Simba SC ilivyoichapa Nkana FC goli 3-1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2018
  • Simba SC imefuzu kuingia hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) baada ya leo kuichapa Nkana FC ya Zambia magoli 3-1 katika mchezo wa marudiano uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
    Matokeo hayo yameifanya Simba ifuzu hatua hiyo kwa jumla ya mabao 4-3 kufuatia kufungwa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Zambia wiki moja iliyopita.
    Katika mchezo wa leo Nkana ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 17 kupitia kwa Walter Bwalya akimalizia kwa mpira ambao mabeki wa Simba waliuzembea kwa kufanya mchezo wa kuotea.
    Simba walitulia na kupata bao la kusawazisha kupitia kwa Jonas Mkude dakika ya 29, kabla ya Meddie Kagere kupachika bao la pili kwa kichwa dakika ya 45 na baadaye dakika ya 88, Clatous Chama kuipa Simba bao la ushindi.
    Simba SC beats Zambia giants Nkana FC 3-1 in Dar Es Salaam to qualify for CAF Champions League group stage. 23/12/2018.
    #simbankana #simbascnkanafc #simba3-nkana1
    Tazama LIVE mechi za Vodacom Premier League na vipindi vingine kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App.
    Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► play.google.com/store/apps/de...
    Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 2,4 тис.

  • @robbyalfred5563
    @robbyalfred5563 4 роки тому +73

    This clip make me always happy like here who still watching like me frequently 💪💪💪simbaaa

  • @davieswaryoba3342
    @davieswaryoba3342 Рік тому +11

    Mechi bora sana ,what game what goal.. MUNGU naomba anipe maisha marefu sana niwaadisie kuhusu mguu ya chama,uimara wa manula

  • @lulukibanga8152
    @lulukibanga8152 3 роки тому +80

    Nan anapenda kuangalia mara kwa mara hii mechi ajawai kunichosha 😍😍

    • @aksaks9563
      @aksaks9563 2 роки тому

      Mm pia sichok kuangalia hii ilikua t.game kali mnoo

    • @neemaduma4126
      @neemaduma4126 2 роки тому

      Mimi apaa😂😂

  • @zenamaganga2335
    @zenamaganga2335 6 місяців тому +6

    Nipo Tena hapa 2024 ama kweli simba tumetoka mbali❤❤❤

  • @teddyrobby7620
    @teddyrobby7620 5 років тому +44

    Eti mzee wa masaptasapta,, mpenja mbavu zangu huku,, hongera sana simba

  • @yasinsalih592
    @yasinsalih592 2 роки тому +84

    Simba have added a flavour to our African football. Love from Sudan.

  • @juliusisack4090
    @juliusisack4090 10 місяців тому +7

    Our Best Simba SC game of All Times 💥 kipind Iko Yanga walikua wapokeaji wageni leo wanaongea sana Sana wanajisahau... BUT I promise Simba will be the First Team from Tz to get CAF CUP

  • @denicsimbo7352
    @denicsimbo7352 Рік тому +78

    September 2022 still watching this fantastic event, unforgettable memory for simba fans......gonga like tusonge......I love Simba

  • @denolofty3481
    @denolofty3481 5 років тому +93

    Hapa Kenya tunasema kongole kwa team simba wakilisha Africa mashariki.... Pamoja twaweza. Mkude, Kagere n Chama goals 💪💪💪🙌🙌🙌👏👏👏

  • @andreajonas4531
    @andreajonas4531 5 років тому +226

    Chama chama chama mwamba wa rusaka ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥kwa wana simba fc,sema nguvu moja kwa wana simba.

  • @nyandaelias5052
    @nyandaelias5052 Рік тому +15

    Was a great and unbelievable match simba nguvu moja 🇹🇿🇹🇿💪💪💪

  • @user-fx5gu6xs5o
    @user-fx5gu6xs5o 10 місяців тому +14

    Kama unaicheki hii video 2023 gonga like taujuane mapema

  • @futureblessings6
    @futureblessings6 5 років тому +239

    Da mimi kama mkenya naipenda simba sana..

  • @cleverphd7158
    @cleverphd7158 5 років тому +52

    Chama JR,made in Lusaka deliverd in Dar-es-salaam for SIMBA SC,this is Simba 🦁💪 nguvu moja

  • @Barfumu
    @Barfumu 2 роки тому +60

    Still watching this game 2022 what performance by simba✊

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 роки тому +8

    SIMBA hii noma sanaaa 👊

    • @ferouzmasoud4870
      @ferouzmasoud4870 2 роки тому

      Simba sports club big time Africa 👊🇹🇿❤️🦁

  • @mwanahamisihassani1943
    @mwanahamisihassani1943 5 років тому +71

    Nimefurai mpaka nimelia jamani Asante kaka zetu kwakujituma nimefurai sana kama mnahamini simba nguvu moja lake zenu apa

  • @frenklubago5748
    @frenklubago5748 5 років тому +192

    Sichoki kuiangalia kama nawewe huchoki gonga👍

  • @sportszonetanzania2012
    @sportszonetanzania2012 Рік тому +20

    I will never forget this day it was unbelievable comeback nice moment for simba fans

  • @benmagaya6610
    @benmagaya6610 3 роки тому +52

    Tunaangalia Januari Mwaka 2021 Like Hapa Za Upendo ❤️❤️❤️

  • @emmanuelskmtanzania24
    @emmanuelskmtanzania24 5 років тому +422

    Huyu sports analyst wa Azam nimemkubalii asee. Kama nawe umemkubali gonga likes twende sawa... kwani kuna mtu anateseka 😂😂😂#SimbaSc #NguvuMoja #afcon 🔥🔥🔥⭐⭐⭐

  • @kiluwasalum5002
    @kiluwasalum5002 5 років тому +5

    Mimi ni jilani yenu simba fc shabiki ninaejierewa leo. Mmefanya kazi nzuri sana safi sana simba

  • @wilhelmibaganisa5493
    @wilhelmibaganisa5493 2 роки тому +16

    Dec 22 , 2018 nikiwa kazini na karedio kangu Mbulyanhulu gold mine ( barrick) maeneo ya kakola kahama , nilishangilia nusura kuvunja mguu !! Unforgettable match in my life carriah!!
    Now 02 Dec 2021 in Dar watching it again

  • @benjambesseltdltdt.v.shiny9457
    @benjambesseltdltdt.v.shiny9457 3 роки тому +94

    *😅☺☺Kama umelud kuchek hii bada ya pulatnamu ngonga leke*

  • @kennedymwangala8385
    @kennedymwangala8385 5 років тому +632

    Nashukuru Sana Watanzania wenzangu kwa mi nipo Zambia kwa game ya kwanza niliumia Sana na nilichekwa Sana ila saiz ni zamu yao kuwacheka, Gonga like Kama unaamini mi Shabiki wa kweli wa 🦁.

    • @jacksonpaulo8920
      @jacksonpaulo8920 5 років тому +3

      Ww c mtanzania lazma uwe simba lu

    • @dottotv8499
      @dottotv8499 5 років тому +2

      Pamoja sana

    • @teklamahenge5212
      @teklamahenge5212 5 років тому +2

      Future Ken waambie kuimba kupokezana Leo zam yako

    • @charlesmasero5450
      @charlesmasero5450 5 років тому +4

      pamoja na watani wetu kushangilia Sana bao la wageni ngoja wakome, hiyo ndiyo Simba ya MO

    • @daudsessa9957
      @daudsessa9957 5 років тому +2

      Watakoma

  • @isaacphilemon5599
    @isaacphilemon5599 5 років тому +17

    Tunakupenda sana Mo wetu,endelea kutupa hamasa wana SIMBA

  • @jacksonbaranda8165
    @jacksonbaranda8165 Рік тому +15

    18/12/2022 and I'm still not tired to watch this clip simba is unstoppable

  • @footballlife9810
    @footballlife9810 3 роки тому +59

    I'll never forget this moment it was so amazing

  • @mikemnyamwezi7856
    @mikemnyamwezi7856 4 роки тому +13

    Amazing Unforgettable ....!
    Uchebe tutakukumbuka sana tu (Patrick Ausems) Binafsi nakukubali kinoma noma

  • @dhakomodherooherokoko6037
    @dhakomodherooherokoko6037 4 роки тому +90

    The third goal killed me, I love Simba from Nairobi

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 роки тому +10

    Asantee sanaaa chama langu la SIMBA 🙏 Mw/MUNGU awajalie afya njema wachezaji wote

    • @ferouzmasoud4870
      @ferouzmasoud4870 2 роки тому

      Simba sports club big time Africa 👊🇹🇿❤️🦁❤️

  • @ferrilmwirigi249
    @ferrilmwirigi249 2 роки тому +12

    This remains the greatest game in African football i have watched

  • @jaxpaul7724
    @jaxpaul7724 5 років тому +49

    Simbaa what the come back !!! What the chamaa goal THIS IS SIMBA

  • @muddydamdeok5098
    @muddydamdeok5098 5 років тому +8

    Chama Chama More 🔥🔥🔥
    Tanks Your Jah Kwa Uxhindi
    This is Simba brother the great
    Team Of Tanzania Best Like Kama
    Wew Mwana Simba Damu😍😍😍

  • @kelsonkenedy6473
    @kelsonkenedy6473 3 роки тому +7

    Kama kuna mtu amesikia kelele ya shabiki kabla ya goli la mkude weka like

  • @boazyephrahim8991
    @boazyephrahim8991 2 роки тому +26

    Unforgettable match.. i'm so proud to a simba fan....💪🏽💪🏽💪🏽2022 stiil watching this one...

  • @emanuelmtui1373
    @emanuelmtui1373 4 роки тому +269

    2019/13/11 meche bora ya muda wote kwangu
    Hata like moja ina tosha

  • @brahimelbouhli9989
    @brahimelbouhli9989 5 років тому +17

    je suis un
    supporteur
    de wydad mais je pense que cette equipe simba la plus populaire au tanzania

  • @ImmaSimon
    @ImmaSimon 11 місяців тому +10

    26.08.2023
    Still watching this unforgetable memory for SIMBA SC🔥

  • @rachelelias1251
    @rachelelias1251 2 роки тому +7

    I Love Simba SC ♥️ from top of my heart

  • @ashashabani4210
    @ashashabani4210 5 років тому +11

    mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥chama langu forever ❤❤❤❤❤❤ walllahi raha mpk basi

  • @benimagaya7966
    @benimagaya7966 5 років тому +16

    Nakula Christmas 🎄🌲🎅Vizuri Sana Baada Ya Simba 🦁🦁 Kushinda Kwa Kishindo

  • @wilsonkimaro6375
    @wilsonkimaro6375 3 роки тому +10

    KAMA BADO UNAANGALIA HII 2020 DECEMBER 18 KUITAKIA SIMBA MEMA HUKO HARARE GONGA LIKE SIMBA IZIDI KUSONGA MBELE

  • @VIDEOS-iq2cg
    @VIDEOS-iq2cg 2 роки тому +8

    This game still on 🔥🔥 till now Simba 🦁

  • @onesmokidava3383
    @onesmokidava3383 4 роки тому +70

    2020 Nani yupo hapa wadau wangu wa Nguvu wekundu msimbazi gonga like twende pamoja Kama hutoisahau hii mechi!!

  • @benmwasakujonga3575
    @benmwasakujonga3575 5 років тому +1001

    Nan hachoki kuchek hii video Kama mie like tujuane

  • @SGS-ts1eb
    @SGS-ts1eb Рік тому +6

    After watching the flavor of Simba Sc against Horoya AC played yesterday 18/3/2023 I came again to watch the clip of this match then I realize Simba's flavor remains at high.

  • @andrewshustle1331
    @andrewshustle1331 3 роки тому +37

    THIS HISTORY FOR THE ALL FANS OF SIMBA IT NEVER FORGET FOREVER...OOOVER!!!! 🦁🦁🦁

  • @Mariaclala536
    @Mariaclala536 5 років тому +122

    Mashabiki wa simba wote gonga like twende sawa

  • @keyakeya8911
    @keyakeya8911 5 років тому +102

    Haki a mungu Leo imekua jumapili njema kwangu kwa kuona couch ausemus ana shangilia

  • @danielmafara7168
    @danielmafara7168 3 роки тому +5

    Nani mwingine hachoki kutazana video hii, like hapa tujuane

  • @fredsonamosmujuni
    @fredsonamosmujuni Рік тому +2

    August 2023 still watching this clip! Simba Nguvumoja

  • @judithpaul9013
    @judithpaul9013 5 років тому +46

    *Naipenda simba kufa*

    • @halfanitambu525
      @halfanitambu525 5 років тому +1

      judith paul aaaah jmn usikufe jama

    • @judithpaul9013
      @judithpaul9013 5 років тому +1

      Halfan Itambu hahah nna raha mpk bhc

    • @halfanitambu525
      @halfanitambu525 5 років тому +1

      hahah kmb na we ulikuA unateseka wkt tnlitft goli LA 3 pole bana

    • @judithpaul9013
      @judithpaul9013 5 років тому +1

      Halfan Itambu acha kbs, shukran... chezea goli la kisigino

    • @halfanitambu525
      @halfanitambu525 5 років тому

      huyu chama atamaliza mb zangu ujue....aache misifa yake

  • @mastarjay2635
    @mastarjay2635 5 років тому +13

    #+254Congrats neighbors....commentator uko juu napenda

  • @mahmoudhamisi673
    @mahmoudhamisi673 2 роки тому +2

    Yani hii ni mara yangu ya 8 naingalia hii mechi it was so fantastic 🔥🔥🔥

  • @paulmgoli4853
    @paulmgoli4853 2 роки тому +7

    It was a classic 🔥🔥 wow wow cwez sahau Maisha yng yote ❤

  • @guyvancans
    @guyvancans 5 років тому +163

    Mimi Mkenya lakini Simda damu. WAPI LIKES ZA WA TZ

  • @joackimmbonde4125
    @joackimmbonde4125 5 років тому +37

    Like kwa mtangazajj baraka mpenja

  • @hemedbacco4719
    @hemedbacco4719 Рік тому +7

    20th October 2022 still watching this match.. Unforgettable day

  • @mwashiuyayoshuatv9829
    @mwashiuyayoshuatv9829 2 роки тому +2

    Karibu 9m viewers ... Simba is another level ...

  • @sekeyifabian9517
    @sekeyifabian9517 5 років тому +172

    Yuko wapi anayeteseka? Safi sana Sauti ya Radi.

  • @konyakisinza5629
    @konyakisinza5629 5 років тому +22

    Kama umeskia goli la kigaid gonga like hapa ( mkude)

  • @harrymorgan4387
    @harrymorgan4387 Рік тому +3

    9.1m viewers Amna wakuvunja hii record

  • @nathaliapeter9085
    @nathaliapeter9085 Рік тому +1

    Unbelievable love u simbaaaa

  • @kiprutoCollins254
    @kiprutoCollins254 5 років тому +178

    Napenda ligi ya Tanzania ila mimi mkenya...mafans wa TZ wanajitolea kwa mpira wao!! Hongera watanzania...ingawa mechi hii ni ya kufuzu ...

  • @elpatron5664
    @elpatron5664 5 років тому +36

    Engineer soma ngapi hukoooo. Angalia wasisome wa matopeni

  • @barakaanipokeakibona8546
    @barakaanipokeakibona8546 3 роки тому +16

    2021 still watching this amaizng game .wangap tuko pamoja

  • @allysaid2109
    @allysaid2109 4 роки тому +25

    Unforgettable match.. so proud of you Simba.

  • @rashidshia1594
    @rashidshia1594 5 років тому +37

    Sijui kiingereza ila leo ntajaribu This is simba

  • @laurentchimbirani5990
    @laurentchimbirani5990 4 роки тому +8

    One among my favourite match #Simba 🔥🔥🔥🔥 #NGUVUMOJA 😍😍😍😍😍

  • @ReshanMukbir-sc1ro
    @ReshanMukbir-sc1ro 2 місяці тому

    Hiii Simba ilikuwa yamoto jamani sichoki kuiangalia 2024♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @peterbandah5560
    @peterbandah5560 3 роки тому +2

    My favorite video in UA-cam ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @franktesha8117
    @franktesha8117 5 років тому +152

    Hii simba itanitoa roho hilo goli la chama kuna watu wanatesek

  • @mlekwamgula3663
    @mlekwamgula3663 5 років тому +345

    Mechi ya kimataifa timu ya kitaifa magoli ya kimataifa hiyo ndio simba blaza

  • @petermim
    @petermim 3 роки тому +27

    2021 still we are watching the game highlights

  • @kalamuyangu1
    @kalamuyangu1 Рік тому +6

    Kila nikiitizama hii mechi mara zote machozi ya furaha hunitoka. #NguvuMoja

  • @lukeodongo3481
    @lukeodongo3481 5 років тому +53

    This is simba from kenya

  • @ramadhankibwana6425
    @ramadhankibwana6425 5 років тому +81

    Yani Leo laha ilioje simba imeshinda na tumeipokea ndege mpya kama unaikubali simba na mzee magu gonga like

  • @AcksunBonifas-mj2sw
    @AcksunBonifas-mj2sw 4 місяці тому

    jameni ee hii game i 'll never forgate ..simba nguvu moja❤❤❤🎉🎉

  • @chacha_tz
    @chacha_tz День тому

    hii ndio ilikua mechi kali mno haijawahi kutokea hapa tz ❤❤

  • @brainsngaugula6075
    @brainsngaugula6075 5 років тому +57

    This is Simba in Manara's voice

  • @tusiipendeduniaduniasikutu4819
    @tusiipendeduniaduniasikutu4819 5 років тому +41

    Ata mfungwe gori mia hiii mechi ilinifanya nijivunie kuishabikia simba YES WE CAN

  • @samwelyndaki5612
    @samwelyndaki5612 2 роки тому +1

    Good sana chama lagu simba

  • @saidothuman3329
    @saidothuman3329 2 роки тому +24

    Hii mechi haijawahi kunichosha kuitazama,💪 gonga like kama upo na mimi

  • @jumamohamedi8388
    @jumamohamedi8388 5 років тому +21

    Hongereni majirani

  • @khalidmtelemko2284
    @khalidmtelemko2284 5 років тому +14

    It was marvelous...Naona mkodisho FC walirukia gari kwa mbele wanarudi nyumbani wakiwa na michubuko ya kuburuzwa
    This is Simba bandugu

  • @allanveri5101
    @allanveri5101 3 роки тому +2

    Simba ❤ love from Congo

  • @msanii362
    @msanii362 3 роки тому +2

    tar 29_03_2021 km bado unarudiarudia kuchek km mm gonga lyk

  • @happyben6200
    @happyben6200 5 років тому +10

    noma sana mnyama anatisha mwityuni jamani naombeni ĹÌĶƏŘ

  • @hamismbotoni5531
    @hamismbotoni5531 4 роки тому +119

    Wanao iangalia hii 2019 na bado wanafurah kama mm pls tujuane

  • @user-yt1ne1ju7r
    @user-yt1ne1ju7r 4 місяці тому

    Yeesss ! Yeessss! Oooh Yesssss!!! Daah Mpenja ur da Best!

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 9 місяців тому +1

    Nani alisema 🦁🦁haendi group stage 🎉🎉❤

  • @eliaisaya514
    @eliaisaya514 4 роки тому +17

    Mmmmmmm kama umepita hapa ukaona 1k comment na haujawai ona tena pengine kwenye mpira wa tz Like plz

  • @MaulidsaidRijeby
    @MaulidsaidRijeby 4 роки тому +96

    Kama bado unangalia 2020 gonga like please

    • @vitusmbalilo1403
      @vitusmbalilo1403 3 роки тому

      Mungu ni.mwema

    • @sulleboy8454
      @sulleboy8454 3 роки тому

      Najiuliza ilivibe nilin litajirudia ilikua sikufaraha kwawana Simba NatAnzania kwaujumla Na mwaka borA kwa time simba 🔥🔥🔥🦁🦁🦁🙏🏾

    • @magrethhamisi6431
      @magrethhamisi6431 3 роки тому

      Mm naangiliaga kila siku

    • @paskalpaskal7887
      @paskalpaskal7887 3 роки тому

      Robert paschal

  • @waqasco.851
    @waqasco.851 4 роки тому +3

    Aliyesikia utavunga na si utavunja gonga like

  • @ephrahimrashid8165
    @ephrahimrashid8165 2 роки тому +3

    Hebu wale tunao endelea kujikumbusha 2022 gonga light

  • @oscarmazeze1733
    @oscarmazeze1733 5 років тому +243

    Aaaa hahahahahahaha AAA hahahahahaja AAA haahaha Aaa hahahaha daah nimecheka sana na nimefurahi sana jamn mnyama simba kuibuka na ushindi siku ya leo naomben like zenu basi ili nifurahi zaid

  • @sadih5333
    @sadih5333 5 років тому +45

    Team coach wa simba ,Patrick ! Kwamara ya kwanza leo ,kashangiria kwa mtindo wa Masuod Djuma.

  • @aroldcharles7753
    @aroldcharles7753 2 роки тому +2

    Still watching..another clip ya movie la soka la kutisha sana..asante sana Lupaso! Siku zote umetukirimu...

  • @agnessjohn8404
    @agnessjohn8404 5 років тому +14

    anaitwa chamaaaaaaaaaaaaaaaaaaa +mkudeeeeeeeeeee +kagereeeeeeeeeeee this is simba brother nani anateseka nani Alisema simba hawaendi kwenye makundi 😀😁😀vyura mtapata tabu sana