UJASIRIAMALI NI NINI? - Richard Mabala

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 бер 2021
  • Ili tufahamishane kuhusu ujasiriamali ni lazima tuambiane ukweli kuwa sio rahisi na ni lazima kufanya kazi ili vitu vitokee. Na mjasiriamali ni mtu ambaye anakuwa mbeba maono kwa maana ndiye anayejua wapi chombo kinakwenda.
    .
    Karibu umsikilize Richard Mabala, mwalimu na mwandishi wa vitabu maarufu vya "Hawa The Bus Driver" na "Mabala The Farmer" akifafanua maana ya ujasiriamali na mjasiriamali ni nani anatakiwa kuwa na tabia zipi.
    .
    Kujiunga na group la SPN BOOKS CLUB
    Tuma whatsapp text : SPN BOOKS CLUB kwenda 0759191076
    .
    Channel yangu yenye video fupifupi ( EZDEN SHOT CLIPS)
    Click hapa: / channel
    .
    Usiache ku SUBSCRIBE na kuacha mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE pia kwa wengine.
    .
    TUFUATE INSTAGRAM:
    SPN CHANNEL: / successpath_network
    EZDEN JUMANNE: / ezdenjumanne
    .
    BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU:
    EMAIL: successpathnetwork@gmail.com
    WHATSAPP : (+255)759191076
    .
    TAZAMA ZAIDI KUTOKA KWETU:
    ⚫️ EZDEN JUMANNE: • EZDEN JUMANNE
    ⚫️ VITABU: • JE, TEKNOLOJIA INADUMA...
    ⚫️ VICTOR MWAMBENE: • TUMIA WATU KWA NJIA HI...
    ⚫️ HAMASA YA LEO: • SOMO LA MAISHA | Hamas...
    ⚫️ NDOA: • JIFUNZE MAMBO MANNE (4...
    ⚫️ AFYA: • Njia Salama za Kutoa S...
    #Mjasiriamali #Ujasiriamali #Biashara

КОМЕНТАРІ • 42

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 роки тому +3

    Mara yangu ya kwanza kumuona huyu mzee na nimemkubali kinyamaaaaa🤝🤝🤝

  • @sylvesterjose3286
    @sylvesterjose3286 3 роки тому +2

    Kweli Mwl. Richard Mabala nimekumbuka maisha yetu hapo Kibosho Girls. Uzoefu umekuongezea hekima, umenivutia na nasaha zako.

  • @mrishomussa7826
    @mrishomussa7826 3 роки тому +2

    Kaka nakushuru sana umenitoa moja ya hatua katika kazi zako allah akujaalie kila lenye kheir ww na familia yako.

  • @ibrahimhemedi9079
    @ibrahimhemedi9079 2 роки тому +1

    This is inspiration and informative mzee wetu kweli kabisa

  • @mossesezekiel7862
    @mossesezekiel7862 2 роки тому

    Ahsante kwa mafunzo Mzee wangu nilikua napenda sana kitabu chako Cha Mabala the farmer na nimejifunza meng!!! Shukran sanaa Mzee wangu!!!

  • @ditrickfedrickkihombo3324
    @ditrickfedrickkihombo3324 3 роки тому

    10%-Inspiration,Motivation n.k
    90%-Perspiration
    Nimejifunza kitu cha kufanyia kazi Immediately

  • @sabathamos3156
    @sabathamos3156 3 роки тому +1

    Nabadilika aise

  • @omannew4380
    @omannew4380 3 роки тому +1

    Nimefarah Leo kumuona Richard mabala

  • @joharishija3932
    @joharishija3932 3 роки тому +1

    Asante nimepata mawazo mapya kutoka kwake

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 3 місяці тому

    Emeni

  • @allymalloko6915
    @allymalloko6915 3 роки тому +1

    Hakika ni zaidi ya somo nakupata sana

  • @charlesfaida1515
    @charlesfaida1515 3 роки тому

    Asante Sana Bro 💪 God bless you

  • @cleopatraadolf6492
    @cleopatraadolf6492 3 роки тому +1

    Asantee nimefunguka kwa kias flani mzee

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 Рік тому

    HASANTE sana BABA japo ni Mzee lkn unatupa elimu mzuri sana shukran

  • @selenganyagawa1358
    @selenganyagawa1358 3 роки тому

    Ahsante kwa mtazamo huo, hamasa muhimu kabisa, najua sio Mimi tu kuyafurahia mawazo yako, nimepata kitu kwako ndugu.

  • @HassanHassan-si2rt
    @HassanHassan-si2rt 3 роки тому +1

    Nakupata bro ezden jumanne Nikiwa hapa ukonga magereza

  • @johariphilemon8630
    @johariphilemon8630 3 роки тому

    Asante Sana baba lazima tupambanie ndoto zetu

  • @nrwawanndeny7394
    @nrwawanndeny7394 3 роки тому +1

    Eka mbee Mabala!

  • @rajabukulala6669
    @rajabukulala6669 3 роки тому +1

    Umekuja kurekebisha sehemu ambazo zilikuwa haziko sawa,

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 2 роки тому

    Asante sana hakika niujumbe muhimu

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 роки тому

    Smart

  • @f2abooksuppliers122
    @f2abooksuppliers122 2 роки тому

    Ulijiandaa bila kujijua kwa maana ungejijua ungekuwa bora zaidi yakutojijua.

  • @khamisyasin3276
    @khamisyasin3276 3 роки тому +1

    Kweli kabisa nimeelewa

  • @zemgotanar5264
    @zemgotanar5264 3 роки тому +1

    Nimecherewa kumfaham mzee wangu rakin bg mtakusikiriza sana kwani nakuerewa vizuri sana

  • @amirirajabu4209
    @amirirajabu4209 3 роки тому

    Nimejifunza

  • @issackngasa953
    @issackngasa953 3 роки тому +1

    Nakumbuka uliwahi kuja shuleni kwetu kipindi nikiwa sekondari sikuamini kama ndo ww mwandishi wa vitabu

  • @barutiabuu9492
    @barutiabuu9492 2 роки тому

    Kweli mqalimu wetu

  • @namandamzuma5478
    @namandamzuma5478 3 роки тому +1

    When you feel Backache , drink a little Mtama. Ahahaaaa
    'Mabala The Farmer' Ahahaaaaaa

  • @yassirmohammed5067
    @yassirmohammed5067 3 роки тому +1

    🤓RISHARD MABALA

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 Рік тому

    DARASA HURU
    HONGERA SANA KWA KUTUPATIA ELIMU HII

  • @gerardamos5689
    @gerardamos5689 3 роки тому

    Thanks alot bro! Nmejifunza vingi sana

  • @Master_antidote_official
    @Master_antidote_official 3 роки тому +1

    Dream joker tunned

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 роки тому +1

    Nampiga alale saa zangu za kazi😂😂😂

  • @jamesgasper6611
    @jamesgasper6611 3 роки тому +1

    🤲🤲🤲🤲🤲👉👍👏

  • @charlesmyamba8531
    @charlesmyamba8531 3 роки тому

    Asant nimejfunza mengi

  • @nicksonmadenge8246
    @nicksonmadenge8246 3 роки тому +1

    Nmejifunza kitu kaka

  • @rajabukulala6669
    @rajabukulala6669 3 роки тому +3

    Ivi huyu Kabala ndio ninayemjua mimi ?
    yule wa the farmer?