ASKOFU BILA WOGA AMVAA RAIS SAMIA, "RAIS SAMIA AMEKATALIWA NA MUNGU, USALAMA WA TAIFA HAWANA AMANI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • #TANZANIA: Askofu Mwanamapinduzi amvaa Rais Samia, "wafanyakazi hawana amani, usalama wa Taifa pia hawana amani, ndani ya miaka mitatu wamebadilishwa Wakurugenzi wanne, kwa hiyo hata aliyepo hana amani, maana muda wowote hana kazi, mnatumika tu kama kalai"
    Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

КОМЕНТАРІ • 203

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya Місяць тому +11

    Amina kubwaaaaa acha kujipendekeza kwa watu , Mungu akubariki mchungaji, ulisema kweli

  • @rawhiyasultan5778
    @rawhiyasultan5778 День тому

    Amina kubwa mtu wamungu,mungu ibariki tanzania

  • @erickrichard1843
    @erickrichard1843 4 дні тому

    Hongera kwakusaidia wsta

  • @mpologomaChristopher
    @mpologomaChristopher 5 днів тому +1

    Upo sawa samia ni mtumishi wa ibilisi na na ndiyo mana anawaumiza Watanzania kwa manyanyaso mkubwa sana, bei ya vitu ipo juu, kuuzwa kwa bandari, ameuza bunga za wanyama, ananyanyasa wachimbaji wa wadogo madini , wakulima wamebanwa tozo kila kona, amepandisha umeme, kufungiwa ni bei ya juu hakika ni kama tupo jehanamu Mungu atuokoe na nyoka huyu

  • @frankmosha5854
    @frankmosha5854 2 дні тому

    Hio ndio kazi walioitiwa watumishi wa mungu kwa hio vita hio usiingilie wacha mungu awe muamuzi

  • @theogeorge3773
    @theogeorge3773 Місяць тому +5

    hata hapa wapo Tulieni Aiseeee

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Місяць тому +9

    UMENENA VEMA ASKOFU MPENZI WA MUNGU NI MSEMA KWELI ❤

  • @SaudaSaudaAmiri
    @SaudaSaudaAmiri 3 дні тому

    Nikweli Mtumishi wa Mungu. Yaani machawa Tanzania ni kama wote

  • @josephmwise3177
    @josephmwise3177 25 днів тому +2

    Jamani Mama mbona powa! Nawachukia wote wasiompenda Mama.

  • @emanuelmpamila6155
    @emanuelmpamila6155 7 днів тому

    ooh hallelujah kwa Mungu
    ukwel unauma sana baba

  • @HeppyRafaeli
    @HeppyRafaeli 18 днів тому +1

    Aminaaa.

  • @user-td5ye9zb1l
    @user-td5ye9zb1l Місяць тому +1

    Fact indeed pastor

  • @evangelicalmiraclesfellowship
    @evangelicalmiraclesfellowship 5 днів тому

    Mungu akubariki

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 13 днів тому +2

    Ni kweli mtu wa MUNGU

  • @RESTITUTAMOLLED-mp3pp
    @RESTITUTAMOLLED-mp3pp 13 днів тому +1

    sema mtumishi wa Mungu,tumechoka baba na maonevu

  • @user-eh2fi9ds5h
    @user-eh2fi9ds5h Місяць тому +1

    Sema mtumishi wa mungu

  • @spiderelexander9977
    @spiderelexander9977 Місяць тому +3

    Kumekucha siku zote Mungu ni mwema

  • @ericlondonmuwazijimmy1221
    @ericlondonmuwazijimmy1221 Місяць тому +3

    Kama kweli amekataliwa tutaona ishara zote, mbele

  • @childofgod3216
    @childofgod3216 День тому

    Unapingana na Mungu wewe ndugu hujasoma Maandiko mamlaka zimewekwa na Mungu mheshimu Rais basi Mungu hawezi kumkataa Mtu aliemwumba wafundishe watu Kristo Yesu waefeso 4:11-16 unatoka nje na kazi ya Mungu Rais Samia ataendelea kua Rais tu ndugu hubiri Kristo kusulubiwa

  • @josephmallya5525
    @josephmallya5525 Місяць тому +3

    Aminaababa❤❤❤msituletee mambo ya kibojo ya wachawi apa tule taka taka

  • @elizabethawuor5402
    @elizabethawuor5402 Місяць тому +1

    Amen

  • @Boj842
    @Boj842 2 дні тому

    Huyu mwanamke hutumtaki roho mbaya sana .Kama yezebel ana uchu wa madaraka mwisho wake ni mbaya.Mungu kamtaa

  • @protasdismas516
    @protasdismas516 6 днів тому

    Hakuna rais aliyekamilika, hakuna rais aliyetenda mema pekee, marais wote wameshawahi kukosea katika uongozi wao, ukiwepo ukweli usemwe.

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 12 днів тому +1

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ramadhansuluhu772
    @ramadhansuluhu772 11 днів тому +1

    Hivi Askofu wewe ndio Mungu unajua Ardhi na Mbingu zimembwa vipi?

  • @AmenMushi-j2j
    @AmenMushi-j2j 15 днів тому +1

    Hatupigani kwa mwili bali kwa roho pastor

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas Місяць тому +1

    Mchungaji anakosea😢😢😢😢

  • @jumamakuri9176
    @jumamakuri9176 5 днів тому

    Kanisa ni sehemu ya kutafuta amani, faraja na matumaini mema sio sehemu ya kuchochea migogoro na hofu ndani ya wauminj na watu wengine. Haya sio mahubiri yaletayo amani ndani ya nchi.

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz Місяць тому +4

    Mmmmhh aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Daima Apendae fedha hatashiba fedha. Mungu utuhurumie.

  • @dorisselembo1225
    @dorisselembo1225 7 днів тому

    Kweli kabisa 🙏🙏🙏

  • @AndrewEzekiel-jp7ed
    @AndrewEzekiel-jp7ed 3 дні тому

    jamani kuokoka siyo ujinga.nanyi mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru kwelikweli

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 11 днів тому +1

    Wameshiba pesa itapiga kura

  • @HassanKibwana-h3w
    @HassanKibwana-h3w 17 днів тому

    Amina

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 8 днів тому

    Anaruhusu shoga unaendelea tanzania

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 23 дні тому +4

    Hiyo bibilia ndiyo imekwambia hivyo au. Siasa kanisani yani mtihanikweri hamchahui pakuongelea chukiimekujaa. Kwa Raisi wetu kipenzi ❤mama Samia Allah akulinde na maadui wakilakona anaekuzamiliaubaya umludie mwenyewe

    • @hamismabula9934
      @hamismabula9934 12 днів тому

      Kwan wanapoapa huwa wanashika na kuinua juu kitabu cha siasa!?

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 8 днів тому

      Bibilia ni kitabu cha haki hukemea maovu yote haina uchawa ndani yake yesu alikemea waovu bila kujali cheo chao

    • @josephmatiko4805
      @josephmatiko4805 4 дні тому

      Sissa nimuunganiko,wamaisha yakilasiku katika maisha yako popote!!iweka isani,nahatamisikitini,usihangaike unashangaza

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 15 днів тому +1

    Asante sanaa Baba Mungu akubariki

  • @RashidiDaudy-ez6zt
    @RashidiDaudy-ez6zt Місяць тому +4

    amin mtumishi

  • @JaneChissawilo-dr7nn
    @JaneChissawilo-dr7nn 25 днів тому

    Ameen!

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 15 днів тому +1

    Shetani ni shetani tuu Baba

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 12 днів тому +1

    Chuki yako ni mbaya sana mtumishi

  • @AmusedAstrolabe-fh8ox
    @AmusedAstrolabe-fh8ox 15 днів тому +1

    Sema baba apone aache unafiki

  • @vickytango5591
    @vickytango5591 20 днів тому +2

    Kama unakubaliana na andiko hili..... Watakatifu walioko duniani hao ndio waliobora like hapa

  • @monicamwita7865
    @monicamwita7865 8 днів тому

    Ulitaka2 sasa ifanyike wapi? Ameongea vizuri wewe unatakà akasemèe wapi?

  • @peterkibiriti5601
    @peterkibiriti5601 Місяць тому +1

    Alliyekataliwa na mungu ameshaondolewa duniani

  • @athumanikajembe4585
    @athumanikajembe4585 Місяць тому +1

    Hubiri vitu vya kiroho pastor mbona uhubiri kukemea ushoga na usagaji .Wasiojituma ndio wanaotema mate

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd Місяць тому +1

    kazinzuri sana! Mungu atawaripa.

  • @matatizonkwera8607
    @matatizonkwera8607 10 днів тому +1

    Ubiri watu waendee mbinguni,siasa na dini huwezi: na kwa taarifa yako Mama samia ni chagua la mungu kwani uliumpa urais wewe? Samia Suruhu Hassan is our destiny" mitano mingine 2025,utake usitake mitano mingine kwa mam🎉

  • @JELSONMAUKI
    @JELSONMAUKI 28 днів тому

    Mimi sina mwanasheria. Mwanasheria wangu ndo kwanza Yuko form 1 C 😅😅😅😅🙌🙌🙌

  • @meshackwilliam8238
    @meshackwilliam8238 17 днів тому

    🙆🏽‍♀️Ni baraaa2

  • @emanuelmpamila6155
    @emanuelmpamila6155 7 днів тому

    Amina kuuubwaaàaaa
    baba unalenga palepale penye mshono sema na Mungu akuongoze
    Ni kwl watu wengi hawana Aman kabsa hasa wafanyakz unakuta mtu anada fedha za likiz/uhamisho miaka 3 na wao wakiwa wanasafar wanajilipa mamilio ya fedha lkn wafanyakz wa chini wanaambiwa hakuna hela

  • @iddiramadhani5111
    @iddiramadhani5111 Місяць тому +1

    Hapo umeweka bendera ya Israel taifa la Wauaji wa wapalestina huna lolote danganya haohao mbumbu.

    • @jebace
      @jebace Місяць тому

      umeitwa hapa au ulikuja mwenyewe,na wapalestina waliyataka wenyewe, mwanakulitafuta mwanakulipata😂

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 Місяць тому

    Yaani kosa moja linavunja mwema Mia moja

  • @user-ob2ik5gy1b
    @user-ob2ik5gy1b 7 днів тому

    We ongea habari ya mashoga na wasagaji ,, waumini wako wako uchi kama wauza bar na wazinifu hili ndo la kusema ,acha siasa ni mchezo mchafu.

  • @seifhemed2972
    @seifhemed2972 4 дні тому

    Huyu mchungaji wa kondoo wa porini. Hovyo unahubiri upumbavu

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas Місяць тому

    Mwanasheria wangu kasafiri😢😢😢😢😢

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 28 днів тому

      Mimi wangu ndo kwanza Yuko form 1 C 😅😅😅😅

  • @SamwelJoseph-yk3cw
    @SamwelJoseph-yk3cw 17 днів тому +1

    Majeshi majeshi, majeshi ya BWANA ameeeeeeeeeeen

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 12 днів тому

    Amuongelei fedha za waumini wenu..watu huwa wanaamishwa nchi NZIMA na huwa wanalipya acheni uchochezi

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 29 днів тому

    Ongea kuhusu biblia na siyo siasa.😢

  • @Debestsoul
    @Debestsoul 23 дні тому

    Hello

  • @khamis9187
    @khamis9187 8 днів тому

    Yani we mchungaji mwenyewe ni mfuasi wa shetani, maana naiona bendera ya shetani ikipepea kushoto kwako...ukiunga mkono mauaji ya wanawake na watoto ghaza..

    • @mwamrasahamaro8473
      @mwamrasahamaro8473 7 днів тому

      Hivi mbona ninyi wa mama mdogo mnaopenda sana matukano?kwani ni lzm umsikilize huyu mchungaji?hebu pendeni amani basi vurugu mbaya!mambo ya alshababu,is ,Boko Haram ni mabaya

  • @AtugonzaRutaselwa
    @AtugonzaRutaselwa 11 днів тому +1

    Ameen sema baba wapasue

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 Місяць тому +3

    Serikali ingeliwasikiliza hawa jamaa Mbarikiwa Mwakipesile na Askofu Mwanamapinduzi nchi hii ingelikuwa nusu paradise , Mungu ibariki Tz.

  • @user-zi1gp6dc2q
    @user-zi1gp6dc2q Місяць тому +1

    Kweli baba semaa

  • @khamis9187
    @khamis9187 8 днів тому

    Ukimaliza kuongea apo unaonekana utatoka na sadaka nyingi sana, maana wafuasi wako wanapiga makofi si mchezo.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 29 днів тому

    Usiwe chagadema au CCM😮

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 Місяць тому

    Pastor umeongea ukwer tunakulinda ole wao tusikie huonekani tunaandamana Safar hii

  • @Gelenya-ne2ip
    @Gelenya-ne2ip Місяць тому

    Acha utumishi,ufanye siasa!

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 Місяць тому +1

    Mungu yupi yesu?

    • @joshuajohn2668
      @joshuajohn2668 Місяць тому +1

      MUNGU NI MMOJA Na YESU NI MWANA WA MUNGU

  • @DavidJosia
    @DavidJosia Місяць тому

    Mhuu Mimi napita tu

  • @leoteryezekiel9745
    @leoteryezekiel9745 Місяць тому

    Mamlaka yoote Duniani yamewekwa na Mungu. Unyenyekevu kwa kiongozi wa nchi ni hekima hata kama anakosea, wewe mtumishi wa Mungu unapaswa kuwa mnyenyekevu kwa kadri ulivyo ongozwa kuufikisha ujumbe wako na si kuropoka madhabahuni.

  • @johnboscomasumbuko1073
    @johnboscomasumbuko1073 Місяць тому

    Amenyooka

  • @EdsonMbuza
    @EdsonMbuza 20 днів тому

    Kama huna Cha. Kukomenti nimuhimu kukaa kimya kuliko kumtukana askofu unamwambia pumbavu kuwa na kiasi

  • @user-vm5yf8cs2r
    @user-vm5yf8cs2r 19 днів тому

    Huna AKILI. Hubiri. Dini
    Sio. Siyass
    Usi change. Dini. Na. Siyasa

    • @MkatorikiOg
      @MkatorikiOg 12 днів тому

      Wewe mpumbavu ujitambui, ina maana kama ni paster aiche nchi yake iangamie kisa dini lazima aseme ukwelii

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 15 днів тому +1

    Utashinda kwa jina la Yesu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 29 днів тому

    Mwamposa ni mpotoshaji😮😮

  • @user-yg8bv6de9v
    @user-yg8bv6de9v 16 днів тому +1

    Mtumishi bwana akuzidishe kwa uweza wake zaidi

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 Місяць тому

    Siasa na Mungu wapi na wapi

  • @kandoyamitoyababeliministr9745
    @kandoyamitoyababeliministr9745 Місяць тому

    Mbona unabii ,umekuwa mwingi kwa Tanzania hasa kwa muhula huu wa Rais Samia S. A.hivi ni kweli ni kwa sababu hakubaliwi na Mungu ao ni kwa sababu ni mwanamke

    • @jesaminzo
      @jesaminzo Місяць тому

      Kwani mwanamke si binadamu?

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 15 днів тому

    Disaster Disasters men of God

  • @mohamedimiraji5495
    @mohamedimiraji5495 21 день тому

    Toka lini askofu akawa mzalendo katika nchi hii? Hopeless

  • @emanuelmwakasungula3052
    @emanuelmwakasungula3052 Місяць тому

    Unatimiza andiko katika chuo Cha isaya 1:17

  • @user-vl4rz6lf6d
    @user-vl4rz6lf6d Місяць тому +4

    Sio kweli mama samia hajakaliwa na mungu ndio kamuweka na Kama mungu angemkataa angemuondoa mama samia Hana Nguvu ya kushindana na mungu agome kuondoka madarakani wewe mtumishi wa shetani ndio unahamasisha upumbavu mtupu chuki binafs ya udini imekujaa mjinga wewe kwasababu ya kukatiwa maslahi yako bandalini na Mtu mzima ovyo

    • @annekiwori9504
      @annekiwori9504 Місяць тому +1

      Pole naona mtumishi kapiga kwenye mshono,siyo maneno yake ni ya Mungu.

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 Місяць тому +1

    Wewe mwenyewe umekataliwa ndio ukaukumu, wakukataliwa unamjua wewe?

    • @gosbertrwezahura3645
      @gosbertrwezahura3645 Місяць тому

      Acha uislamu. Pumbavu sana. Unamtetea kwa sababu nyote mmefunga vichwa.

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 Місяць тому

      @@gosbertrwezahura3645 acha udude unaitwa ukiristo mkunduo, unajitoa fahamu kwakua mnatembea uchi uko makanisani kwenu, shetani wewe

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 Місяць тому

      @@gosbertrwezahura3645 ibilisi wewe,kwani kufunga kichwa kuna ubaya ! Anajistiri na nyinyi hamjalizimishwa kufunga kichwa acha ushenzi na udini mbwa wewe, muislam kila atakachofanya mnawashwa!!!!! Amefunga kichwa na ni raisi, zageni pilipili muweke kwenye maji muoshe nayo uso, myuuuuuuuuuu, kufunga kichwa ni amri kutoka kwa MUNGU, na huyo mpuuzi mwenzio apo aliekosa la kuongea mwambie akuonye maandiko kwenye bibilia zenu mwanamke 👉 MWANAMKE ASIPOFUNIKA KICHWA CHAKE ANAJIAIBISHA, 👈 upo wewe mshenzi uliyekurupuka kutusi watu?

  • @workmantiktok
    @workmantiktok Місяць тому +1

    huyu mchungaji kuma lamama yake kaabisa linaangamia kwa ushoga haongei anaongelea ambayo hayamuhusu

  • @geey7893
    @geey7893 Місяць тому +2

    Sure, mama wa watu ngoma imemkataa lakini hajiongezi anataka tena kiti😮

    • @knight6757
      @knight6757 Місяць тому

      🐸

    • @oklahommy9838
      @oklahommy9838 Місяць тому

      Na atakipata ....asipokuwa rais tena niite mbwa nimekaa pale😅😅😅

    • @user-jt3gl9fo5e
      @user-jt3gl9fo5e Місяць тому

      Hujiongozi ww mwenye macho lkn huoni

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Місяць тому

    Wew lifisiemu tuache tusikilize nondo tulia bana sindano. Iwaingie. Tumewakataa. Mnatulazimisha tu ila mungu. Siyo mwanadamu atatuokoa tu

  • @user-vl4rz6lf6d
    @user-vl4rz6lf6d Місяць тому +2

    Wewe unajipendekeza kwa chadema acha ujinga na upumbavu yani wewe uaacha kuhubilidini unahibili siasa umeshakataliwa na mungu wewe ndio maana unahubili siasa Kanisani udini umekujaa tuuu

    • @shabanadam4476
      @shabanadam4476 Місяць тому +1

      Vitu anavyoonge askofu kuhusu watu kufukuzwa katika ardhi zao na kupewa waarabu vina maana kuliko wewe usie jitambua msaka tonge tu

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md Місяць тому

      Kwa hio ukiwatetea watu wanaofukizwa kwenye aldhi yao umekuwa chawa wa chadema? Ahaa niambie wewe chawa wa ccm unamtetea nani ?

    • @ayubungende5341
      @ayubungende5341 10 днів тому

      kufukuzwa kwa masai umefurai ety

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd Місяць тому

    wahubilie watu Neno acha siasa kama unapenda siasa funga kanisa bx uchaguzi unakalibia uende ukaropoke jukwaaani sio kanisani hapo

    • @jesaminzo
      @jesaminzo Місяць тому

      Kama huna ugomvi na biblia soma, Ezekiel 33:1-20

  • @LomnyakiSapunyu
    @LomnyakiSapunyu 27 днів тому

    11:47 Seema tupone

  • @muridundhikri
    @muridundhikri Місяць тому

    Haya tena kipindi cha uchaguzi kila alotomwa

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 Місяць тому +2

    Mwanamapinduzi mbona anafahamika ni shoga, hata matako yake yamelegea 😂

    • @EzekiaMtwale
      @EzekiaMtwale Місяць тому

      huo ushoga mnashiriki nae?!

    • @atupegemwakahesya
      @atupegemwakahesya Місяць тому

      Hivi vinywa! Uwe makini. Kumtukana mtumishi wa Mungu bila hofu yo yote, badaye utajilaumu.

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 Місяць тому

      @@atupegemwakahesya huyu sio mtumishi wa Mungu ni mwanasiasa uchwara

  • @husseinjuma4575
    @husseinjuma4575 23 дні тому

    Tusaidieni kupaza sauti

  • @athumanikajembe4585
    @athumanikajembe4585 Місяць тому

    Mhubiri wanaotema mate ni wale wasiojituma .watu wanatoka nje wanasema fursa zipo nyingi Tanzania ila uvivu wa kufikiri na kufanya kazi ndio umekithiri.Nakushauri mhubiri kemea mapepo ya ushoga na usagaji.

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 Місяць тому

    😂😂😂😂 huyu mchubgajee sio poaa

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 29 днів тому

    Tanzanian govt please this man is the most dangerous now.Take him seriously he is Hitler who killed millions during the second world war.Serikali imuchukulie hatua kali.Ni hatari sana kwa nchi yetu.Propaganda yake ni mbaya sana katika jina la Yesu.😢😢

  • @edyboychamiliion1360
    @edyboychamiliion1360 Місяць тому

    Ww kijana mwenye njaa na umepauka vibaya hiyo bendera ya israel inahusika na nn na kanisa lako la uchwara wakati wayahudi hawana dini mbona mnajipendekeza na watoto wa shatani😂😂

  • @user-iz4te4gs5s
    @user-iz4te4gs5s Місяць тому

    Public coments

  • @levissanga8867
    @levissanga8867 Місяць тому

    Hata sasa ni mbwa

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 Місяць тому

    PUMBAVU WEWE HÙNA UNACHOJUA UTAWALA UNATOKA KWA MUNGU ACHA KELELE

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 Місяць тому

    Wewe umeongea na Mungu lini. Mungu hawezi kuongea na wewe kwamambo ya uzushi labda umeongea na Shetani simungu .Dini na siasa haviendi pamoja hata sekunde moja

    • @allymohamed2724
      @allymohamed2724 Місяць тому

      Na akimaloza hapo ni toa bwana toa ulichonacho. Skeleton Church London, Kibwetere, na Kuna wale walofunga bila kula wafe wakutane na Yesu.