Ndacha vs XP

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 34

  • @hamisimwagarashi9501
    @hamisimwagarashi9501 Рік тому +3

    Sheikh Ibrahim Allah akumiminie nguvu ujasiri weledi na ufahamu zaidi na zaidi wakupambana na Ibilisi kama huyu ndacha mtu ambaye kweli anaijua lakini kuifata hataki kwasababu ya kipato anacho pata upande alioko.

  • @milkabonareri5048
    @milkabonareri5048 8 місяців тому +1

    waislam tafadhalini tokeni
    babeli mjiunge na kundi la Mungu mmoja aliye hai wa bibilia

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Рік тому +1

    Subhana Allah.Katika siku ambazo Ndacha amewadanganya wakristo ni huu mhadhara.Yaan maandiko yote anayajua vilivyo lakini anawafurahisha kondoo wake kwa kuyaweka viraka.Hasa hii inayomzungumzia masih Dajal.Kiukweli simpendi Ndacha kutoka moyoni kutokana na ukafir wake uliopitiliza.Maskin wasiojua maandiko wanamuona Ndacha ni mwalim mzur,Kumbe ni adui wa akhera yao na KAFIR kama kina Abu Jahar.

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 Рік тому +1

    Naala ya Mungu zipate Ndacha. XP, tafadhali si vizuri kuhudhuria au kufanya mjadala na huyu Ndacha. Kusema maneno mabaya juu ya Allah ni redline.

    • @favoritebrayo
      @favoritebrayo 5 місяців тому

      redline kwani huyo Allah ndiye nani na sisi tunajua yeye ndiye massih dajjal

  • @mohamedhajir9662
    @mohamedhajir9662 Рік тому +1

    May Allah bless you sheikh

  • @SPOZZYTOPGAMER
    @SPOZZYTOPGAMER Рік тому

    watching live from philadephia

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 Рік тому +1

    Wacha uongo ndacha uogope mungu. unafahamu dini ya kweli ni ipi lakini unaangalia mishara na maslaha ya kidunia. kama haujajishika, utapata kipigo zaidi kuliko shaytani kwa ajili ya kuficha haki na kupoteza wengi. kamą Mungu amekuandikia hidaya, na omba Allah akuongoze. lakini kama umeandikiwa moto wa jahanamu, naomba Allah akuangamize mapema usipoteze wengine

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 Рік тому

    Subhana Allah akiuyu ndacha amepindukia mipaka xp tibu uyo mtu mpedosse aache kupotosha watu

  • @desire3603
    @desire3603 Рік тому

    Teaching are good bkoz pple of God perish for lack of knowledge.

  • @salisali3738
    @salisali3738 Рік тому +1

    Halafu ndacha punguza kufuru unasema Mungu ni sanamu vile hazaii na malaika hawazaii nawao ninani kawa umba

  • @ericmanirakiza6419
    @ericmanirakiza6419 Рік тому

    Ndacha acakupoteza batu weye peke unajicanganya mungu hafanani nacocote nahakuza ila unasema ameumba. Kuzala na kuumba nibitu biwili tafauti unajicanganya wepekeako🙆‍♂️👆

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 Рік тому

    XP kimeeleweka. Lakini walio kufuru kama Ndacha, ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini. Allah amepiga muhuri juu nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa.

  • @HealthplusSparki-pm6zp
    @HealthplusSparki-pm6zp Рік тому

    Kindly I'm asking if Ndacha has a chanel and what is it's name, may peace be upon us, Amen.

  • @ericthairu6886
    @ericthairu6886 Рік тому

    Munguwa kisilamu analia mpaka macho ikakua nyekundu😅😅😅

  • @ericthairu6886
    @ericthairu6886 Рік тому

    Jesus is lord he never disappoints

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 Рік тому

    Xp hapo kitaleweka tu... Wacha JINGAJINGA lipige mdondo tu, ila Bi'Idhini-Allah kama vipi shega ataumbuka haita chukua siku SHAHADAH NDIO MWISHO WA MAWAZO😅

  • @leonardadd
    @leonardadd Рік тому +1

    Exactly COPY PASTE,KUNA MIMI KWA BIBILIA NA KUNA YEYE KWA QURAN, mwalimu Ndacha ubarikiwe

    • @tawakalahmed3883
      @tawakalahmed3883 Рік тому

      Kaa ali copy bibilia, sawa basi😊 utisaidie ni mtume gani alipewa bibilia ndo tujue kaa Qur'an ili copy.

    • @leonardadd
      @leonardadd Рік тому

      @@tawakalahmed3883 bibilia ni mkusanyiko wa vitabu uelewe hiyo kwanza,,

    • @tawakalahmed3883
      @tawakalahmed3883 Рік тому

      @@leonardadd mii sija kuuliza maana ya bibilia, elewa suali yangu.

  • @salisali3738
    @salisali3738 Рік тому +1

    Ndacha una stahili kung'olewa meno

  • @yabdul1782
    @yabdul1782 Рік тому

    Sheatani kazi yake si kufunza bali upotofu.

  • @tawakalahmed3883
    @tawakalahmed3883 Рік тому

    XP malizana na huyu, I'm sure anajua islamu ndo dini ya haki. Akisema ukweli watu wataanza kuchukia yeye na kusema turudishie pesa zetu ambayo ulikula.

  • @jumahamad9463
    @jumahamad9463 Рік тому

    BUNGOMA KIMEWAKA KITEALEWEKA UMEANZA MWENYEWE MUHUBIRI KWAHIO TULIA KIALEWEKE

  • @abelmoturi52
    @abelmoturi52 5 місяців тому

    Give verse from bible or koran

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 Рік тому

    Wacha uongo ndacha muogope mungu

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 7 місяців тому

    Waislam mwendereye kuwa magayidi hapo munaongeya nini Quran niongo mtupu

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 Рік тому

    Mbona ndacha waeka virakaaaa?

  • @aliyyuhibu3561
    @aliyyuhibu3561 Рік тому

    Hamna kitu ndacha

  • @aliyyuhibu3561
    @aliyyuhibu3561 Рік тому

    Safi xp

  • @abelmoturi52
    @abelmoturi52 5 місяців тому

    Jenge oja wewe mwislimu