#ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • #isleblogTV Zanzibar kumaliza ujenzi wa VIP ya Kimatifa Barani Afrika na Dunia Kwajili ya Wageni Mashuhuri na wafanyabiashara wakubwa Duniani.

КОМЕНТАРІ • 51

  • @khaledsuleiman9819
    @khaledsuleiman9819 День тому

    superb!

  • @karafuunanazi1701
    @karafuunanazi1701 День тому +1

    Nimefurahishwa na ubunifu uliozingatia urithi wa Mzanzibari, ni mategemeo yangu kwamba architectural design za majengo yetu yote yatatoa taswira ya urithi wetu.

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 День тому

    Ila muandishi Mungu anakuona kwa kweli daaaah

  • @jumamohamed3168
    @jumamohamed3168 День тому +6

    Zanzibar ndio matatizo yenu jambo dogo tu munatabia ya kulikuza sana na kulifanya kubwa mno hali halipo hivyo.Zanzibar kwa mtu ambae hajawahifika anaweza kusema ipo juu sana kimaendeleo hasa ya kiuchumi lakini sio hivyo kabisa isipokuwa bwebwe nyingi tu .

  • @user-yn4lf7ze9r
    @user-yn4lf7ze9r 19 годин тому

    Barabara ya mkowaniiiiiiiii😂😂😂. Kwaiyo hosenii naee haonii

  • @BekaBakari-i9v
    @BekaBakari-i9v 18 годин тому

    Kisiwa cha wanyonge pemba kimekosa nn Jamani.

  • @IbrahimMwinyi-mu5gp
    @IbrahimMwinyi-mu5gp Годину тому

    Wazanzibar acheni mbwembwe kwajengo gani sasa eti litakuwa lakwanza Africa na dunia kwa ujumla kwajengo gani sasa jengo lenyewe limekaa kama hekaru la mfarme suleimani acheni ushamba bana mnatuaibish

  • @mrok284
    @mrok284 День тому +2

    Liko eneo gani hili jamani tujiandae?

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 День тому

    Lina sifa gani za kipekee?

  • @nassorhemed3953
    @nassorhemed3953 День тому +1

    Mnajenga unguja tu pembaaa mmekuwachaa😢

    • @Dranka186
      @Dranka186 День тому

      Tutajengaje pemba wakata wapemba wote wako unguja

    • @murattywamuratty9778
      @murattywamuratty9778 День тому

      Unalalamika wakati serikal Wakuu wa juu wote kutoka pemba wanajua sababu ya kufanya hivyo maana waluvyo kuwa kina sefu Ali idi watu waliona labda waunguja wanajipendelea kumbe sivyo ilivyo..saivi Serikal wakuu wa mamuzi wote kutoka Pemba ila pia unasema inajengwa Unguja pemba haijegwi sasa waulize wenzio, Katibu mkuu kiongoz, makamo wa 1 na 2, makatubu wakuu, wakutugezi, ao ndio taktiban asilimia 90 ni Wapemba sasa wao wanajua sababu ya hivyo

    • @salwasuleiman3525
      @salwasuleiman3525 22 години тому

      @@Dranka186wapo tele watu usiseme wapemba wote wapo unguja

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe День тому

    Jishauweni tu muwadanganye wasioona vioo na viti ni Sawa na nguo ya mtumba iliovaliwa ikatupwa

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 День тому +1

    Mbona pemba mmeitupa sana hakuna maendeleo yoyote wamekukoseeni nini mpaka ikawa hampeleki maendeleo

    • @Alburtukal
      @Alburtukal День тому

      Umelala wew, pemba ya saiv sio ile unayoikumbuka wew

    • @allymbarouk5362
      @allymbarouk5362 День тому

      Hata wanapajua Pemba haw maraisi wa unguja

    • @abdulbastadam7985
      @abdulbastadam7985 День тому

      Pemba wapinzani ila unguja pana na ndugu zetu wa damu kutoka Bara😂😂then Pemba ni Zanzibar musium ni urithi wetu haipendez kufanywa maendeleo😅

    • @Dranka186
      @Dranka186 День тому

      Nnyie wenye wapemba hamjengi kwenu ss tutanzaje kupeleka mandeleo kwa haraka

    • @Dranka186
      @Dranka186 День тому

      Wapemba muache lawama muanze wenyewe kujenga pemba serekali ifate mapori matupu mnajenga unguja ndio ulaya yenu

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 День тому

    Ety na DUNIA 😂😂😢😂😢😢😂😢😂

  • @seifmohd5357
    @seifmohd5357 День тому +1

    Kwan huu ni uwanja wa wapi?

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go День тому +2

    Lounge ndio nini? Me sijafaham

    • @shaviercharvinho18
      @shaviercharvinho18 День тому +1

      Hehehehehehe atuambie

    • @isleblogTv
      @isleblogTv  День тому +1

      Asante kwa kuendelea kufatilia habari zetu. Ni eneo maalum la kufikia wageni mashuhuri wakiwemo wafanyabiashara na watu mashuhuri wanapofila znz kiualii na kibiashara ikiwemo na utalii halal

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go День тому +1

      @@isleblogTv Asante nimepata uelewa sasa

  • @mikidadiali506
    @mikidadiali506 День тому

    😢

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 День тому

    Kwanza hapa NI UWANJA WA NGEGE AU SIJAFAHAM

  • @MohdSalum-y5i
    @MohdSalum-y5i День тому

    Safi sana

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 День тому

    Ipo sehemu gani hiyo

    • @alfamody6286
      @alfamody6286 20 годин тому

      uwanja wa ndege unguja. sehemu ya ndni ambayo wanatumia wageni mashuhuri kama maraisi na wakuu wa nchi

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y День тому

    Pia ndio nchi yenye njaa Kali raia wake

    • @naaaboud2371
      @naaaboud2371 22 години тому

      Umesikia wat wamekuf kwa njaaaa

    • @ShauriAli-o5y
      @ShauriAli-o5y 9 годин тому

      @@naaaboud2371 subiri afe babaako

  • @AmirliAmirli-p1z
    @AmirliAmirli-p1z 59 хвилин тому

    Uzushi mtupu hapana wala hayupo kwenye ukweli huyu jamaa ameandika ili tufungue video yake.......

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 День тому

    Mbona fupi

  • @YussufOthman-y8p
    @YussufOthman-y8p День тому

    Jengo Pekee Africa 😂😂 Have ever been travelling out Zanzibar ? Stop Lying Ogopa M/Mungu Hayo Ni Mabanda Ya Farasi Sio VIP . Ufisadi Kwenda Mbele . What are Jokes 😂😂😂

  • @suleimanabdalla5962
    @suleimanabdalla5962 День тому

    Wazanzibari wacheni sifa za kijinga,hamna lolote