Magoli yote Simba ikiiporomoshea mvua ya mabao (4-0) Platinum - CAFCL 06/01/2021

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2021
  • Tazama magoli yote wakati Simba ikiiporomoshea dhahma ya mabao FC Platinum kwenye mechi ya mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa dimbani Benjamin Mkapa.
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 2,2 тис.

  • @jumaaomarijumaa2331
    @jumaaomarijumaa2331 Рік тому +129

    Kama umerud 2023 kuangalia hii game gonga like tujuane

  • @wilsonkimaro6375
    @wilsonkimaro6375 Рік тому +17

    Tujuane wale wanaoendelea kuangalia mechi hii kwa mwaka huu 2023 huku tukiitakia Simba mematupu kimataifa mwaka huu
    Mungu ibariki Tanzania,
    Mungu ibariki Simba sc
    AMEN

  • @sheddyhassan6172
    @sheddyhassan6172 2 роки тому +28

    Tunao endelea kuangalia hii kam mm gonga like

  • @issayasanaree1319
    @issayasanaree1319 4 місяці тому +13

    Kama umerudia kuangalia 2024 nipe like hapa

  • @emmanuelmuhando1052
    @emmanuelmuhando1052 2 роки тому +36

    Kama Kuna mtu anaiangalia hii mwezi wa pili 2022 tujuane Kwa like 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽

    • @zalhathasaid2060
      @zalhathasaid2060 2 роки тому +1

      💪💪💪💪💪💪💪💪 huwa nasiky raha kutizama mechi za simba

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 2 роки тому

      Manyara atakua anaangalia🤣

  • @Rarpha
    @Rarpha 8 місяців тому +10

    Kama umelud 2023 gonga like hapa

  • @kefasamsoni5377
    @kefasamsoni5377 2 роки тому +25

    Nani anaangalia leo gonga like

  • @athumanisiasa739
    @athumanisiasa739 2 роки тому +18

    Mnaocheki leo gonga like tujuane hapa 😀😀

  • @himselfpasco789
    @himselfpasco789 2 роки тому +27

    Unaeangalia baada ya chama kurudi naomba like😥

  • @isaackamando8484
    @isaackamando8484 2 роки тому +17

    Nani amerudi tena 2022 kutazama hii? 😢 simba yangu hii nimeimiss sana

  • @timothyelias5938
    @timothyelias5938 2 роки тому +20

    Kama unaiangalia hii video kwa Mara nyingine 2022 mwezi januari like hapa😁♥️

  • @kwilasajunior5367
    @kwilasajunior5367 Рік тому +10

    Kma umerudia hapa 2023 gongalike

  • @kamuchidyblez2136
    @kamuchidyblez2136 Рік тому +10

    Kama umeludia kuitazama hii mechi 2023 gonga like kisha weka #nguvu moja

  • @kavubankayamba7505
    @kavubankayamba7505 4 місяці тому +5

    My simba❤❤❤....karibia kila mwezi naangalia hadi natamani kulia....what a team,,,chama kafanya mengi

  • @zenamaganga235
    @zenamaganga235 2 роки тому +165

    kama umerud tena mwaka huu 2022 kuangalia hii mechi...plz weka neno simba nguvu moja💗❤️❤️

  • @CFT997
    @CFT997 Рік тому +6

    Kama unaangalia hii game 2023 gonga like hapa🤣🤣😂

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Рік тому +9

    Hii gem kma unailudia 2023 gong like

  • @pharmthomy01
    @pharmthomy01 Рік тому +7

    Kama unangalia hii video siku zote like

  • @Andrexx-sy9wp
    @Andrexx-sy9wp 6 місяців тому +5

    Kama umeangalia kwa mara ingine gonga like

  • @shabanipande5379
    @shabanipande5379 Рік тому +7

    Mm ndo namalizia Mwaka Leo kwa kuangalia hii Mechi by by 2022

  • @samtomkilao6447
    @samtomkilao6447 2 роки тому +21

    Nani anaangalia kabla ya kwenda robo j2 na usg🙏

  • @edsonmunuo7112
    @edsonmunuo7112 Рік тому +7

    waliopo hapa 2023, kurudia hii mechi tujuane, 🦁

  • @AndreaBalintanzeko-vd8yw
    @AndreaBalintanzeko-vd8yw 5 місяців тому +4

    Tunao angalia hii mechi 2024 tujuane kwa like

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 Рік тому +7

    2023 kama unaangalia gonga like

  • @user-sb8mg9pz6n
    @user-sb8mg9pz6n 2 місяці тому +7

    Ivi simba ni ya kushika nafasi ya tatu kweli?😭😭😭 Tujuane jamn mwaka2024

  • @FaridiMohamed-ou9eq
    @FaridiMohamed-ou9eq Рік тому +8

    Kama unataman miqson arud gonga like

  • @johnkushoka6629
    @johnkushoka6629 2 роки тому +18

    Kama Kuna mtu anaangalia hii mechi leo 26/02/2022 agonge like

  • @yasiryusra3333
    @yasiryusra3333 5 місяців тому +6

    Nammi nimeona mirud leo 2024 kutazama hii Enzi zetu 🙄🙄🙄

  • @richardjoseph7118
    @richardjoseph7118 3 роки тому +25

    21 on trending....duuh...napenda sana kuirudia hiii kama na ww unapenda kama mm tujuane😍🤞

    • @raybakar6433
      @raybakar6433 3 роки тому +1

      Kwani trending mnaangalia kwa wap hebu nielekeze

    • @richardjoseph7118
      @richardjoseph7118 3 роки тому

      @@raybakar6433 hahaha ukisha play hiyo video ule mstari unaowakilisha video ule mwekundu hapo hapo tu pameandikwa au zimewekwa....

  • @rehemaboniphace7834
    @rehemaboniphace7834 Рік тому +6

    21.3.2023 after the win of Simba vs horoya(7-0). I love yoh simba 🦁

  • @japhethphilemon
    @japhethphilemon Рік тому +6

    Kama umerud tena mwaka 2023 sema neno kwa Simba sc👺👺

  • @prophetfaraja6728
    @prophetfaraja6728 Рік тому +10

    Kama umeangalia tena match hii mwaka 2023 weka like yako haoo🤗🤗🤗

    • @babaj76
      @babaj76 Рік тому

      Asubuhi naangaria na jion hii game nilitoa choz nasijui nikwann

  • @jamalmullerjordan
    @jamalmullerjordan 3 роки тому +21

    Fc Bandari kenya mombasa fan simba baba yao 🇰🇪🎉🎉much love

  • @michaelalex2793
    @michaelalex2793 2 роки тому +15

    Nan anaangalia video baada ya kumsajir okraaaa

  • @godblessmichael8173
    @godblessmichael8173 Рік тому +6

    Nko apaa January 2023 Mnyamaa 🦁🦁💪💪💪

  • @florianntulo5731
    @florianntulo5731 2 роки тому +13

    Nani anaangalia 2022

  • @erickmtweve530
    @erickmtweve530 3 роки тому +84

    jamani sijawai pata like youtube gonga twenzetu #WIDA

  • @enockmartin3218
    @enockmartin3218 Рік тому +6

    Kama umeingalia mwk huu 2023tujuan

  • @marselinarweyemamu4034
    @marselinarweyemamu4034 Рік тому +6

    2023.january 7 naangalia tena.gonga like km tupo wote

  • @khalifaissa9030
    @khalifaissa9030 Рік тому +6

    I'll come back in 2030 InshaAllah to watch this highlights
    🤩

  • @umojaafrika2447
    @umojaafrika2447 3 роки тому +62

    Hongera sana Simba kutoka Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @kalitv765
    @kalitv765 3 роки тому +20

    naomba tulio angalia video hii zaid y mara moja tujuane hapa

  • @luckstarmunuo9584
    @luckstarmunuo9584 5 місяців тому +6

    Nimekuja tena leo 2024 kucheki hii baada ya yanga jana kurudia tukio letu

  • @MalkiadiBaha
    @MalkiadiBaha 5 місяців тому +4

    Leo trh 15/2/2024 naangalia hii mechi

  • @yassinramadhan1872
    @yassinramadhan1872 3 роки тому +19

    Simba rahaaaaaa SANAAAAAAA KAMA NAWE SIMBA TUJUANE HAPA MAAANA UPANDE WA PILI WANATESEKA

    • @lizzyshoo8084
      @lizzyshoo8084 3 роки тому +1

      Sanaaaaa

    • @luqmanabdurahaman5644
      @luqmanabdurahaman5644 3 роки тому +1

      Naaam simba baba Lao simba kawapa mimba utupolo FC wa Zimbabwe 🤣🤣😂😂😂🤣😂😂

    • @mabulakazuka6499
      @mabulakazuka6499 3 роки тому

      Sio kuteseka,,tu bali Kuna nvua ya machoz patam hapo wataerewa tu ,mnyama yuko moto

  • @mtaalamshekidele4822
    @mtaalamshekidele4822 Рік тому +7

    Nani anaangalia Tena 2023

  • @laurenciafeya4283
    @laurenciafeya4283 2 роки тому +7

    Hii mechi uwa nairudia Rudia mara nyingi....WIDA on FIRE🥰🥰🥰🥰

  • @eliasjillanga3158
    @eliasjillanga3158 2 роки тому +16

    Hiv kuna yupo anaeirudiarudia kuingalia hii gem kama mim kwel

  • @stephenmungure7072
    @stephenmungure7072 2 роки тому +10

    Tarehe 28June 2022 naingalia hi game ilipigwa sana Simba ilikuwa ya moto mnoo
    Tutarudi vizuri next time
    Hii game inatukumbusha Rally Bwalya aliwaka sana hii game 🎯

  • @priscakassim
    @priscakassim Рік тому +5

    Leo trh 28 September 2022 naicheki tena hii game Simba nguvu moja🔥🔥🔥🔥

  • @mcsailas8328
    @mcsailas8328 3 роки тому +50

    Hii kitu bado ipo nafasi za juu ontrending 😂😂😂 safii sana ww kama mwanasimba mwenzangu kindaki ndaki hulali bila kuangalia naomba like zako hapa plz

  • @mashaloyuzo1296
    @mashaloyuzo1296 2 роки тому +14

    Nilijua Niko peke yangu nimekuj kuichk ...daah raha san nimekuj kumchk hii no17

  • @munaissa2529
    @munaissa2529 3 роки тому +16

    Trending no 1 Nani kaona alike hapa

  • @tunuagri-products
    @tunuagri-products 3 роки тому +87

    nani anarudia rudia ngonga like hapa twenze zetu.usisau afya ni mtaji pata elimu ya afya na bidhaa bora kutoka tunuagriproducts.co.tz

  • @noberthugho2555
    @noberthugho2555 2 роки тому +4

    Mpenja anakuambia sio vita ya makombora. Ni Football. Mpenja ana vibe sana. Asante Simba Sport kwa hizi moments

  • @steve_tz
    @steve_tz Рік тому +6

    Baraka mpenja atafika mbali sana kama hakutoa na machozi apa

  • @kingsdramakorea6673
    @kingsdramakorea6673 3 роки тому +18

    Congrats simba sc tanzania one love from kenya

  • @abousamirfakhii7757
    @abousamirfakhii7757 3 роки тому +26

    wanasema dar joto bila Shaka watoe leso wajipepee.......kapombe anachukuaaa anaweka waaah dah like Kwa mpenja asee

  • @ImmaSimon
    @ImmaSimon 11 місяців тому +7

    26.08.2023
    Hizi movements za CHAMA na BWALYA zilikuwa za thamani kubwa sana🔥

    • @chingejotham3508
      @chingejotham3508 11 місяців тому

      Kwangu mm hii ndo the best game ever ya Bwalya kwa Simba.. alikua on fire sana

  • @mmetaissa8018
    @mmetaissa8018 5 місяців тому +5

    Namimi nacheki 2024

  • @aloyceiluminata3650
    @aloyceiluminata3650 3 роки тому +12

    Mmh..huu mpira wa Simba ni next level..siyo level za Tanzania hii.....chama na bwalya ni vipaji halisi toka kwa mwenyezi mungu 🙏🙏

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 3 роки тому

      tujitazame tena kwanini twashindwa tengeneza ama totoa vipaji kama hivyo kina luis

  • @erickrakitic9113
    @erickrakitic9113 3 роки тому +12

    Sichoki kutazama video hii. Simba 🦁🦁🦁🦁🦁🦁 Timu yangu pendwa SIMBA SC ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @msafirikalawa4792
    @msafirikalawa4792 2 роки тому +13

    Jamani Simba hii utarudi Tena lini ,?? 💪💪

  • @shabanseif4077
    @shabanseif4077 Рік тому +3

    Azam media wanafaidika Sana na mechi za Simba views Kama wote 🔥🔥🔥🔥

  • @elisatushabe2591
    @elisatushabe2591 3 роки тому +33

    Hongereni sana Simba mmeiwakilisha vyema Tanzania tunazidi kuwaombea mwendelee kung'ara zaidi mpaka tuchukue kombe la CAF

  • @jaxmnandumbi7403
    @jaxmnandumbi7403 3 роки тому +27

    Tunaorudia burudani hii ya mnyama February tujuane hapa kwa like

  • @frankfrancis5736
    @frankfrancis5736 Рік тому +4

    Next Week Mungu Ibariki Simba Sc Tufuzu Tena Dhidi Ya De Agosto I love Simba The Mighty 😋❤

  • @stevenwerema5591
    @stevenwerema5591 5 місяців тому +4

    Kilichonivutia sana ni palee alitajwa John Boko baada ya kufunga aiseee baraka mpenja ni mtangazaji#simbaNguvuMoja sichoki kuangalia hii mechi Leo 16 January 2024

  • @andrewmoneni6362
    @andrewmoneni6362 3 роки тому +25

    Kutoka 254🇰🇪 hongera waTanzania. Mnajua kushabikia timu yenu Kiwango kiko juu Simba.. hapo hakuna ubishi

    • @NJK_shiru
      @NJK_shiru 3 роки тому

      Gor mahia iko juu pia tatzo pesa

    • @hamidjuma8853
      @hamidjuma8853 3 роки тому

      gd

    • @mayalakatema2576
      @mayalakatema2576 3 роки тому

      Tunaishamgilia kwa sababu kuna mashabiki wa yanga tunawakomoa 😂😂😂

  • @krishkhoja1131
    @krishkhoja1131 2 роки тому +7

    Siwezi kutumia bando langu you tube, bila kuangalia hii Game ❤️❤️❤️🧨

  • @user-re5xl1yi8o
    @user-re5xl1yi8o 4 місяці тому +3

    Hapa thadeo lwanga,hapa bwalya, hapa chama,pale Miqson, ogopa sana, best midfielders of all time in tanzania premier league

  • @ferouzmasoud3104
    @ferouzmasoud3104 5 місяців тому +2

    24-2-2024 naludia Tena kuangalia Simba hii ndiyo ilikuwa Simba ❤

  • @antonychristian1369
    @antonychristian1369 3 роки тому +21

    Jamani mbona tunamsahau joash Onyango AKA Father,,, amefanya kazi kubwa sna, angezingua Kaz ingekuwa ngumu sana

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому +33

    January ishakuwa rahisi kwngu 😊😊WarInDar 🦁🦁 mashabiki wasimba tujuane 🔥🔥🔥

  • @chrispinlaurian5977
    @chrispinlaurian5977 Рік тому +3

    Pila lilipigwa mamaee nililia hiyo siku 😭🙌 naitaka simba hii irudi 🔥🔥

  • @JenniferDirunga-le7hg
    @JenniferDirunga-le7hg Рік тому +4

    Mi mwenyewe nimerudia hii mechi 2023 hii jamani

  • @antonymutethia4501
    @antonymutethia4501 3 роки тому +45

    Jamaa unajua kutangaza mpira hadi narudia kuangalia 254❤

    • @christinamsuya8857
      @christinamsuya8857 3 роки тому

      Anajua had anakeraaaaaa

    • @samwelombeni6850
      @samwelombeni6850 3 роки тому

      @@christinamsuya8857 kwakweli mpaka nasikia kuliaaa yaani anajua kusimanga na kusifisaa 🤣🤣🤣🤣🤣 hahahaha

  • @ecksonkurubone5183
    @ecksonkurubone5183 3 роки тому +16

    bad0 on #01 trending gonga like hapaa twende sawa wana simbaa

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 3 роки тому

      Tunafungua mwaka mpya kwa video hii ya hatari 2021👇🏻 Bonyeza👇🏻
      ua-cam.com/video/ARsRHzc_0DM/v-deo.html

  • @emmanueloinoth
    @emmanueloinoth Рік тому +6

    2023 tujuane please

  • @kennedysebastiankakingo3711
    @kennedysebastiankakingo3711 2 роки тому +6

    04/03/2022 still watching...this magical team😀

  • @mwakawangu9780
    @mwakawangu9780 3 роки тому +38

    Hongera Simba 🥰🥰 hapa kenya mwakilishi wa taifa Gor Mahia kalimwa 2-1 yaani Aggregate ya 8-1 😂😂😂 lakini simba akitamba EAC inatamba🥳🥳

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 роки тому

      8 alifungwa Nani tena hadi iwe 8 kwa moja

    • @iranangole7007
      @iranangole7007 3 роки тому

      Polen

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 3 роки тому

      Amina Tanzanya yaani mchezo wa jana pale kasarani wamefungwa 2-1 na mchezo wa awali ule kule algeria walifungwa 6-0

    • @mudmohamed6911
      @mudmohamed6911 3 роки тому

      Gor mahia nayo timu

  • @ladicolman2264
    @ladicolman2264 3 роки тому +10

    Nouma mnyama
    Ndo ivo namba 1 you tube

  • @isaackamando8484
    @isaackamando8484 2 роки тому +6

    Nimerudi tena kuicheki hii mpaka nafurahi! I miss this simba 😢 gomez, miqsone, na wale makocha wawili majina nimesahau

  • @mrdrz2805
    @mrdrz2805 3 роки тому +6

    Jamaniiii bado on trending tyu anayeshudia gonga like , SIMBA SC Ni raha sana

  • @kingsdramakorea6673
    @kingsdramakorea6673 3 роки тому +14

    #1 ON TRENDING youtube kama umeona gonga like hapa

  • @gabrieluwandameno9806
    @gabrieluwandameno9806 3 роки тому +9

    Kutoka Rome, Italy, nawapa Hi Simba... Hongereni saana!

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 2 роки тому +4

    Simba sports club hii ilkuwa Moto 🔥 Sanaaa viongoz wa Simba wanyeni usajil wa maana msimu wa 2022/2023

  • @bonithafrenando
    @bonithafrenando Рік тому +4

    Jamani mimi hii 2023 nimerudi tena kwenye hii mechi

  • @massachussets4582
    @massachussets4582 3 роки тому +13

    I wished Kenyan fans and clubs had the same passion and dedication the way Simba has. #VivaSimba

    • @kenyandamu
      @kenyandamu 3 роки тому

      Daah ... Acha kudanganya walimwengu ... Kwani Gor Mahia na AFC hawana mashabiki?

    • @kennedymsoma7673
      @kennedymsoma7673 3 роки тому +1

      ASANTE BOSS

    • @massachussets4582
      @massachussets4582 3 роки тому

      @@kenyandamu where are the fans bro? Can you compare the Fans of Yanga And Simba and of those of Gor and Leopards just be realistic bro. When was the last time Kasarani or even Nyayo was at full capacity?

    • @kenyandamu
      @kenyandamu 3 роки тому

      @@massachussets4582 Kenya is closed due to Covid ... How did you expect fans to fill the stadiums?
      Gor Mahia and AFC games are always full ... Stop lying to people unless you are a Shabana, Sofapaka, Thika United fan ...
      Plus Gor Mahia is the only team in East and Central Africa to win the Africa Cup Winners Cup ... Aibu iliyoje mshikaji.

    • @massachussets4582
      @massachussets4582 3 роки тому +1

      @@kenyandamu Even before Covid Stadiums hazijai y would you lie? Zamani huko the passion was there but not anymore. Just accept it as a true football fun that in TZ watu wanapenda club zao na wanahudhuria mechi. I rest my case.

  • @alikamwetv8047
    @alikamwetv8047 3 роки тому +27

    Wasafii tunawapa pongezi

    • @pachaorg9123
      @pachaorg9123 3 роки тому

      We sio wasafi buana wasafi sio ya kishamba kama hivyo

  • @emmanuelmohammed1294
    @emmanuelmohammed1294 Рік тому +4

    Mwezi 5 2023 nairudia. Simba ilikuwa moto

  • @abbytv4659
    @abbytv4659 3 роки тому +8

    Bado ipo on trending #1 takataka zote tumziweka pemben😀😀Simba Nguvu moja👊

  • @abdulkillya2655
    @abdulkillya2655 3 роки тому +22

    Wote tunaipenda Simba ila kocha wetu wa viungo, anaipenda Simba kuliko mtu yeyote kwenye benchi pale uwanjani

  • @saidisande3366
    @saidisande3366 3 роки тому +22

    Hii hua nailudia pindi tu nikijikuta nnamawazo yan inanifariji sana 🔥🔥💤

  • @omarymakome3239
    @omarymakome3239 3 роки тому +12

    kocha wa viungo ni man of the all match

  • @barakajohn686
    @barakajohn686 Рік тому +6

    War in dar WIDA platinum hawakuamini

  • @isaackamando8484
    @isaackamando8484 3 роки тому +31

    Jamani uu utamu uu kaa 😁😁😁 ivi nani kaludia i video mara nyingi kama mimi? Heheheeee u utamu acha kabisaa

  • @inversedelcruise676
    @inversedelcruise676 3 роки тому +4

    for the first time Azam TV show Simba now on number one trending.... this is next level

  • @amazonamericatv7220
    @amazonamericatv7220 Рік тому +5

    Walikosea sana kumuuza Bwallya Magician na kumleta Okwa Daaaaaah, Bwallya Magician anajua sana huyo Okwa akasome

  • @teusyeusta7964
    @teusyeusta7964 3 роки тому +11

    The commentator really loves Simba FC.Enjoying the Swahili...from Zim

    • @mayalakatema2576
      @mayalakatema2576 3 роки тому

      He loves Simba more than he love homself ❤️❤️