5 місяців тому

    Lisu mulopokaji Huna nafasi huo ya kuiondoa ccm kichaa kama wew

  • @sokoinekagali9759
    @sokoinekagali9759 Рік тому

    Lissu tafadhari ukiendelea kumchafua JPM utachafuka Sana na hutatoboa na mambo yk yataharibika shz mbona unasapoti ushoga watu wanaumme kwa wanaumme kufirana mkunduni tafadhari safari ya kwenda ikulu itakuwa ngumu kama nondo ww mwenyewe unajua Samia alikuaga adui mkubwa wa JPM ndiyo maana alituma watu kumkagua lkn ni ikulu gani inakaa bila pesa ni ikulu au ni chooo kama Rais Kuna mambo ya emergency lkn Rais anafungu lkn kwa mujibu ya katiba ujidae kwamba wewe TU ndiyo unajua Mambo na sisi tunayajua Mambo bhana.

  • @MaryMwamwezi-xm3iz
    @MaryMwamwezi-xm3iz Рік тому +1

    Wewe lisu Baki kubwabwaja tuachie mama yetu mamz samia

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 Рік тому

      Achane na mama ache kimuchafua huyu mtu ambae hujitakia tu

  • @TumainiMssa
    @TumainiMssa Місяць тому

    Mtu kuambiwa mwizi kelele ,afu wizi unafanyika kweli acheni upumbavu

  • @chamchuuconsult4682
    @chamchuuconsult4682 Рік тому +1

    Chizi huyo jamaa ameshaatjorika kissikolojia

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 Рік тому

      Jibu kwa hoja na sio vioja, ila kwakua akili huna huwezi jibu kitu, ndio maana umeandika ushuzihumu,

  • @MbaziPesa
    @MbaziPesa 18 днів тому

    huyu liss nikicha akapimwe akili kwaza hana heshima

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 Рік тому +6

    mwizi ukivaa msalaba hilo ni limsalaba sio msalaba

  • @alikidungura9419
    @alikidungura9419 9 місяців тому

    Huyu lisu sasa anafawa arejeshwe aliko toka mana akilizake za kichaa kuhusu wiza watu wabara wote hamuaminiki pesa mnaipenda mnauwana kwa 💯 tu napia hapo bandarini mnaona mtakosa kuiba au mtakosa kupitisha mamboyenu bila ya kulipia kodi ndomana Mapovu yanawatoka kila upande mara udini mara Uislamu ila mungu ndokesha fanya uwezo wake Hatabado

  • @mungunimwemakilawakati1299
    @mungunimwemakilawakati1299 10 місяців тому

    MWACHE MAGUFULI MPENDWA WETU ALALE KWA AMANI! TUNAKUCHUKIA LISSU KWA KUMSEMA VIBAYA MAGUFULI!!!

  • @jumaomari3842
    @jumaomari3842 Рік тому +1

    Yani.chadema.ndio.baibai.atumipi.kura.upande.wa.costi.ampati.kura.mtasema.mtachoka.sisi.waswaili.atupendi.wata.ambao.sio.wastarabu.yani.ishu.ya.bandari.inawapunguzia.kura

    • @DanielAlbinus-hr5nz
      @DanielAlbinus-hr5nz 6 місяців тому

      Nakuona.nawewe.boya.unaikifagiria.chama.cha.mafisad.ww.boya😮😮😮😮

  • @AchimoxAssumane-h5q
    @AchimoxAssumane-h5q 17 днів тому

    Wewe mjinga lisu mcho msumbiji ule chuma kafili wewe

  • @chamchuuconsult4682
    @chamchuuconsult4682 Рік тому +1

    Wote hao wameathirika kisaikolojia yeye mwenyewe mwizi ana wema gani

  • @IsmailJafari-pe1dv
    @IsmailJafari-pe1dv 4 місяці тому

    wanao sema samia siomwiz nimachawa2 wa ccm,

  • @DanyNgailo
    @DanyNgailo 7 місяців тому

    Natamani kujuwa katiba unayo itaka lakin chadema kupat nchi hiyo ni ndoto kwakuwa ninyi ni washenz Sana hamjitambuhi

  • @FilipFilip-pe2nn
    @FilipFilip-pe2nn 5 місяців тому

    Baba umeongea🎉 mungu akujalie uixhi maisha marefu🎉

    • @Fredrickrobson01
      @Fredrickrobson01 5 місяців тому

      Aishi ili awape nchi wamarekani,he always talks non sense

  • @OmariAmad
    @OmariAmad 7 місяців тому

    Hii nchi tumuachie mungu pekee taifa hili lina utajiri mkubwa sana ila wasimamizi wanajari maslai ya familia zao ee mungu tupe viongozi wakweli.

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 4 місяці тому

    Lisu wewe pia ni mwizi tena ww na bbko na mmko...una chuki na uislamu na waarabu.usipijiwe makofi ukadhani usemayo ni sawa

  • @DulaMudi
    @DulaMudi 2 місяці тому +1

    acha ujinga inabidi ukapimwe akiri

  • @PaulMgendi-n7b
    @PaulMgendi-n7b Рік тому

    Kwa kauli hizo tunaelekea wapi? Mbona CYO kupinga jambo Bari ni matusi mwisho hata rais atachukizwa kwasabu ya kauli punguzeni maneno makali jamani

  • @abdallahkassim8600
    @abdallahkassim8600 Рік тому

    Lisu twakuheshimu usidhalishe dini yetu ww ogelea sisa sio dini usijitie uwadhimu msheenzi

  • @GiftJames-m5b
    @GiftJames-m5b 7 місяців тому

    Kwani wewe unavyokimbilia nje ya nchi huwa una kwenda kutafuta kitu gani labda, bora ungekufa tu kwani hauna maana

  • @KaimuUlongo-xj2xw
    @KaimuUlongo-xj2xw Рік тому

    Anaongea ukweri mr lissu ila wewe mama badilika basi bandali masharti ni mabovu Sana Au hajui jaman

  • @miliamjohm8041
    @miliamjohm8041 3 місяці тому

    Nikweli hafai kabisa kuwa madalakan

  • @MsengiWilliam
    @MsengiWilliam Рік тому +3

    Good vibes

    • @GodfreyMollel
      @GodfreyMollel Рік тому

      Umesema ukwely mheshimiwa endelea ivyo ivyo mungu akupe ujasiriy

  • @DutchGogo
    @DutchGogo 6 місяців тому

    Mungu akulinde fichuwa wezi wanyonya damu haoooo

  • @YahyaHashiru-ze9vi
    @YahyaHashiru-ze9vi 9 місяців тому

    Mkweli mungu tu nyie wengine amjakamilika na kama mnaipenda dunia kupita kiasi bassi mjue ahera ni bora zaidi kama mngalifaam lakini wengi wamepotea wachache tu walio ongoka mcheni mungu

  • @lidyakisoka-is4ru
    @lidyakisoka-is4ru Рік тому

    Wewe una hasira Kwa kukosa na Urais na kuongozwa na mwanamke, una jipya ww

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 5 місяців тому

    Tena Wewe ni Shoga tyu na Mama Samia Sulhu Hassan
    Atapita Kua Rais Utake Usitake Ndio Hivyo Huamini Subiri Uchaguzi

  • @user-sx3xf8cd4i
    @user-sx3xf8cd4i 6 місяців тому +1

    Mzeee yupo vzl haogop🎉

  • @reginarudovick3401
    @reginarudovick3401 11 місяців тому

    Kuwaa na heshima Kwa viongozi wewe unaesema hivo mama Yako tu humueshimu.

  • @abdallahkassim8600
    @abdallahkassim8600 Рік тому +1

    Ww kua nanidhamu na dini yetu kafr maisha yote lazima lionekane kw maneno tu

    • @FaudhiaAbdallah-t7z
      @FaudhiaAbdallah-t7z 11 місяців тому

      Ooh nilikua namuonea wa maana Ila kwenye din kaniudhi Sasa waislam watashika nch Hadi mwisho wa safari Ili waongee vizuri

    • @philimonndinadyo2120
      @philimonndinadyo2120 4 місяці тому

      Kwahiyo huyo mama nishehe au dini yenu inatuma watu kuiba

  • @hajimrinda4044
    @hajimrinda4044 Рік тому

    HIVI SERIKARI INAMUOPA NINI HUYU CHIZI ,,MAMA RAIS WETU KIPENZI TULIA TUTAMUONESHA MSENGE HUYU IKIFIKA SIKU NA KWAKUA ANATUCHOKOZA WAISLAM UCHAGUZI UJAO CHADEMA WASIPATE HATA KURA MOJA WABARA NA WAZANZIBAR CHADEMA NI ADUI WA NCHI NAHATARI KWA WAISLAM

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 4 місяці тому

    UKWELI USEMWE MAMA SAMIA HATUFAI ANAUZA NCHI YETU

  • @sokoinekagali9759
    @sokoinekagali9759 Рік тому

    Hawa wengine ndiyo JPM hakuwa mwizi Magufuli hakujenga chato kama unaweza njoo chato kama kitu chochote maadui wa JPM ambao walikuja na mapesa kwenye gari ili kumchafua JPM Rais Gani alishakufa alafu makamu wake anatuma watu kumkagua

  • @twahirshali8014
    @twahirshali8014 3 місяці тому

    Tuna Kuchukia wewe. Na Huwezi ukawa Uraisi huna Sera Wala madili mema

  • @PaskalinaMahimbo
    @PaskalinaMahimbo 8 місяців тому

    Kiukweli katiba muhimu sio kelele zibure lisuu ruksa kukemea ila nidhamu sisi wananchi tumebadilika sana izo ni porojo tupe sera 😢😅

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 5 місяців тому

    Tec wanapigania haki za mashoga ruliosoma cuba tunaelewa

  • @oswardjaphal-cd6np
    @oswardjaphal-cd6np 4 місяці тому

    Ukitaka kufikia malengo muzuli tumia ubola wako waheshima sio kuropoka

  • @ndabarinzesamuel9333
    @ndabarinzesamuel9333 Рік тому

    Lakini hiyu lisu Ana akiliii? au ni kichaa!! Huyo magufuli alikuvunja miguu lakini leo inangojea kuvunjika kichwa na hauepuki kabisa.

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 Рік тому

      Magu alimvunja lisu miguu, ila magu yeye ajasagika roho hahahaaa, lisu hhyo unamuona gapo haya , wapi magu?

  • @ZuenaSharifu
    @ZuenaSharifu 3 місяці тому

    Bwana uvunjeni mungano mutuachie Zanzibar yetu Mana munaona km hatutopata chakula au bidhaa ila sisituna bandar twaweza kuingiza mizigo kutoka taifa lolote bilakupita kwenu vichogo

  • @nyandichearts
    @nyandichearts Рік тому +1

    Matumbo makubwaa kama mimba

  • @potenscharles358
    @potenscharles358 8 місяців тому

    Je utaweza???wambie ukweli kuliko kuwapotosha ni lini na ni mwaka gani rais kuwa mupinzan,unawadanganya tu,,

  • @NASSORAbeid-b6o
    @NASSORAbeid-b6o Рік тому +2

    kaka lisu sahani lakini siasa nadini nivituviwili tofauti nasemaje zungumzeni siasatu dini zote zacheni kama zilivo sorry

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 6 місяців тому

    Huchizi,anamtukana raisi halafu mnashangilia

  • @ernestjoseph7988
    @ernestjoseph7988 Рік тому

    Lisu hufai kuwa kiongozi wewe huna busara utabaki kulalama tu mwehu wewe

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 Рік тому

    TEC.hawakutukana mtu Wala dini, mkaanza ooooohhh!!!! Eeeeee!!!! Haya Sasa acheni akina lisu wasemeee kiu yenu ikatike

  • @BabuNyerere
    @BabuNyerere 3 місяці тому

    Baba tukumbuke sisi waaalim masilahi yetu madogo kikotoo ni shida kwetu baba lisu tukumbuke mapolice kutuongezea mishara chadema tukumbukeni waalimu wa shule za prevet tunalipwa mishahara midogo lisu wakumbuke wakulima ushulu wa mazao mpaka junia 2 tunalipia ushuru chadema wakumbukeni madereva wa maloli kulipwa mishahara midogo selikali ya ccm imeshindwa kutangangaza kima cha chini cha mishahara ya madereva mpaka leo kufanyishwa kazi bila mikataba manyanyaso maeneo ya kazi chadema wakumbukeni walemavu aina zote chadema wakumbukeni wazee 2025 tuko nyuma yenu chadema maana mtukolee bandali zetu mtukombolee hifadhi zetu mtundolee mikataba isiyo na maslahi na taifa

  • @alibulushi-d9j
    @alibulushi-d9j 9 місяців тому

    Hili jamaa Kila kitu yeye kwake ni wizi ungepewa nchi wewe usengefanya chochote Kuna mda uwe na utu basi ukitekwa unalalamika pumbavu wewe

  • @SalehLofy
    @SalehLofy 4 місяці тому

    We mwizi ndio maana unamwita mama Samia mwizi kwani mama Samia kaiba nini halafu huna shukran ulikimbia nchi kwasabab unataka kuuliwa na mali Yako ikitaifishwa yote alipoingia Mama akakwambia Rudi Nyumbani na mali zako zote akakurudishia na akakuahidi kukulinda Sasa unamwita mbaya mwizi Bora ulete ushahidi ameiba nini

  • @abdallahkassim8600
    @abdallahkassim8600 Рік тому +1

    Ww ogea sisa usongee dini na katiba haibadilik kw kutukana matuso km hayao ww pwgu tu

  • @saidakiwale9227
    @saidakiwale9227 8 місяців тому

    Jamani huyu kafanya mpaka vyama vote vya upinzani vikakosa ushindi uchaguzi ulio pita kwaajiri ya luggage chafu lakini hajifunzi hawa watu waajabu kweli

  • @masoudhajikilaka2839
    @masoudhajikilaka2839 Рік тому +2

    Kwa nini huyu mtu anaachiwa na kutukana viongozi,yeye ni kama nanii?

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 3 місяці тому

    Uliona wap step mother akaiacha mali ya family ya bb salama

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed 10 місяців тому

    Lakini sio vibaya Ukitangaza Maendeleo Kiongozi Tundulisu..

  • @JacksonLendeo-bx1yb
    @JacksonLendeo-bx1yb 8 місяців тому

    Msema kweli tundulisu nakuunga mkono mtetezi wa nchi yetu

  • @AlfredAlfred-yd2mg
    @AlfredAlfred-yd2mg 4 місяці тому

    Tukana na wewe uone,hiyo anaongea kweli ndio maana yupo huru unaembeza hata farao alipata wapumbafu waliangamizwa pamoja.