MAOMBI YA KUMTWIKA BWANA YESU MIZIGO YAKO by Innocent Morris
Вставка
- Опубліковано 13 вер 2021
- Neno la Mungu linasema
"Umtwike Bwana mzigo wako naye atakutegemeza, Hatamwacha mwenye haki aondoshwe milele."
Zaburi 55:22
Neno la Mungu linaendelea kusema
"Huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu."
1 Petro 5:7
Na wewe leo peleka mizigo yako yote iliyo kulemea kwa Yesu naye atakupumzisha. Iwe ni magonjwa, tabu, hofu, mashaka na madeni n.k peleka kwa Yesu naye atakupumzisha.
Yesu anasema
"Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha."
Mathayo 11:28
Ubarikiwe sana.
Innocent Morris
+255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
/ holyspiritconnect
Facebook Link:
/ holyspiritconnect
UA-cam Link:
/ holyspiritconnect
Asante Yesu wangu kwa kunisikia na kuniponya, nakupenda sana Yesu wangu
Ameen ameeen
Nakupenda YESU kristo isafishe ufahamu wangu 🙏
Ee Bwana naomba nikumbuke katka magumu nayopitia nakutwika fadhaa zangu za madeni nitue mizigo hii ya madeni niweze kua huru Mungu unaye jibu maombi naomba na mimi nijibu naombi yangu katika Jina la Yesu kristo Ameen
Amen 🙏🏽 🙏🏽 🙏🏽 barikiwa sana pst kwa maombi Mazuri hakika nahisi nko huru 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Ameen
Nakupenda sana Bwana Yesu kwa Moyo wangu wote
Nashukuru sana mtumishi nafuatilia sana mafundisho na nimejifunza mengi na nimepata faraja hakika Mungu akubariki from South Africa
Maombi yenu yame badilisha maisha yangu sana nilipokua nimekata tamaa ya maisha yakanitia moyo
Ameen
Amina leo aya maombi yananihusu mm asante Mungu
Innocent Asante Mungu akubariki kwa somo hili. MUNGU AKUBARIKI SANA !!
Bwana YESU Asifiwe mtumishi ... Naomba haya maombi yawepo audiomack nitashukuru 🙏🏼nayahitaj sana
Sawasawa tutayaweka
Changamoto nazipeleka msalabani kwa bwana yesu
Amena
NAMTWIKA BWANA YESU MIZIGO YANGU YOYE...BWANA YESU NAOMBA POKEA MIZIGO YANGU.
Amen
Ooo Amen🙏🙏🙏
Niombee mzigo ya madeni
Hakika sifa na utukufu ni Kwa yehova huwa nabarikiwa Sana na maombi nafuatilia Sana na yamebadilisha maisha yangu👏👏🙏🙏
Nakuabudu Bwan kwa changamoto za mitihani yangu na Mume wangu ninayopitia. kuibiwa na mtu ninamkabizi mikononi mwako pesa yangu aliyoiba kesi hii naiwacha kwako Yesu.
Vitahivi siyo vyetu bwn ni vya kwako. pesa yangu inaniumiza moyo wangu ni jasho la mikono yangu Mungu kachukua zote bwn.
Nasikiliza saivi najiunganisha na maombi aya kupitia Jina la Yesu kristo mwana wa Mungu aliyehai🙏🙏
Ameen
AMEN
Amen. Asanti sana Mtumishi wa Mungu. Barikiwa sana sana
Ameen
Natua mizigo yotena ninamtwika Bwana YESU.
Jambo lolote nililolibeba linalonitesa ,kuniumiza ,kuniaibisha,magonjwa , udhaifu nayatua sehemu sahihi kwa bwana yesu ameni.
Asante Mtumishi .
Ameen
Ameen 🙏🙏
Ubarkiwe sana
Ameen
Amen Siku yangu imebarikiwa
Ameen
Amen.
Amen 🙏
Thank you May God bless you 🙏
Ameen
Asante Bwana Yesu
Ameen
Hakika Mungu ni alfa na omega
amen
Bwana ni mwema
Ameen
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 blessings
Ameen
Ameena 🙏
Ameen
Amen🙏🙏
Mh hivi ni kumtwika BWANA mizigo au kumtwika fadhaa, na mizigo niliona kama amesema njoni kwangu msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha ,lkn naona imeandikwa maombi ya kumtwika BWANA YESU mizigo sasa hio si ni kufanya vita na BWANA Yani utumikishwe na shetani nawe umtumikishe BWANA nilichofikiri ni pale alipokemea bahari badala apige Kasia ili watoke kabla upepo haujavunja chombo, kumbe aweza kunitua mizigo lkn simtwiki yeye
"Umtwike Bwana mzigo wako naye atakutegemeza, Hatamwacha mwenye haki aondoshwe milele."
Zaburi 55:22
"Cast your burden upon the Lord and He will sustain you; He will never allow the righteous to be shaken."
Psalms 55:22 NASB
"Casting the whole of your care [all your anxieties, all your worries, all your concerns, once and for all] on Him, for He cares for you affectionately and cares about you watchfully."
1Peter 5:7 Amplified Bible
Amen
Ameen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen