Simba vs Yanga (4-1): Highlights 2, magoli yote yamo - Nusu fainali ASFC 12/07/2020

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • SIMBA 4-1 YANGA: Hivi ndivyo Simba ilivyoichapa Yanga magoli 4-1 katika mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
    Wafungaji wa magoli ya Simba ni Gerson Fraga, Clatous Chama, Luis Miquissone na Mzamiru Yassin
    Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

КОМЕНТАРІ • 918

  • @Mgunda
    @Mgunda Рік тому +112

    Kama umerudi kuitazama tena gonga like

  • @ndandayetu349
    @ndandayetu349 4 роки тому +64

    Kama na wewe huchoki kuitazama hii like hapa twende sawa

  • @Bobgatheru
    @Bobgatheru 4 роки тому +56

    watching from Nairobi. simba the best in frica kama unakubali weka like

  • @emanuelmichael9784
    @emanuelmichael9784 3 роки тому +19

    Jamaniiiiiiiiiii 😋😋😋😋Simba ni rahaaaaaaa tunaojikumbushia like zen 🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁

  • @salummayoga8229
    @salummayoga8229 4 роки тому +78

    Wangapi wanao angalia kama mimi kila siku like

  • @emmanuelmasse6219
    @emmanuelmasse6219 2 роки тому +38

    Kama Kuna mwanayanga anaerudia kuiangalia hii 2022 alike hapo

  • @jescakiwelu3604
    @jescakiwelu3604 4 роки тому +17

    Huwezi kukinai kuangalia hii mechi love you Simba 💞🦁🦁🦁😘😘😘😘

  • @jescakiwelu3604
    @jescakiwelu3604 4 роки тому +24

    Hii mechi ni kama dawa kutwa mara tatu love you simbaaaaaa nguvu moja 💪💪😘😘😘🦁🦁🦁

  • @jescakiwelu3604
    @jescakiwelu3604 3 роки тому +19

    Hii ndo mechi inayofanya wanayanga wawapige mashabiki wa Simba na bado mengine mengi love you Simba 💞💞🦁🦁 Simba nguvu moja 💪💪

  • @dicksonngatee7411
    @dicksonngatee7411 3 роки тому +63

    kama bado unaangalia 2021 tujuane kwa like hapa.

  • @yahayakarata9023
    @yahayakarata9023 3 роки тому +169

    Sichoki kuiangalia hi mech ,kama nawewe unaludia ludia kama mimi like tujuane

  • @DizzoOg
    @DizzoOg 4 місяці тому +8

    Kakawa hatuiyachi simb yetu kam unaikubali gonga like

  • @dickenzmwangomba3899
    @dickenzmwangomba3899 Рік тому +10

    Leo tarehe 04 07 2023 kama unaangalia like

  • @jescakiwelu3604
    @jescakiwelu3604 4 роки тому +13

    Karibu tuangalie mchezo wa kimataifa love you simbaaaaaa ❤️💕💞🦁🦁🦁😘 mmmmmwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 😘😘

  • @hamphr3y405
    @hamphr3y405 Рік тому +12

    Kama unaiangalia kwa mara nyingine tujuane

  • @BadwaiserBw
    @BadwaiserBw 3 місяці тому +4

    Hii simba ilikuwa ya moto natamani sana msimu ujao simba inifurahishe

  • @SalumMaganga-gu8iy
    @SalumMaganga-gu8iy Рік тому +4

    I miss this Simba irud Kama hii kwa kwelii, my best match 😍😍😍

  • @bosssalum1037
    @bosssalum1037 4 роки тому +26

    Like zenu hapa km ww mshabik wa simba

    • @awamhusen1054
      @awamhusen1054 4 роки тому +1

      Yemweyemweyemweeeeeeeee

    • @isihakasebwaka7339
      @isihakasebwaka7339 3 роки тому

      Wamechezewa.mpira.kama.watoto.nabado.wataisoma.namba.ngojawaendelee.na.ugovi.mashabikiwao

    • @user-sl6ln4jd6s
      @user-sl6ln4jd6s 10 місяців тому

      Tupo

    • @JohnPonera
      @JohnPonera 4 місяці тому

      mm nishabiki kindakindaki wasimba

  • @issackchalahani1235
    @issackchalahani1235 4 роки тому +9

    Ahsante Wachezaji wangu wa Simba sports Club kwa kutuheshimisha mitaani.

  • @sniper93999
    @sniper93999 3 роки тому +15

    WALOKUJA HAPA KWA BARAKA MPENJA 2021 - 2022
    TUJUWANE😍😍😍😍😍

  • @chrissg4026
    @chrissg4026 Рік тому +6

    Nairudia tena leo tarehe 01/08/2023 kichapo heavy😂

  • @naimunaimu2312
    @naimunaimu2312 2 роки тому +19

    Anaeangalia hii baada ya chama kurudu tujuaj😂😂😂😂

  • @nickmbise1532
    @nickmbise1532 Рік тому +6

    Konde is back🦁🔥

  • @ShaniSaid-dq3bi
    @ShaniSaid-dq3bi 9 місяців тому +5

    Mechi ilikuwa tamu san jamn hii mungu atupe ten rahaa kama hii jamn

  • @hasanissantambarasamata3419
    @hasanissantambarasamata3419 3 роки тому +17

    Huwez kumfananisha miqueson na yule zelu zelu wa yanga

  • @samomnanka2779
    @samomnanka2779 3 роки тому +11

    Kama.utachoka kuangalia hii kitu basi ww mchawi... leo ni Nyerere day 2020. kama na ww unazidi kui view like

  • @salummayoga8229
    @salummayoga8229 4 роки тому +30

    Wangapi wanao irudia rudia mpaka 8

  • @jescakiwelu3604
    @jescakiwelu3604 4 роки тому +7

    My lovely game this game will never get old love you Simba 💞💞💞🦁🦁🦁😘😘😘😘💕💖💖

  • @ZakaboyMusa
    @ZakaboyMusa 4 місяці тому +3

    Mungu naomba uirudishe simba katika ubora wake kama huu.

  • @kiranjatv1903
    @kiranjatv1903 3 роки тому +9

    kama unaangalia 2021 tujuane kwa like

  • @renatusmatungwa2508
    @renatusmatungwa2508 Рік тому +7

    Utopolo kwenye hii mechi walinyanyasika sana

  • @calvinbonzo2521
    @calvinbonzo2521 3 роки тому +26

    Tunao rudia hii kila mwezi tujuane😂😂😂

  • @burtonmanoti6030
    @burtonmanoti6030 4 роки тому +9

    Simbaaaaaaaaa

  • @derickfrance6287
    @derickfrance6287 4 роки тому +24

    Like zenu wale wa marudio Kama mm

  • @hemedymakanika8961
    @hemedymakanika8961 4 роки тому +23

    Kama umesikia ndevu za kalantin gonga like apa

  • @user-ij6uh8qh1w
    @user-ij6uh8qh1w Рік тому +10

    Baada ya konde boy kurud nami nmerud kuichek

  • @musahusein3090
    @musahusein3090 4 роки тому +6

    Wanachongaga sana wambieni tumepokea salam kiroho safi muhimu heshma imerudi kwanguvu KUBWA jijilitatulia

  • @shedy_marie
    @shedy_marie 4 роки тому +13

    Simba juuuuu penda sanaaaaa

  • @geophreyadrian1374
    @geophreyadrian1374 3 роки тому +15

    Hii kitu kila siku inanimalizia bundle langu maana kila siku lazima niirudie zaidi ya mara kumi huwa nakuja kumuhakiki champion

  • @barakamkatasa5236
    @barakamkatasa5236 4 роки тому +9

    Baraka Mpenja sauti ya radi ni noma sana...hyu jamaa kwa namna yoyote abaki azam anajua sana. Msikiti umeuzwa shekhee😅

  • @seiphajalomba7456
    @seiphajalomba7456 4 роки тому +27

    nan mwingine huwa anajisikia hamu kuja kuangalia hiii mbungi

  • @macjosjr4395
    @macjosjr4395 4 роки тому +16

    Leo Tuko Wangapi humu 4G

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 6 місяців тому +5

    2024 naangalia hii akuna mchezaji mwenye bado ako yanga tofauti na metacha vip simba?????

  • @shemsasekizio4534
    @shemsasekizio4534 4 роки тому +6

    Simbaa rahaa Yani sichoki kuitazamaa😀🦁🦁😍😘😘😘

  • @MwanahafaAhmad
    @MwanahafaAhmad Рік тому +3

    Unyama ni mwingi Simba dan❤❤❤❤❤

  • @francismartin5952
    @francismartin5952 3 роки тому +11

    Stil watching in 2021

  • @mdalamgir-gu9hu
    @mdalamgir-gu9hu 4 роки тому +6

    Gem nzuri sana....yanga makosa ni kwanza.golkeeper..pili mabeki.tatu...kumuamin mtu mmoja timu nzima morisson mpka kaishiwa marfa....kubwa zaid yanga awakujituma wala kuwa nambinu mbadala...gem nne zamwisho yanga wanafaa kumpa pongezi sana faitoto kajituma mpka gem4 kapiga vichwa sana asist nyingi na kusukuma mbele kwa mashambulizi.kapata goli lake...yanga subirini fei 2mlete kenya gormaiya...

  • @user-kv8fz9yy1x
    @user-kv8fz9yy1x 3 місяці тому +2

    Emwenyizi mungu lini tutarudisha furaha yetu tusaidie mungu wetu

  • @lidyakisota10
    @lidyakisota10 4 роки тому +11

    Kinachoniletaa hapa mara kwa mara kweli magoli but huyu Mpenja 🤣🤣🤣🙌🏾👏🏻🇲🇨🇲🇨🇲🇨

  • @salummayoga8229
    @salummayoga8229 4 роки тому +16

    Wangapi kama mimi hawa choki kuiangalia hii mechi

  • @laurynlyatuu6928
    @laurynlyatuu6928 Рік тому +6

    Yani baada ya kushinda tena 2-0 leo 16/04/23 nimerudi tena hapa kwa kweli nimeshindwa kujizuia

  • @juliusphabian6336
    @juliusphabian6336 4 роки тому +21

    Najua tupo wengi tutakao kua tunarud kuangali

  • @tumpemsyani-io7pv
    @tumpemsyani-io7pv 10 місяців тому +8

    Walio kuja kuirudia hii mechi baada ya kuwakanda Makolo 5-1 tujuane 😂

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 2 роки тому +2

    Simba sports club big time Africa 👊🇹🇿❤️🦁🦁

  • @goodluckbenny123
    @goodluckbenny123 6 місяців тому +7

    Tujuane Tunaongalia kila mwezi hii video 😅

  • @shanmlawa
    @shanmlawa Рік тому +2

    Hii siku naikumbuka nilisimama mwanzo ad mwisho wa mpira Yan sikukaa chini pale taifa🦁♥️

  • @RobertRange-uf3rf
    @RobertRange-uf3rf 4 місяці тому +3

    Kama baada ya kupiga kolo tano umekuja kuona gonga like

  • @shairanadam1443
    @shairanadam1443 4 роки тому +8

    Km umskiaa baraka mpnja amesm oooohoo maaaamaa yng leo show gm Gonga like😂😂😂😂😂

  • @alphoncemnyambwa9720
    @alphoncemnyambwa9720 4 роки тому +14

    Hii Mach tulitakiwa kushinda bao 7

  • @beatricentanga7545
    @beatricentanga7545 4 роки тому +6

    This is simba

  • @user-ib7ll7jm5b
    @user-ib7ll7jm5b Рік тому +3

    Jaman ximba hii noma

  • @SAMWEL-p3t
    @SAMWEL-p3t 21 день тому +1

    Naipenda simba

  • @fatumasophu5855
    @fatumasophu5855 2 роки тому +7

    Jamani huyo chama hiyo assist haikuwahi tokea mechi Ina mwaka but still sichok itazama

  • @neemamallya2564
    @neemamallya2564 4 роки тому +11

    We ulisikia wapi simba inafungwa kizembe ulisikia wapiii?????

  • @fanuelsulle6039
    @fanuelsulle6039 Рік тому +5

    Leo tarehe 6 /8/2023 siku ya Simba day nairudia kabumbu hili la Simba MNYAMA

    • @ShabanMgaji
      @ShabanMgaji Місяць тому

      simb nguvu moj ilove you simba soon italejea

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 4 роки тому +10

    Hii game sichoki kuangalia ,duh

  • @fadhiliromwald
    @fadhiliromwald 2 роки тому +14

    Baada ya chama kurudi nimerudi kuangalia tena 😁

  • @NdilanaMakolowela-un3ne
    @NdilanaMakolowela-un3ne 3 місяці тому +3

    Tunae cheki maludi mwaka 2024

  • @angelsamson7766
    @angelsamson7766 4 роки тому +19

    Nan anarudia kil sk kuchk hil game jomn😛😛

  • @FitnaSaid-xb6uv
    @FitnaSaid-xb6uv Рік тому +2

    Inafurahisha sana

  • @zawadimartin4498
    @zawadimartin4498 4 роки тому +7

    Kwa Simba hii wewe ulisikia wapiiii
    Simba nguvu moja

  • @emanuelkilinga9196
    @emanuelkilinga9196 Рік тому +8

    Siku si nyingi jambo hili linarudi. Ni jadi yetu katika kila awamu ya €
    Uraisi

  • @ramadhanmussa3097
    @ramadhanmussa3097 4 роки тому +4

    SIMBA raha sana.YNWA

  • @abuusalim2898
    @abuusalim2898 4 місяці тому +2

    Simba hiii ilikuwa ✅✅✅

  • @fadhiliomary5167
    @fadhiliomary5167 2 роки тому +5

    Dah! Nimerudi kuitazama simba iliyokuwa on🔥🔥🔥 nimemiss biriani kwakwel

  • @yakiniramadhan8921
    @yakiniramadhan8921 4 роки тому +2

    Simba kama simbaaaa .....mnyamaaaaaaaaaaaaa🦁🦁🦁🦁🦁

  • @iccaotanzania
    @iccaotanzania 11 місяців тому +3

    Am here baada ya coastal union kufungwa 3 na Baleke 2023

  • @benedictojanuary5222
    @benedictojanuary5222 4 роки тому +3

    Yaan Yanga bado sana kwetu sisi Simba n brand kubwa

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 4 роки тому +4

    Tamu sanaaa hiii

  • @abuumazanga6614
    @abuumazanga6614 3 роки тому +7

    Ibrahim Ajibu masta pas

  • @geoffreymutalemwa4479
    @geoffreymutalemwa4479 Рік тому +6

    Mwaka huu natamani mambo yawe hivi!

  • @mosesaqulina3753
    @mosesaqulina3753 4 роки тому +12

    Kama na ww unapenda kuangalia ichi kifurush cha 4G achia like tuwacheke🐒🐒🐒🐒🐒🐕🐕🐕🐕🐕fc

  • @kuruthummkuka768
    @kuruthummkuka768 4 роки тому +13

    Huu mpira auniishi hamuu kurudia kuangalia

  • @sultantz7635
    @sultantz7635 3 роки тому +12

    Nairudia tena mara ya 53

  • @hasanissantambarasamata3419
    @hasanissantambarasamata3419 3 роки тому +10

    Namuomba mungu mech ya tarehe 18 tuwashike utopolo Kama tulivo washika hii mech

  • @hawangwalima347
    @hawangwalima347 Рік тому +2

    Hawata msahau MNYAMA SIMBA 🥰

  • @laurynlyatuu6928
    @laurynlyatuu6928 Рік тому +3

    Sijui mara ya ngapi naitazama hii mechi 2023 march

  • @fungameza-vy1zp
    @fungameza-vy1zp 4 місяці тому +2

    Simba❤❤❤❤❤❤❤❤❤ I love you

  • @seraphineally9739
    @seraphineally9739 Рік тому +4

    Nirudi kuiangalia game 😀

  • @user-iw5fr2eh5e
    @user-iw5fr2eh5e 6 місяців тому +2

    Simba good

  • @hamiskiiza6026
    @hamiskiiza6026 4 роки тому +9

    Nikiw na stress naangalia hii review...4g

  • @neemamallya2564
    @neemamallya2564 4 роки тому +3

    Hongereni san mmefanya kazi nzuri mnooo

  • @saruni5673
    @saruni5673 Рік тому +2

    Kama huchoki kuangalia gonga like twende

  • @sarasulle1353
    @sarasulle1353 4 роки тому +5

    Daaaah hii naangalia kila siku

  • @ashelsamwel8936
    @ashelsamwel8936 Рік тому +2

    Hii kali sana mpaka leo asee mpenja bravoo

  • @paulngwandu4224
    @paulngwandu4224 4 роки тому +4

    Simba is another level

  • @mageginwe3734
    @mageginwe3734 Рік тому +3

    Nakufa nasimb ang jmn ❣️🦁🦁🦁

    • @edithampoki
      @edithampoki Рік тому

      Hadi mwisho wa maisha Simba damdam

  • @josephrassian9328
    @josephrassian9328 2 роки тому +4

    Hii simba ndiyo tunayohitaji sis

  • @mutalemwagabrie9791
    @mutalemwagabrie9791 4 роки тому +3

    Hii ndio yenyewe sasa😋sio ile ya kwanza iliyo tengenezwa kisenge🔥🔥🔥🔥🔥

  • @benjambesseltdltdt.v.shiny9457
    @benjambesseltdltdt.v.shiny9457 3 роки тому +7

    Kama unangalia unasubil ta8 tujuane🙋🙋🙌