MAOMBI: OMBA MUNGU ATAWALE KATIKA KILA ENEO LA MAISHA YAKO by Innocent Morris

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 84

  • @jeniphernamale4603
    @jeniphernamale4603 2 роки тому +1

    Bwana yesu nakukabithi maisha yangu ili nipate ndoa ..na kila mipango ambazo ziko mbele yangu

  • @mkaiteafetu6782
    @mkaiteafetu6782 2 роки тому +3

    Nakukabidh MUNGU wangu kazi zangu zote maisha yangu watoto wangu family yangu Afya yangu

    • @blandinaabdul7232
      @blandinaabdul7232 Рік тому +1

      Nakukabidhi afya yangu mungu wangu 😢 nilinde na magonjwa nakukabidhi watoto wangu biashara yangu ukanilinde kwa damu ya yesukristo ameni 🙏

    • @BabyvisterMjeni
      @BabyvisterMjeni 3 місяці тому

      Amen,amen,ameen

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 2 роки тому +1

    Bwana Yesu ninakukabidhi kazi yangu na Kila kitu nilichinacho

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 2 роки тому +1

    BWANA YESU tawala maisha yangu afya yangu watoto wangu amen

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 2 роки тому +7

    Amen Ameeeen, nakukabidhi ee Mwenyezi-mungu kazi yangu, uchumi wangu watoto wangu, afya yangu, unitangulie e Mungu... 🙏

  • @jeannekatembe6396
    @jeannekatembe6396 2 роки тому +1

    Ameeeen eeee Mungu usitupite mwaka huu katika jina la Yesu Christu

  • @chepkemoirose6994
    @chepkemoirose6994 2 роки тому +2

    Bwana yesu tawala maisha yangu pia watoto wangu pia Mzee wangu na kazi zangu

  • @Homeuse-c5c
    @Homeuse-c5c 3 місяці тому

    Bwana yesu ukatawale mum mzazi tawala familiar yetu yote tawala wajuku wote Bwana yesu ukatawale watoto wangu katika masoma Yao maisha yangu tawala kazi yangu tawala yesu Asante yesu Asante yesu

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 2 роки тому +1

    Mungu tawala Kila eneo ktk maisha yangu

  • @lilianemanuel2579
    @lilianemanuel2579 5 місяців тому

    Amen mtumishi Ebwana nakukabidhi kazi yangu mikononi mwako siku ya leo pamoja na afya yangu watoto wagu wajao katika jina la yesu kristo Amen

  • @happpyfuraha
    @happpyfuraha 2 роки тому +3

    Bwana yesu ni ww katika maisha yangu

  • @Homeuse-c5c
    @Homeuse-c5c 3 місяці тому

    Eee bwana nakushukru kwa kuniponya blood pressure asanti yesu nawakabidhi watoto wangu mikononi mwako wangoze katika njia takatifu bariki mtoto Albert. Anaye fanya exam wa form4 pamoja Emmanuel ambaye anafanya cred 6 damu yako yesu iwavunike katika jina lako takatif Amen Amen

  • @christinemoranga7598
    @christinemoranga7598 2 місяці тому

    Mungu tawala kwa maisha yangu, mtoto wangu , family yetu na kazi yangu 🎉🎉🎉Amen more blessings

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 2 місяці тому

    Naomba mungu atawale familia yangu uchumi wangu watoto wangu Lillian apate mume sahihi pia uchumi wangu ukaongezeke wateja wakanizidie nakukabidhi kila kitu nikiombacho naamini ajira kwa bety akapate ajira amina

  • @mariamwakajila235
    @mariamwakajila235 7 місяців тому

    Bwana Yesu Naomba utawale Maisha yangu na family yangu uchumi pamoja na Biashara yangu

  • @mariamwakajila235
    @mariamwakajila235 7 місяців тому

    Amen Bwana Yesu naomba tawala Maisha yangu na kunifungua Masikio yangu nikisikie vizr na kuongea😭😭🙇🙇🙏🙏🙌🙌

  • @estaraberd1245
    @estaraberd1245 2 роки тому +1

    Ee bwana Nakuomba utawale katka kila eneo la maisha yangu🙏🙏🙏

  • @termankalendo1439
    @termankalendo1439 2 роки тому +3

    Amen. Bwana yesu tawala maisha yangu family yangu kazi yangu masomo ya watoto wangu wazazi wangu ndugu zangu

  • @margaretkapolesya3979
    @margaretkapolesya3979 Рік тому +1

    Amen Amen Amen MTUMISHI WA MUNGU!! nabarikiwa SANA na MAOMBI YAKO MTUMISHI WA MUNGU!! Mungu azidi kukutumia shambani mwake Amen

  • @WinnyMmbaga
    @WinnyMmbaga 5 місяців тому

    Namkabizi YESU maisha yangu yotee Mimi na familia yangu na chochote nilicho nacho

  • @SaraphinaSadala
    @SaraphinaSadala 4 місяці тому

    Mungu nakukabidhi hatua zangu zote , ndoa yangu, uchumi na uzao wangu ukatawale mungu wangu wa wote wenye mwili

  • @JaphethMURILA
    @JaphethMURILA 6 місяців тому +1

    After 2 weeks of chain prayers God is working miracles in my marriage

  • @HappyMwaja
    @HappyMwaja 4 місяці тому

    Amen bwana tawala maisha yangu na mwanangu nakukabidh bwana kaz zangu na mipango yangu nikafanikiwe

  • @Maua-y2c
    @Maua-y2c Рік тому

    Bwana yesu nakabidhi kazi yangu, watoto wangu wazazi wangu na ndungu zangu mifugo yangu

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 2 роки тому +1

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @JovitaChilumba
    @JovitaChilumba 4 місяці тому +1

    Bwana yesu ninakukabidhi mipango yangu yote nilioipanga kuifanya cku ya Leo kwa jina yesu

  • @NelsonChilongola
    @NelsonChilongola 2 місяці тому

    Bwana wangu Yesu Kristo sikia maombi yangu

  • @jeniferkalemela99
    @jeniferkalemela99 2 роки тому +1

    Mungu akubaliki woteeee. Na acu same 💯💯

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 2 роки тому +3

    AMEN. PRAISE LORD GOD ❤️

  • @PhilomenaKalimbanamiminapokeak
    @PhilomenaKalimbanamiminapokeak 3 місяці тому

    Ea mungu nakukabizi maisha yangu biashara yangu watto wangu ndoa yangu na biashara ya mume wangu azidiwe na wateja na chuma ulete anguke chini wafe kilahisi

  • @estergasaya6935
    @estergasaya6935 7 місяців тому

    Mtumishi nimepokea bwana yesu nakukabithi vyote vilivyo ktk maisha yangu

  • @jeniferkalemela99
    @jeniferkalemela99 2 роки тому +1

    Mimi pia na mpa Yesu maisha yangu 🙏🙏✝️✝️👑👑

  • @catherineangaufoo2530
    @catherineangaufoo2530 2 роки тому +2

    Amen& Amen

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp 8 місяців тому

    Amen ubarikiwe san mtumishi wa MUNGU

  • @MalongeEsther
    @MalongeEsther Місяць тому

    Na kukabizi prof mi kononi mwako umu ponye Nina Imani kwako

  • @BonareriDoreen-p8b
    @BonareriDoreen-p8b 2 місяці тому

    Yesu naiweka kazi yangu mikononi mwako na mtoto wangu na wazazi wangu

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 2 роки тому +2

    Amen 🙏🏻🙏🏻

  • @waleedbahar5275
    @waleedbahar5275 4 місяці тому

    Amina MUNGU akulinde na akubariki sana mtumishi

  • @gracedamas5883
    @gracedamas5883 3 місяці тому

    Mungu tawala Maisha yangu
    Utawale

  • @dawsonkaaya4210
    @dawsonkaaya4210 2 місяці тому

    Mtumishi nimepokea Yesu amen.

  • @neemametison1477
    @neemametison1477 2 роки тому +2

    Ameni

  • @perischari3630
    @perischari3630 2 роки тому +2

    amen 🙏🙏🙏

  • @JoyfulLargeTree-ed6pt
    @JoyfulLargeTree-ed6pt 4 місяці тому

    YESU nitawale pekeangu siwez

  • @carolinemwanziajustoh8334
    @carolinemwanziajustoh8334 Рік тому +2

    Amen Amen ameeen

  • @MalongeEsther
    @MalongeEsther Місяць тому

    Baba nipe ndowa Na amini mungu wangu una weza yote

  • @hannahwaithira8163
    @hannahwaithira8163 Рік тому

    Maobi Yako unitia nguvu Amen

  • @HappyjosephMapunda
    @HappyjosephMapunda Рік тому

    Bwaana yesu nimepokea

  • @elizabethmushi3748
    @elizabethmushi3748 4 місяці тому

    Ee bwana yesu nakukubidhi kazi zangu na kila kitu changu

  • @emmabanda6175
    @emmabanda6175 Місяць тому

    Amen 🙏 glory

  • @HeriethNgoda-ys3yx
    @HeriethNgoda-ys3yx 4 місяці тому

    Mimi nipo huru kwa damu ya Yesu kristo

  • @Maua-y2c
    @Maua-y2c Рік тому

    Amen Amen 🙏🙏🙌

  • @HyrieneAkinyi
    @HyrieneAkinyi 6 місяців тому

    Amen God thank you

  • @rahabSinante-xk5zs
    @rahabSinante-xk5zs Рік тому

    In Jesus name Amen.

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 Рік тому

    Lord help me in my salvation life

  • @ClayONeal-s5c
    @ClayONeal-s5c 4 місяці тому

    Bwanayesu nakutwika madeni yada za watoto wangu nisaidie pekeangu siwezi

  • @allenjohn4328
    @allenjohn4328 2 роки тому

    Ubarikiwe sana

  • @sudiadiane
    @sudiadiane Рік тому

    Amen Amen Amen 🙏

  • @allenjohn4328
    @allenjohn4328 2 роки тому

    Ameen ameeen

  • @serinaserina9639
    @serinaserina9639 2 роки тому +2

    Ameen

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 Рік тому +1

    Mungu tawala kila eneo la maisha yangu

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 2 роки тому +1

    Amen

  • @joycenanjala2262
    @joycenanjala2262 2 роки тому +2

    Amen 🙏

  • @maorinebarongo7789
    @maorinebarongo7789 Рік тому

    Amen Amen

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 Рік тому

    Amen and Amen

  • @chepkemoirose6994
    @chepkemoirose6994 2 роки тому +2

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @vailetsay5123
    @vailetsay5123 Рік тому +1

    Amen

  • @MarryShayo-up5cz
    @MarryShayo-up5cz Рік тому

    Amen

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 Рік тому

    Amen 🙏

  • @aminamagaji2645
    @aminamagaji2645 29 днів тому

    Amen 🙏