MANARA AFUNGUKA ALLY KAMWE NDIYO MSEMAJI NA AFISA HABARI WETU? MKUTANO WAZUIWA MASWALI KWA WAANDISHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 200

  • @jamessilayo240
    @jamessilayo240 2 місяці тому +7

    Yanga bingwaaa 😂😂thanks . Anae bisha akufeeeeee😊

  • @YusuphMalimi
    @YusuphMalimi 2 місяці тому

    The return of champion

  • @InnocentPius-g3x
    @InnocentPius-g3x 2 місяці тому +5

    Kweli kabisa iyo iko sawa Ali kamwe yuko pw❤

  • @SixbertMartin
    @SixbertMartin 2 місяці тому

    Hiyo ndio Yanga ❤❤ yanga

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 2 місяці тому +2

    Hongereni sana wana wa Jangwani tunawapenda sana

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw 2 місяці тому +1

    uko powa sana nakuelew
    🎉🎉🎉 Yanga hatuna Malumbano wanaopitisha maneno ya kamwe na manara washindwe

  • @mcgabby
    @mcgabby 2 місяці тому +20

    Aaah ukituliza kichwa huyu jamaaa yuko vizuuuriii mnooo mashineee ya kuongea😂😂😂

  • @SixbertMartin
    @SixbertMartin 2 місяці тому

    Hiyo ndio Yanga ❤❤ naipenda mpaka naumwa

  • @SekelaBraison
    @SekelaBraison 2 місяці тому +4

    Nimefurahi sana Ally kamwe kuendelea kuwa msemaji wa jangwani.

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 2 місяці тому +12

    Buggati manara namba moja duniani

    • @mrsab303
      @mrsab303 2 місяці тому +1

      ❤❤❤❤❤

  • @KitangariGenerations
    @KitangariGenerations 2 місяці тому +5

    Hatar saana

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 2 місяці тому

    Haji manara una hekima sana 👍🏽💚💛

    • @fnnyanda5993
      @fnnyanda5993 2 місяці тому

      Mr.Manara,Hammjui sawasawa,HUYU HAAMINIKI,Mwaka 2025 Atarudi Simba tena.PERIOD.

  • @salimnassoro8754
    @salimnassoro8754 2 місяці тому +27

    Khaji Sande Mannara ni Afisa muhamasishaji na Ally Shabani Kamwe ni Afisa habari

    • @MzansiDiski27
      @MzansiDiski27 2 місяці тому +2

      Manara anaweza kuhamasisha mataahira tu.

    • @EdwinAdAstra
      @EdwinAdAstra 2 місяці тому +2

      ​@@MzansiDiski27 hahaha. Matahira wenzake

    • @peacerichard8970
      @peacerichard8970 2 місяці тому

      Pole sana kolo wizard,wivu huo​@@MzansiDiski27

    • @HamzaMduda
      @HamzaMduda 2 місяці тому

      Tuliza kijambio​@@MzansiDiski27

    • @HamzaMduda
      @HamzaMduda 2 місяці тому

      Tuliza boll

  • @yassindibwe-sb7mq
    @yassindibwe-sb7mq 2 місяці тому +7

    Wananchiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 2 місяці тому

    Professor

  • @MassoudAbdalla-v9g
    @MassoudAbdalla-v9g 2 місяці тому +8

    Bugart karibu tena jangwan

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 2 місяці тому

    Professional

  • @AbdiSele-94
    @AbdiSele-94 2 місяці тому +18

    Hata jeshi tutafwatua wanayanga
    Hatushindwi
    YANGA oeeeeeeeeeeeee

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 2 місяці тому +7

    Tuimzoea sn kamwe anajua sn hana panick

  • @GodfreySarakikya
    @GodfreySarakikya 2 місяці тому

    NJAA MBAYA

  • @mahamedally5129
    @mahamedally5129 2 місяці тому

    Manara arudi itakuwa poa sanaaa

  • @AminaAmina-cr8jq
    @AminaAmina-cr8jq 2 місяці тому +3

    Ali kamwe awe msemaji huyo manara,hafaiii

  • @MudluckmTitus
    @MudluckmTitus 2 місяці тому

    ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @abumuhammad9615
    @abumuhammad9615 2 місяці тому +1

    Mmecheza na kikosi cha watoto wadogo wa Kaizer chiefs

  • @mohamedhamismagoraonlinetv459
    @mohamedhamismagoraonlinetv459 2 місяці тому

    Upo vizuri Hajjy Sunday Manara.

  • @VaiEliass
    @VaiEliass 2 місяці тому

    Tunawapenda wote sisi sio wanafiki yanga ya upendo

  • @gwakisakaswaga5249
    @gwakisakaswaga5249 2 місяці тому

    Nashauri .... jitahidi kutulia kwenye kiti. Too much swinging unaharibu concentration ya wasikilizaji

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 2 місяці тому +15

    Ushakuwa msemaji mzee tunataka vijana kizazi hiki ni Cha gz

  • @Sam-Pozzeh
    @Sam-Pozzeh 2 місяці тому +3

    Waje BAYERN MUNICH

  • @NasriMalogo-iz2tb
    @NasriMalogo-iz2tb 2 місяці тому

    Mi namkubari manara jamaa hatarii uyu

  • @MudluckmTitus
    @MudluckmTitus 2 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Frenkchipaga
    @Frenkchipaga 2 місяці тому

    Bukati kama.Bukati msemaji Afrika

  • @ZainulKiondo
    @ZainulKiondo 2 місяці тому

    mnafiki

  • @SaidyIbrahim-f4h
    @SaidyIbrahim-f4h 2 місяці тому

    aweee Tena IPO nayo sawa kaka

  • @jamesnyakia-um7iu
    @jamesnyakia-um7iu 2 місяці тому

    Karibu tena Bughat...
    Yanga inaendelea kushinda

  • @kelvinedward1405
    @kelvinedward1405 2 місяці тому

    Kila wakati na zama zake hizi zama za ally kamwe huu usemaji wa kupayuka payuka umeshapita tyr

  • @SamwelMaziku
    @SamwelMaziku 2 місяці тому

    Manala hongela sana unaju kuhamasisha

  • @KinotaSon
    @KinotaSon 2 місяці тому

    Ni shidaaaaaaaa

  • @alfredmhilu5095
    @alfredmhilu5095 2 місяці тому +13

    Ali kamwe ni bora kuliko manara

  • @antonymodestus2872
    @antonymodestus2872 2 місяці тому

    Unazeeka vibaya we mzee

  • @SalminiJuma-p1v
    @SalminiJuma-p1v 2 місяці тому

    Tunamuitaj Ali kamwe ndo awe msemaj wetu

  • @piuskanyampala4540
    @piuskanyampala4540 2 місяці тому

    Kwa hiyo yeye ni Nani?

  • @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN
    @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN 2 місяці тому

    Wewe ni chavichavi

  • @mailacamillius
    @mailacamillius 2 місяці тому

    Ulikurupuka Serena hotel. Sasa mabosi wamekuambia karekebishe makohozi uliyoyatema

  • @ChoghoghweDaudi
    @ChoghoghweDaudi 2 місяці тому +7

    Yanga wakimuacha kamwe wamebugi bugati kashapoteza mvuto

  • @AnnaMark-cm8ch
    @AnnaMark-cm8ch 2 місяці тому

    Yanga inanikuna kunako

  • @LukasIbramovic
    @LukasIbramovic 2 місяці тому +4

    Young mabingwa tenaa 2:21

  • @nshishiponsian8853
    @nshishiponsian8853 2 місяці тому +3

    Nane shekh

  • @sabatoongara8763
    @sabatoongara8763 2 місяці тому

    Yanga ni tanuru acheni wafanye kazi

  • @mishlay8164
    @mishlay8164 2 місяці тому +1

    Kwakweli Haji huwa anaongea vizuri kuliko Ali

  • @silasjacob-j2l
    @silasjacob-j2l 2 місяці тому

    acha kutembelea nyota ya ally kamwe

  • @kassimbawazir8300
    @kassimbawazir8300 2 місяці тому +1

    oya acha kashfa kwa manara yeye ndiyo kazi iliyomwajiri na ally kamwe alikaimu baada ya kufungiwa kama hujui uliza uambiwe , ally kamwe amefanya vizuri sana apewe kazi nyingine ili awepo yanga

  • @Michaelmhina-rt3kp
    @Michaelmhina-rt3kp 2 місяці тому

    Big team

  • @awazioga1823
    @awazioga1823 2 місяці тому +3

    Bugati kama bugati ally kamwe pamoja wote waaajiwa wa yanga

  • @JuliusiMasanja
    @JuliusiMasanja 2 місяці тому

    KAMA ALI KAMWE HAYUPO HATUJI

  • @noelmbise9157
    @noelmbise9157 2 місяці тому

    😂😂😂mzee wa madem huyo

  • @waziriwaziri4330
    @waziriwaziri4330 2 місяці тому

    Hi

  • @JumaJuma-g5e
    @JumaJuma-g5e 2 місяці тому

    Arrbaah. Bin. Sufuurr

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 2 місяці тому

    Naona Leo hajaja na twiga

  • @akilipeter1660
    @akilipeter1660 2 місяці тому

    haji manala ni influencer na ally kamwe ni msemaji

  • @JohnGoryo
    @JohnGoryo 2 місяці тому

    We rudi simba umeanza kumuchokonoa ally kamwe wetu

  • @ShalomChamgeni
    @ShalomChamgeni 2 місяці тому

    🎉🎉🎉

  • @SiemreTz
    @SiemreTz 2 місяці тому

    Ha ha h..yanga..raha sanaaaaa

  • @LucyMbwambo-w4d
    @LucyMbwambo-w4d 2 місяці тому

    Manara atafutiwe kazi nyingine ndani ya yanga,saiz amwachie dogo kamwe aendeleze alipoishia

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 місяці тому +3

    Yanga waanzishe kurugenzi ya wanachama/wanachama/wapenzi, na iongozwe na haji manara. Usemaji wa mambo timu abaki Ally kamwe

  • @richardmrosso976
    @richardmrosso976 2 місяці тому

    Haji ni na pale yanga?

  • @maarufumustwapha3055
    @maarufumustwapha3055 2 місяці тому +2

    Acha stori nyingi maelezo marefu

  • @husseinbachwa8372
    @husseinbachwa8372 2 місяці тому +1

    Mmechemka mmetafta kibonde hamna lolote...

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel 2 місяці тому +3

    Manara ana uzoefu na umahiri mkubwa. Ni mtu mwenye uwezo wa kujibadili badili. Kwa mfano kuonekana Mzee na kuonekana kijana tena kijana mtukutu akaleta furaha kwenye kadamnasi. Kwa ukweli ni Mahiri sana. Huyu ana kipaji kikubwa sana. Lakini Ally Kamwe naye ni mzuri ana staili zake. Basi wote wawe pamoja tutakuwa na Klabu kubwa siyo tu kwa wachezaji bali hata wasemaji.

    • @mrsab303
      @mrsab303 2 місяці тому

      ❤❤❤❤❤❤

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu 2 місяці тому +1

      Manara hii ni karama yake.

  • @omaryshabani3480
    @omaryshabani3480 2 місяці тому +12

    Huyu ndio mtu nilikuwa namsubiri mnoo..arudi kwenye hili soka letu sasa baasiii..mmekwishaaa..😂😂😂🙌🙌

    • @LindaMbilinyi
      @LindaMbilinyi 2 місяці тому +2

      Kaisha nan?

    • @mcgabby
      @mcgabby 2 місяці тому +1

      Mashine ya kuongea hiyoo😂

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu 2 місяці тому

      Namkubali sana huyu jamaa akiamia timu yoyote na Mimi ni bendera fuata upepo

  • @MunsiCosmas-tg2df
    @MunsiCosmas-tg2df 2 місяці тому

    Ww ni simba sema wana kusaka tonge wezako

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 2 місяці тому

    Kaizer amesha potea ndiyo anajitafta kurudisha makali yake nafasi ya 10 msim uliopita wamedrop sana

  • @Marjeby
    @Marjeby 2 місяці тому +11

    Daah wee jamaa mkariakoo mwenzangu nakupenda kama binadamu mwingine yoyote yule but sipendi hata kigodo kukuona ndani ya YANGA yetu hata kidogo.
    Ally Kamwe anatosha sana kwanza wewe umri wako umeisha kwenda aiseee ona aibu

    • @rajabumtuga7372
      @rajabumtuga7372 2 місяці тому

      Kila mtu amesimama kweny cheo chake.. unataka ukienda hela ukirud mke hawez kuw wako?

  • @joycemlay5762
    @joycemlay5762 2 місяці тому +2

    Kama umeona pua kama matundu ya choo like hapa

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 2 місяці тому

      Pua zako kama za kiboko!!! Acha kutukana wewe ndo umemuumba😣😣

  • @bahi_bay24
    @bahi_bay24 2 місяці тому

    Haji nakukubali sana… unaongea kwa mpangilio 🎉

  • @motivation-ic3nf
    @motivation-ic3nf 2 місяці тому +1

    Wote awa wanashindana na mtu mmoja au basi

  • @NasriMalogo-iz2tb
    @NasriMalogo-iz2tb 2 місяці тому

    Manara bhn linajua

  • @lydiamartine7970
    @lydiamartine7970 2 місяці тому +1

    Sàsa kama waliwaita waandishi why wasiwaulize maswali? Hakukua na ulazima wa kuwaita hao waandishi

  • @GoodluckNjau-km3ym
    @GoodluckNjau-km3ym 2 місяці тому

    Broo mwachie dogo usemaji bakia na ile biashara ya kuoa na kuacha

  • @gabrieldoseti5729
    @gabrieldoseti5729 2 місяці тому

    Mimi yanga damu awe Ali kamwe au Dila Boss Bugatti wote vyuma

  • @sulemanaman605
    @sulemanaman605 2 місяці тому

    Nilidhan kombe kumbe kikombe😂😂😂

  • @mashakalukinda2350
    @mashakalukinda2350 2 місяці тому

    Kiti ndo kinazuguka au mara ndo anazungusha

  • @MassoudAbdalla-v9g
    @MassoudAbdalla-v9g 2 місяці тому +4

    Inshallah kwa uwezo wake rabuka tutafika huko

  • @ItangoMsabila
    @ItangoMsabila 2 місяці тому

    kamwe mic u sana mzeee nakukubal

  • @JummaSammata-ny5xf
    @JummaSammata-ny5xf 2 місяці тому

    Du hii NI dhambi

  • @juchaonline4084
    @juchaonline4084 2 місяці тому

    Kichwa cha habar unauliza?au unatuambia

  • @silasjacob-j2l
    @silasjacob-j2l 2 місяці тому

    wanachama wanamsikiliza mwana chawa manara huko hutakiwi wala hawakuelewi mwachie ally kamwe mtoto huyo usimtoe roho baba acha kupanda gari la watoto

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 2 місяці тому +1

    umepoteza muelekeo manara😂😂

    • @Shebbytvs
      @Shebbytvs 2 місяці тому

      Kwahyo hapo anaongelea mapishi ama yupo chooni kama kweli amepoteza muelekeo?? Je ww ulishawah kuwepo hapo alipo?

  • @HafidhSuty
    @HafidhSuty 2 місяці тому +1

    Maneno umemaliz simba huna la kuongea muachie mwenyewe kamwe kitu chke uto ww

  • @LukasIbramovic
    @LukasIbramovic 2 місяці тому

    Sanaaaa mabingwaaas

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 2 місяці тому

    Mbona kama kaamka na faida

  • @halidimsuya-cy9bl
    @halidimsuya-cy9bl 2 місяці тому

    Napenda haji akiongea

  • @HappyGrant
    @HappyGrant 2 місяці тому +1

    Muludishe dogo kamwe Hilo

  • @AhmedAdan-q9l
    @AhmedAdan-q9l 2 місяці тому +1

    Kamwe mbona hajielewi jamani

  • @GULIELMAS
    @GULIELMAS 2 місяці тому

    Dawa yenu inawiva.

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 2 місяці тому

    Ali pale kivuli tu..habar zote unazsema ww

  • @MohamedHamsini
    @MohamedHamsini 2 місяці тому

    HATAKIWI ANANG ANG ANIZA BAFASI ATA ISIYOKUWEPO YANGA....
    ATAKUWA MC TU HABARI TUNAZO

  • @abumuhammad9615
    @abumuhammad9615 2 місяці тому

    Huna jipya mzee retire upishe watoto waendeleze gurudumu

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz 2 місяці тому

    Mzee wa kufungiwa 😂😂😂😂 tibua tibua

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 2 місяці тому

    ❤❤❤ KUMBE MANARA BADO N FIRE WANASIMBA KAZ MNAYO TUNAWAGONGA KUANZIA KWA WASEMAJ MPAKA UWANJAN😂😂😂