SIMBA SC 3-1 NKANA FC; FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (CAF CL - 23/12/2018)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025
  • Simba SC imefuzu kuingia hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya leo kuichapa Nkana FC magoli 3-1 katika mchezo wa maruadiano uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
    Matokeo hayo yameifanya Simba ifuzu hatua hiyo kwa jumla ya mabao 4-3 kufuatia kufungwa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Zambia wiki moja iliyopita.
    Katika mchezo wa leo Nkana ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 17 kupitia kwa Walter Bwalya akimalizia kwa mpira ambao mabeki wa Simba waliuzembea kwa kufanya mchezo wa kuotea.
    Simba walitulia na kupata bao la kusawazisha kupitia kwa Jonas Mkude dakika ya 29, kabla ya Meddie Kagere kupachika bao la pili kwa kichwa dakika ya 45 na baadaye dakika ya 88, Clatous Chama kuipa Simba bao la ushindi.
    Baada ya kuaga mashindano haya, sasa Nkana FC wanakwenda kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ambapo watalazimika kupitia hatua ya mchujo ili kufuzu hatua ya makundi ya michuano hiyo ya pili kwa ukubwa barani Afrika.

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @africangorilla12
    @africangorilla12 2 роки тому +18

    kaka unaangalia hii mwaka 2023 piga like wana simbaaaaaa hata haturingi

  • @agnessjohn8404
    @agnessjohn8404 6 років тому +75

    nakukubali Sana #Barakampenja unatangaza vizuri Sana mpaka nashindwa kuelewa wewe ni shabiki wa timu gani huna ubaguzi mungu akubariki Sana Love u

  • @BasuleBasule
    @BasuleBasule Рік тому +110

    Kama unaangalia hii game mwaka 2024 like hapa tafadhar

  • @magdalenapeter4851
    @magdalenapeter4851 Рік тому +4

    Nakaaga nikimisi kuona maajabu ya mnyama narudia mechi Kama hiz aiseee sijutiiikuipenda hii timu ❤️🦁🦁🦁🦁🦁

  • @moseshaji1177
    @moseshaji1177 10 місяців тому +54

    Walio rudia tena na tena kuangalia hii mechi ya kihistoria kama mimi ndani ya mwaka huu 2024 gonga like

  • @wisekingtony6370
    @wisekingtony6370 6 років тому +61

    Sema..simbaaaaaa alafu like.......#group stage ni motooo

  • @خديجهعلي-خ4ص
    @خديجهعلي-خ4ص 6 років тому +233

    Chama chama chama kwani ndo chama la SIMBA mm sielew jmn like kwa SIMBA #simbanguvumoja# 😁😁

  • @luluray2115
    @luluray2115 11 місяців тому +30

    Who is still watching 2024

  • @stewardmwanuke5268
    @stewardmwanuke5268 6 років тому +33

    Hongeleni wachezaji wangu wa SIMBA kwakunipa raha japo tunamajonzi ya mwanachana mwenzetu alie fariki inauma Mungu ailaze roho yake mahara pema PEPONIY AMEEN

  • @halkhaji4288
    @halkhaji4288 6 років тому +16

    Simba rahaaaa msikereke kwa shughuli isiokua yenu kamanawe unaipenda simba like

  • @asha_homedecorations
    @asha_homedecorations 6 років тому +82

    Mnyama Simbaaaa On 🔥🔥🔥🔥🔥 mtangazaji ni nomaaaaa

  • @halkhaji4288
    @halkhaji4288 6 років тому +121

    Marhaba marhaba marhaba buuuuuuu chama hii ndo simbaaaa usipite bila kulike

  • @adammasanja27
    @adammasanja27 11 місяців тому +8

    Unforgettable match the best emotion, feeling 4 simba fans,love m best African giants SSC mnyama❤❤❤

  • @vicentmbise245
    @vicentmbise245 4 роки тому +16

    Gonga like kama 2021 umeichekii ,,,simba forever

  • @khadijaahmad9539
    @khadijaahmad9539 2 роки тому +138

    Jamani kama unaangalia 2022 like❤️❤️❤️🦁🙏

  • @maulakaroli8323
    @maulakaroli8323 4 роки тому +22

    Kama unaaangalia mechi hii kwa hisia Kali huku ukiifikiria game ya platnam kwa mkapa hapa January 6 gonga like twende na simba yetu

  • @muddydamdeok5098
    @muddydamdeok5098 6 років тому +17

    This is Simba brother the great Team Of Tanzania

  • @ayoubfadhili4695
    @ayoubfadhili4695 6 років тому +15

    this battle was like war of seven manusia,, i love simba from india

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 6 років тому +18

    Will done Simba,Bravo great Simba. Nkana wamepata taabu sana. Nana hamuwezi kukaa Jedi za Simba mlizopatia ushindi kwenu mje kupata ushindi kwetu,mwiko. Simba heshima.

  • @agnessjohn8404
    @agnessjohn8404 6 років тому +51

    vyura wanateseka 😀😁😀 Asante mungu kwa ushindi huu mnono

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 роки тому +5

    Asante Sanaa chama langu la SIMBA 🙏 Mw/MUNGU awajalie afya njema wachezaji wote

  • @tulivu6377
    @tulivu6377 6 років тому +153

    Kama unaipenda simba ngoga like
    Twende sawa

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 2 роки тому +7

    Sichoki kuludia kutazama game hii SIMBA Sc 🦁 Raha sanaaa

  • @amedeuslyimo2315
    @amedeuslyimo2315 6 років тому +27

    Pia kwa nidhamu hii ya mchezo wa simba tutafika mbali sana kilaa LA heri timu yangu simba sc inshallah..

  • @mohammediallykaboza5862
    @mohammediallykaboza5862 5 років тому +3

    Mo , kocha benchi la ufundi na wadau wengine bila kujisahau kama Tim mashabiki mungu asiyuingizie mgogororo acha wateseke zam yao moto haupoi respect simba

  • @DESUGARTV
    @DESUGARTV Рік тому +9

    Jamn umeludia hii mechi kuangalia 2023. Gonga like yako nione

  • @popperkuch669
    @popperkuch669 6 років тому +9

    Hakika kk haji manara upo vzr hongera zako
    Hongera kwa timu yetu nzm

  • @paulokiruwa9879
    @paulokiruwa9879 3 роки тому +4

    Baraka mpenja uliitendea kazi mechi hii kwa utangazaji wako big up

  • @محاسبفرعمركزتانجا
    @محاسبفرعمركزتانجا 6 років тому +11

    baraka mbenja we ni next level thnx simba for simba for this

  • @mwenyasamhando8262
    @mwenyasamhando8262 2 роки тому +17

    Mechi ya maisha yangu, mechi ya historia ya kuishabikia simba na mechi bora kwa upande wangu katika KLABU ya simba . Simba nguvu moja

    • @annamosha968
      @annamosha968 2 роки тому

      Mimi pia maana nilisali mpaka nikasali tena🙏🙏🙏🙏

  • @prosperndonjekwa5143
    @prosperndonjekwa5143 6 років тому +47

    Kazeni buti Katika Ligi . Mtakamiwa sana . Kila time inataka kuwafungeni Ili isemme nimeifunga time kubwa

    • @msyanituntufye3441
      @msyanituntufye3441 6 років тому +1

      Kweli kabisa mzee baba watakamiwa sana lkn naamini ubingwa wa TPL tutauchukuwa tuu

    • @amrymgeveke9592
      @amrymgeveke9592 6 років тому

      Yeyote aje tu

    • @sephujeupe1040
      @sephujeupe1040 5 років тому

      chama magol kama haya yana luhuxiwakwel

  • @kelsonkenedy6473
    @kelsonkenedy6473 2 роки тому +19

    Best day ever in Tanzanian Football

  • @OmarmakameHaji
    @OmarmakameHaji 8 місяців тому +3

    Kama unaangalia 2024 weka like tujuane

  • @emmanmwakuka4938
    @emmanmwakuka4938 5 років тому +141

    Hii clip inanimalizia mb zangu maana si chokagi kuiangalia gonga like kama tupo pamoja wanasimba #Do or Die

  • @Datiusleonidassimon-qj9go
    @Datiusleonidassimon-qj9go 8 місяців тому +1

    2024 nipo naangalia simba hiii ilikua moto sana❤

  • @ibrahimjuma8349
    @ibrahimjuma8349 6 років тому +42

    Yaan we chama wewe c Wa Africa bwana unadanganya hujatokea uraya kwer! Yaaan Wa kwanza kukoment jaman like zang bas!!!

  • @beghaezra296
    @beghaezra296 5 років тому +5

    Huwa siwezi kuisahau hii game daaaa Simba ni hatari fire

  • @japharimandalafamily6868
    @japharimandalafamily6868 5 років тому +19

    2020 wapi wanasimba yetu

  • @sm5tv
    @sm5tv 5 років тому +61

    Bado naiangalia mpaka 2020
    Kama na ww upo gonga like hapa

  • @raiphodytzkaundatz6244
    @raiphodytzkaundatz6244 6 років тому +77

    Mtangaz mungu anakuona ety marahaba chama
    Ety magool kama haya yanalusiwa kweri

  • @sekeyifabian9517
    @sekeyifabian9517 6 років тому +36

    Waambieni wasije kichwa kichwa.This is Simba.

  • @jeremiahsengasu6894
    @jeremiahsengasu6894 6 років тому +31

    This is simbaa

  • @ferouzmasoud3104
    @ferouzmasoud3104 11 місяців тому +2

    2-3-2024 naludia Tena kuangalia Simba hii ndiyo ilikuwa Simba kubwa

  • @juliuskened4571
    @juliuskened4571 4 роки тому +173

    Kama umeangalia highlights hii 2020 gonga like za kutosha😁😁

    • @vickkipaule1205
      @vickkipaule1205 4 роки тому +4

      Mimi hapa nimeangalia leooo yaani kila nikiangalia mechi hii nasikiaga kulia tu

    • @kelsonkenedy6473
      @kelsonkenedy6473 4 роки тому

      Sitosahau maneno ya baraka mpenja mwishoni dramatical win rekodi inafikiwa means 2003 Christopher Alex massawe anafunga penati ya mwisho dhidi ya zamalek miaka 13 baadae rekodi inafikiwa

    • @eliasbukombe2235
      @eliasbukombe2235 4 роки тому +1

      Hui

    • @charlesnjau8252
      @charlesnjau8252 4 роки тому

      December 2020 !

    • @tinabryson2574
      @tinabryson2574 4 роки тому +1

      January 2021

  • @mamohamed5914
    @mamohamed5914 6 років тому +4

    Wazungu wana sema this is simba brother I love this matche coz it's nice game

  • @amedeuslyimo2315
    @amedeuslyimo2315 6 років тому +8

    Kuna watu wanaumia sana .. This is simba blaaza. Usipoikubali mbele ya kadamnasi lazima uikubali kimoyomoyo.. #simbanguvumoja hongereni sana chama kangu kwa kutinga hatua ya makundi

  • @AmosiMasaho-y7k
    @AmosiMasaho-y7k 2 місяці тому +1

    Kama umengalia hii moja ya mechi bora kabisa ambayo simba amewahi cheza like hapa tafadha na hii ni December 2024

  • @wabumbuli2581
    @wabumbuli2581 6 років тому +90

    Kama umemuona mkude akishika nywele kama wachezaji wa nkana gonga like yak hapa

  • @samwelhojatuba1314
    @samwelhojatuba1314 3 роки тому +5

    Kweli Simba inanikumbusha mbali Sana naomba waendelee kutufurahisha zamani Kila siku nikiangaliaga hii mechi nasema Simba no Bora Sana africa

  • @wilisonpatrick9696
    @wilisonpatrick9696 6 років тому +220

    Kama nawe umefurahi bas gonga like

  • @kingayo999
    @kingayo999 6 років тому +53

    simba akiona jini anazidi kunyanyua manyoa na kuwa mkali zaid this is simba kaka

  • @hatibukimbondile1392
    @hatibukimbondile1392 4 роки тому +17

    Simba is the football's icon ...in Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @barakajulius5938
    @barakajulius5938 6 років тому +9

    Baraka Mpenja wewe ni hatari,hauendani kabsa na mwili wako na jinsi unavotangaza,nakupenda mno bro.

  • @Ram_1893
    @Ram_1893 3 роки тому +3

    Kuna mtu aliniambia kuwa kuna shabiki alimwambia Mkude Pigaaa
    Leo nimesikia vyema hiyo sauti
    #NGUVU MOJA#
    ❤🇹🇿❤🇹🇿❤🇹🇿

  • @yorrammabugas5856
    @yorrammabugas5856 6 років тому +26

    Oooooohhh yeeeeeessss, kuna watu wanateseka, cjajua hapo mpenja alikuw anawaongelea wat gan, jmn naomb mnisaidie

  • @estabaro6538
    @estabaro6538 6 років тому +158

    Kama we we shabiki kama Mimi like APA

  • @shaukatashiq137
    @shaukatashiq137 2 роки тому +1

    Mimi naangalia sahi 💥💥💥💥❤️❤️❤️❤️💯💯💯simba high

  • @patiencemdendemi5406
    @patiencemdendemi5406 2 роки тому +4

    it was a wonderful match

  • @abdallahhassani1893
    @abdallahhassani1893 6 років тому +76

    kama unaipenda simba gonga like zakutosha

  • @paulsengelemasengelema8950
    @paulsengelemasengelema8950 5 років тому +38

    Kama upo unaitazama hii mwaka 2020 gonga like twenzetu

  • @stanleymathias7877
    @stanleymathias7877 4 роки тому +32

    Tunayerudia naye 2020 like

  • @fredrickmangera9520
    @fredrickmangera9520 6 років тому +10

    Tripo C utawaua hao, kila goli umehusika. Congrats boe

  • @omarmussa2325
    @omarmussa2325 2 роки тому +1

    Dah mechi hii naikumbuka Sana ilikuwa baada mda mrefu simba ikatinga tena hatua ya makundi chama atakuwa katika mioyo ya Simba daima

  • @mohamedidd3145
    @mohamedidd3145 4 роки тому +24

    What a Historical and Unforgettable match for Simba fans, Simba Nguvu Moja

  • @amehassanrehanirehani5061
    @amehassanrehanirehani5061 2 роки тому +1

    Ah ilikua raha simba raha hii mechi tam san haitoshi na imepat mtangazaj mechi inasisimua I love you simba sc

  • @dismashaule1631
    @dismashaule1631 6 років тому +9

    ivi macho yako yanaona kama mm😁😁😁😁😁 simba raha sana

    • @fadhilaimamu7620
      @fadhilaimamu7620 4 роки тому

      Tunaoiangalia hii mechi 2020 kwa bashasha gonga like hapaa wana msimbazi wenzanguuuu Love you more SSC

  • @sonjon7483
    @sonjon7483 2 роки тому

    Tuliopoo hapa mwezi wa nane 2022 tujuanee kwa likee, wanaliaaa polee e asantee sana mpenjaa

  • @officialamirionaire3731
    @officialamirionaire3731 4 роки тому +8

    Naiangalia Leo baada ya simba kuifunga fc platinum ya Zimbabwe na kufuzu kutinga atua ya makundi

  • @robertanderson5821
    @robertanderson5821 6 років тому +1

    Dilungaaaaaaa super sub mbish abishe

  • @paziramadhani8331
    @paziramadhani8331 6 років тому +4

    nani anateseka kama unateseka Fanya kama unajikuna BC Cheka kwadharauuuuuu!!!! nani kama simba kama wewe shabiki Wa simba gonga like hapo chini

  • @annastaziaandrea9789
    @annastaziaandrea9789 2 роки тому +2

    Wakwanza mm kuendelea kutizama na kukumbuka ukubwa wa time yangu mungu ibariki simba mwaka 2023 tuwe na mwendelezo mwema, time yet ifike marina.

  • @djstone255tz
    @djstone255tz 6 років тому +24

    Asante Simba kwa zawadi ya funga mwaka

  • @adilcosmas
    @adilcosmas Рік тому +1

    Mechi ilioweka historia ndani ya club ya simba🔥🔥🔥🔥⚽️

  • @agnessjohn8404
    @agnessjohn8404 6 років тому +149

    siamini Kama kweli wewe mtangazaji huna timu unayoishabikia hapa tz 😀au na wewe ni mmoja wa wale wanaoteseka 😀nakupenda Sana mtangazaji Kwasababu sijajua timu yako ni ipi maana kila anae funga unasifia kweli huo ndo utangazaji big up kwako simpendi kitenge

    • @denissaid2545
      @denissaid2545 6 років тому +1

      SMB

    • @shanunishanuni7751
      @shanunishanuni7751 6 років тому +1

      Agness John xxnx

    • @yuzotv458
      @yuzotv458 6 років тому +1

      simba nguvu moja daima..

    • @hamismohamed3920
      @hamismohamed3920 6 років тому +1

      Agness John hahaaahaa

    • @abuuhafsah9630
      @abuuhafsah9630 6 років тому +2

      Baraka mpenja ...a.k.a....sauti ya radi....huyo ni Simba lia lia ....na ndio atakuja kua msemaji mkuu Simba sports .....over

  • @hassanishabani8877
    @hassanishabani8877 3 роки тому +2

    Naipenda Sana yutube

  • @peterbandah5560
    @peterbandah5560 6 років тому +12

    Yan hizi highlights kila nikirudia kuangalia huwa nashangilia kwa mzuka kama naangalia live vile....POLE KWA WANAOTESEKA...THIS IS SIMBA BROTHERS AND SISTERS

  • @peacennko2003
    @peacennko2003 Місяць тому +1

    Hii mechi ndiyo ilinifanya nikawa shabiki wa Simba..
    Alafu ni haya haya marudio..
    Ushabiki nikaanza 2021

  • @bht5185
    @bht5185 3 роки тому +6

    Unyama sana

  • @YahyaJunior-v3b
    @YahyaJunior-v3b 11 місяців тому

    Leo tar 6-3-2024. Nimerud kujikumbusha ukubwa wa Simba yangu Hapa!!!!

  • @davidmchome949
    @davidmchome949 6 років тому +143

    Goli la Chama litakufanya usahau shida zote za 2018.
    R.I.P Christopher Alex Massawe

  • @User-xl1ul4fp9b
    @User-xl1ul4fp9b 7 місяців тому

    Pamoja kaka simba yetu haiboi❤❤❤❤❤

  • @violethelly9594
    @violethelly9594 10 місяців тому +4

    Kama unaangaria 2024 like hapa😂😂😂

  • @mosimndeme9618
    @mosimndeme9618 6 місяців тому

    Unyama unaludi tena Kama unaamini nipe like zangu simba nguvu Moja 💪

  • @hamisirashidi3518
    @hamisirashidi3518 6 років тому +15

    Yaan Huyo kes kabla yampila alkua añaiponda simba Leo baada yakidundo anaikubali kwel nmeamin anayekucheka Leo kesho atakuheshimu BIG UP SIMBA kuna aliye onewa

  • @lucaspaschal4890
    @lucaspaschal4890 6 місяців тому +1

    Tulioangalia leo tarehe 8/8/2024
    Tujuane apa

  • @thomasshaila5990
    @thomasshaila5990 4 роки тому +7

    Nikiwa na umwa na huzuni huangaliwa mumechi huu wakati nalia na kupona kabisa ....simba nguvu moja this iz simba.dawa ya corona .20/04/2020

  • @sarahmwalyela
    @sarahmwalyela Рік тому +1

    Nimerudi kuangalia tena Leo 2023

  • @mussakadikilo1140
    @mussakadikilo1140 6 років тому +63

    Simba 3:1 YangaNkana

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 роки тому +2

    Dah safi Simba mkude asante sana kwa goli zuri

  • @shenymohamed3313
    @shenymohamed3313 6 років тому +119

    SIMBA HATA WAKITAKA UBNGWA AFRIKA WANAWEZA!! NI KUJITOA TU KWA MOYO

  • @shalonzawadirashidi7843
    @shalonzawadirashidi7843 4 роки тому +1

    Jaman kamdada mm naombeni comments na like Kama kuna mtu anaangalia hii mechi kwa mwezi huu

  • @dgt6303
    @dgt6303 6 років тому +15

    Hii simba nmeielewa. Lakin zaidi leo nmeona mashabiki kama ulaya. Sapoti ya mashabiki haikuwa ya kitoto

  • @NeophitaWilliam
    @NeophitaWilliam 11 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤

  • @amanioroma8806
    @amanioroma8806 3 роки тому +5

    Leo tarehe 25 Oktoba, 2021 tunacheza na galaxy imenifanya nirudi hapa kuangalia hii match

  • @paulfrank13
    @paulfrank13 Рік тому +1

    kama unaangalia mechi hii 2023 😅😅gonga like apa

  • @hemedbacco4719
    @hemedbacco4719 2 роки тому +3

    Simba nguvu moja.. Still watching in 2022

  • @elizabethmkali5782
    @elizabethmkali5782 6 років тому +2

    Baraka mpenja unajuwa kutangaza mpira mungu akupe nguvu

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 6 років тому +70

    yan goli kama hili ni zalau kubwa na wale walio mbeza chamaa ooo eti chama hana ujanjaa kwakua wanamjua hayaa semeni

  • @mr_vinny_tz
    @mr_vinny_tz 3 місяці тому +1

    13/10/2024 ❤🦁

  • @trumplee9960
    @trumplee9960 5 років тому +5

    2020 weka likes Nguvu mojaaa