Mchungaji Kimaro aomba radhi wakati wa ibada , Askofu Malasusa asema amesamehewa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Mchungaji Kimaro aomba radhi wakati wa ibada , Askofu Malasusa asema amesamehewa

КОМЕНТАРІ • 475

  • @jafarimsigwa277
    @jafarimsigwa277 Рік тому +7

    Shetani anawatafuta hao wachungaji, awapotoshe wawe wake. Hongera Mchu.Kimaro umemshinda shetani Amen

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 Рік тому +4

    Asante Mchungaji kwa moyo wa unyenyekevu. Hakuna aliye mnyenyekevu alishidwa kitu/ mahali popote na siku yoyote. Mungu akuongezee mchungaji kimaro. Hiyo sio adhabu, ni Muda wa kumtafuta Mungu 🙏🏻🙏🏻💕💕❤️❤️🔥🔥👍🏽👍🏽💪🏽💪🏽💪🏽 Mungu asikupungie kwa moyo wa upendo na Kuwaheshimu wakubwa na viongozi. Heri wenye moyo safi maana watamuona Mungu.Asante baba Askofu kwa hekima yako.

  • @consolathambuya2239
    @consolathambuya2239 Рік тому +4

    Heshima na unyenyekevu, utii na uvumilivu ni silaha nguzo muhimu sana kwa binadamu. Hakika Mungu azid kutukuzwa na Hongera sana baba mchungaji Kimaro kwa unyenyekevu na ustahimilivu uliouonesha, Baba mchungaji Malasusa pia hongera sana 💛🙏🙏

  • @jistomalila2748
    @jistomalila2748 Рік тому +10

    Wakristo tuendelee kujitafakari kwenye suala la uaminifu. Kazi ya mchungaji si kusifia bali kusema neno ili tupone.

  • @brianmac5116
    @brianmac5116 Рік тому +6

    Huo ni unyenyekevu wa hali ya kimbingu kwa kweli. Mungu akubariki sana mjoli wa Bwana Kimaro.

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 Рік тому +5

    Heri wenye moyo safi mana wao watamwona Bwana. Mchungaji Kimario umefanya kitu kikubwa sana mbele za Mungu. Unyenyekevu ndio ukristo. Barikiwa sana.

    • @tumain9428
      @tumain9428 Рік тому

      Tuna kitu cha kujufunza kwa mchungaji huyu

  • @godwintenesi3307
    @godwintenesi3307 Рік тому +3

    Daah!,Nimeipenda sana hii,Hongera sana Mch.Kimaro kwa utulivu wako kipindi hiki,na hongera Baba Askofu Malasusa kwa kutuliza KANISA.

  • @thabithamagnus638
    @thabithamagnus638 Рік тому +5

    Eliona kweli wewe umeiva kiroho! Hongera sana hujakosea hata nukta,msema kweli daima ni mpenzi wa Mungu! Ni lazama uhubiri kwa mifano ya kweli,Endelea kusema kweli

  • @nsibwenekaswaga6267
    @nsibwenekaswaga6267 Рік тому +6

    Ubarikiwe sana mchungaji. Wewe ni mchungaji wa mfano. Nilihisi utaibuka na kanisa jipya. Umemshinda shetani kwa nguvu zote!!!

  • @yusuphchankwa4759
    @yusuphchankwa4759 Рік тому +4

    Daaaaaaaaaaaah mpaka namuonea wivu mchungaji kimaro yaani naona baraka nyingi sana kutoka Kwa Mungu Ongera Sana kwa usindi mnono umemushinda shetani.

  • @berthanixon6184
    @berthanixon6184 Рік тому +4

    Mungu akubariki mchungaji Kimaro kwa ushujaa ambao Mungu ameujazandani yako lkni pia niseme Askofu Malasusa kunakitu kikubwa cha kujifunza toka kwako ubarikiwa katika hili wewe pamoja na familia yako ukarimu upendo na unyenyekevu vizidi ishi nafsini mwako barikiweni washarika wote

  • @isayakigava9283
    @isayakigava9283 Рік тому +3

    The only thing I like most from you Dr Kimario is your maturity.Keep going the future is promising.

  • @happymollel3507
    @happymollel3507 Рік тому +3

    Heri wanyenyekevu wa moyo mana watamwona bwana mch kimaro MUNGU anapenda watu kam ww njia ya mbinguni sio rahic na ww umemshinda shetan ubarikiwe na huduma yako YESU ailinde amen🙏🙏

  • @mariamusaulo4429
    @mariamusaulo4429 Рік тому +4

    Pole mchungaji wetu tunakupenda, hujakosea, watu Wana tafsir tofauti

  • @amosnnko7792
    @amosnnko7792 Рік тому +3

    Amen man of God nimekuelewa unaunyenyekev San baba Mungu akuinue na kukulinda san

  • @furahamwakalukwa
    @furahamwakalukwa Рік тому +4

    Hongera sana Baba Mchungaji kwa moyo wa ushujaa hakika wewe ni mpakwa mafuta wa Mungu.

  • @silashemed4849
    @silashemed4849 Рік тому +2

    hakika nimefarijika sana,
    Mungu Awabariki wakuu wote na Mch. kimaro Blesss

  • @hyacintagugu7
    @hyacintagugu7 Рік тому +6

    Baba mnyenyekevu Sana huyu jamani loh.Mungu akutunze tu..

  • @Papaahansmo
    @Papaahansmo Рік тому +3

    Ama kwel mwenye hekima habishani. Hongera sana pastor kimaro MUNGU atakuinua utashangaa.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Рік тому

      Umeona eeeeeh! Mungu alichompa ni kikubwa Sana huyu ni full package, busara na hekima mbele, ndo maana anafunza maadili mema

  • @mage1799
    @mage1799 Рік тому +4

    Amina sana lkn kazi ya Bwana kweri ni wito huna budi kuitika na huna budi kufunika kombe....
    hongera na pole sana Rev Kimaro

  • @monicamtenga
    @monicamtenga Рік тому +3

    Mchungaji kimaro uko vizuri Sana hakuna kitu kuzuri Kama kujielewa nimependa Sana unyenyekevu wako,umejishusha sana, ubarikiwe mno utafika mbali Sana..

  • @ednakudoja7599
    @ednakudoja7599 Рік тому +3

    Mungu anakupenda sana. Endelea kumtumikia Mungu wako aliyekufikisha hapo ulipo na kuheshimu maelekezo ya Roho Mtakatifu.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Рік тому

      Amina 🙏, anaheshimu maelekezo ya roho mtakatifu na ndo yalimfanya adui aamue kumuona kama yeye ni mkosa, lakini tunamshukuru Mungu kupitia roho mtakatifu na vipaji vyake Kwa kumpa hekima na busara kuomba msamaha ili yaishe.

  • @charugamba218
    @charugamba218 Рік тому +1

    Mchungaji Mungu akubariki sana wewe ni mnyenyekevu sana na ndani ya unyenyekevu wako kuna unyenyekevu pia. Kweli utii ni bora kuliko sadaka. Mungu akuongeze zaidi ya maradufu ya ulivyo kuwa mwanzo mtumishi wa Bwana Mchungaji Kimaro

  • @noelashoo6043
    @noelashoo6043 Рік тому +3

    His Voice is in pain but umefanya vizur kuna Cha Kujifunza Mungu anakupenda na Tunakupenda.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Рік тому

      He's in pain Kwa sababu anajua inside out hana kosa ila ni bora atumie BUSARA yaishe.

  • @niceayuma7256
    @niceayuma7256 Рік тому +1

    Mmm mungu ni mwema.asante mchungaji kimaro mungu akubariki na azidi kukuinua Kwa kazi ya mungu. Asante maaskofu wote Kwa kumsamehe mchungaji kimaro mbarikiwe sana

    • @gracenkembo8318
      @gracenkembo8318 Рік тому

      NDANI YA MOYO WAKO MUNGU ANAISHI.KWELI MUNGU NI MKUU SANA

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 Рік тому +2

    Mtumishi WA kweli lazima awe na BUSARA na HEKIMA na UNYENYEKEVU ndio maana nakupenda Mchungaji Eliona Kimaro. Barikiwa sana, we miss you on Morning Glory.

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 Рік тому +5

    Nimelia sana leo japo mimi ni mkatoliki lakini nampemda sana mchungaji Eliona kimaro.

    • @judyjudy3513
      @judyjudy3513 Рік тому

      Umehonae mpendwa ata na mimi pia hakika mungu yu mwema kila wakati

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 Рік тому +9

    Mchungaji anajiamini mpaka raha.

    • @gabrielinterschool3539
      @gabrielinterschool3539 Рік тому

      Mungu ni mwema wivu fitina hasikuwa. Na nafasi mbele za Mungu machozi ya wanawake yatima wajane yalikuwa mengi Sana Asante Mungu. Kwa yote

  • @kefamjwanga8043
    @kefamjwanga8043 Рік тому +4

    Ukomavu mkubwa wa imani huu, barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @judyjudy3513
    @judyjudy3513 Рік тому +2

    Asante baba Askofu mungu awe nawe daima sku zote za mahisha yako 🙏🙏🙏

  • @mariahyera3737
    @mariahyera3737 Рік тому +5

    Shida sisi wakristo hatupendi kuambiwa ukweli. Kalini ukweli utatuweka huru. Wenzetu waislamu wametuzidi kwa mengi.

  • @esterkiyongo2316
    @esterkiyongo2316 Рік тому +3

    Kweli nimeamini Mch Kimaro unahekima sana na unajua kujishushaa Mungu atusaidie sana wotee tufike Mbinguni

  • @johnmtemi1613
    @johnmtemi1613 Рік тому +3

    Hii ndo Mungu anataka kusameheana Mungu akubariki askofu Malasusa Kwa msamaha

  • @tunakisiwekamnyoge8061
    @tunakisiwekamnyoge8061 Рік тому +3

    Ubarikiwe mchungaji kimaro mungu akubariki

  • @janeisaya4921
    @janeisaya4921 Рік тому +5

    Sijawahi kukomenti ila leo nimetoa machozi ya furaha kumuona huyu mtu anaomba msamaha nimependa ameonyesha unyenyekevu wa hali ya juu .nyenyekea tu mungu atakukweza tu kwa viwango vikubwa zaidi ya hvyo.kweli umemsikiliza mungu

    • @beatricehenry6776
      @beatricehenry6776 Рік тому +1

      Eti huyu mtu anaitwa mchungaji Kimaro ,tuache figisu Ni wakati wa kupindeka na kuvunjika Zab:51 :17

    • @gracios1324
      @gracios1324 Рік тому +1

      Mungu sio mungu

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Рік тому

      @@beatricehenry6776 Una maana gani?

  • @esterkiyongo2316
    @esterkiyongo2316 Рік тому +7

    ila anae samehe dhambi ni Yesu peke yake 😭😭😭nimelia ila Mungu anajua kwanini nimelia watu hawapendi ukweli wanapenda unafiki

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 Рік тому

      Yesu hawezi kusamehe dhambi anayesamehe dhambi ni Mungu mmoja tu

    • @ombenkallenge1924
      @ombenkallenge1924 Рік тому

      @@hamzaswaibu9470 pole sana ndugu ,hata kuquran katk shahada zile tatu yesu ndiye atakayekuja kuhukumu dunia ,pia yeye ni njia ya ukweli na uzima . Ndugu endelea kukaa huko huko kwenye uislam ndio baadaye utajua kumbe na wewe ni mpinga kristo 😊🤣

    • @evanslaffa4514
      @evanslaffa4514 Рік тому

      @@hamzaswaibu9470 Yesu ni mwana wa Mungu nafsi ya pili ya Mungu

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Рік тому +3

    Ooh Lord! Thank you kwa matendo yako makuu. Your alive Almighty

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 Рік тому +7

    Sasa kwa vile nyinyi ndio mna control aseme nini basi hatakuwa free kuhubiri akihubiri mtampa adhabu adhabu tena haya kuanzia sasa muwe mnamuandikia cha kusema maana akisema kingine mnamfungia Yani dunia hii watu wanapenda ku control Mungu ndio mkuu anapenda mtu aongee ukweli haijalishi kamkwaza nani hamna kuremba

    • @julianagowele9163
      @julianagowele9163 Рік тому

      Kabisaaa. Tutakosa lile neno alilopewa na Mungu kwa kuogopa adhabu. Eee Mungu tusaidie tupate wengine km KIMARO

    • @saramss7262
      @saramss7262 Рік тому

      Bwana yupo maguguu na ngano zitaonfolewa tuuu kafanya kosa gani mpka yafikiye mchungajii anaomba msamhaa kama MTOTO mdogo yupo MUNGU anawaona huo usharika wenuu

  • @isayakihongile4921
    @isayakihongile4921 Рік тому +5

    Huyo aliyekaa kwako masaa 4 ndiye aliyetumwa akwambie uombe radhi lakini ukweli ulishausema huna baya mchungaji na mwenye kusamehe ni Mungu nasi askofu piga kazi maisha yaendelee usiache kusimamia ukweli

  • @laurashao2618
    @laurashao2618 Рік тому +1

    You are blessed, heritage wenye moyo safi maana ufalme wa Mungu ni wao..🙏🏾❤️

  • @yasintakayuga-eo8ws
    @yasintakayuga-eo8ws Рік тому +1

    Hongera kwa unyenyeke mtumishi ,Yesu ndiye mwl wa unyenyekevu barikiwa sanaaaaa

  • @kiulajoseph9194
    @kiulajoseph9194 Рік тому +1

    Hongera Sana ndugu yangu kwa kukiri ambalo ulikua unalijua lililo kusababishia na kutafakari nawala sio kwa mihemko ya mitandao yetu kazi ya mungu iendelee kusonga mbele Amina

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Рік тому

      Hajakiri kosa na wala Hana kosa ni Kwa hekima na busara zake ameona bora yaishe. Hata kosa kuwafundisha vijana maadili mema

  • @Bboycp
    @Bboycp Рік тому +5

    Kuna bro mmoja hapo mbele amevaa miwani suti nyeusi na tai ya blue i bet ni mnafiki sana huyo

  • @miriamdavis3893
    @miriamdavis3893 Рік тому +2

    We are happy because God is with you and with us Go Go Go kimaro

  • @judyjudy3513
    @judyjudy3513 Рік тому +1

    Asante yesu mungu yu mwema hakika umejibu mahombi yetu nikupe nini mungu chakukupendeza Asante yesu 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mercyshepherds7206
    @mercyshepherds7206 Рік тому

    Bwana Yesu asifiwe.
    Tunaamini Mungu ana njia nyingi za kumprove mtumishi wake. Hakuna asiyejaribiwa swala ni jinsi gani mwanadamu anavyolipokea hata Yesu alijaribiwa. Na watu wa duniani waliongea sana na hawakujua Ndani ya Yesu kuna Mungu. Utii ni Mungu yuko pamoja na mtiifu. Shetani Ameshindwa. Hallelujah

  • @amranimnkeni4911
    @amranimnkeni4911 Рік тому +3

    Mr kimaro pastor umekomaa kiroho, ila ulisema ukweli, hata iwe vipi vijana wakikristo wanahitsji ukombozi

  • @melkisedekkaijage2777
    @melkisedekkaijage2777 Рік тому +3

    Ukweli haukai katika kundi. Ukweli siku zote husimama peke yake. Message sent

  • @tumainigoodluckmartini4732
    @tumainigoodluckmartini4732 Рік тому +8

    Ukweli ukisemwa ni kosa. Inapaswa tubadilikee. Sioni kosa hapooo la kuomba msamaha

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 Рік тому +1

      Ukweli unaumaaa

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 Рік тому +1

      Binafsi sioni kosa.
      Hii nikama ule msamaha wa nape na mwenda zake.
      Kuna mda inabidi ukubali tu maisha yaendelee

  • @lilianbenjamin3163
    @lilianbenjamin3163 Рік тому +1

    Amen, barikiwa, Mungu wetu anawajua waliowake, hawezi kukuacha tulikumiss

  • @julianagowele9163
    @julianagowele9163 Рік тому +3

    Inauma sana.mlimdharirisha sana mchungaji. Kwani alikosea wapi ktk hayo maneno. Alikuwa anatuweka wazi . Mwacheni aseme ukweli

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 Рік тому

      Hujaelewa alichoongea mchango. Kimaro

  • @mabugamussa2860
    @mabugamussa2860 Рік тому +6

    Ulikuwa sawa Sema tuuu hawataki kuambiwa ukweli

  • @zeranchimbi2808
    @zeranchimbi2808 Рік тому +2

    Nimefurahi sanaaaaaa na nimefurahi sanaaaaaaa tena sanaaaaaaaa Mungu akubariki sanaaaaaa

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 Рік тому +4

    Hiyo ndiyo hekima ya Kimungu. Mungu wetu ameinuliwa. Shetani ameshindwa.

  • @rebeccakiloba
    @rebeccakiloba Рік тому +3

    Amina Acha. Mungu aitwe mungu

  • @rahabumwaipopo8249
    @rahabumwaipopo8249 Рік тому +4

    Pia apunguze kuyaandama makanisa mengine ya kikristo si vema kujihesabia haki sana na kujihisi kuwa ni bora kuliko wengine. Sisi wote ni wa Mungu mmoja wewe tumika kwa Mungu kama ulivyo wito wako ulioitiwa na Mungu.

  • @neemasanare3474
    @neemasanare3474 Рік тому +4

    Mungu akubariki

  • @mamawinne3507
    @mamawinne3507 Рік тому +2

    Mungu wetu ashukuriwe kwa hekima yao na Mch wetu kukubali kushuka na viongozi kumtangazia Msamaha Amaniii tunayo sasa Mungu ametenda

  • @poolkingservices6928
    @poolkingservices6928 Рік тому

    Mungu awabariki mno. Ni maamuzi mazuri sana na yanatuonyesha ni jinsi gani maisha na mafundisho ya Yesu mwenyewe alivyotufundidisha. Sasa ninyi mmekuwa nuru kwa ulimwengu. Mch Kimaro ameonyesha mfano mzuri. Sii wengi wanaweza kufanya hivyo. Baba Askofu. Mungu akubariki mno. Hiyo uliyotumia sii hekima ya kibinaadamu bali ni hekima kutoka kwa Mungu mwenyewe. Ubarikiwe sana. Ila sasa, kanisa lifundishe upya suala la uaminifu. Hili si la kufumbia macho. Mbarikiwe

  • @exalttarimo5083
    @exalttarimo5083 Рік тому +4

    Wenye macho ya rohoni tushajua kabsaa kasimama hapo chukizo la uharibifu, ila kimaro umetumia vema ujumbe usemao usishinde na waovu, wewe ni jembe kimaro na tunajua mungu anasema ndani yako, bariwa saana hapa kz moja tu tutazidi kumwambia mwenye dunia yake afanye jambo flan tu

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 Рік тому +4

    Ila kiukweli wakristo wengi tumepoteza uamifu sana , na haya lazima tuyakemee kama viongozi.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Рік тому

      Na kama hatutaki kukubali ndo hivyo tena, ni ngumu kujirekebisha. Mungu atusaidie Kwa kweli

  • @vidalyuki4916
    @vidalyuki4916 Рік тому +3

    Amina hiyo ndio hekima mungu akubariki

  • @godlistendiah3563
    @godlistendiah3563 Рік тому

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU Hata iweje unyenyekevu pekee unamfanya MUNGU amuinue mtu endelea kunyenyekea tuu na MUNGU akuinuektk huduma yako amen

  • @braysonsamwel5532
    @braysonsamwel5532 Рік тому +2

    Amina Mungu akubariki sana mch kimaro

  • @jafarimsigwa277
    @jafarimsigwa277 Рік тому +4

    Mungu amejibu maombi, aibu kwa shetani na baraka wake.

    • @zainabuyassini3095
      @zainabuyassini3095 Рік тому

      Uyu mchungaji nimempenda sana.
      Maana Alisema kweli.
      Kikubwa ni kuiga tabia za wenzetu. Ili kujiletea maendeleo ya taifa.
      Kumuoga muisilamu sio vibaya

  • @geophreymarika9574
    @geophreymarika9574 Рік тому +2

    Umeiva kiroho,na Mungu ataendelea kukupa wakvu,Tulikuombea mno kwa kuwa ulikuwa unatuelekeza ktk Nuru na ukweli wa neno la Mungu.

  • @jennymoshy8514
    @jennymoshy8514 Рік тому +7

    Jamn watu awapendi kuambiwa ukwel.hapo hakuna makosa.ukwel usemwe popote tuache unafki

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Рік тому +4

    Kumbe... mimi ni Christian..ndugu zangu katika Kristo tuseme ukweli. Itoshe kwa leo

  • @mcback4384
    @mcback4384 Рік тому +5

    Nasubiria recap ya pastor Nanja kama kawaida 😁😁😁😁🤣

  • @timothymoshi5800
    @timothymoshi5800 Рік тому +5

    MUNGU akukumbuke mchungaji Eliona. Mimi binafsi Bado sijaona kosa lako.

    • @dominanduku4168
      @dominanduku4168 Рік тому

      Mungu akuongezee hapana kosa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Рік тому +1

      Hata Mimi sioni kosa lake lakini ni bora yaishe, mtu mwema huwa na busara na hekima.

    • @selestinajbegashe8035
      @selestinajbegashe8035 Рік тому

      BABA ASKOFU DR.ALEX MALASUSA,JESHI LILILOPO UPANDE WAKO NI KUBWA SANA... KULIKO HILI USIOGOPE MUNGU YUPO PAMOJA NAWE AKUOKOWE ISAYA 41:10-16.

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np Рік тому +4

    Shetani atafungua kesi polisi mwaka huu💪🏾💪🏾Jina la Bwana lihimidiwe🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @marynangole3793
    @marynangole3793 Рік тому +3

    Glory to be God Amen ❤💕

  • @jannyjmamdak2570
    @jannyjmamdak2570 Рік тому +2

    Nimekupenda tu kwakuwa mnyenyekevu ila zaidi endelea kuutafuta uso wa Mungu 🙏

  • @marthanyamburasamuel5706
    @marthanyamburasamuel5706 Рік тому

    Your one called of God almighty keep on seeking the will of God our God is faithful in your doing the work of God the Lord shall give you his will and guides upon his work,,more grace ed blessings upon your life in Jesus mighty name

  • @jescamasika6620
    @jescamasika6620 Рік тому +1

    Nimekupenda tu kwa kuwa mnyenyekevu na zaidi kutumia Muda huu kutafuta USO wa Mungu

  • @veronicastuart4532
    @veronicastuart4532 Рік тому +3

    Utukufu kwa Mungu,...hiyo ndio hekima

  • @deus8629
    @deus8629 Рік тому +5

    Case closed..

  • @vanessakimaro1313
    @vanessakimaro1313 Рік тому

    Amen 🙏🙏🙏 ubarikiwee Sana mtumishi wa BWANA YESU kristo.hongera Sana.

  • @ndenlimbishoo
    @ndenlimbishoo Рік тому +1

    Sifa na utukufu ni kwa Mungu aliyeenda kusimama na kumwonekania Dr Kimaro

  • @mankambise2000
    @mankambise2000 Рік тому +3

    Bado ipo siku utasema ukweli zaidi Kimaro endelea kumwamini Mungu umenynyekea lakini usisahau kusudi la Mungu ndani yako

  • @humphreybilly7437
    @humphreybilly7437 Рік тому +3

    Mungu Ufanya yaliyotushinda.

  • @davidkadenge1902
    @davidkadenge1902 Рік тому +2

    Makosa sana Aya hiii Nini sasa kanisa inapotea kweli Yani mutu kusema ukweli nimakosa duuuu pole sana mchungaji

  • @winfridagama5832
    @winfridagama5832 Рік тому +5

    Mungu awe nawe mchungaji Mimi mkatoriki lkn napenda mafundisho yako.heri ajishushae atakwezwa

  • @marrymlay7072
    @marrymlay7072 Рік тому +3

    Mti mzuri lazime upigwe mawe huo msemo mbona hauna shida baba karibu shusha nondo nakukubali baba kimaro uwasamehe maana Mungu anahuruma na rehema waachilie wote walio inuka kwa ajili yako injili ya Yesu iende mbele barikiwa na familia yako

  • @otitokinyaha2292
    @otitokinyaha2292 Рік тому +3

    Let me clarify this, If you are pastor, Your responsibility is to bring your people and your community on the rights path, It was complete mistake to talk to things while you self as pastor and as leader of church you need to promote and educate your own society and praise them as you are living with them, if you any mistake on them, educate and train them and assist them on clear path, also as a Christian we have many fundamental pillars and principe in Bible how to guide a Christian in true path it does not need comparison to any other religion as Bible is full of book of knowledge and there is doubt on it period. I respect Kumario, He was mistakenly wrong to say things as his pastor he need to be an example on his community and protect his community and advocate them on how to live on true principal as Christian. Love you people and respect them and help them thus how we Christian we are. Any mistake your see or overseen rectify and assist your community don’t put them on flam e as it’s jeopardizing their faith. Lastly being truthfully is not only religion, it’s to follow the Holy Bible and it’s scripture and follow the example of our prophet how they live. Have a bless Sunday ! And God be with you and praise always to Jesus. To finish it’s not religion of the colonizer, Please do research Christian religion has been there and read Kebra Nagst, The book of Ethiopian it explain well Christianity and teaching of Jesus.

  • @dannysankaa179
    @dannysankaa179 Рік тому +6

    Hujafany kosa
    Kuna siku mungu atafanya yake

    • @ericron6115
      @ericron6115 Рік тому

      Sema wewe hujaona kosa, ila wengine na viongozi tumeona na amefanya vizuri kuomba radhi.

  • @arthurkasiba751
    @arthurkasiba751 Рік тому +3

    Na hili ndio Raha na heshima ya kuwa na kanisa kama taasisi...sio kanisa La mtu mmoja..

  • @sabrinaandrew4245
    @sabrinaandrew4245 Рік тому

    Baba wewe Ni kiongozi uliye letwa na mwenyezi mungu.Bwana yesu Akuifadhi chini ya mbawa zake.Amen&Amen

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 Рік тому +4

    Ukweli utabaki ukweli omba msamaha lakini uliyosema yanaukweli nawakubwa wanapenda hivyo kuomba msamaha siyo dhambi

  • @johnmtumishi8554
    @johnmtumishi8554 Рік тому

    Mbarikiwe watumishi wa Mungu maaskofu wote na pia niwapongeze kwa hekima hiyo. Pia nimpongeze mchungaji Kimaro kwa unyenyekevu Mungu akutunze akulinde ktk Jina la Yesu Kristo Bwana amina .2Thesalonike 3:5,16-18

  • @imankyamba4424
    @imankyamba4424 Рік тому +9

    Ameshakiri pengine hicho ndio kitu ambacho dini hazitaki ukweli anaosema mchungaji. Dini hazitaki ukweli, ni ufala tu dini zenyewe za wakoloni ndio tunahangaika nazo Waafrika sisi

    • @mankambise2000
      @mankambise2000 Рік тому

      Kweli Dini hazitaki kuambiwa ukweli ndo tatizo

    • @rebecashumbi3450
      @rebecashumbi3450 Рік тому

      Ujue MUNGU hana dini mbinguni ni watakatifu tu kimaro endelea kujitakasa umeshinda jaribu mbingu sio ya mtu ni Yesu ni mtakatifu hana dini sheria za duniani zitapita ila ninalojua mbingu ni takatifu watakatifu walipko duniani ndio walio bora hao ndio watakaomuona Mungu sio dili iliyoko duniani ASANTE Yesu unawajua walio wako

    • @judyjudy3513
      @judyjudy3513 Рік тому

      Umehonae yani yote tumwachie anajibu 🙏🙏🙏

    • @gladsonurioh2629
      @gladsonurioh2629 Рік тому

      Asante Yesu. Hakika ni Roho Mtakatifu aliyekuwa anamsemesha. Ashukuriwe Mungu HAJAFUTA WALA KUKANA UKWELI ALIOUSEMA AWALI,. Kuomba msamaha na kujishusha kwa aina hii ni hekima na rehema za Mungu, kapaka asali kidonge cha chloroquine ili kimezeke vizuri, Mungu akubariki. Hata Askofu anapenda ukweli na yamkini kamshauri asiufute ila aulainishe ili Wakristo WOTE tumeze.

    • @ericron6115
      @ericron6115 Рік тому

      Ukweli kusema dini hii waaminifu dini hii sio waaminifu, embu tueleze. Huo ni ukweli wa wapi

  • @rebecashumbi3450
    @rebecashumbi3450 Рік тому +7

    Dhahabu imepita kwenye moto inang'aa

  • @marthasteve1626
    @marthasteve1626 Рік тому +3

    Mungu akutunze baba

  • @marrymlay7072
    @marrymlay7072 Рік тому +3

    Mungu angehesabu maovu nani angesimama

  • @awazimwazembe8469
    @awazimwazembe8469 Рік тому +1

    Baba Askofu Mungu akubariki sana akupe moyo wa uvumilivu ktk mambo Magumu

  • @mchungaji
    @mchungaji Рік тому

    Baba mungu akuinue kihuduma sana majaribu ni mtaji somo lako imenifanya leo naedelea na kaz maana ulifudisha kunyenyea naona mungu ananiinua somo langu ni isaya 60;11

  • @ebenezermachange1073
    @ebenezermachange1073 Рік тому

    Wow jambo Jema sana Mungu amelifurahia.Oo Glory to God

  • @ottirie7412
    @ottirie7412 Рік тому +3

    MUNGU.Nimuweza.mchungaji.🙏🙏😭😭

    • @bettykasase1267
      @bettykasase1267 Рік тому

      Kimaro Mungu atakuinua kila iitwapo leo,wewe ni mshindi

  • @simonlulenga7062
    @simonlulenga7062 Рік тому +1

    Wewe Mtumishi wa Mungu Dr. Kimaro, acha unyonge Mbinguni hakiingiagi kilicho kichonge. Wewe ulikuwa shujaa kwa kufundisha ukweli! Imekuwaje umegeuka nyuma? Shetani amewezaje kukufadhaisha wewe chombo kiteule cha Bwana?
    Umetshwa na waandishi na Mafarisayo wa dini yako! Pole sana, wanakuzuia kwenda Mbinguni ile hali wao wenyewe hawataingia! Inaniuma sana.

    • @edsoneliah3719
      @edsoneliah3719 Рік тому

      Amegeuka nyuma kivipi? mwenyewe amejua alipokosea ndo maana ameomba msamaha.

    • @priscaalphonce1662
      @priscaalphonce1662 Рік тому

      Unyenyekevu Ni jambo jema

  • @neemarweyemam7021
    @neemarweyemam7021 Рік тому

    Haya ndo mamlaka ya Ponsio Pilato,Mungu akujalie moyo wa unyenyekevu zaidi Rev.Kimaro