#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лип 2024
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

КОМЕНТАРІ • 33

  • @user-ec8tx9oi9e
    @user-ec8tx9oi9e 10 днів тому +7

    Mimi ni muislam na ninaamini sana kwenye haki askofu mwanamapinduzi nakukubali sana kwenye kutetea haki mwenyewe mungu akulinde

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 10 днів тому +3

    Wasomi wa Tanzania hawasaidii kuijenga Tanzania. Wameziba masikio kama Raisi alivyoxiba masikio na mdomo kuchagua kuwa chura. Viongozi ambao tunawategemea wana kigugumizi sababu kiongozi mkuu kawa mfano wa kutokuwajibika na katangaza hadharani hajali. Sasa, kwa nini watanzania mumpe ridhaa ya kuwaongoza wakati amekiri hatawasikilza na hatatoa kauli uoyote mnapomtegemea awe mdemaji na mtetezi wenu angefanya hivyo. Ni sawa na nchi haina uongozi. Hatari inayokuja kila mtu anajifanyia yake. Na hii ni hatari kubwa nchini. Hatuna kiongozi. Shukrani sana baba Askofu kwa jitihada za kuitetea nchi na watu wake.

  • @mutalemwajohanes-kx9dj
    @mutalemwajohanes-kx9dj 10 днів тому +2

    Wasomi wote sawa na viongozi wa dini VIBOKO NA KUFUNGWA wanaua nchi yetu

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 10 днів тому +2

    Wewe tuna viongozi wachumia tumbo. Viongozi wanaapa wanapo kuwa madarakani.wakisha apa wanasahau wanaanza kuteka kuuwa.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 10 днів тому +3

    Kuonyesha kuchukizwa, Kukataa,Kukemea na Kuzuia MAOVU sio dhambi wala kutukana lakini watawala wakiambiwa neno mojawapo katika haya,wanakuja juu na kutafsiri kuwa WANATUKANA,na wao wanafika mbali na kuwatukana na kuwadhalilisha waziwazi wanaowapinga,na kuyakataza maovu yao! Maovu yakitokea machoni pa Kiongozi yeyote wa dini akanyamazia,atatoa hesabu yake kwa Mungu kwa kukwepa jukumu lake! Wafalme wa dunia wasio na maarifa watendapo uovu,wataangamia pamoja na taifa lote kama hayatapingwa na wanaosimamia imani zinazosimamia haki na hukumu ya Mungu! Viongozi wa dini wakiwa kama mafarisayo wa dunia wasiyoamini kwamba Mungu aliye juu ya wote yupo!

  • @mutalemwajohanes-kx9dj
    @mutalemwajohanes-kx9dj 10 днів тому +2

    Hatuna viongozi wa dini tuna matatizo matupu

  • @rastheunique
    @rastheunique 10 днів тому +2

    Asante sana Baba Askofu Machumu

  • @MayalakusekwaNkwabi
    @MayalakusekwaNkwabi 10 днів тому +2

    Tatizo ni Ubabe wa Viongozi wa CCM ni Miungu Watu hawataki Ukweli usemwe wanatisha watu, wanateka na kuua Watu, Viongozi wakubwa hawaheshimu Katiba ya Nchi pamoja na ubovu wa Katiba yetu

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 10 днів тому +1

    Wajumbe na wasaidizi wa Rais hawawasilishi taarifa za kweli, badala yake wamezoea kusema uongo na kuyabatiza ni maneno ya wanasiasa tu kwa maana kwamba serikali ina vita na wanasiasa ambao ni sehemu ya wananchi. Uongo unafawasilishwa kwake kwa nguvu kubwa mpaka anaamini na kuwashutumu,ama anakaa kimya siku zinakwenda tu.

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 9 днів тому

    Go go men of God

  • @JosephMagige-lf9ns
    @JosephMagige-lf9ns 10 днів тому +1

    Uko sawa Askofu

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 10 днів тому +2

    Machukizo ya viongozi wa serkali,yanakataliwaje? Wananchi wanatendewa kinyume na Katiba, sheria na kanuni au utamaduni wa jamii yetu,wananchi waeleze maneno yapi? Hisia za wananchi ziwasilishwe kwa jamii kwa maneno gani?

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 9 днів тому

    Samahani Hii vIdeo imeekuwa na Mwangwi mkubwa....kuna kipande tumeshindwa kukipata vizuri

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 10 днів тому

    Non-Tanesco electricity supply source will be advantageous to the consumers.

  • @salama1113
    @salama1113 9 днів тому

    Mm muisilamu ila mchungaji unaongea ukweli kama huna d 2 huwezi kumuelewa mchungaji

  • @user-bq6jv2mh1e
    @user-bq6jv2mh1e 7 днів тому

    8:29

  • @kaismwambona9860
    @kaismwambona9860 10 днів тому +1

    Viongozi wa dini wa nchi hii ni zaidi ya 90% hawapatani na sifa za wale watumishi Yesu alio wasema katika kitabu Cha mathayo 5:10-12, /math.10;17,pia aliwaambia ninyi ni chumvi ya Dunia,Pia NURU ya ulimwengu, hivyo wangelikuwepo angalau 10% tusingelikuwa hivi hapa Tanzania ilipo Leo,na mapungufu yanayo idharirisha nchi hii ambayo haya Hitaji mkopo toka nje kuyakemea na kuwachukulia hatua watendao uovu, sasa Wana achwa, ,Tuombee nchi kwa maombi ya Toba kabisa.ili dhambi hizi zinazo lanisha nchi yetu, iliyokuwa ina heshimika kwa Amani na kuthamini Utu wa kila mtu,na ukarimu,

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 10 днів тому

    Msigwa amejizalilisha sana kwenda kuvaa maguo ya kijani

  • @mutalemwajohanes-kx9dj
    @mutalemwajohanes-kx9dj 10 днів тому

    Nikipata nafasi Viongozi wa dini wanatakiwa kuchapwa viboko na kufungwa maisha

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 10 днів тому

    Viongozi wa dini mna hongwa Mbowe ali kyla mulionu 15 boss wako yuko bungeni.

  • @user-bq6jv2mh1e
    @user-bq6jv2mh1e 7 днів тому

    😮😢

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 10 днів тому

    Viongozi wetu wa dini hapa ni wali tu

  • @FestoLalata
    @FestoLalata 9 днів тому

    Hiyo nikweli tupu,ndivyo ilivyo ktk nchi yetu tukisema tunaambiwa tunatukana unafatiliwa na kukamatwa ,kwahiyo harakama wanaharibu nchi tunyamaze tu,hivyo tunahasira moyoni hatuna pakusemea.

  • @giovannir.restone182
    @giovannir.restone182 8 днів тому

    Huyo aliyefira....walikubaliana au alimlazimisha huyo binti??? Manake isijekuwa walikubaliana alafu dada anatafuta Kiki!

  • @robertzingu9889
    @robertzingu9889 10 днів тому

    Recording yenu haiko sawa. Ondoa mwangwi wa youtube audio ya video yako

  • @MichaeSwai
    @MichaeSwai 10 днів тому +1

    Uyo mshikaji msingwa tumuweke kwenye kundi gani sjjui

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 10 днів тому

    MWANAMAPINDUZI Utawala ukiamua kushughulika na Swala la kuboresha kilimo kama wanavyouziana magari ya kifahari na kununua mapya kila mwaka,vijana wakajua shambani kuna maisha tusingeona kundi kubwa la maching gays mijini lakini hawaoni sababu ya kufanya hivyo wanajua kuongeza kodi tu!

  • @petermogha7025
    @petermogha7025 10 днів тому

    Mchungaji wanamondoo unemachianani. Wanahama KANISA huku

    • @mlangotv8465
      @mlangotv8465 7 днів тому

      Wewe ni kijana wa hovyo, wazazi wako wamepata hasara, Askofu anazungumzia maisha yako na ya watoto wako mbuzi we

  • @maspro6294
    @maspro6294 9 днів тому

    Wewe mchungaji feki unaongea mpaka mdomo wako UNANUKA KAMA CHOO UKIMALIZA KUBWAKA UKAPIGE MSWAKI

    • @JosephMagige-lf9ns
      @JosephMagige-lf9ns 9 днів тому

      @@maspro6294 uchunguze vizuri wakwako hata ukipiga mswaki niuozo chunga Domo lako

    • @JosephMagige-lf9ns
      @JosephMagige-lf9ns 9 днів тому

      Uchunguze vizuri awkwako hata ukipiga mswaki niuozo . Chunga Domo lako muozo