KIMEWAKA TLS, MADUDU YAANIKWA SAKATA LA MWABUKUSI, NI AIBU, MAWAKILI KUKIWASHA KUTETEA TASNIA YAO
Вставка
- Опубліковано 11 лип 2024
- #TANZANIA: Kimewaka chama cha Mawakili TLS, madudu yaanikwa sakata la kumng'oa Mwabukusi kgombea Urasi wa chama hicho, Mawakili waungana kutetea tasnia yao.
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram
Ninyi ndiyo watetezi wa nchi hii msikubari watu wafanye wanavyotaka kwenye mambo ya msingi yanayoumiza wananchi waajiliwa wa wananchi wamejisahau muda mrefu sana wanahisi wao ndiyo waajiri wanafanya wanavyotaka wanatumia Kodi na rasilimali zetu za nchi kibinafsi zaidi
Mungu Yuko na mwabukusi atamulinda waliomupiga vita mungu atawa futiliya mbali
Kwa kweli TLS wametia aibu wanasheria hawafuati sheria sasa watu wasio wanasheria watafanya nini? Ndiyo sababu Inchi inajiendea ovyo ovyo tu.
Kabisa Inchi inakwenda hovyo sana ni aibu tupu
Viongozi wa TLS Make sure mnalinda USOMI wenu. This is the correct time.
IF JUSTICE FORUM IS INJUSTICE WHO IS SAFE?
Nobody!
It is unprecedented 😮
None
Yaani siasa za majitaka za CCM za watu kujipa uongozi bila kuwa na sifa na kuwakata watu wazuri wenye sifa zimeingia hadi kwa TLS, wanasheria na hivyo kunajisi kabisa tasnia yote ya sheria. TLS rudini mstarini, acheni kujinajisi!
The learned fellows when they undress themsleves to show the world how the system have changed the Learned fellows....in TZA.
How on Earthy from one party state to Multiparty state ,using same constitution.....??? Halafu useme tuna Law school of Tanganyika au TLS.... where were they, to let that blunder happen......???
Mwabukusi atapigwa vita sababu yeye ni muwazi japo anafaa sana watamtupilia mbali ogopa TZ
Hivi hata huko kwa magwiji wa sheria kuna figisu figisu aibu kubwa yusio ojua sheria tutakimbilia wapi.
Jamani Kila Mzalendo niwakati wakubafilisha mambo.yote ya kihuni. Hinizambi inafanyika kuharibiu Taifa eawatu waanabu wanalete shida Kila sehem u inaumiza unafikiri ni Akina mabutu wanaongoza. Nnchi. Nilikuwa kwa umakini.wa Mwabukusi machawa watafanya mambo ya ajabu sana
Wasomi sio jamii ya kujadiliana mambo yaliyowazi inatia shaka kubwa sana kwa jamii inayowategemea!!!!!
Wanasheria kuwa machawa kunahatarisha nchi nzima sababu ni kitengo kikubwa sana nchini kwenye kudai haki. Sasa ikiwa imekuwa compromized haki haitatendeka kwani watashindwa kutetea nchi na wananchi na maslahi ya Taifa vipasavyo.
Ichi. Ya hajabu
Ni aibu. Kubwa watu tunao waita wasomi kugeuka kama wanasiasa
Siyo wanasiasa ni mazumbukuku ni chi gani isiyo na sheria
On that case open mwabukusi Consern tls tanzania low sosayart will be difficulty them to win such case because ccm have plans on that
😂😂
Nyinyi endeleeni na sarakasi zenu sisi ccm ikiongozwa mama samia tunaendelea kuiongoza nchi mkimaliza kuhusu uchaguzi wa TLS andamaneni tutawapa maaskari wawalinde.. Samia 5 tena