ZANZIBAR:BARABARA YA MWANAKWEREKWE NA AMANI ZANZIBAR KUUNGANISHWA NA FLY OVER.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 12

  • @mussaame9175
    @mussaame9175 15 днів тому

    Safi sana

  • @BakariMakame-j5f
    @BakariMakame-j5f 2 місяці тому +1

    Nimeshamkubali sasa

  • @ToptenHerbsClinic
    @ToptenHerbsClinic 2 місяці тому +1

    tunapenda kuona viongozi wakitekeleza ahadi zao hongera dr.mwinyi endelea kutuletea mafanikio na maendeleo zanzibar

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 2 місяці тому +1

    Hongera d mwinyi

    • @ZEN_ONLINE_TV
      @ZEN_ONLINE_TV  2 місяці тому

      🤝🤝🤝 Tunatakiwa kumpongeza Raisi wetu kwa Maendeleo Anayo tuletea Zanzibar

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 2 місяці тому +2

    Ndoto ya wazanzibar ni mamlaka kamili ya kujiamulia mambo yake mwenyewe na sio fly over wala mabarabara hayo ni mambo ya lazima

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 2 місяці тому +2

    Vizur sana ila jitahidini upana wa bara bara uko ovyo sana sheria yenu mbovuu et upana mita 15 kutoka katikati mita kumi na tano ni ndogo badilishen sheria ndo mana mnasema barabaran kuchafu mana watu wanajenga chini ya barabara mita muloweka ni ndogo mnoo uchafu hautokwisha ikiwa nyumba zipo chini ya barabara

    • @ZEN_ONLINE_TV
      @ZEN_ONLINE_TV  2 місяці тому

      Tumepoke wazo lako pia Mamlaka husika itawafikia na watalifanyia kazi. Kikubwa share hii video kwa wapenda maendeleo wote ili Na wao watoe Mawazo katika kujenga Zanzibar bora

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 2 місяці тому +1

    Fly over tunaweza kujenga mji mzima na mjunba masuri watu tusilale na njaa tuishi tukiishimiana na husuda tusihudiane mamlaka kamili dodira yetu. Kilamzanzibar tukatae kutawaliwa na tanganyika jina wamejita Tanzania kumbuka kama kuungana Kwa nn nchinyengine zisilete maombi kwenye mungano huu tambua haufai tumetawaliwa chukua hatua kataa mungano huu wa ukandamizaji