Debate Kuu Githurai 45 Roundabout 21st Feb 2022 Between Ustadh Yusuf Wambogo and Pastor Ndacha.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 лют 2022
  • Debate Kuu Githurai 45 Roundabout 21st Feb 2022 Between Ustadh Yusuf Wambogo and Pastor Ndacha.

КОМЕНТАРІ • 66

  • @nassorohamisi1435
    @nassorohamisi1435 2 роки тому +5

    👏👋👋 kazi nzuri walimu wetu Mungu awajaalie darja ya juu siku ya ahera

  • @Tristan-t1x
    @Tristan-t1x Місяць тому +1

    Pasteur ndacha nakupenda sana ni bisimwa Tristan toka RDC goma ville

  • @syliviachesebe3066
    @syliviachesebe3066 Рік тому +1

    God protect you and your family to continue minister the word of God

  • @remigimtenga7608
    @remigimtenga7608 9 місяців тому

    GOD BLESS YOU FRANCIS NDACHA.
    KEEP DOING THE WORK OF GOD YOU'LL ARCHIVE KINGDOM OF GOD AMEN.

  • @samuelwanjau9448
    @samuelwanjau9448 Рік тому +1

    Thank you so much , Jesus is lord and our Savior

  • @dankingkenya7819
    @dankingkenya7819 2 роки тому +1

    Thank you so much Kristen and mosilim s nimefamamu njambo hapo

  • @user-is6hj2pb9l
    @user-is6hj2pb9l 10 місяців тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ama kweli nacheka sana muislaam huu kanichekesha balaaa eti waramaturulahi kabarakatu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sammunialo5463
    @sammunialo5463 2 роки тому

    Shukran mwalimu ndacha kwa kuweka maandiko sawa.
    Mwalimu wa kiislamu alisema kuwa, mwili wa Yesu uliokuwa ushakufa ambapo ulikuwa msalabani haukufaa kutoa damu na maji baada ya kudungwa mkuki, inamaana kuwa alikubali Yesu kasulubishwa. La sivyo, alichwomwa mkuki akiwa wapi?
    Yusufu amechanganyikiwa nakukataa maandiko ili atetee ukafiri ama upingaji Kristo.
    Barikiwa sana mwalimu Ndacha

  • @desderiushaule4264
    @desderiushaule4264 9 місяців тому

    Ningeijua namna ya kukupata ningekutumia sadaka yangu pastor Fransis Ndacha. Nakusifu kwa kuzihifadhi Aya za biblia na za quran .

  • @alfredrebo
    @alfredrebo Місяць тому

    Good work

  • @babaetusaitabau5445
    @babaetusaitabau5445 Рік тому +3

    Amen

  • @josephdanieli
    @josephdanieli Рік тому +1

    Mungu atukuzwe kwakua yesu alifufuka!!

  • @KennedyBarasa-mc4mz
    @KennedyBarasa-mc4mz Місяць тому

    Nyinyi waisilamu hamna lolote kwa ndacha nyinyi wasomi ila kelele za chura

  • @charoharrison219
    @charoharrison219 8 місяців тому

    Ndacha unafundisha vizuri mno.. barikiwa

  • @lucynyambura5470
    @lucynyambura5470 7 місяців тому

    Pastor ndacha may God bless you wahubilie sababu wakati wa Kiama hawatasema hawakuambiwa

  • @Violet_monari_254
    @Violet_monari_254 Рік тому +1

    Thank to god

  • @lucynyambura5470
    @lucynyambura5470 7 місяців тому

    Hakuna mwenye hatakufa Ila waislamu mjue yesu kafa Na akafufuka lakini Mohammad hakufufuka mwelewe Hilo

  • @elizabethsidi5574
    @elizabethsidi5574 Рік тому

    Mmekubali kuwa yesu alikufa

  • @elizabethsidi5574
    @elizabethsidi5574 Рік тому

    Aky pst mungu akubarik

  • @leonardngeno3480
    @leonardngeno3480 11 місяців тому

    Please nataka mahubiri kati ya Pastor Ndichu Vs Pastor Ezekiel Odera wa New life church and prayer center

  • @JohnGituanja-zc1kg
    @JohnGituanja-zc1kg 5 місяців тому

    Jesus is the way and truth no one comes to the father but to Jesus.He died and he is in the right hand of God and he is the Messiah to come😅

  • @CastroEliasjoao-fd2nz
    @CastroEliasjoao-fd2nz 10 місяців тому

    Yeye Yesu ni bingwa

  • @user-md5nn3uf4o
    @user-md5nn3uf4o Рік тому

    Naurudi. Tena

  • @nicksonsanga8748
    @nicksonsanga8748 10 місяців тому

    Wapasue hao pasta ndacha

  • @user-gp7sd9kg4t
    @user-gp7sd9kg4t 6 місяців тому

    Msomalii 😂😂😂😂hana elimu anahitqji aende asome kwa ndacha

  • @ibrahimaii1402
    @ibrahimaii1402 Рік тому

    Alhamdulillah ❤

  • @user-md5nn3uf4o
    @user-md5nn3uf4o Рік тому

    Amen. Wambie.ukweli

  • @user-iz8pn7jb4r
    @user-iz8pn7jb4r Рік тому

    WAslam wanamatatizo awafati mahadiko
    Wanatumiya hakili yao TU...

  • @user-is6hj2pb9l
    @user-is6hj2pb9l 10 місяців тому

    Munasema nini ninyi waeslaam? Kwanza nashangaa sana munazungumzia nin??i

  • @mshindi3476
    @mshindi3476 Рік тому

    Nafikiri issues siyo kutamka lugha ila nyie waislam hamjui maandiko maana ili uyatambue maandiko lazima ufumbuliwe macho ....

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 Рік тому

    Dah!!Mchungaji katoa ushahidi kuwa mtu akifa anavishwa sanda!!!Sasa madanduku ya Nini Tena jamani??

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 Рік тому

    Dah!!Mchungaji ametoa Tena ushahidi kuwa auae Ni Allah na Yesu ameuliwa na Allah!!Hivyo wote tuelewe kuwa yesu ni kiumbe wa Allah na kwake atarejea

    • @mwesi527
      @mwesi527 7 місяців тому

      Bila kusoma huo uchafu wnu unaoitwa Quran hamuezi elewa ndio maana anatumia vitabu vyenu muelewe yesu alikufa,kila LA khel pastor ndacha, Mungu awabariki wewe na paulo

  • @bausifarouk1798
    @bausifarouk1798 Рік тому

    Bibilia ni mchuzi mix

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 2 роки тому +1

    Masha Allah wakristo mna juwa ukweli ya kuwa uislamu ni dini ya haki n pia mnajuwa yesu hakufa ila Mwenyezi Mungu atawaongoza njia iliyo sawa inshaallah

  • @yazu3007
    @yazu3007 11 місяців тому

    Inaskitisha ukiwaskia wakiristo wanavyo bobokwa maneno bila kujielewa hebu kuweni na akili nyie

  • @tabbygocho4127
    @tabbygocho4127 Рік тому

    Aki waislam hamuna hoja toeni hoja jameni😮

  • @jaredonyancha40200
    @jaredonyancha40200 Рік тому +1

    Please mwalimu Ndacha niko na swali liko nje na maadha ya leo plz naomba unifunze kutoka kitabu 1wakorito14:34 je ni ukweli mke ana ruhusa kulinena neno la mungu hata mamlaka mbele ya waume kindly plz naomba unisaidie kwa hiyo aandiko

  • @yazu3007
    @yazu3007 11 місяців тому

    Duh wakiristo hamuna elimu kweli 😂😂😂😂😂

  • @patrickomokoitkei3894
    @patrickomokoitkei3894 2 роки тому

    Mungu alali

  • @crownprinceea2456
    @crownprinceea2456 Рік тому

    Mbona hujibu swali mzee

  • @firstvisual5404
    @firstvisual5404 Рік тому +1

    😂😂😂😂 Ndacha ako juu

  • @chimamy6071
    @chimamy6071 Рік тому

    Waislamu sijui ata mnafundisha nini apo ....mtumishi wa mungu ndacha mungu akubariki kwa huduma yako nzuri

  • @nduwimanapatrick2210
    @nduwimanapatrick2210 2 роки тому

    Good

  • @mosesjillo1729
    @mosesjillo1729 Рік тому +1

    Anaetaka kujifunza na kujua njia ya kweli na uzima bas aangalie CHRISTIAN PRINCE ,, u will regret kwa kuwa muislamu miaka hiyo yote,,,

    • @kiaiezekiel3334
      @kiaiezekiel3334 Рік тому

      Thanks bro, christian Prince, as usual busts this Abduls,now ndacha prince,

  • @princemahamba242
    @princemahamba242 Рік тому

    Alikufa au hakufa hiyo ndio mada na sio blaa blaa nyingi

  • @margaretmargaret5744
    @margaretmargaret5744 2 роки тому

    Sir Ndacha where are you?

    • @lucykamangu5030
      @lucykamangu5030 2 роки тому +1

      Hi... Ata huku Hua unafika? 😂😂😂😂

    • @margaretmargaret5744
      @margaretmargaret5744 2 роки тому

      @@lucykamangu5030 Absolutely 💯Mzimbiting I do found my village people here 😀

  • @jumamraba5391
    @jumamraba5391 10 місяців тому

    Yesu nimungu ama mtu kwani mungu ukufa?na kufufuka?nakama mungu anakufa nani anamiliki dunia?wakristo mlipotea

  • @amozmwaz1494
    @amozmwaz1494 2 роки тому

    Unaongea kweli mwalimu muzuri ndacha

  • @jushka01
    @jushka01 Рік тому +1

    Yesu hakufa

  • @user-is6hj2pb9l
    @user-is6hj2pb9l 10 місяців тому

    UBARIKIWE MWALIMU WANGU MZURI

  • @user-is6hj2pb9l
    @user-is6hj2pb9l 10 місяців тому

    🤣🤣🤣

  • @user-is6hj2pb9l
    @user-is6hj2pb9l 10 місяців тому

    Mwalimu ndacha kabarakatu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @user-is6hj2pb9l
      @user-is6hj2pb9l 10 місяців тому

      Mwalimu ndacha waramaturulahi kabarakatu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mosesjillo1729
    @mosesjillo1729 Рік тому

    Hawa marafiki zutu waislamu wahaelewi maandiko,,,kuwakumbusha tu angalieni video za CHRISTIAN PRINCE UA-cam mpate kujua kuruani yenu inavyowadanganya na kuwapotosha....