Kuna Namna Mungu anakuandaa mkubwa sana mpka natetemeka Yaani MUNGU anazungumza ndani ya kinywa chako mpka mwili unkufa ganzi . Mungu akubariki umejibu swali nililokuwa najiuliza kila leo weeee BABA MUNGU ANAJIBU 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Amen Pastor!! MUNGU akubariki sana kwa Mafundisho haya!! Mbarikiwe pia Mahubiri TV kwa kurusha Mafundisho na mahubiri kila wakati, hakika na sisi tunabarikiwa!! KRISTO awatunze sikuzote! Amen...
Mungu atukuzwe na Fata mahubiri kwa mbali ili na jisikiya niko karibu na mchungaji, Mungu ashukuriwe kutupatiya watu ambao wana, tulisha kiroho. Mungu aibariki inchi ya 🇹🇿 imani yangu inaongezeka sikukwasiku nikifata mahubiri.
Yaani wewe ntumishi wa Mungu sijui cha kusemaaa, ila wanaoabudu hapo wanafaidi sanaa yaani wanashibaa kirohoo mpka naona wivu. Silaha nzito ni kumjua Mungu katika neno na namna anavyotenda kazi . Uwiii YESU AKULINDE OOOH HALELUYA WEWE NI MWALIMU KAMA YESU
Kuna Namna Mungu anakuandaa mkubwa sana mpka natetemeka Yaani MUNGU anazungumza ndani ya kinywa chako mpka mwili unkufa ganzi . Mungu akubariki umejibu swali nililokuwa najiuliza kila leo weeee BABA MUNGU ANAJIBU 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Hakika ubabe wa Mungu Ni mkuu Sana Amina
Ombi langu kwa Mungu akupe Maisha marefu tu Imani yangu imekua kutokana na mahubiri yako
Nashukuru sana mtu mishi wa Mungu nimesaidiwa sana namahubiri.sababu nimekutana changa moto nyingi hata nachanganyikiwa.unikumbuke unapo omba.thank u.
Amen Pastor!!
MUNGU akubariki sana kwa Mafundisho haya!!
Mbarikiwe pia Mahubiri TV kwa kurusha Mafundisho na mahubiri kila wakati, hakika na sisi tunabarikiwa!!
KRISTO awatunze sikuzote! Amen...
Asante pastor kwa hubiri hili zuri, nimejifunza kitu
Amina kubwa mtumishi Nimebarikiwa👏
Barikiwa baba yangu wa Kirohoo namwomba Mungu anijaze rohoo ya kumtafuta na kusikia neno lake na kulielewa na kumjua zaidi mwaka huu na milee
Amina pasta nilikuw nimekata tamaa kupitia mafundisho Yako nimepata nguv ya kusimama tena
Mungu akushikilie kwa mkono wake wa kuume
Amina Baba pr barikiwa
Nabarikiwa sana
Deep insight.i love his preaching 🇰🇪
Asante Yesu kwa jinsi unavyomtumia mtumishi wako.Naomba uendelee kumuinua kwa utukufu wako
Glory to God..🙏
Mungu akuinue mtumish kwa ajili ya utukufu wake.
Mungu atukuzwe na Fata mahubiri kwa mbali ili na jisikiya niko karibu na mchungaji, Mungu ashukuriwe kutupatiya watu ambao wana, tulisha kiroho. Mungu aibariki inchi ya 🇹🇿 imani yangu inaongezeka sikukwasiku nikifata mahubiri.
Yaani wewe ntumishi wa Mungu sijui cha kusemaaa, ila wanaoabudu hapo wanafaidi sanaa yaani wanashibaa kirohoo mpka naona wivu. Silaha nzito ni kumjua Mungu katika neno na namna anavyotenda kazi . Uwiii YESU AKULINDE OOOH HALELUYA WEWE NI MWALIMU KAMA YESU
Amen and amen 🙏🙏 barikiwa sana mchungaji,nabarikiwa nikiwa Saudi Arabia 🙏🙏🙏
Mungu apewe sifa.Mahubiri yenye mafunzo na baraka mzomzo
Mafundisho mazuri sana barikiwa
Nakuelewa sana Mtumishi.Unanisaidia sana sana Kiroho.Barikiwa Mtoto WA BABA.
Vitani ya Bwana si yangu
Asante sana Yesu kwa kunijulisha kuwa mwalimu wangu katika kujua na kulitumia neno lako katika safari ya maisha yangu kiroho.
Nimebarikiwa somo ni zuri sana vita ni y’a Bwana.
Amen barikiwa sana mtumishi wa mungu nmebarikiwa sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Bwana atukuzwe wimbo huo nimeupenda naomba mnitumie niwe nao umenibariki saana
BWANA etushindiye yoote maishan kwa utukuf wa jina lake Amina.
Amen barikiwa mtumishi umenisaidia
Mpinga Kristu ameingia makanisani ni shida.
Amen Mungu somo nzuri saana
Mungu akuongezee Tena nguvu zake, Asante pastor 🙌 🙏
Glory 💕 to God praise the Lord
Be blessed 🙂 Amey
Amina sana
Barikiwa mchungaji kwa hubiri zuri Mungu tujaze hekima
Amina
God bless u Pastor.
Amen.Nimebarikiwa Sana.Mungu aendelee kukutunza Mchungaji.
Huu ujumbe umeandaliwa kwa ajili yangu. Asante Mungu
Hapo kwenye ku Google huyo ni mimi kabisa hata niumwe kidole😂😂😂
Vita sio zetu ni za BWANA.Ameni
Amen
Amen mtumishi wa Mungu aliye hai
Mungu akubariki Kwa neno mzuri.
Amen 🙏
Amina God bless you all 🙏🏼
Mchungaji Leo Umenikoshaa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Munguuuu
Amen Blessed Pastor
Ni patrick mbanya nakufuatria sababa na simu ya rafiki yangu nikiwa kenya
Mungu akubariki aana Mtumishi hakika unatuinua wengi
Munguakubariki
amina
God bless you pastor
Amen 🍝 pasta
Atukuzwe Mungu wetu aliye mkuu
Sizani kama kuna mtu amekuelewa kama nilivyo kuelewa Mimi
Amina nimejifunza mambo mengi sana
Somo nzuri
Àsante pastor,sikujua Esau na Jacob walikua mapacha
Ppl
Amen! Siku nyingi msijifunike vichwa wadada wazuri
Kwa nini?
Ni baridi mazingira waliopo ndiyo maana unawaona wapo wamevaa makoti
Amen Amen Amen
Mbarikiwe
Amina.
Be blessed pastor
Amina
hahahahaha kali
AMEN
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
Amuna
Amen 🙏🙏🙏
Amen Amen 🙏
Be blessed Pastor
Blessed
Am fed well with bread of heaven
Thanks u
tunakufatilia sana ilanaiji namba yawhatsapp uhonge ninamatatizo
Bwana Akibariki mtumishi, ningependa kuwasiliana awe, phone number please
Amen
Amina
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amina
Ubarikiwe mtumishi kwa somo zuri nimepona