JEMEDARI WA VITA- Boaz Danken ft Gwamaka Mwakalinga

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 708

  • @ambweneobadiamwasongwe
    @ambweneobadiamwasongwe 2 роки тому +138

    Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu, kazi kubwa yenye Baraka sana ndani ya mioyo yetu

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +24

      Asante sana kaka Utukufu na heshima kwa Yesu

    • @lukapastory
      @lukapastory 2 роки тому +10

      @@boazdanken Nakupenda Sana kaka danken, YESU anakutumia, mm ni Mwinjilisti from kasulu kgoma, Nakukimbsha Uwaambie hao wadada na mke wako pia nywele bandia ni dhambi ,zmepeleka wamama watumishi wengi kuzimu, rangi mdomoni, kucha bandia , meshi, Rasta mawigi, please achen

    • @lukapastory
      @lukapastory 2 роки тому +2

      Kilio changu ni kwa akina Dada , mahereni, nywele bandia , NI Mali za pepo Yezeberi, please wambie , maana ni kumkosoa uumbaji wa BWANA, Isaya 29:16, Fuatilia PROMOVER TV ushuhuda wa Esther, Recho na Rinda rika, utapata ujumbe kutoka kwa YESU

    • @dorcusamubi577
      @dorcusamubi577 2 роки тому +1

      Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu Umeniibariki sana... Naskia kunyenyekea ninaposkia wimbo huu ubarikiwe sana

    • @christinme4573
      @christinme4573 2 роки тому +8

      @@lukapastory lijue neno uwe huru☺️

  • @mankamacha4383
    @mankamacha4383 2 роки тому +2

    Vidonda vya tumbo vinavyonisumbua vinayeyuka mbele zako BWANA,madeni yote yayeyuka mbele zako BWANA.UTUKUKUZWE MILELE 🙏,AMEN

  • @worshiplibrary7157
    @worshiplibrary7157 2 роки тому +89

    My daughter is going thru a very rough patch right now shes only 22 years old. I listern to this song n feel the holly spirit lifting me up so that I have strength to lift her up! 😭😭😭 may the good Lord open up a better path for her!

    • @speranzakiragu3491
      @speranzakiragu3491 2 роки тому +4

      Ameeeeeen🙏

    • @judithabdallah4594
      @judithabdallah4594 2 роки тому +4

      I call upon the God of heaven, the creator of heaven and earth to come through for your daughter.... He is the great physician..God will heal her in Jesus Mighty Name.. Amen!

    • @brianmuriuki9271
      @brianmuriuki9271 2 роки тому +1

      JUSUS IS GOING TO DOMIT TRUST HIM TU...MAY HE DO MORE THAN U EXPECT

    • @naomiwangari4794
      @naomiwangari4794 2 роки тому

      Amen.neema iwatoshee.keep the faith

    • @zafaraniduguza4950
      @zafaraniduguza4950 2 роки тому

      May God come through for you

  • @boazdanken
    @boazdanken  Рік тому +17

    Glory and Honor to Jesus please if your Blessed this ministry kindly subscribe our channel

  • @DrSarahKmusic
    @DrSarahKmusic 2 роки тому +3

    Yesu ndiye jemedari wa vita..

  • @jacklinemwongeli8365
    @jacklinemwongeli8365 2 роки тому +12

    Hakuna mlima waeza stahimili sauti yako.l'm really blessed by this from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Utukufu na heshima kwa Yesu

  • @IsraelCiza-eq1ot
    @IsraelCiza-eq1ot 10 місяців тому +12

    Baba Boaz mimi muimbaji Israël ciza nikiwa inchini kongo kila Niki imba nyimbo zako n'a sikia ngufu zamungu ziki ni Jana naamini mungu wako ata nipa ujasiri ni WE muimbaji maarufu Sawa nyiye

  • @akimjoseph2818
    @akimjoseph2818 2 роки тому +55

    As i was driving this morning we were listening to JEMEDARI WA VITA with my wife. The power of God fell upon her and she started speaking in other tongues. May God continue to give more revelation for future songs as you reach so many souls through singing. Continue Staying
    humble and blessed.

    • @newboy1995
      @newboy1995 Рік тому +1

      Congratulation ! thats a testimony of Humble Heart ! Praise the living GOD !📯 YESU ! 📯

    • @lydiaabel-uo1qn
      @lydiaabel-uo1qn Рік тому

      e

  • @janethnarsis188
    @janethnarsis188 2 роки тому +4

    Naenda kupata hii kazi kwa jina la Yesu
    Jemedari wa vita zangu zote.
    Nitarudi kushuhudia kwa jina la Yesu

    • @janethnarsis188
      @janethnarsis188 2 роки тому +3

      I got it kwa hakika.
      Mungu amenishindia Mengi. Leo 31.12.2022 ninamshukuru haikuwa rahisi@2022

    • @FLOH9876
      @FLOH9876 10 місяців тому

      Jemedari wa Vita🎉
      Hallelujah 🙌
      He will also give me A Job
      And I will come to testify like you have

  • @isaacsimalif6185
    @isaacsimalif6185 2 роки тому +2

    Neema ya Mungu iwe nyanyi watumishi Kwa kazi nzuri katika ufalume wa mbingu

  • @AminaKijaji-kc5km
    @AminaKijaji-kc5km Місяць тому +1

    Mungu akufikishe mbali mtumishi kwa huduma hii

  • @paulotieno2223
    @paulotieno2223 2 роки тому +40

    Asante Tanzania kwa umbali. Ni kweli Mungu wetu anajibu..iwas waiting for this.God bless you all and take you another level 🙏 🙌

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +8

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

    • @mercyprecious98
      @mercyprecious98 2 роки тому +1

      Jesus Christ you're really "JEMEDARI WA VITA" Lord the battles you have fought for me ,I personally couldn't fight for myself,I honor and exalt your Holy name,Yeshua, Messiah,you deserve the sweet names ever.Thank you Jesus,bless Tanzania,Kenya , Africa and world at large.@Boaz Duncan,may God keep you to continue blessing generations.AMEN🙏

    • @davidkalinga5580
      @davidkalinga5580 2 роки тому +1

      Jemedari wa vita

    • @Subasuba-u5e
      @Subasuba-u5e 9 місяців тому

      Wacha Mungu azidii kuinuwa man of God u bless me with all
      Ur song so powerful man of God

    • @furahakombe6786
      @furahakombe6786 4 місяці тому

      ​@@boazdanken❤❤

  • @CeciliaJoel-ty5eb
    @CeciliaJoel-ty5eb 5 місяців тому +2

    Mungu akubariki sana Fanya kazi ya Mungu kwa kuisikia sauti ya Mungu binafs kuna sauti zingine zipo kwa ajili ya kunyamanzisha huduma

  • @jeffrweza4089
    @jeffrweza4089 2 роки тому +6

    Trully speaking I was waiting for these....nlitamani saana collaboo yako na Gwamaka...and God has done it.....barikiwa Boaz

  • @eunicedan
    @eunicedan 2 роки тому +24

    Powerful combination 💪.....love of God kutoka hapa Kenya 🇰🇪 hallelujah 🙌

  • @BrianChosi
    @BrianChosi 24 дні тому

    The time i listened this song i went silent for a while....just thinking the wonders of God!How might is our God!! "Jemedari wa vita" Milima yayeyuka kwa sauti yako tu"😮😮😮...Boaz danken stay blessed!

  • @nsikanyigwinshimpinga9132
    @nsikanyigwinshimpinga9132 2 роки тому

    Yes . Ni Jemedali wa vita nauona Mkono wa Bwana

  • @ab71210
    @ab71210 2 роки тому +22

    God gave me this song when i needed it
    "Milima yatayeyuka kwa sauti yako juu,maana wewe ni Jemedari wa vita, hakuna kama wewe Mungu", na neno lako litimizwe

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 8 днів тому

    I bow down for fearful before the LORD!
    This is anointing , always my heart is melting when i sing this song ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Mwavipa_stev2514
    @Mwavipa_stev2514 2 роки тому +8

    Huyu Yesu hatokuja tokea mwingine kama yeye I'm speechless of him
    I LOVE YOU JESUS ❣️

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Amen utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa wengi ukiweza

    • @vumiliabaraka3326
      @vumiliabaraka3326 Рік тому

      ​@@boazdankenMungu akubariki sana Baba kwani tunaendelea kabarikiwa na kuponywa na nyimbo zako hata hii 2024 Atukuzwe Yesu kwa kuondoa kila mlima maisha mwetu mwaka huu UKAWE WA BARAKA TELE kwetu 2024🙏❤️

  • @adv.elishaserikali1015
    @adv.elishaserikali1015 2 роки тому +10

    My brother Boaz, Mungu na azidishe neema aliyoweka kwako.. you are a blessing of our generation 🙏🏾🙏🏾

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +2

      Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza

    • @floziekiriinya9889
      @floziekiriinya9889 Рік тому

      Napenda vile boaz uimba akimanisha God bless you

  • @GraceCharles-j5y
    @GraceCharles-j5y 14 днів тому

    Mungu awabariki sana ninapo msikiliza baba boazi na kaka gwamaka na Dr ipyana yani ninajazwa nguvu na kubarikiwa sana

  • @Betty__Sankale__Muzik
    @Betty__Sankale__Muzik 2 роки тому +19

    Nyimbo zako zanibariki kila siku❤️❤️ Barikiwa mtumishi wa Mungu wetu 🙌

  • @JoselineSiimaMuganyizi
    @JoselineSiimaMuganyizi 3 місяці тому +1

    Huu wimbo umefanyika kuwa siraha yangu ya kuvuka na kushinda vita. MUNGU akubariki sana Kaka Boazi endelea kunyenyekea tafadhali chin ya mkono wa Bwana wetu aliye hai ili azidi kukukweza na kukuinua mwenyewe

  • @dianaminja3175
    @dianaminja3175 Рік тому +2

    Aliyemfufua Lazaro kaburin siku 4

    • @dianaminja3175
      @dianaminja3175 Рік тому

      EEE Mungu naomba afya yangu ifunikwe kwa damu yako

  • @jyn3439
    @jyn3439 2 роки тому +6

    Oh my.....powerful worship to Him The Most High... To be honest this brother is annointed..Keep going....Blessed in Kenya

  • @bridgetngendo8494
    @bridgetngendo8494 2 роки тому

    Jemedari wa vita.......pigania dada yangu na mama yangu,: acha wakuone ewe Jehovah Rapha kwa maisha yao. Amen

  • @rizikipyuzza3411
    @rizikipyuzza3411 2 роки тому +1

    Might man of war I worship you🙌🙌🙌🙌

  • @dennisadala787
    @dennisadala787 7 місяців тому +2

    Jemedari wa vita hakuna kama wewe milima ya yeyuka kwa sauti😭😭😭

  • @LilianChilumo
    @LilianChilumo Місяць тому

    My God bless you aman of God keep on saving God
    Am watching from kenya and am so much blessed

  • @chrispingibson7200
    @chrispingibson7200 2 роки тому +12

    Anointing over anointing, God is wonderful, he is who he say he is. Be blessed man of God

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +2

      Glory and Honor to Jesus please share kwa wengi ukiweza

  • @geofreykinotimajira4603
    @geofreykinotimajira4603 2 роки тому +1

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌ninani kama yesu🤔🤔🤔🤔🤔 fight all my battles oh lord

  • @FastonChristopher
    @FastonChristopher 11 місяців тому +1

    Jemedar wa vita hakuna kama wewe na Jehovah ndilo jina lako🔥

  • @nandwarobai7149
    @nandwarobai7149 2 роки тому +11

    Kuna uhai wa Mungu kwa huu wimbo,, May God lift you to another level, you're highly anointed great servants of God

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +2

      Utukufu na heshima kwa Yesu

  • @patricianyawira9553
    @patricianyawira9553 2 роки тому +3

    Wimbo una Nguvu sana. Mungu awazidishie Neema yake. Twa waenzi sana hapa Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.To God be the glory!

  • @Privia-s8s
    @Privia-s8s 9 місяців тому

    Wimbo huu unazidi kua mpya kila siku maishani mwangu kama bd tunausikiliza 2024 tuzidi kutiana moyo

  • @P.W.I.P.I_MINISTRIES
    @P.W.I.P.I_MINISTRIES Рік тому +1

    Mighty Man of War
    Jemedari wa Vita hakuna kama wewe🙌🙌🙌🙌

  • @njerujohnson
    @njerujohnson 2 роки тому +13

    This son elevates my spirit to another level @ Boaz God has used you to lift the spirit of worship in me may Good lord increase you bro🇰🇪🇰🇪

  • @jofreygrace9665
    @jofreygrace9665 2 роки тому +1

    Ainuliwe yesu zaidi ndani ya nchi yetu

  • @williamntipapa6934
    @williamntipapa6934 2 роки тому +12

    You never disappoint man of God
    Yesu azidi kukuinuia zaidi kwa viwango vya juu 🔥🔥

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +3

      Glory and Honor to Jesus

    • @williamntipapa6934
      @williamntipapa6934 2 роки тому +3

      Much welcome man of God can't wait to see you soon at our church we really love your song indeed it has really change many hearts
      Welcome to Kenya 🇰🇪

  • @emmanuelmtwanamanjama2265
    @emmanuelmtwanamanjama2265 2 роки тому +4

    Wow🔥🔥🔥Milima kwa Kwelii Mtumishi Ya Yeyuka katika Jina la Yesu.
    Magonjwa si Sehemu yetu (Isaiah 33:24),Madeni yotee Yameyeyuka.

  • @favouriteswangechi9697
    @favouriteswangechi9697 2 роки тому +2

    Jehovah Thankyou for raising true worshippers in these last days😭😭😭.
    My heart spirit body is edified.
    The Lord uplift you more servant of the Lord as you continue yielding 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @mercyprecious98
    @mercyprecious98 2 роки тому +2

    God is real 🙏🙌🙌Jemedari wa vita,amenipigania mahali kwingi ,siku zote nashukuru from Mombasa Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mathewmwasangwale4205
    @mathewmwasangwale4205 2 роки тому +1

    Ipo Nguvu ya uponyaji inatembea ndani ya uwepo wa Mungu

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Amen Glory and Honor to Jesus

  • @drgee4736
    @drgee4736 2 роки тому +6

    He is the Great King Might Man of war! 💪🏾

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Amen utukufu na heshima kwa Yesu

  • @kinywimwarabu2087
    @kinywimwarabu2087 Місяць тому

    Milima ya ukosefu wa kazi iyeyuke leo hii🙏🙏 milima ya kukataliwa na wachumba, wanaokutumia na kukuacha iyeyuke leo🙏🙏

  • @johnanyandwile8947
    @johnanyandwile8947 2 роки тому +16

    We bless You God for your anointing and for the power of the holy Spirit within these men of God, BOAZ DANKEN & GWAMAKA MWAKALINGA.

  • @pelecymsemwa8107
    @pelecymsemwa8107 2 роки тому

    Yesu ni jemedari wa vita siku zetu zote ashukuriwe Mungu akutumiaye kudhihirisha utukufu wake na ukuu wake. Utukufu wa Mungu uwe we siku zote mtumishi wake

  • @williamntipapa6934
    @williamntipapa6934 2 роки тому +6

    Along awaited worship #jemedari wa vita@
    With this great Giants of the most high God more blessings to you

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 Рік тому

    Mlima wa kutojenga uyeyuke kwa jina la Yesu, na mmi nikajenge , nipate kibali Cha kumiliki nyumba nisingoje Tena Hallelujah

  • @winniemwangi1610
    @winniemwangi1610 2 роки тому +12

    This is such a powerful song🙏🔥
    He is indeed a powerful God
    He is melting down all situations
    Am Blessed from Kenya 🇰🇪

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 Рік тому

    Mungu akuzidishie unyenyekevu ili uduma yako ikuwe zaidi, usitafute kuonekana kama waimbaji wengine acha Mungu wako aonekane Kwa watu, Mungu atakuzidisha.

  • @godfreybala4704
    @godfreybala4704 2 роки тому +4

    God much bless Tanzania for our artist of gospel.we get victory through this song God continue BLess and win any situation we through. AMEN

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +3

      Is not us Is Jesus in us Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza

    • @godfreybala4704
      @godfreybala4704 2 роки тому +1

      Thanks you

  • @Geo_88
    @Geo_88 2 роки тому +13

    He's a Winning God Indeed🔥🔥👌
    God Bless you Brother Boaz🌟🌟
    You're a gift from Heaven!
    Blessings from Kenya🇰🇪

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +2

      Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza

    • @Geo_88
      @Geo_88 2 роки тому +1

      I'm spreading it widely😊❤

  • @yohanakilamaministry9543
    @yohanakilamaministry9543 2 роки тому +1

    HAKIKA HII NI SAA YA WAABUDIO HALISI KWA KUMEABUDU YEYE AMBAYE MILIMA INAYEYUKA KWA SAUTI YAKE TU.........
    POWERFUL 🔥🔥🔥
    GOD BLESS YOU MAN OF GOD

  • @myalanity5207
    @myalanity5207 2 роки тому

    Huwa unanifanya moyo wangu kujiskia kuomba na kuabudu kila naposikiliza nyimbo zako.ubarikiwe saana mtumishi

  • @nemaLoshirari
    @nemaLoshirari Місяць тому

    Such amazing blessing song.utukufu apewe Yesu Kristo ❤

  • @FarajaLegnand-lc9jl
    @FarajaLegnand-lc9jl Рік тому

    Nyimbo zako zaubariki Saba moyo wangu ubarikiwee Zaid naMungu aendlee kukuinua ktk utumishi huo 🙏

  • @deboramalakasuka5396
    @deboramalakasuka5396 2 роки тому

    Hakika nimemwona MUNGU akifanya kazi na milima yote iki yeyuka katika familia yangu 😭😭😭 hakika unastahili sifa za moyo wangu eeh MUNGU uketie anzini 😭😭😭😭

  • @JoseLittoh-
    @JoseLittoh- 2 роки тому +8

    Powerful song. Listening from 🇰🇪 🇰🇪 and being blessed

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому +1

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

    • @lukapastory
      @lukapastory 2 роки тому

      @@boazdanken safi, lakn Boaz usisahau kuwa mapambo kwa wadada nywele bandia ,hereni n k ni dhambi

    • @Edibily_Manyaga
      @Edibily_Manyaga 2 роки тому

      @@lukapastory duh kaka hapa umezidisha...! Sitaki kusema sana...! Ila shika ulichonacho tu baba ikutoshe, wenzio tunabarikiwa na muonekano wao...! Tena wamependeza sana kwa utukufu wa Mungu

  • @christinetusu9926
    @christinetusu9926 2 роки тому

    Amen Jemedari wa vita yeyusha milima yote inayozunguka nchi yangu Kenya sasa hivi kwa kina la Yesu.

  • @Luckychur
    @Luckychur 2 роки тому +8

    Woooow 💕💕
    Such a blessing song
    For sure He is a mighty worrior

  • @dovekaloki
    @dovekaloki 4 місяці тому

    Indeed this is a powerful song
    God bless you minister Boaz

  • @ntulikapologwe6162
    @ntulikapologwe6162 2 роки тому +8

    what a combination of my two lovely brothers ! Such a powerful worship song, Mungu azidi kuwainua watumishi

  • @philliswanjiru
    @philliswanjiru 4 місяці тому

    This song now 😊 you are holy Jesus Jesus ❤❤❤❤ Jesus to the end,who is happy to know Jesus 🥰🥰😍

  • @shaibumbwilo9938
    @shaibumbwilo9938 2 роки тому

    Mwaimba vema kwa utukufu wa Mungu,wasaidieni na kuwaonya walionyoa denge /panki,walioweka mawigi/nywele bandia vichwani mwao,mambo hayo ni machukizo kwa Bwana,na pia wasilinajisi kundi la Bwana.kama hawajaokoka wasaidieni wamjue Mungu wa kweli. Maana Mungu yule ni mwenye wivu .

  • @isaacsimalif6185
    @isaacsimalif6185 2 роки тому +1

    Kenya twawapenda maana munatubariki sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤍🤍🤍

    • @jonathankeya854
      @jonathankeya854 2 роки тому

      We love you Kenyans because you bless us😊

  • @allenmushema5844
    @allenmushema5844 2 роки тому +1

    Ubarikiwe sana 🙏🏾

  • @mercylintyra4888
    @mercylintyra4888 Рік тому

    Jemedari wa vita,niyeyushie milima ya madeni,maangaiko,kukosa kazi usiku wa leo Amen

  • @bethwelebei699
    @bethwelebei699 2 роки тому

    We Kenyan we love you Boaz....tembea adi TURKANA LODWAR leta ministry uku.

  • @EmilyKinya-y2l
    @EmilyKinya-y2l 2 місяці тому +1

    May evey kind of sickness melt in my father's body

  • @anithajaphet4587
    @anithajaphet4587 2 роки тому

    ,Mfalme mkuu unastahili heshima na utukufu ni kwako tu Baba🙌

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza

  • @goodluck6936
    @goodluck6936 8 місяців тому +1

    How I'm i coming across this song a year later,aaah Jeeesus😭😭🙏❤️

  • @butwawestonmwailubi
    @butwawestonmwailubi 2 роки тому +1

    Ooh hallelujah hallelujah Glory to God Glory to God.... Mubarikiwe watumishi Boaz Danken vs Gwamaka mwakalingaa ... Mmekuwa BARAKA sana kwangu ... Mungu AZIDI kuwatumiaa jinsi apendavyoo... Mubarikiwe mnooo

  • @rachelmalimbwi1748
    @rachelmalimbwi1748 2 роки тому

    Jemedari wa vita hakika ni Yesu tuu wimbo huu unanguvu za Mungu zisozo za kawaida

  • @GwakisaMwakyoma
    @GwakisaMwakyoma 4 місяці тому

    Neema ya Mungu izidi just yautumishi wako Boaz na Barikiwa sana

  • @paulosmbena2834
    @paulosmbena2834 2 роки тому

    Balikiwa Sana mtumishi kwa wimbo mkuu mno kwa sauti nzuri kbisa Toka kwako iliyowekwa na mungu kwa makusud maalum,mungu azidi kuwatumia kwa utukufu wake.

  • @mariumngusa571
    @mariumngusa571 Рік тому

    Jemedari wa vita hakuna Kam wewe milima yayeyuka Kwa sauti yako tuuu, ubarikiwe sana kaka Boaz hakika nabarikiwa na kazi yako ni njema sana sana

  • @patrickmbau5760
    @patrickmbau5760 5 місяців тому

    God bless you sir for allowing His spirit to lead you in writing songs.

  • @abelmeliu2522
    @abelmeliu2522 2 роки тому +1

    Nyimbo zako mtumishi wa Mungu ni za baraka sana katika mwili wa kristo. Hizi ndizo tenzi za rohoni za wakati huu na wakati ujao.

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Utukufu na heshima kwa Yesu sio zangu ni za Yesu kwajili ya Kanisa. Utukufu na heshima kwa Yesu. Please share kwa wengi ukiweza

    • @wilkisterlusuli7084
      @wilkisterlusuli7084 Рік тому

      @@boazdanken may God continue using you servant of God.am blessed

  • @dominiclupembe8517
    @dominiclupembe8517 2 роки тому +1

    Uku ndo kwenye rahaa ❤🔥🔥❤❤

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza

  • @e-star454
    @e-star454 2 роки тому

    Milima yayeyuka kwa sauti Yako.... powerful.

  • @joshuakamwela4095
    @joshuakamwela4095 2 роки тому

    MUNGU awabariki kwa huduma nzuri neema ya YESU KRISTO iendelee kuwabariki na kuwainua kihuduma .

  • @AminaJoni-v5o
    @AminaJoni-v5o 5 місяців тому

    Amen San naamin hakuna mlima utakao baki umesimama ktk maishaa yangu napokea kwa jina la YESU👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @PriscusCosmas
    @PriscusCosmas 5 місяців тому +1

    Barikiwa Sanaa mtumishi wa MUNGU

  • @dianaminja3175
    @dianaminja3175 Рік тому +1

    Milima ya yeyuka kwa sauti yako tuu

  • @marysrevocatus1413
    @marysrevocatus1413 2 роки тому

    Huu wimbo niliuimba sikumoja usiku mzima hakika kuna mlima uliyeyeka ,huwa nautumia sana kuniweka uweponi

  • @stephenmuikamba7166
    @stephenmuikamba7166 9 місяців тому

    Yuko jemedari wa vita...,Kila milima iliyo mbele yangu yayayuka kwa jina Takatifu la Yesu Kristo...... Amen 🙏🙏🙏

  • @ianwairite3027
    @ianwairite3027 2 роки тому

    Asante sana Kwa Huu wimbo,Uko sawa kabisa,,alafu nina ombi la ngoma ya Chackacha 🙏🙏

  • @IAMSucc3ss
    @IAMSucc3ss Місяць тому

    Powerful! This song came to heart, and it is relevant to this time! God bless you sir!

  • @eglahelenkikuli8354
    @eglahelenkikuli8354 2 роки тому

    Wewe ni Jemedari wa Vita,umetukuka Bwana Kila pembe,dunia yote na inyamaze kimya mbele zako...Adonai Mungu mwenye Enzi ni wewe Bwana,Milima yayeyuka mbele zako kwa sauti yako.....ooooh hallelujah hallelujah

  • @MikeONYII_
    @MikeONYII_ 2 роки тому +1

    Hakuna kinachomshinda Jemedari wa vita🙌🙌
    Listening from Kenya, blessed as we Trust God awaiting elections in 2days time

  • @janenjoroge5018
    @janenjoroge5018 2 роки тому

    Jesus the mighty man of war,there is no other God but you.

  • @salomemjema8242
    @salomemjema8242 2 роки тому +1

    Nimebarikiwa sana na wimbo huu. Asanteni sana Watumishi wa Mungu Boaz Danken na Gwamaka Mwakalinga. Jemedari wa vita Hakuna kama Yeye Aliye Mfalme Mkuu, Hallelujah 🙏🏾

  • @lillianmusembi8666
    @lillianmusembi8666 2 роки тому

    Jemedari wa vita hakuna kama wewe ......milima yayeyuka kwa sauti yako tu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️

  • @golavujoseph5703
    @golavujoseph5703 2 роки тому +1

    We bless your name Lord in higher barikiwa sana brother Boaz GOD keep you hadi uuone ufalme wa MUNGU

  • @salamam8721
    @salamam8721 Рік тому

    Mimi wakwanza wimbo uhu ume ni fungua Mungu wa mbinguni akuongaze zaidi na zaidi

  • @HIGH-VOLTAGEco
    @HIGH-VOLTAGEco 9 місяців тому

    Boaz may the God Almighty who never changes give you long life,you deserve it,keep it up.

  • @CosmasYambazi
    @CosmasYambazi 4 місяці тому

    Amen sana barikiwa mtumish wa Mungu 🙏🙏🔥

  • @beatricemwasunda5027
    @beatricemwasunda5027 2 роки тому

    Huyu Mungu huyu,unayemtumikia braza,wanasema hana upendeleo ila kwako Naona umepata Kibali cha pekee,Basi huyu Mungu anayeinua watu,Azidi KukukuinuaBrazaZIDIkunyenyekeaBrazaNajifunzaKutokaKwako...barikiwa

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 роки тому

      Utukufu na Heshima kwa Yesu please share kwa wengi ukiweza