FRANCIS NDACHA VS EX PASTOR ISSAC | NI YUPI MUNGU WA KWELI | MAKADARA 24,01,2022 DAY 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 536

  • @johnatika5657
    @johnatika5657 2 роки тому +16

    Pastor Ndacha Mungu akupe neema uendelee kuelimisha watu wa Mungu

    • @davidochiengbuoga7165
      @davidochiengbuoga7165 2 роки тому +3

      Ni ngumu waislamu kuelewa bibilia kwa sababu hawana Roho Mtakatifu awafundishe

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 2 роки тому +18

    Ndacha ni mwalimu kabisa hana maigizo ni point mwanzo mwisho

  • @wilfredkerima9351
    @wilfredkerima9351 Рік тому +15

    Thank you pastor ndancha you are my teacher.

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 Рік тому +1

      hapo hujapata mwalimu. nakushauri uendelee kujifunza zaidi na ufanye utafiti sio ushabiki

  • @rosekerubo5397
    @rosekerubo5397 2 роки тому +7

    Pst ndacha mungu akupee Nehema Ya kufundisha wensetu waisilamu wa mujue mungu, God bless you brother

    • @buuwahiid2898
      @buuwahiid2898 2 роки тому

      Hahaha pole dada angu njoo nikufundishe uislamu

  • @juliethasimbili8749
    @juliethasimbili8749 9 місяців тому +1

    Ndacha mungu akupe maisha marefu ,umechambua neno bila vikaratasi

  • @elambuhaga7750
    @elambuhaga7750 Рік тому +12

    Ndacha huyu ni mwalim wa kweli mnapaswa kumsikia vzr ili mjifunze kt

    • @MohamedKadhar-k5o
      @MohamedKadhar-k5o 9 місяців тому

      Hkuna ualimu wowote haitoshi mboga ndacha am proud to be Muslim allahu akbar

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 Рік тому

    Asante sana Ex Pastor Isaac. Nimefurahishwa sana na ujuzi wako. Una maana sana, lakini bila shaka, kwa akili yenye akili ambayo ni ya kimantiki na yenye kufikiri kwa kina. Mungu akubariki. Haijalishi mtu ni Mkristo au Muislamu, mjadala lazima uwe na mwelekeo wa kimantiki. Kuna watu wengi wanapindisha maneno kutoka katika nafasi zao na kuhalalisha upendeleo ambao tayari umejificha kwenye fikra zao.. Mungu akubariki. Ukweli unasimama peke yake. Uongo ni mwingi. Pia nataka kuwapongeza Wakristo. Uislamu unasema Wakristo wengi ni wanyenyekevu. Na kwa sababu ya unyenyekevu huu, wako wazi kwa uongofu. Mungu atuongoze. Tuombe mwongozo. Ray from Canada

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 роки тому +4

    Mashallah Shekhe Ibrahim uko vizuri umempa elimu Ndacha japo Ndacha anajuwa ukweli wote kuwa Allah Subhuana wa taala ndio Mwenyezi Mungu mmoja tu alie umba Dunia na vyote vilivyopo Duniani. Allah amuongoze Ndacha aslim kabla ya mauti asije kufa kafiri Ameen.

    • @upendomaduhu1310
      @upendomaduhu1310 8 місяців тому

      Yani nyie nimabishi

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 8 місяців тому

      @@upendomaduhu1310 sio wabishi sisi tunafwata maandiko . Nyie ni kondoo msio jielewa. Kondoo mnao fwata na kuamini hata ujinga. Ndio mana wachungaji wenu wana wauwa. Mfano Kabwetere alivyo watia moto waumini wote wa kanisa na kenya mlivyo uwawa Kwa kushindishwa na njaa. Hamjioni Kwa hamna akili?

  • @sheillahwairai4691
    @sheillahwairai4691 2 роки тому +3

    Mungu akubariki sana mwalimu Ndacha. Mungu ni mmoja na wa kweli ni Jehovah ...

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 Рік тому +1

    Thank you so much Ex Pastor Isaac. I am very impressed with your knowledge. You make so much sense, but of course, for an intelligent mind which is logical and has deep thinking. May God bless you. It does not matter whether one is a Christian or Muslim, the debate has to have logical direction. There are many people who twist words out of their place and justify the bias that is already there hidden in their psyche.. May God bless you. The Truth stands alone. Falsehoods are many. I also want to congratulate the Christians. Islam says many of the Christians are humble. And because of this humility, they are open to guidance. May God guide us. Let us pray for guidance.

  • @mgnmedia4231
    @mgnmedia4231 2 роки тому +13

    God bless you Mwalimu Ndacha.waooh great,simple and straight to the point teacher..

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 2 роки тому +4

      Hahahaa', Sasa point gani, Leo analitafuta jina la MUNGU , wakati MUNGU wenu Yesu, si angesema tu' MUNGU wenu jina lake Yesu...hahaa wakristo matatizo sana

    • @yahyayussuf5718
      @yahyayussuf5718 2 роки тому +2

      Sana wataona siku ya Qiama

  • @mahatyussuf1074
    @mahatyussuf1074 2 роки тому +7

    Happy to see Issac MashaAllah long time since 2015 eastleigh.
    Mungu akubariki.

  • @hatibumakondemakondemakond1479
    @hatibumakondemakondemakond1479 2 роки тому +6

    Ubarikiwe sana Ndacha, niko Maputo-Moz

  • @NuhuM-s1x
    @NuhuM-s1x 3 місяці тому

    Xpasta Ibrahim mungu akubariki ndacha ana kukimbia sana

  • @Dominicombati.
    @Dominicombati. 2 роки тому +3

    bwana Yesu asifiwe. ndacha naona huyu ex pastor akiokoka hivi karibuni. bwana akubariki mwalimu ndacha. kisii mna kuja lini.

  • @joshuamonchere2132
    @joshuamonchere2132 2 роки тому +4

    Ww mwenyewe umekubali Mungu ni mmoja basi mada imeisha

  • @byesigwafabian9255
    @byesigwafabian9255 10 місяців тому +2

    Ndacha he is a deep and profound thinker and academician as well!

  • @NuhuM-s1x
    @NuhuM-s1x Місяць тому

    Pasta Ibrahim nakukubali sana mung akubariki

  • @milikaekal8623
    @milikaekal8623 Рік тому +2

    Mm nashukuru mungu tangu nimkrie yesu kwa maisha yangu niko na amani

    • @OmanOman-yk8kl
      @OmanOman-yk8kl Рік тому

      Mm niisha kemea kwa jina na Yesu na kuteteza katika moto wa jehenamu mtoto wa boss wangu alimaliza siku mbili bila kwenda shule. Alafu mama yake akaniambia hata nikiona kitu nisikikemee .

    • @OmanOman-yk8kl
      @OmanOman-yk8kl Рік тому

      Jina la Yesu ni jina lenye nguvu .

  • @ShafiunaWaziri-vz7bi
    @ShafiunaWaziri-vz7bi Місяць тому

    Ndacha bhana unasema mungu ni mmoja alafu unataka yesu pia wamuabudu iyo kweli kazi ndacha unatapatapa2

  • @sosdododo5653
    @sosdododo5653 2 роки тому +3

    Mashaallah tabarakarahman mungu akueke sheikh issac,wajua paka uwe na elmi kweli kama alivyosema sheikh issac hapo ndacha mimi nafuata sn debate zake na zote nizaunafik hana hoja nzuri anageuza sn maneno waeza on nikweli kumbe ni urongo,anasema biblia inasema mungu ni moja namajina yote akatoa very good nampongeza amesema ukweli,sheikh issac akamtaja yesu mungu wao,ndacha alikasirika kwanini anamtaja yesu kwa mada hii? Inalillah waina ilairajiun,hawa watu wamepotea hawana elmu kabisa yani mungu wao mkubwa Jesus my load wamemsahau leo ndio tukawaita sumun bukmun umiun,alhamdulillah alaneematulislam

    • @charlesmelekajunior9238
      @charlesmelekajunior9238 2 роки тому

      Wew ndo hujui yesu ni njia kwa wakiristo kama ilivyo kwa waislaam Muhammad ndo njia yenu maana ndo alie wafundisha

    • @sosdododo5653
      @sosdododo5653 2 роки тому +1

      @@charlesmelekajunior9238 Pole sana kwanza Huna unalojua kusikia tu nakufwata ndio wakristo mulivyo,mimi nimesema ndacha amekasirika kusik8a jina la yesu kwa hio mada na yesu ndio mungu wenu kwa wakati huu sasa ni yesu tu in the name of load Jesus 😀 sasa vipi leo kwa mada amekasirika kutajwa yesu?kwa hakika mumepotea mumepotwezwa nawazungu mwafrika hatumi akili kabisa anpelekwa tu

  • @selishavasoga7266
    @selishavasoga7266 2 роки тому +3

    Mashaallah mungu akuzidishie hikma ya kuwafundisha wakristo

  • @JosephGodsson
    @JosephGodsson Рік тому +1

    Kadhihirisha jina YESU mwokozi - Yohana 17:11 Mimi naondoka ulimwenguni ninakuja kwako. Lakini wao wako ulimwenguni. Baba Mtakatifu, walinde kwa jina lako ambalo umenipa ili wawe na umoja kama sisi tulivyo mmoja.

  • @VictorShajema
    @VictorShajema 10 місяців тому +1

    Ndacha was among the top 3 students in my class🤝🫡

  • @bonifasemmanuel4700
    @bonifasemmanuel4700 2 роки тому +11

    Ndacha wewe umetisha,Hakika umejaa Roho Mtakatifu,ktk kufundisha na linens,

    • @yassinbachu4819
      @yassinbachu4819 28 днів тому

      @@bonifasemmanuel4700 hana eliumu..hana hakima...ana soma na kutoa hoja ovyo...hakuna mungu ataa mjalia

  • @powersetmentors8833
    @powersetmentors8833 2 роки тому +3

    Naam. Mungu wa Bibilia ni Mmoja tu

  • @YvonnePriya
    @YvonnePriya Рік тому +2

    😏😏😏😏😏 naipenda sana neno la "MUNGU" et.

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 Рік тому +1

    huyu Ndacha haeleweki, hapo anasema baba ndie Mungu kwengine atakwambia mwana yaani Yesu ndie Mungu mwenyewe, halafu anakataa kuwa ukristo haufundishi Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu. halafu wakristo wanamshangiria kwa sababu wenyewe hawasomi masndiko.

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 2 роки тому +4

    Duuuuuuuuh hapa ndio huwa cjutii kuwa muislam, Ahsant Mungu kwa kunitoa ktk ukristo

    • @LovelyComputerChip-cj4wz
      @LovelyComputerChip-cj4wz 9 місяців тому

      Pole basi utakufa katika dhambi zako kama muhamadi

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 9 місяців тому

      @@LovelyComputerChip-cj4wz Kafir ni kafir tu😂😂😂😂😂😂shida hujui chochote kuhusu din yko,mwenzio nilikuwa Mkristo nikaisoma bible vzr na kuufuatilia Uisilam vzr nikaujua ukwel,sasa ww hujui kitu unapelekwa tu km mbulula😂😂😂😂😂

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 9 місяців тому

      @@LovelyComputerChip-cj4wz ww utakufa ktk dhambi za nan...?yaan nyie makafir akil hamna kbs😂😂😂😂😂

  • @paulduke6712
    @paulduke6712 2 роки тому +8

    MUNGU ya aburhamu jina LAKE YEHOVHA asanti ndacha MUNGU akubariki

  • @bernardchesoli4322
    @bernardchesoli4322 Рік тому +1

    Ndacha Mungu akubari na akulinde

  • @nancybitutu7861
    @nancybitutu7861 2 роки тому +7

    Allah si Mungu kweli. Mwlimu ndacha ubarikiwe kabisa kwa kazi unayofanya.

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому

      mungu wa Waislamu hajulikani hana jina. Allah ni neno la kiarabu, kiswahili chake neno hili Allah ni Mungu,, sasa huyo Mungu yaani huyo Allah jina lake anaitwa nani?. Waislamu wamekwama. Waislamu hawana mungu, Uislamu na Qur'an vimetengenezwa na akina WARAKA, BAHIRA na baadhi ya makuhani wa kiyahudi ili kumpinga Mungu wa kweli YEHOVA.
      Wametengeza kitabu na kudai kimetoka kwa Mungu kumbe ni uongo, hili Waislamu wengi hawalijui, wanaofahamu hili Uislamu huwa wanauacha.

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 роки тому

      Katia mguu katika Moto wa jahanamu

    • @zeinabmaneno81
      @zeinabmaneno81 11 місяців тому

      ​@@frankmpembu2505wewe n mjing kwely soma Quran wacha kuongea upuuzi hujui

  • @catherinemwololo8579
    @catherinemwololo8579 Рік тому +4

    Pastor ndacha, may the Lord see you thr'

  • @byesigwafabian9255
    @byesigwafabian9255 10 місяців тому

    Ndacha is very powerful lecturer no objection!
    ❤❤

  • @AggyBoke
    @AggyBoke 10 місяців тому +1

    Congratulations the follow of Jesus

  • @jamesombaso9493
    @jamesombaso9493 Рік тому +6

    Ndacha you're a great teacher

    • @leonardmwayeya13
      @leonardmwayeya13 Рік тому

      Kumbe mungu nimmoja tu sasa mbona wakristo mnasema yesu nimungu mnajichanganya

    • @ezechielmanishimwe
      @ezechielmanishimwe 11 місяців тому

      Ndacha kwanini unawambia ukweli,waendelee kukusubuwa Sana ? kwanza Mungu ukubaliki Sana !!

  • @mamawamoya3344
    @mamawamoya3344 2 роки тому +2

    Ma sha Allah ,umetulia ,umemakinika,unaeleweka,haufoki

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 роки тому +4

    Maashallah! Ex- pastor Issac Allah akuzidishie elimu na akujaalie ufe ukiwa Muislam. Aamin

  • @josephmburusddg
    @josephmburusddg Рік тому

    Yesu si Mungu, Mungu nishetani ndio maana muislamu na mukristo hamuwezi elewana 2 wak 4:4 ww mkristo unaye mwabudu Mungu jua unamwabudu ibilisi, Yesu ni muumba hawezi share jina na ibilisi,jina ambalo lilidhihirishwa na Yesu ni "yesu " Na ndilo jina ambalo mitume walirihubiri wakakamatwa na kuwekwa gerezani matendo 4:3-4 mitume walitishiwa wasiwafundishe wengine kwa jina hili,ambalo liliwaponya viwete na kufukuza mapepo Biblia inasema,,,hakuna wokovu kwa jina lingine, jina Mwenyezi mungu haliwezi kukuokoa, jina alah haliwezi kukuokoa,jehova haliwezi kukuokoa matendo 4:12 jina tu la yesu ndilo litatuokoa

  • @brianemmanuel9353
    @brianemmanuel9353 6 місяців тому

    I love this energy. Christian all the way

  • @joanaomarali2968
    @joanaomarali2968 2 роки тому +5

    Masha Allah masheem ote wa Dunia mzima, kwa kunfanya Ndacha ajuwe kwamba mwenyezi mungu ni mmoja. Ilo tu Alhamndulillah.

  • @California9451
    @California9451 Рік тому +1

    Nimemuonea huruma uyo Mwalimu wa kiislamu, elimu yake ndogo sana kulinganisha na elimu ya Mwalimu Ndacha

  • @ArmandMananira
    @ArmandMananira 4 місяці тому

    Amen, mungu ni mmja tu

  • @tantinebettynduwimana380
    @tantinebettynduwimana380 Рік тому

    Ndacha hajui kufundisha jina la Mungu ni baba hivi mnajua maana ya Yehova waulize hawajui Mwenyezi Mungu ana majina mengi

  • @yousupjabri7304
    @yousupjabri7304 2 роки тому +3

    Mmh ukrito kazi yani hujui usimamie wapi...leo ana nadi mungu mmoja...cjui hua anasahau au makusudi...nakumbuka debate moja huyuyu ndacha alithibitisha kua yesu ndio mungu mwenyewe..ckia leo anacho kiongea...wallah kazi sana

    • @adnanmzimbiry6917
      @adnanmzimbiry6917 2 роки тому +1

      Kabisa leo anakataaa

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 2 роки тому +3

      Hiyo ndio sababu ilio nitoa ktk ukristo,ukifuatilia vzr huwez kubaki huko

    • @biblicalknowledge2734
      @biblicalknowledge2734 2 роки тому

      .. Je, inawezekana Mwenyezi Mungu amuamrishe Mtume wake atembee uchi kati ya watu kwa
      miaka na kwa nini?
      Jibu: Haiwezekani kamwe kwa Mwenyezi Mungu kuamrisha hivyo, kwa sababu Mwenyezi Mungu
      anakataza kukaa uchi mbele ya watu! Hii ni mambo ya kiwendawazimu lakini Biblia katika kitabu cha
      Nabii Isaya, sura ya 20 aya ya pili hadi mwisho wa aya ya nne inasema hivi:
      Wakati huo Bwana alinena kwa kinywa cha Isaya, mwana wa Amozi, akisema, Haya, uvue nguo ya
      magunia viunoni mwako, na viatu vyako miguuni mwako. Naye akafanya hivyo akaenda uchi, miguu
      yake haina viatu. Bwana akasema, kama vile mtumishi wangu Isaya anavyokwenda uchi, hana viatu,
      awe ishara na ajabu kwa muda wa miaka mitatu juu ya Misri na juu ya Kushi, vivyo hivyo Mfalme wa Ashuru atawachukua uchi, wafungwa wa Misri, na watu wa kushi waliohamishwa, watoto kwa wazee,hawana viatu, matako yao wazi Misri iaibishwe.
      haa haa haa haa .. eti wazee kwa watoto wote MATAKO WAZI!!!
      na ndio mana tunasema kuwa biblia sio kitabu cha Mwenyez Mungu!!!

  • @EdithThomas-t3q
    @EdithThomas-t3q 2 місяці тому

    Ndacha Mungu akupe umri mrefu uzidi kuwafunua waislam

  • @hamzangunga1578
    @hamzangunga1578 2 роки тому

    Sheikh Ibrahim uko vzr, napenda sana kusikiliza ujumbe wako

  • @wesakawesaka3516
    @wesakawesaka3516 5 місяців тому

    Wakati wa mwisho watatokea majasiri watakaosimama na kutetea neno la Mungu waziwazi bila uoga Ndacha ni mmoja wao

  • @KnightNyabok
    @KnightNyabok 9 місяців тому

    Good teacher keep it up

  • @hassangalgallo8496
    @hassangalgallo8496 2 роки тому +5

    Injili iendelee Ndacha na Paul Hassan mbarikiwe

    • @shabandamas1759
      @shabandamas1759 2 роки тому

      NITOE CHALLENGE KWA NDUGU WAKRISTO NAWAISLAM,
      KUIJUA DINI YA HAKI NA KWELI NILAHISI MMNO
      MM BINAFI NAONA TULIPOTELEZA KTK KUHITILAFIANA NIPADOGO SANA COZ VITABU VYETU YAAN QUR'AN NA BIBLE HAKUNA KINACHOAMLISHA WATU WAFANYE UOVU, BALI VYOTE VINA AMRISHA NAKUFUNDISHA MEMA.
      NIKWAMBA IFIKE KIPINDI TUWEKE TOFAUTI ZETU PEMBENI,, ILE MTU KUJENGA ITIKADI NA MSIMAMO KTK JAMBO LAKE LA KIIMANI PASINA KUTUMIA AKILI LISIWEPO IKIWA KWELI TUNANIA DHAHILI YA YAKUUONA UKWELI,
      NAWALIMU MTUMIE HEKIMA KTK KUFUNDISHA NENO LA MUNGU PASINA KUTANGULIZA SELF INTEREST KWANI KTK HALI KAMA HIYO MNAPOTEZA WENGI.
      TUIBAINISHE HAKI KTK VITABU VYA MUNGU QUR'AN NA BIBLE KWA UADILIFU NA UNYENYEKEVU MKUBWA PASINA KUFANYA KEJELI WALA DHALAU.
      MUNGU HAWEZI KUTUONYESHA NJIA YA KWELI KAMA TUTASOMA VITABU VYAKE KWA KEJELI NA DHALAU.
      YANI JILAZIMISHE KWA NIA NZURI ULIE MKIRISTO KUISOMA QUR'AN KWA ADABU NA MUISLAM PIA BIBLE KWA ADABU.
      TUKUSANYIKE KWA HEKIMA NA BUSARA YA HALI YA JUU, KISHA TUMUOMBE MWENYEZ MUNGU KWAUADILIFU NA UNYENYEKEVU WA HALI YA JUU ATUONESHE NIIPI DINI YA HAKI TUIFUATE.
      HALAFU MADA IWE NIIPI DINI YA HAKI MBELE YAMWENYEZIMUNGU, INAYOFUNGAMANA NA ASIRI YA MWANADAM NA ULIMWENGU ILIO KAMILIFU SAMBAMBA NA HALI NA MAZINGILA ILI TUIFUATE.
      IWE NI DEBATE HATA YA MWEZI MMOJA
      TUVISOME VITABU A-Z KWA MSINGI WA MADA HUSIKA SAMBAMBA TUKISALI KILA MMOJA KWAIMANI YAKE KUMUOMBA MUNGU ATUONYESHE DINI YA HAKI.
      TUKIFANYA HIVI LAZIMA MUNGU ATUNYESHE UKWELI, VINGINEVYO TUKIKALIA USHABIKI TUTAPOTEA.

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому

      @@shabandamas1759 Haiwezekani Mungu mmoja awe na Vitabu viwili. Hapo kuna Mungu wa kweli na wa Uongo. Kwa hoja za Ndasha na hoja za Waislamu. Ni wazi kuwa mungu wa Waislamu ni mungu wa uongo, siyo wa kweli. Uislamu na Qur'an vilianzishwa na watu ilikumpinga YEHOVA Mungu wa kweli. Bahira, Waraka na baadhi ya Makuhani wa kiyahudi ndiyo walionzisha Uislamu na Qur'an na kudai imetoka kwa Mungu kumbe ni uongo

    • @shabandamas1759
      @shabandamas1759 2 роки тому

      @@frankmpembu2505 BADO ELIM YAKO NIFINYU SANA, NA HOJA NILIZOTOA NIZAIDI YA MAELEZO UNAYONIPA,
      MAY BE NIKUULIZE NN KINACHOFUATA KTK MASUALA YA UJUZI BAADA YA THE BEST ONE KNOWLEDGEABLE.?
      IKIWA HUNA NYONGEZA YENYE ZIADA KTK UJUZI WAKO USITHUBUTU KUTHIBITISHA NAKUHITIMISHA KWA KUHUKUMU MAMBO AMBAYO YANAZIADA NYINGINE YA UJUZI BAADA YA KIKOMO CHA UJUZI WAKO.

    • @zeinabmaneno81
      @zeinabmaneno81 11 місяців тому

      @@frankmpembu2505 wewe bibilia imeandikwa na nani dini y kwely n mungu wa kwely n Allah n dini uislam

  • @johnmathara6796
    @johnmathara6796 Рік тому +3

    mwalimu niko bali lakini naweza pata mafunzo nikiwa bali bila kuja kwa darasha

  • @MugishaBonheur-p9d
    @MugishaBonheur-p9d 3 дні тому

    Ndaca barikiwa kwa kuwaelimisha wa Islam

  • @joshuamonchere2132
    @joshuamonchere2132 2 роки тому +5

    Waislamu ni machini tupu mpende msipende

  • @KudraRashid
    @KudraRashid 7 місяців тому

    Mashallah kumbe mungu wa wakrsto anaitwa baba na ndacha akienda nyumbni aitwi mama na watato wake anaitwa baba hahaha usatadh mabruok

  • @zwuenakhalfan2098
    @zwuenakhalfan2098 2 роки тому +1

    Ahsante sana ×Paster Issack Mungu akuzidishia fahamu na elimu ya kuwafahamisha maneno ya kweli katika uislam uendelee mbele

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 роки тому

      Moha alikuwa muuaji hatari wa kupindukia, hata aliamrisha kuwa mtu akitoka uislamu lazima auawe!!!

    • @jumarobertonyancha8605
      @jumarobertonyancha8605 Рік тому

      Humekiri kumbe hwana hekima hawa mashehe

  • @hashimsaid5546
    @hashimsaid5546 2 роки тому +4

    Duh, siamini kumbe Kuna warithi wa mazinge bwana mashaallah

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому +1

      Unajua kwanini mazinge kachelewa kuja🤣🤣🤣😂, anamkimbia Ndasha,,sindano alizopata apa Tanzania kutoka kwa Ndasha😂😂 zilikuwa safi kabisa 🤣🤣😂,

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому +1

      Angalia vizuri huo mdahalo,,angalia hoja za Ndasha,,zimewafanya walimu watetemeke mpaka wanasahau aya, na wanakopi kwenye karatasi😂😂. Ndasha akiwa hana karatasi 😂😂anavunja hoja anaweka hoja.

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 2 роки тому +2

    Ndacha bado kidogo atashahadia.sheh ibrahimu uko vizuri sana

  • @esthermoraa9701
    @esthermoraa9701 Рік тому +4

    Mwalimu dancha unasema ukweli

  • @aminaabu1599
    @aminaabu1599 2 роки тому +6

    Mwalimu Ibrahim Mungu Akupe Umri Mashallah Mashallah Mashallah napenda mafunzo Yako

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 роки тому

      Mohammed Kwa Hakika alikuwa nabii lakini wa uongo na wala si wa ukweli...

  • @carlosmenza680
    @carlosmenza680 8 місяців тому

    Kindly m check video quality pia jamani....

  • @firstvisual5404
    @firstvisual5404 Рік тому +1

    ni upuzi mingi, dini ya mwaarabu na hawa waafrika wana isifia mbaka Jina wana geuza mbaka wana vaa nguo ya wanawake

  • @geofreyezekielzeki5683
    @geofreyezekielzeki5683 8 місяців тому

    bado haujafika kiwango cha mwalimu pst ndacha Mungu akubariki

  • @wesakawesaka3516
    @wesakawesaka3516 5 місяців тому

    Mungu akubaliki ndacha

  • @stanleychisasa4343
    @stanleychisasa4343 Рік тому

    Ndacha bravo ndugu wa damu anasoma bibilia kama gazeti

  • @MajutoMwilu
    @MajutoMwilu 8 місяців тому

    Subuhana nllah huyu mchungaji anatafasilimambo kinyume yupo katika watu walio pata khasala inalilahi

  • @Bennymwangaza
    @Bennymwangaza Рік тому +3

    Ndacha so talented

  • @sheillahwairai4691
    @sheillahwairai4691 2 роки тому

    Mwalimu Ndacha anaongozoa na roho . Nyinyi mlio mombasa na ni waislamu mmepotea sana maana niko na waarabu hapa na wameanza kuokoka na kumfuata YESU. msipokubali Yesu jehanamu mtatupwa mungu yupi mnaomba pamoja na majini? shidwe katika jina la YESU kristo

    • @hamissuche6576
      @hamissuche6576 2 роки тому

      Kwani ukitukajia waarabu kuwa wakristo ndio tushtuke,.. Kuwa mwarabu wala haiwi lulu mbele ya mwenyezi mungu,. Mbora ni anayemcha mungu hatakama ni duni jinsi gani,.. Vp ww

    • @sheillahwairai4691
      @sheillahwairai4691 2 роки тому

      @@hamissuche6576 Yesu anakupenda kaka

    • @biblicalknowledge2734
      @biblicalknowledge2734 2 роки тому

      .. Je, inawezekana Mwenyezi Mungu amuamrishe Mtume wake atembee uchi kati ya watu kwa
      miaka na kwa nini?
      Jibu: Haiwezekani kamwe kwa Mwenyezi Mungu kuamrisha hivyo, kwa sababu Mwenyezi Mungu
      anakataza kukaa uchi mbele ya watu! Hii ni mambo ya kiwendawazimu lakini Biblia katika kitabu cha
      Nabii Isaya, sura ya 20 aya ya pili hadi mwisho wa aya ya nne inasema hivi:
      Wakati huo Bwana alinena kwa kinywa cha Isaya, mwana wa Amozi, akisema, Haya, uvue nguo ya
      magunia viunoni mwako, na viatu vyako miguuni mwako. Naye akafanya hivyo akaenda uchi, miguu
      yake haina viatu. Bwana akasema, kama vile mtumishi wangu Isaya anavyokwenda uchi, hana viatu,
      awe ishara na ajabu kwa muda wa miaka mitatu juu ya Misri na juu ya Kushi, vivyo hivyo Mfalme wa Ashuru atawachukua uchi, wafungwa wa Misri, na watu wa kushi waliohamishwa, watoto kwa wazee,hawana viatu, matako yao wazi Misri iaibishwe.
      haa haa haa haa .. eti wazee kwa watoto wote MATAKO WAZI!!!
      na ndio mana tunasema kuwa biblia sio kitabu cha Mwenyez Mungu!!!

    • @biblicalknowledge2734
      @biblicalknowledge2734 2 роки тому

      @@sheillahwairai4691 yesu hakupendi usijidanganye!!

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 2 роки тому +2

    Ndacha jiongo kweli 😂😂janjaaaa…

  • @yahayajuma1401
    @yahayajuma1401 2 роки тому

    Huyu ndacha karibu ataslimu wakristo msije mkasema amepagawa na pepo "ndacha anasema yesu mungu 'yehova mungu ,yesu mtoto wamungu 'haeleweki 'baadae ataona aibu.

  • @frankmpembu2505
    @frankmpembu2505 2 роки тому +5

    Nacheeeka kama mazuri vile 😂😂🤣kuwaona Waislamu wanavyopokea sindano kutoka kwa Mwalimu Ndasha,,

  • @HEROTV20
    @HEROTV20 2 роки тому +3

    Inavoonekana uwislamu ndio dini sahihi hebu wenyewe tujiulize

    • @Masanjapmpalangombe
      @Masanjapmpalangombe 5 місяців тому

      Ukiona ww uko hivyo juwa tayali umepotea jehanam ipo inawaeubili waabudu mungu mingine

  • @jamesmusyoki2857
    @jamesmusyoki2857 2 роки тому +1

    We!!!! don't debate based on religion , but on facts ,wachristo/waislamu tujipange tupate elimu

  • @hassanally4960
    @hassanally4960 2 роки тому +1

    Mwenyeenzi mungu ni mmoja t ambae hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hafanani na chochote

  • @JobNyangena
    @JobNyangena 10 місяців тому

    Great teacher indeed

  • @JosephGodsson
    @JosephGodsson Рік тому

    Jeremiah 4: 10 yanena kwamba wasipobandilika , watakapipigwa watasema Kwa midomo Yao MUNGU muongo manake hawataki kubandilika pia

  • @mohamedomar9580
    @mohamedomar9580 2 роки тому +4

    Mungu amuongoze huyo ndasha

  • @StevenMutale-xt9yj
    @StevenMutale-xt9yj 4 місяці тому

    Kanyanga ya mto Mungu kushaa mbuavua

  • @harangitonga2132
    @harangitonga2132 Рік тому

    Mii naulizawaislam Kama Kama kipanasho cha wachristo na Mungu Ni yesu Basi patanisho menu Na Na Mungu Ni nani Na waislam wakumbuke kuwa mtume wao ako kwa kaburi

  • @charokazungu1655
    @charokazungu1655 2 роки тому +3

    Kuwa mkristo ni raha

  • @MathewMaliva
    @MathewMaliva 5 місяців тому

    Ww we kaislam hamna kaziiii

  • @aliroro9344
    @aliroro9344 Рік тому

    Uyuu Ndachi Akiwa anaongea kuaeni makini ana twist Maneno ya vitabu....

  • @ErickSmith993
    @ErickSmith993 8 місяців тому

    Ndacha kweli wew nimwalimu... laaa unawacharaza kwelikweli

  • @hijatumbo8709
    @hijatumbo8709 2 роки тому +1

    Mungu wa wakristo ni yawe au yesu. Muogopeni ndacha kama korona kwanza anakata maandiko

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 2 роки тому +3

    Mungu mwenyezi ni mmoja naye ni Yehova Bwana

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому

      Huyo ndiye Mungu wa kweli,, hilo halipingiki.. Roho wa Bwana yupo ndani ya Ndasha na team yake. Wabarikiwe sana walimu wetu

    • @aminaissa3721
      @aminaissa3721 2 роки тому

      Sasa ni Mungu yesu ama Mungu mgani? Mna waingu wangapi ?

  • @mariamkhaikachitechi6552
    @mariamkhaikachitechi6552 2 роки тому +3

    Maashallah kazi nzur shekh

  • @agneskhakali2069
    @agneskhakali2069 2 роки тому +1

    Mwalimu Ndacha 👋👋👋👋👋👍 wape wape ukweli

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому

      Ndasha kiboko yao, anawapa sindano,,ndiyo maana wameitana kutoka Zambia, Tanzania na sehemu zingine,,wamejikusanya zaidi ya 100, Ndasha akiwa peke yake MMOJA, na bado anawaburuza

    • @Hijab_house
      @Hijab_house 2 роки тому

      Anawapoteza huyo

    • @abdiali6280
      @abdiali6280 2 роки тому

      😂 Ndacha analipwa kukupea uongo na wewe nani ndohiyo sasa kakupoteza

  • @ezekielniyomwungere5003
    @ezekielniyomwungere5003 2 роки тому +3

    Ameen Pastor Ndacha

  • @zedimohamed8033
    @zedimohamed8033 2 роки тому +2

    Mashaallah
    Wakristo sometimes mumjue
    MUNGU wakweli

  • @AizakKadio
    @AizakKadio 8 місяців тому

    Ukweli ndacha anaroho wa MUNGU ni vlle tu kila mwamba ngoma anavutia kwake lkn ndacha ni mjumbe wa MUNGU wa kweli

  • @HEROTV20
    @HEROTV20 2 роки тому +1

    Ndacha anaunga unga vipande tu.Kiufupi yupo kimaslahi zaidi na anatilisha aibu

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 2 роки тому +5

    Hahaha leo umekiri ndacha mungu ni mmoja takbir Allahu akbar. yani raha tupu mashekh wetu Allah awalinde kwa kz ngumu ya ndacha mwamfundisha bt haelewi na 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ataelewa tu

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому +1

      Ndiyo Mungu wa kweli ni MMOJA aliye BABA WA MBINGUNI naye ni YEHOVA

    • @shamimnassor6192
      @shamimnassor6192 2 роки тому

      @@frankmpembu2505 nyinyi mbona hamueleweki mara utatu mara mmoja na dini yenu ya mchongo mchongo iyo

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 роки тому

      Wakristo Mungu ni Mmoja

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 роки тому

      Soma Deuteronomy 6:4

    • @biblicalknowledge2734
      @biblicalknowledge2734 2 роки тому +1

      .. Je, inawezekana Mwenyezi Mungu amuamrishe Mtume wake atembee uchi kati ya watu kwa
      miaka na kwa nini?
      Jibu: Haiwezekani kamwe kwa Mwenyezi Mungu kuamrisha hivyo, kwa sababu Mwenyezi Mungu
      anakataza kukaa uchi mbele ya watu! Hii ni mambo ya kiwendawazimu lakini Biblia katika kitabu cha
      Nabii Isaya, sura ya 20 aya ya pili hadi mwisho wa aya ya nne inasema hivi:
      Wakati huo Bwana alinena kwa kinywa cha Isaya, mwana wa Amozi, akisema, Haya, uvue nguo ya
      magunia viunoni mwako, na viatu vyako miguuni mwako. Naye akafanya hivyo akaenda uchi, miguu
      yake haina viatu. Bwana akasema, kama vile mtumishi wangu Isaya anavyokwenda uchi, hana viatu,
      awe ishara na ajabu kwa muda wa miaka mitatu juu ya Misri na juu ya Kushi, vivyo hivyo Mfalme wa Ashuru atawachukua uchi, wafungwa wa Misri, na watu wa kushi waliohamishwa, watoto kwa wazee,hawana viatu, matako yao wazi Misri iaibishwe.
      haa haa haa haa .. eti wazee kwa watoto wote MATAKO WAZI!!!
      na ndio mana tunasema kuwa biblia sio kitabu cha Mwenyez Mungu!!!

  • @ShafiunaWaziri-vz7bi
    @ShafiunaWaziri-vz7bi Місяць тому

    Wafundishe shee wangu hao wakristo awafikili

  • @sheillahwairai4691
    @sheillahwairai4691 2 роки тому +2

    Elohim. My creator.
    Jehovah. My lord God
    El Shaddai. My Supplier.
    Adonai My Master.
    Jehovah Jireh. My provider
    Jehovah Rophe. My Healer
    Jehovah Nissi. My Banner.
    Jehovah Makadesh. My sanctifier.
    Nina Swali waislamu nduguzangu wakenya mahali popote mlipo... MUNGU wenu anasikia ARABIC pekee????? mnapotoshwa tu mkiona naomba Mungu awafungue macho. hivi waarabu washaanza kuokoka nanyi mtafanya nini? Yesu ndiye njia ya kweli ba uzima. Bila kukiri Yesu ni Bwana jehanamu inakugonja

    • @lileoh3893
      @lileoh3893 2 роки тому

      Ongera we baki hapo waslam wanaakili

    • @lileoh3893
      @lileoh3893 2 роки тому

      Yesu akiwa bwana wewe nani yake

  • @milikaekal8623
    @milikaekal8623 Рік тому +1

    Yesu ndiye bwana wa bwana ok

  • @sabraabdilnasir8826
    @sabraabdilnasir8826 2 роки тому +3

    Mashaallah Mashaallah

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 роки тому

      Moha alikuwa muuaji na hatari wa kupindukia....
      Narrated Anas bin Malik:
      A group of eight men from the tribe of 'Ukil came to the Prophet (ﷺ) and then they found the climate of Medina unsuitable for them. So, they said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Provide us with some milk." Allah's Apostle said, "I recommend that you should join the herd of camels." So they went and drank the urine and the milk of the camels (as a medicine) till they became healthy and fat. Then they killed the shepherd and drove away the camels, and they became unbelievers after whey were Muslims. When the Prophet (ﷺ) was informed by a shouter for help, he sent some men in their pursuit, and before the sun rose high, they were brought, and he had their hands and feet cut off. Then he ordered for nails which were heated and passed over their eyes, and whey were left in the Harra (i.e. rocky land in Medina). They asked for water, and nobody provided them with water till they died (Abu Qilaba, a sub-narrator said, "They committed murder and theft and fought against Allah and His Apostle, and spread evil in the land.")
      حَدَّثَنَا مُعَلَّى بْنُ أَسَدٍ، حَدَّثَنَا وُهَيْبٌ، عَنْ أَيُّوبَ، عَنْ أَبِي قِلاَبَةَ، عَنْ أَنَسِ بْنِ مَالِكٍ ـ رضى الله عنه ـ أَنَّ رَهْطًا، مِنْ عُكْلٍ ثَمَانِيَةً قَدِمُوا عَلَى النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم فَاجْتَوَوُا الْمَدِينَةَ فَقَالُوا يَا رَسُولَ اللَّهِ، ابْغِنَا رِسْلاً‏.‏ قَالَ ‏ "‏ مَا أَجِدُ لَكُمْ إِلاَّ أَنْ تَلْحَقُوا بِالذَّوْدِ ‏"‏‏.‏ فَانْطَلَقُوا فَشَرِبُوا مِنْ أَبْوَالِهَا وَأَلْبَانِهَا حَتَّى صَحُّوا وَسَمِنُوا، وَقَتَلُوا الرَّاعِيَ، وَاسْتَاقُوا الذَّوْدَ، وَكَفَرُوا بَعْدَ إِسْلاَمِهِمْ، فَأَتَى الصَّرِيخُ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم، فَبَعَثَ الطَّلَبَ، فَمَا تَرَجَّلَ النَّهَارُ حَتَّى أُتِيَ بِهِمْ، فَقَطَّعَ أَيْدِيَهُمْ وَأَرْجُلَهُمْ، ثُمَّ أَمَرَ بِمَسَامِيرَ فَأُحْمِيَتْ فَكَحَلَهُمْ بِهَا، وَطَرَحَهُمْ بِالْحَرَّةِ، يَسْتَسْقُونَ فَمَا يُسْقَوْنَ حَتَّى مَاتُوا‏.‏ قَالَ أَبُو قِلاَبَةَ قَتَلُوا وَسَرَقُوا وَحَارَبُوا اللَّهَ وَرَسُولَهُ صلى الله عليه وسلم وَسَعَوْا فِي الأَرْضِ فَسَادًا‏.‏
      Reference : Sahih al-Bukhari 3018In-book reference : Book 56, Hadith 227USC-MSA web (English) reference : Vol. 4, Book 52, Hadith 261 (deprecated numbering schem

  • @byesigwafabian9255
    @byesigwafabian9255 10 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Pastor Ndachaaaaaaaa

  • @jacksonmwafongo1917
    @jacksonmwafongo1917 Рік тому

    Ndacha mbona unajichanganya unasema mungu Moja. Tena ana mtoto Sasa mtoto naye atakuwa ni mungu? Mtoto wa binadamu si ni binadamu ? Na mtoto wa mungu si ni mungu?
    Hiyo ni miungu miwili tayari inaabudiwa .usituchanganye ndacha

  • @LovelyComputerChip-cj4wz
    @LovelyComputerChip-cj4wz 9 місяців тому

    Nmemwona kaka mazinge yule wa eliminati season4 😅 akisema paulo kafiri alimwita yesu mwanawangu nlimwamini kumbesikuwa nmesoma kitu sasa anakaa paka kanyeshewa

  • @MathewMaliva
    @MathewMaliva 5 місяців тому

    Naskia raha sana ndacha

  • @stanlehmwangi7548
    @stanlehmwangi7548 5 місяців тому

    Ex pastor El8mu yake ni ndogo sana hafai kua kwa mhadhara mmoja na ndacha hawatoshani.