yaaap,best book lakini kaka ungejaribu kupitia kitabu chengine cha dizain hiyo hiyo kinachoitwa the power of small or why little things make all the difference by linda kaplan thaler.
Icho kitabu mie kesho inshallah ntakinunuwa lakini na naomba unipe link ya soft copy ya kile kitabu ulosema ulikiweka kwenye description kwa free naamini utanijibu comment yang🙏🏼
KUPATA KITABU HIKI:
Wasiliana na Mwandishi Godius Rweyongeza
Tuma Text | Whatsapp | Call
Namba: 0755-848-391
BEI: 20,000 TZS
Popote ulipo kitakufikia
Hiki kitabu ni transformationa book yani ukiwa unakisoma nakuchukua hatua unajiona kabisaa ukielekea unapotaka, Shukran kwa uchambuzi kaka
Karibu sana kaka
Kaka naomba uendeleza historian ya hicho kitabu na Asante Sana nimejifunza kitu
Mwalimu naweza pata kitabu nikiwa hapa Kenya nrb
Kinapatikanaje icho kitabuuu
Elimu yako imekua ikinijenga mara zote niangaliapo video zako,uzidi kubarikiwa bro 🙏
Ahsate sana
Asante sana mwalimu
Broth small is come to big i'm like this topc.
Asante sana
yaaap,best book lakini kaka ungejaribu kupitia kitabu chengine cha dizain hiyo hiyo kinachoitwa the power of small or why little things make all the difference by linda kaplan thaler.
naitaji link iyo nipate kitabu Iko kaka
The tanzanian std seven president
Whatching from vingunguti dar es salaam
Nashauri unapofundisha . Nenda direct poin't. Mb ni ghali
Sawa umesikika...
ahal taarifu lima youtube maaal for taking mb.
Good 👍 content
nami nahutaji kitabu,,gustaph,,bapatikana arusha
Tume huo ujumbe kwenye simu. 0759191076
Asant san bro
Icho kitabu mie kesho inshallah ntakinunuwa lakini na naomba unipe link ya soft copy ya kile kitabu ulosema ulikiweka kwenye description kwa free naamini utanijibu comment yang🙏🏼
Shukrani bro . Be blessed
Shukran kaka kwa elimu yako
good job
Tuko pamoja 🙏🙏🙏
🙏
Ticha edzen
Kitabu
vitabu vyapatikana Kenya?
Tunatuma hapo kaka...njoo whatsapp +255759191076