MAOMBI YA KUMKABIDHI BWANA MAMBO YAKO by Innocent Morris

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2022
  • MAOMBI YA KUMKABIDHI BWANA MAMBO YAKO by Innocent Morris
    Mambo ya watu wengi hayafanikiwi kwa sababu wanaanza pasipo kumkabidhi Bwana. Wengine wanafahamu umuhimu wa kumkabidhi Bwana lakini hawafahamu namna ya kumkabidhi Bwana mipango yao au mambo yao. Katika maombi haya nimeelekeza yote na nimeomba pia.
    Biblia inasema katika Mithali 16:3 kwamba "Mkabidhi Bwana kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika."
    Tafsiri ya Biblia ya Habari Njema imetumia lugha rahisi sana inasema
    "Mwekee Mwenyezi-Mungu kazi yako, nayo mipango yako itafanikiwa."
    Methali 16:3 BHN
    Ili mipango yetu ifanikiwe ni lazima tumkabidhi Bwana Yesu kazi zetu, atawale Yeye. Kuna faida kubwa sana kufanya kazi yako na Yesu.
    Karibu tuombe pamoja. Hakika mipango yako yote na mambo yako yote yatafanikiwa.
    Ubarikiwe sana.
    Contacts: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    UA-cam Link:
    / holyspiritconnect

КОМЕНТАРІ • 98

  • @mattewwaga5033
    @mattewwaga5033 Рік тому +1

    Bwana yesu nakukabinzi kazi zangu zonte na ulinzi wako na Maisha yangu bwana wangu yesu kristo amen

  • @warshatissa7128
    @warshatissa7128 8 днів тому

    Mungu tawala maisha Yangu na Familia Yangu na kila kitu nilichonacho bwana yesu njoo unitawalie mwenyewe ameen

  • @user-xg4ro5mq4l
    @user-xg4ro5mq4l 18 годин тому

    Amen and amen 🙏

  • @pendomartin1809
    @pendomartin1809 Рік тому

    Asante bwana yesu kwa kunitua mizigo niliyokuwa nimebeba na kutawala maisha yangu kwa jina la yesu amina

  • @renaldamaiwa7266
    @renaldamaiwa7266 Рік тому +2

    Bwana Yesu nakukabidhi maisha yangu kwako, nakukabidhi watoto wangu, mamangu na familia yangu yote. Bwana Yesu naomba uniondolee matatizo yote niliyo nayo kwa maisha yangu magonjwa, dhiki, kukosa Amani. Uwatazame pia watoto wangu kwa matatizo waliyo nayo kwa jina la Yesu tunaomba na kuamini Amina.

  • @user-hh2eq4pp2o
    @user-hh2eq4pp2o Місяць тому

    Amen God thank you

  • @rebeccakiloba
    @rebeccakiloba Рік тому

    Najiungamanisha mimi na kizazi change mungu atende amen

  • @user-qh4de7gz6i
    @user-qh4de7gz6i 5 місяців тому

    Nakukabidhi bwana mipango yangu yote kwa jina la yesu kristo

  • @rachelmdoe8331
    @rachelmdoe8331 Рік тому

    Mungu nakukabithi mawazo yangu, mahitaji yangu, biashara yangu, kazi yanga watoto wangu, familia yangu Mungu ukatende sawa na mapenzi yako naomba ukatawale popote nitakapokuwa

  • @Brendacherotich190
    @Brendacherotich190 Рік тому +1

    Amen amen amen 🙏🙏🙏 thank you Jesus 🙏🙏🙏

  • @mamabetty7925
    @mamabetty7925 Рік тому

    Bwana Yesu ninakukabidhi mipango yangu yote siku ya leo

  • @deogratiusmwihava8315
    @deogratiusmwihava8315 Рік тому

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu Hakika Mungu Baba akutunze na akuhifadhi kwaajili yetu kwani Binafsi nabarikiwa sana na maombi yako na mafundisho yako Ubarikiwe sana ,Nami kwa jina la Yesu kristo najiambatanieha na maombi haya yakumkabidhi Bwana Mambo yangu:
    1.Kazi zangu
    2.Njia zangu
    3.Mipango yangu
    4.Familia Yangu
    5.Mawazo yangu na mengine mengi kadiri MUNGU atakavyo pendezwa nami....Amen

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 Рік тому +1

    Amen amen 🙏

  • @eucabethkerubonyambisa875
    @eucabethkerubonyambisa875 Рік тому +1

    Amen 🙏🙏 🙏🙏 pastor

  • @tausihasheem5169
    @tausihasheem5169 Рік тому

    Bwana yesu nakukabidhi mipango yngu yote..
    Nakukabidhi maombi yangu ya kaz nataka nitume barua za kazi kwenye company flan iv mimi na mdogo wangu Naomba Bwana YESU utufanyie njia pasipo na Njia. .🙏🙏

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 Рік тому +1

    MUNGU BWANA YESU BWANA YESU TAWALA maisha yangu tawala familia yangu tawala kizazi changu tawala kz yangu mawazo yangu

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 Рік тому +1

    Tawala kila eneo la maisha yangu pamoja na family yangu

  • @user-ue4zf6cr3s
    @user-ue4zf6cr3s Місяць тому

    🎉beans nakukabidhi magonjw yote yanayo nisumbua

  • @user-xg4ro5mq4l
    @user-xg4ro5mq4l 18 годин тому

    🙏🙏🙏

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp Рік тому

    Mungu anisaidie

  • @andrewmhagama9816
    @andrewmhagama9816 Рік тому

    Nimempokea bwana Yesu leo

  • @feminakidiavai5849
    @feminakidiavai5849 11 місяців тому

    Asante sana mchungaji kwa muongozo wa maombi

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp Рік тому

    Namkabithi mungu watoto .kazi

  • @weldersirinimakelemopeter4671
    @weldersirinimakelemopeter4671 Рік тому +1

    Aminaaa

  • @dhahabuhenry8466
    @dhahabuhenry8466 Рік тому

    Mtumishi nimempokeya bwana niombe

  • @molinacoo
    @molinacoo 10 місяців тому

    Amen. Thanks

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 місяці тому

    Amen amen amen YESU AHSANTE 😢Ubarikiwe

  • @user-ey1ws9cb7i
    @user-ey1ws9cb7i 6 місяців тому

    Amen🙏

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 Рік тому

    Amen

  • @josphinengugi4978
    @josphinengugi4978 Рік тому

    Amen amen Mungu akubaliki Mungu akulide mutumishi wa mungu you are blessed Man

  • @josphinengugi4978
    @josphinengugi4978 Рік тому

    Amen amen Mutumishi wa mungu mungu akubaliki asanti kwa kutuongosa

  • @yustersteven9253
    @yustersteven9253 Рік тому

    Nibalik mm piah na uzao Wang wot

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 4 місяці тому

    ameneen

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Місяць тому

    Ameen

  • @eucabethkerubonyambisa875
    @eucabethkerubonyambisa875 Рік тому +1

    Naomba ndoa yangu na nakabidi bwana yesu naomba uniombee nipate kazi Kwa Robinson security office

  • @neemametison1477
    @neemametison1477 Рік тому +2

    Ameni, najiungamanisha ktk maombi haya ya Leo,ktk jina la YESU kristo Alie hai.

  • @theresentumbakazadizadio1586

    Namkabidzi Bwana maisha yangu,famila yangu,watoto wangu,wajukuu wangu Na huduma yangu Amen

  • @zaitunkassim9564
    @zaitunkassim9564 Рік тому +3

    Asante Bwana Yesu kwa kutawala katika kila eneo la maisha yangu na uzao wa tumbo langu. Na Asante pia kupokea mizigo yangu yote, katika jina la Yesu Kristo Ameen 🙏

  • @brokermangimwanzatanzania8836

    Ameni

  • @elizabethsembuyagi9981
    @elizabethsembuyagi9981 Рік тому +1

    Bwana Yesu nakukabidhi mipango yangu yote ktk jina la Yesu

  • @bahatim872
    @bahatim872 Рік тому

    Nakabidhi kila eneo kwenye maisha yangu, ukatawale wewe tu Yesu Kristo

  • @candidakalembo7035
    @candidakalembo7035 Рік тому +1

    Amen 🙏 najiunganisha na madhabahu hii katika jina la Yesu Amen 🙏

  • @helinakipkwea5278
    @helinakipkwea5278 Рік тому

    Ameni katika jina la yesu , najiunganisha na madhambao haya juu ya kumkambidhi bwana yesu mambo yangu yote

  • @dorothylukindo9124
    @dorothylukindo9124 Рік тому +2

    BWANA YESU Asifiwe Mtumishi w MUNGU,Nimebarikiiwa Sana n huduma yako,Naomba unitumie no yako kw huduma zaidi, Asante!!!

  • @elizabethsembuyagi9981
    @elizabethsembuyagi9981 Рік тому +1

    Yesu nakupenda Mungu yangu mzuri kutoka moyoni mwangu

  • @bossladyjv3828
    @bossladyjv3828 Рік тому +1

    maisha ya familia yangu na yangu pia nayakabidhi kwa Bwana Yesu katika jina la yesu kristo hakuna mwingine isipokua yeye

  • @blandinaandrea8259
    @blandinaandrea8259 Рік тому +1

    Bwana yesu nakukabidhi kazi zangu zote na mipango yangu yote eeeh yesu nisikie kilio changu

  • @edithakailembo2246
    @edithakailembo2246 Рік тому +1

    Amina namkabidhi Bwana Yesu kila kitu changu akatawale yeye

  • @annadadi3427
    @annadadi3427 Рік тому +1

    🙏🙏Nakushukru Mungu Kwa Ajiri yawema wako kwangu na Familia yangu kukubsli Kutawala ktk kila Eneo la Maisha yangu naUzao wa Tumbo langu NaAsante kukubali Kubeba Mizigo yetu yote Nakutawala ndani yetuEmen Emen♥️👏👏

  • @bossladyjv3828
    @bossladyjv3828 Рік тому +1

    Nakabidhi kila kitu kwako Yesu ni wewe Bwana Yesu ni wewe hakuna Mungu kama wewe

  • @lucynyaguthii6978
    @lucynyaguthii6978 Рік тому +1

    Amen amen

  • @lucasmaro4172
    @lucasmaro4172 Рік тому +1

    Amen.

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 Рік тому +1

    Nimepokea uokovu

  • @user-pv9gm8df8w
    @user-pv9gm8df8w 3 місяці тому

    Bwana yesu nakukabidhi mipango yangu yote

  • @shazzysymon6835
    @shazzysymon6835 Рік тому +2

    BWANA YESU, BWANA YESU tawala maisha yangu, tawala wazazi wangu, tawala ndugu zangu, tawala mtoto wangu, tawala mahusiano yangu, tawala kazi yangu, tawala kila sehemu ya maisha yangu AMEN 🙏🙏

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 Рік тому +2

    Lord Jesus today I submit my daughter and myself anything concerning me in your hands. Thank you Lord Jesus.

  • @lucynyaguthii6978
    @lucynyaguthii6978 Рік тому +1

    Nakabidhi kila kitu yangu yesu hakuna Bwana yesu kama wewe

  • @saumujoseph5177
    @saumujoseph5177 Рік тому +1

    Pastor nisaidie 🙏🙏🙏 nko Saudi Arabia naomba kurudi Kenya plz pastor ntohuku plz🙏🙏🙏😭😭

  • @juliekahambu7474
    @juliekahambu7474 Рік тому

    Amen

  • @Esther-Bri
    @Esther-Bri Рік тому +2

    AMINA AMINA BARIKIWA Sana mtumishi

    • @mariandunguru9135
      @mariandunguru9135 Рік тому +1

      Asante mungu, namkabidhi matokeo yangu ya mitihan mikinon mwako, namkabidhi bab Jay.namkabidhi mwanang, family angu,mipango yangu yote na kabiddhi mipango ya baba j ikawe ya ukweli, namkabidhi kila kitu ktk maisha angu nakukabidhi yesu, nitendee sawa na mapenzi yako

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  Рік тому

      Ameen

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  Рік тому

      Ameen ameeen

    • @rebeccakiloba
      @rebeccakiloba Рік тому

      Amen