pasta ndacha na mkristo wa Pentecost wapambana live kuhusu sabato Nakuru ni hatari

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 75

  • @mjombawallace4966
    @mjombawallace4966 Рік тому +2

    Thnks Mwalimu ndacha we need to first study the word then go to preach 🙏🙏🙏🙏

  • @msisifred5148
    @msisifred5148 4 місяці тому +1

    Pendecoste apo ni mnyongee hii part ya debate haiweziii 😂

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 Місяць тому

    Ndacha is a systematic thinker . It is difficult to win an argument against him . To debate him you need to master your texts well .

  • @barakaharony4396
    @barakaharony4396 10 місяців тому +1

    Yesu ndiye bwana wa sabato hapa nyinyi mnaoiabudu hiyo siku ya sbato mna kaz sna kina ndacha

  • @nancybitutu7861
    @nancybitutu7861 2 роки тому +5

    Mwalimu ndacha ako sawa kabisa, Mungu wa mbinguni amubariki.

  • @michaelmagwaza-bc6mk
    @michaelmagwaza-bc6mk Рік тому +4

    Baada ya Yesu hakuna Sabato tena pia Mtu asiwahukumu kwaajili ya Sabato au skukuu.

    • @chiefmkalikibz1503
      @chiefmkalikibz1503 Рік тому

      Sabato yenyewe ilikua ya Musa na watu wake... Sasa kama Yesu walipewa watu wake na mambo yake.... NDACHA YUWAFUATA MAFUNDISHO YA NANI, ❓

    • @michaelmagwaza-bc6mk
      @michaelmagwaza-bc6mk Рік тому

      Kusoma maandiko nikitu kingine kuyaelewa nikitu kingine, naludia Tena Yesu alivunja sabato pia hakutuagiza kushika Sabato. Wala mitume hawakutuagiza kushika sabato. Ukibisha nakupa maandiko yanayo tutaka tusishike sabato.

    • @zacharyayaga6661
      @zacharyayaga6661 5 місяців тому

      ​@@michaelmagwaza-bc6mk aliivunja sabato lini ilhali yeye mwenyewe aliitunza.. luka 4:16-24

    • @zacharyayaga6661
      @zacharyayaga6661 5 місяців тому

      ​@@michaelmagwaza-bc6mk leta hayo maandiko yanayosema tuivunje sabato nami niletq maandiko yanayosema tuitunze sabato

  • @hillarynyaata.5177
    @hillarynyaata.5177 4 місяці тому +1

    Collossians 2:16 inasema msuhukumiwe kwa sababu sikukuu mwandamo wa mwezi au Sabato hiyo yote ni kivuli cha mambo yachayo bali mwili ni wa christo(Sabato sikukuu mwandamo wa mwezi hiyo yote iko jini ya wakati na majira kwa hivyo usihukumiwe kwa sababu ya wakati na majira ikiwa yesu kristo ako ndani yako

  • @alexjohn5173
    @alexjohn5173 Рік тому +1

    Mch.Ndacha is the best 2 me

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 2 роки тому +6

    Huyu ndacha mahubiri yake ikosahihi kabisa watu hawamwelewi

  • @ezekielmwamba9106
    @ezekielmwamba9106 2 роки тому +4

    Shida yao hawaelewi maandiko.
    Wanatumia akili zao Kuelewa Bibilia

  • @marywambui8340
    @marywambui8340 3 роки тому +5

    Mwalimu hapo umeweza

  • @egidideule7285
    @egidideule7285 5 місяців тому

    Ndacha hatali neno unalijua sana

  • @eunicebukokhe6805
    @eunicebukokhe6805 2 роки тому +2

    Kazi nzuri sana

  • @sebastianmichael4031
    @sebastianmichael4031 Рік тому +1

    Ndacha uko sahihi asilimia miamoja, huyo mwingine akayechini ajifunze tu.

  • @alexmwalim9714
    @alexmwalim9714 Рік тому +1

    Ndacha maelezo mengi lakini hamna kitu.....Bure kabisa

  • @alexandermulilison5844
    @alexandermulilison5844 2 роки тому +6

    Naona Ndacha hako right

  • @rashidwalwanda1991
    @rashidwalwanda1991 Рік тому +1

    Makafiri wakikutana kweli

  • @AyakiPatson
    @AyakiPatson Рік тому

    Aisee

  • @AgnesKasayaMigiro
    @AgnesKasayaMigiro 8 місяців тому

    5:10

  • @godfreykhatau4013
    @godfreykhatau4013 2 роки тому +2

    Huyu Mzee angemalizia hapo Sasa

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 Рік тому

      Abatizwe Tena 😅😅😅 Hawa watu hufanya makafiri kufikiria mungu so Kitu 😢😢😢

  • @maryamidd4315
    @maryamidd4315 2 роки тому +1

    Ndacha Hana kazi,

  • @abdulcityter6201
    @abdulcityter6201 Рік тому +1

    kwani Ndacha kasilimu😂😂😂

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 Рік тому +1

    Sasa wanapingana wenyewe kwa wenyewe halafu haya mazehebu yao hata kuonana hawezi kuowana

  • @lindatasha3960
    @lindatasha3960 2 роки тому +3

    Lakini ata Mimi sioni shida Bora sisi wote tunamwamine kristo Yesu ,,,siku ya jumamosi ama jumapili aitatupeleka mbinguni ni Imani yako ,,Sasa sioni shida ya kubishana sisi ni ndugu

    • @Walkietalk765
      @Walkietalk765 Рік тому +1

      Shida sio siku swala zima hapo ni Sheria taakatifu ya Mungu wa mbinguni

    • @peternduati8877
      @peternduati8877 Рік тому +1

      Kama ni ndugu kikweli ama ki Imani,basi ubatizo uwe mmoja na siku iwe Moja ya kumwabudu huyo Mungu mmoja🙏

    • @Walkietalk765
      @Walkietalk765 Рік тому

      Waefeso 4
      5 Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja.

    • @YohanaMtambala-gq1sz
      @YohanaMtambala-gq1sz Рік тому

      Hapana Imani nikuamin.maandiko pamoja nakufata Yale yaliyo amlishwa na Mungu kitu chakufanya inabidi wote tuungane pamoja tufundishane biblia na tuchunguze maandiko ili tupate jibu sahih Kama sku ya kuabudu n juma pili au juma mos kwamaana tukifanya hvyo tuta ijua kweli nayo kweli ita tuweka huru ss wote tunae muamini yesu kirsto kwhy tusiwe watu wakushindana bali tuwe wakuungana pamoja kakka neno ili tupate kujua ukweli bwana Yesu asfiwe.

    • @Walkietalk765
      @Walkietalk765 Рік тому +1

      @@YohanaMtambala-gq1sz ukweli upo wazi ila umepindishwa ndo mana hakutakuwa na muungano kama huo kwa watu wanaomuamini Mungu wa kweli

  • @kajinjirashid5590
    @kajinjirashid5590 Рік тому +1

    Ndacha anadanganya mwadai anaelewa maandiko 🤣🤣😭

  • @hamzayesu2017
    @hamzayesu2017 3 роки тому +5

    Mimi husema huyu ndacha anafundisha dini nyingine sio ukristo hata yeye ana dini yake mpya uliojificha chini ya ukristo Biblia ya protestante ni moja chenye vitabu 66 lakini ukimskia wakati anakashifu wakristo wenziwe doh!! Balaa!!! Naipenda uislamu yarabi!!!

  • @nassorjuma2734
    @nassorjuma2734 2 роки тому +1

    nyoteee waongo mung bab mung baba ndo nn tupishen hp vtabu vya kwl hamusom unatunga vyenu

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 Рік тому

      Wew umefuata nn Kwa wakristo, hakuna mkristo hata mmoja anayefuga majini

  • @masala8099
    @masala8099 2 роки тому +3

    dini ni uislam tu

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 Рік тому

    Mtu yuwadanganya LIVE😂😂😂, kweli wa kupotea ni wa kupotea.
    BADO MWENDE SHAKAHOLA SASA

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 роки тому +4

    uyu ndacha,ajiangalie sana maana ata ayao maandiko ya bibilia anayapotosha mengine anayasoma nusu

    • @apostleleshan2183
      @apostleleshan2183 2 роки тому

      True

    • @fumoshee2524
      @fumoshee2524 2 роки тому

      Kweli kabis ndrrracha ni muongo

    • @danielmwita1989
      @danielmwita1989 Рік тому +1

      Barikiwa sana pr Ndacha Kwa kazi nzuri kufunuwa ukweli popote

    • @puretv8742
      @puretv8742 Рік тому

      Ni muislamu upande wa pili

    • @Walkietalk765
      @Walkietalk765 Рік тому

      @@fumoshee2524 uongo wake uko wapi wakati anatumia maandiko hayo hayo

  • @swabirswabiri1714
    @swabirswabiri1714 3 роки тому +2

    Ndacha shida yake ni kutoa maandiko meeengi wakati MMOJA Ili kutatiza

    • @puretv8742
      @puretv8742 Рік тому

      Umeona sasa

    • @Walkietalk765
      @Walkietalk765 Рік тому

      Ndacha yuko na ukweli

    • @puretv8742
      @puretv8742 Рік тому

      @@Walkietalk765 hakuna ukweli wowote

    • @Walkietalk765
      @Walkietalk765 Рік тому

      Ukweli ni upi sasa wote tumesikiliza Ndacha ametoa majibu kulingana na vifungu vya bibilia

    • @puretv8742
      @puretv8742 Рік тому

      @@Walkietalk765 *weiw shetani pia hutumia maandiko kwa nia ya kupotosha ukweli* hivyo hivyo ndacha Ako hivyo akiwa na nia mbaya kwa hali kawaida uwezi mtambua ni wachache sana ambao wanaweza Mtambua roho anayo fanya kazi ndani ni shetani maana Yeye anajua hali yote ya mbinguni zaidi yetu sisi wanadamu kwaivyo kule kutoa maandiko mengi sio dhibitisho la mtu kuwa ni wa Mungu bali utamjua kwa matunda yake..