MAOMBI: OMBA MUNGU ATANGULIE MBELE YAKO by Innocent Morris
Вставка
- Опубліковано 28 лип 2021
- MAOMBI: OMBA MUNGU ATANGULIE MBELE YAKO by Innocent Morris
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
/ holyspiritconnect
Facebook Link:
/ holyspiritconnect
UA-cam Link:
/ holyspiritconnect
Asante sana mtumishi wa Mungu,sijui nisemeje lakini. Kushirikiana na wewe kimaombi nimepata amani na kuuona mknono wa Mungu.naomba Mungu aendelee kukutangulia kwenye huduma hii amina
Bwana wa Mungu utangulie mbele yangu katika kila eneo la maisha yangu🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Mungu wangu wambinguni nitangulie siku zote za maisha yangu
Bwana yesu nitangulie katik ndoa yangu mtangulie mmewangu kwakila utafutaj wake ongoza Maisha yetu mungu wetu katangulie
Mungu nitangulie mbele yangu Mimi pamoja na familia yangu Kwa jina la yesu
Ameen
Ee Mungu naomba utangulie mbele. Kwny kila hitaji langu na mahitaji ya washirika wote wa Madhabahu hii🙏🙏
Ameen
Unitangulie ee Yesu katika kila eneo la Maisha yangu🙏
Ameen
Asante Bwana Yesu kwa maombi haya. Bwana Yesu tutangulie ktk ndoa za wtt wetu. Amen.
Mungu tangulia mahali popote nitakanyaga nifanikiwe Amina
Eee Mungu Naomba unitangulie mbele yangu kwa jina la Yesu
Mungu anitangulie kila jambo la Maisha yangu atangulie
Naomba mungu awatangulie watoto wangu na mimi aniponye na kuumwa kichwa kila siku
Ameen ameeen
Eee Mungu utangulie maisha yeti,ndoa za watoto wetu,Amira za watoto wetu,afya zetu ktk jina la Yesu aliyehai
Mungu naomba unitangulie vile uliwatangulie Wana wa Israel tangulie kimaisha na families yangu mungu
Bwana Yesu nitangulie katika ndoa yangu.
Amen 🙏🙏🙏
Ameen
Amen. Mungu tangulia katika maisha yangu. Tangulia mbele yangu Unipiganie na kunishindia.
Asante mtumishi kwa maombi
Ee Mungu nikumbuke usku waleo
Ameen
Asante kwa maombi ya asubui ya Leo bwana yesu naomba unitangulie ktk safari yangu ya kwenda nje ya nchi asubui ya leo
Asante Yesu wewe ni namba moja kwangu. Umeniumba ili nikutumikie Amina.
Ubarikiwe sana kwa neno zuri la Mungu,
Ameen
Amen mungu nitangulie katika atua zangu
Ameen
Amen
Asante mungu kwa kutushindia ,tangulia mbele yetu ukatupatie hazina za gizani.🙏🏼
Ameen
Mungu unita ngulie shida zangu 🙏🙏 Amen Amen
Ee Mungu naomba utangulie mbele yangu. Amina
Mungu tangulia mbele yangu niko katika wakati mgumu sijawahi kupata furaha mahusiano uzao sinaa sinacraha kabisa
.mungu tangulia mbele yangu ktk kila jambo maishani mwangu
Amen 🙏 ubarikiwe kwa kutupa moyo wa kuomba tunaimani Mungu atajibu maitaji yetu ya ulimwengu wa kiroho na ulimwengu wa kimwili.
Bwana yesu tangulia katika safari yangu ya leo
Mungu nitangulie mimi na family yangu kwa jina la yesu Ameen
Mungu peeke yetu hatuwezi tangulia mbele yetu bila wewe sisi sio kitu.Mungu tusaidie . Amen.
Asanti kwa hii maombi moyo wangu ulikua umeinama so nashukuru mungu nmetulia kupitia kwa hii maombi
Amina yesu leo nakukabidhi watoto wangu nataka uwatangulie.itangulie ndoa yangu.itangulie afya yangu
Bwana yesu tangulie mbere zangu 🙏
Mungu ni tangulie mbele yangu
Ameen
Bwana yesu nitanguliye katika safari yangu ya kuwa na mutoto
Mungu nakuomba utangulie mbele yangu
Amen Amen Amen yes
Naomba mungu utangulie katka Mapito Yangu.
Yesu wangu nitangulie bila wewe siwezi
Naomba Mungu unitangulie mbele yangu mimi na watu wangu siku zote za maisha yangu.
Aminaa napokea kwa jina la Yesu
Eeh! Mungu nitangulie Mbele yangu kwa kila sehemu nipitiayo... Naamini kwa Jina LA bwana Yesu kristo. Amen.
Amen 🙏🏽 🙏🏽 🙏🏽 🙏🏽
Ameen
Mungu nitangulie ktk magumu ninayopitia
Amen yesu tangulia mbele yangu
Asante sanaa,Naomba Mungu atangulie mbele yangu, Amen
Ameen ameeen
Mungu akubariki sana past
Nipo hapa kwa Makusudi yako Mungu, Yesu wewe ni kila kitu kwangu...Naomba Uguse Maisha yangu na Familia yangu , ukatubadilishe sawasawa na mapenz yako , Ukakamilishe makusudi yako juu ya yangu na familia yangu huu mwaka 2022 ukawe wa kuvuna na kujenga
Mungu nitangulie kwa hii kazi Na maisha yangu napitia mambo mangumu .....nitangulie mbere ya maisha yangu
Tangulia katika kila jambo katika maisha yangu...Tangulia mbele yangu Bwana.
Ameen mungu akubariki
Hiyo ukuta inayo simama mbele yangu nisioleke ivujike kwa jina na yesu
Amen mwenyenzi Mungu naomba unitangulie kwa kila kitu
Bwana yesu ukatngulie watoto wangu mueni musyoki musoi nawajubfyy wore nakia melisa kilonzo jeden amen tangling jasi yamikono yangu
Bwana yesu nitanguoue kwakila kitu
Amen 🙏
Napokea kwa jina la yesu
Bwana yesu nitangulie naanza safari ya kutafuta pesa ya biashara
Amen Amen
Ameen!Mungu tangulia mbele yangu
Amen and amen
Bwana yesu ukanitangulie kwenye Kila eneo la maisha yangu
Ameen
AMEN Yesu tangulia mbele yangu🙌
Bwana Yesu Naomba utangulie mbele yangu 🙏
We mungu tanguria mbele yngu popote ni nitakupotezea kwa ubaya na watto wangu watangulie mbele yao
Ameen ameeen
Amen Mungu nakuomba utangulie mbele yetu mimi na wanangu
asante yesu
Ameen Ameen
Asante sana kwa maombi haya Mtumishi wa Mungu. Neno kubwa sana na la nguvu mno. Napokea kwa jina la Yesu. Barikiwa
Barikiwa zaidi Mtumishi wa Mungu.... Napokea na kuamini.... Kwa Jina LA Yesu Kristo. Amen.
Yesu naomba tangulia uwapiganie watoto wangu.
mungu naomba unitangulie na watoto wangu natamani kufika kweli mungu nitangulie
Ameen
amen
Ee bwana Mungu nakushukuru, naomba unitangulie Mimi na familia yangu kwa Kila Jambo Amina
Hallelujah in from Riyadh Saudi Arabia
Ewe mwenyezi mungu nitangulie katika kazi yangu na uwatangulie watoto wangu na mama yangu na ndugu zangu ukatawale katika mahisha yetu🙏🙏🙏🙏
Tangulia elimu yanguBwana
Mungu Tangulia Mbele Yangu, Bwana Yesu Tangulia Mbele Yangu Mana wewe Utanipa Hitaji LA Moyo Wangu
Nitangulie bwana
Ewe mwenyezi mungu naomba utangulie ktk njia zangu.🙏🙏🙏
Bwana yesu naomba utangulie mbele yang..tangulia mbele ya familia yangu.pia tangulia mbele ya mume wangu
Amen bwana yesu nitangulie kwa kila jambo
Ameeeeeeen ameeeen Mungu akubariki sanaaaaaaa mtumishi wa Mungu
Amen
Yesu nitangulie kitika kila eneo la maisha yangu
Eeee, asante yesu
Ameen
Ee Bwana Yesu, naomba unitakungulie ktk kila eneo la maisha yangu,maisha ya watoto wangu,ktk maisha ya mama yangu,katk maisha ya family yangu, Amen 🙏🙏🙏🙏
Baba muumba mbingu na nchi naomba ukatangulie familia yeti pia watoto wetu
naomba mungu anitangulie kwa Kila Jambo maana Mimi Kama mtu siwezi
Ameen
Amen Mungu naomba unitangulie kwakila jambo
Nashukuru sana mtumishi wa Mungu ubarkiwe sana kwa mugozo wa maombi
Amen and Amen mungu anitangulie mbele yangu kwa kila jambo
Bwana yesu naomba utangulie mbele yangu kwakila jambo langu kwakila hatua yeyote ninayo kanyaga mbele zako
Elvis mwanangu Mungu. akutangulia ki masomo Amen
Ameni .sitakikutegemea hakilizangu naomba Mungu haingiliekati mahishayangu.yote
Mungu nenda mbele yangu ukinitangulia ww nitakuwa na amani
Hatuwezi bila wewe Yesu niongoze ee Yesu wangu
Yesu tangulia mbele yangu
Asante Yesu kwa neno lako
Kazini setup tangulia Bwana yesu
Bwana yesu tangulia mtoto wangu kwa masomo
Ubarikiwe baba
Amen and Amen kwa jina la yesu
Mungu nitangulie 😭😭😭