Tina hapa ameweza kweli, lakini vile napenda Loveness na Kevin wakiwa wapenzi hawa wako sawa,huo wimbo mtamu sana 🎉🎉🎉 wenye kuamini True love still exist give me a thumb👍👍👍
Yaan jamani nikitokea kuipenda hii jaman Yani love mapoz Kama yote Kelvin nawewe mkali Sana nampenda mopoz yako Sana pia wewe Tina mzuri pia natamani nikija dar niwaone live nawapenda san❤❤❤
Jamani japo nimechelewa kwanza salamu sana wapendwa wangu kwa sababu hayo ni mapenzi ya siku hizi zamani mwanamke au msichana alikuwa akipendwa na wmanaume na akipelekewa posa lakini sikuhizi mwanaume ana pelekewa posa majabu ya duniya
Nikajuwa mi wakwanza kumbe kunakwenye kutinga mambo ya Kelvin kha mwe basi tujuwane jamani wapenzi wa donta TV ❤
donta twaipenda kabisa kutoka kenya❤❤❤
Mbna mm naipenda sana tu wakenya mpo nyuma yng kwl🥰🇰🇪❤️❤️
Nikiona donta napata kiwewe ❤❤❤❤❤
@@hafsahmassemoh3598🎉
Uko which tuku
Uewwww wa pili Leo naomben likes zangu kwaajili ya @dontatv♥️😍😘
Oya huyo loveness ni pisi kaka oya mze nipeni connection ❤
Jaman wanawake wenzangu punguzeni kuvaa nguo za uchi huo sio utamaduni wetu 😢 hasa ww loveness
Kabisa
Eh..... Jaman watu wapo kazin bhana acheni kujikuta watamaduni sana
Umetumw we sio
Mm nampenda ivo ivo loveness jmn
Wewe inakuhusu nini bado ufanye mamb yako unafatilia wa2
Wow japo inauma lakin nimependa urafiki wenu♥️♥️❤️❤️👌👌👌
Waooo japo nimechelewa lakini tuko pamoja donta tv na chea man wao Kelvin 🎉🎉🎉 nawapenda ❤❤❤❤
Wow wa kwanza kulike leo 🎉🎉🎉🎉 Mungu Awajalie mpate like nyingi
Ila Kelvin and lovenes munaendana sana jaman nikiangalia ni Kama Mike and mume
Kbs wal c uongo
Mi naomba kama Kelvin hajaoa aoe loveness
Yaan band Lang lote linaixha kwenu donta TV hakika munaweza❤
Moyo wangu ukafanya pa Tina weèeee😅😅😅😅😅😅😅😅 filam nzur sana hongereni sana washiliki wote❤❤❤
Jamani hii ndio maana halisi ya urafiki wa kweli,❤❤❤❤😢😢😢
Nafurahi nikiwatch movie zenu nyie watu❤❤❤
Congratulations kelvin mwamba kashasema tukue marafiki tu nakupenda Bure kelvin ♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Kenya 🇰🇪
Hi nyimbo inayoimba inaitwaje jmn 🥰
Oy love mkali san namukubali huyu dada
Tina hapa ameweza kweli, lakini vile napenda Loveness na Kevin wakiwa wapenzi hawa wako sawa,huo wimbo mtamu sana 🎉🎉🎉 wenye kuamini True love still exist give me a thumb👍👍👍
Jmn yan kelvin akiwa la loveness nafurahi sana wanapendezana mnooooo
Na wapenda nyote jamani❤❤❤🎉
Oooh maskini Loveness😢😢 umekula tu na macho..... pole 😅
Movie nzuri much love from Kenya❣️
Donta tv ❤❤❤❤I love 💕 you guys so much God bless you all 🙏🙏❤
Nko mtaa likes wapi tukisonga,kazi zuri kelvin 🇰🇪🇰🇪
❤nimpee like mkenya mwenzi
I love donta tv nawapenda nyoteee mnatuelimixha kupitia movie zenu ❤❤
Nawapend san vipenz vang vya dont tv❤❤❤
Munaendana sana love ness and kelvin ila namulijuwa kitu usafiki ❤❤❤❤
Yaan jamani nikitokea kuipenda hii jaman Yani love mapoz Kama yote Kelvin nawewe mkali Sana nampenda mopoz yako Sana pia wewe Tina mzuri pia natamani nikija dar niwaone live nawapenda san❤❤❤
Nawapenda sana wote mlio shiliki kwenye hiii love story loveness ilove you
Waaaau ❤❤❤❤ vzr xna n kweli mungu hakpi unachotaka kweli hii n tamu xnaa kelvin 😅😅😅😅
Huo wimbo jamani amazing sana
❤kitu safi natizama kutoka 🇰🇪 Hayo Macho ya kiumalaya lovenes unaniua
I'm happy because of u guys am in south Africa
❤❤❤❤❤nikiona ty donta mbio kwenda kununua bando hongeren sana Kevin
Good job Kelvin team much love
Lov nakupenda sana
Hahahah kwl mapenz upofu yaan unasema mm ndo mwanaume wa ndoto zako afu ata haujaniambi😂😂😂😂
Wanaume tunakua wakweli kila time bt wanawake hawaelewi nampenda best yako
Groupe Donta tv felicitation!!!🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mimi Pia ni acteur movie kutoka dr Congo kazi nzuri
Much love from kenya🎉
Love na kelvin wanaedana jaman kama unanisaport goga like
Wimbo mzuri❤
inaitwaje iyo nyimbo
Nimezipenda movie zenu nzuri Sana zinafurahisha Sana, nawapongeza Sana wanachama wote wa donta TV mungu awabariki Sana.😅❤
Much love ❤ kelvin na team yako
Aaawapiiii hamumariz muvi nimeanza kuchukia muvi zenu humuzimaliz kam unanipenda gonga like apa chin napatikana burund nazambia
Congrats napenda sana movies zenu maana daa mumeweza
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤
Mpende anayekupenda ❤from 🇰🇪
Much love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮
❤❤❤❤❤o
Hata mimi ningekuchaguwa love nes unakisurq cha wizi ila hata Tina ni mrembo sana 🎉🎉🎉🎉
Kelvin mungu akumbaliki kaka sana keep it up ❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉 wowowowow tunapenda dont tv
Hongera sana Kelvin kwa kazi nzuri sana kwa kweli Mimi nainjoi na muvi zenu napenda sana kufwatilia muvi zenu Wana Donta tv
Asante
Nime rudiya tana me kelvin eko na mapenda ya vizuri sana ❤❤
❤mm uyo ni kiona DONTA tu mbio am happy for you guys ❤❤ from 🇰🇪 team gulf hope mmepunguza kaz njoon Uku kelvin anatuita tena😂😂❤❤❤❤❤
Kama mim
😂😂😂😂😂
Kam mm naondoka
Sw twaja ❤❤
❤❤❤😂😂
Lovely ndiye anae ipamba hizi sinema bila ya yeye haiwe tamu
Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI
Jamani mmeweza mmeweza tena
Jamani nawapenda sana from Burundi
Inauma!!! Lakini jipe moyo Tina utapata wko TU mzuri 😢Kuna wakati wa Kila kitu ata weee utakubaliwa
Nawapenda san movie ziko poa nikiangalia nabaki kucheka
Wooow Mimi sijui ni wangapi kwakweli kama vile nimechelewa japo mko vizuri kiukweli nawaombea
From Mombasa kenya jamani nimependa kazi yenu n napenda Tina anavo cheka
Good job Kelvin much love
Much love ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mwenye kujuwa jina la huu wimbo tafadhali,,ataje ,,mzurii sana
Hii nyimbo inaitwa aje nimeipenda kweli
Ukipata uniambie
I naitwa deka deka
Duu Kevi mko vizuri sana napenda sana kuzifwatilia muvi zenu sana kwani zinafundisha sana
Nakubali🎉😊😊😊😊
Kazi nzuri tunaomba na Mr handsome muendelezo sasaaa❤❤
Iliisha mbona
Congrats guys alway you made my day ....nwafuatilia Sana ✊✊✊
Much love from kenya❤❤❤❤❤
Kabisa jamni Kelvin anaendana na loveness
Tina hana ata mshipa wa aibu dadeki ajataka kufatwa kavunja ukimya mwenyewe kafunguka kelvin nakupenda maskini alf kamkosa kampenda shogile nyieeeee mapenzi kiboko
Nataka kujuwa loveness na kel vin .umeowans
Kelvin and loveness mko level ingine,,,,❤❤keep on the good work
Lakni kwann kelvin kila siku ni loveness tu hapo nawaza 😂
😂😂
Much love from 🇰🇪
🎉chukuen maua yenu mnatufundisha namna ya ulafiki wa kweli
Nakubali wadad wa humu wot wazuri yn
Nawapendaa ❤️❤️
😂😂hivi ukiwa wa kwanza unapata nn mm nngeshaur tuwe wa kwanza kwny mafanikio sio like bhn wa kwanza wakwanza😂😂😂
❤❤❤❤hii nyimbo inaitwa aje please
Weee nimethani mimi ndo wa kwanza 😢
Ww klvn kazi zurisana❤❤🎉❤❤❤❤❤ love for Kenya
Jamani japo nimechelewa kwanza salamu sana wapendwa wangu kwa sababu hayo ni mapenzi ya siku hizi zamani mwanamke au msichana alikuwa akipendwa na wmanaume na akipelekewa posa lakini sikuhizi mwanaume ana pelekewa posa majabu ya duniya
Shida iliyopo wanawake wamekuwa wengi wanaume wamepungua wengine wamebadilika kuwa mashoga kwahyo wanawake wanaamua wachukue position.
Jaman kaz zenu nzur napenda sana
Wapili nafika ❤❤❤❤
Kiukwel unayempenda anapenda mwengine😂😂😂😂mapenz bhana
Nawomba munambie hiyonyimbo nianani 👏👏
Dad yangu Tina pole sana🥰🥰🥰
Sawa tushafika ❤❤❤❤❤
Ongera donta tv Kwa kazi nzuri
Kelvin noma Sana solute for you brother
Tina utaja niua siku moja😂unakatiaje kalvin😂😂😂
Wow nice watching from Kenya 🇰🇪
Tinaa na loveeeness mbingun amfikii nyinyiiu😅😅😅😅😂😂😂 sem nawakublii
Kazi nzur sana wana donta❤
Kelvin umetisha
Vizuri sana nimevutiwa saaana na movie zenu Burundi 2ko pa1
nahako kawimbo kametulia sana ❤❤
Nimekuwa wa mwisho lakin naombeni like 😂😂😂