CASSIAN AWAPA ONYO MKUU WAMKOA NA MWAMPOSA KUUNGANA KUPOTOSHA EV PAACHAL CASSIAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лип 2024
  • #0766998994 #call0688199370 #
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 472

  • @bernardbaitan6539
    @bernardbaitan6539 14 днів тому +4

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. Mungu akupe ulinzi. Malaika zake wakuzingile na panga za moto, mbele , nyuma, kulia na kushoto. Amen.

  • @charlesrweyemamu8352
    @charlesrweyemamu8352 13 днів тому +2

    Asante sana bwana Cassian K kwa kuwa ujasiri; umetuwakilisha kusema kweli tena kweli tupu, barikiwa!

  • @goldermeirshoo1228
    @goldermeirshoo1228 16 днів тому +8

    Mkuu wa Mkoa safi saaana, Mtumishi Cassian uwaache Mungu awashughulikie wenyewe, kwani aliyowaumba anajua, Chalamila kwa upeo wake kashuhudiwa kuwa Kwa Mwamposa yupo Mungu, siyo kwa upeo wako, nimeona tatizo ulilonalo ni Huna Elimu na wengine woote wanaosema wenzao ni ukosefu wa ELIMU

    • @geeoutfitdesgner
      @geeoutfitdesgner 16 днів тому

      kweli kabisa,halafu nilichogungua huyu kadian anawivu anataman yeye ndo angekuwa BBM,,duh kwel watumishi wa mungu wanavita

    • @tezrantangeki5845
      @tezrantangeki5845 15 днів тому

      Urudi bss kijana!
      Acha kupotosha
      Nawe kusanya umati wako...

    • @AGM19697
      @AGM19697 15 днів тому

      Atuonyeshe Mungu wake na sio maneno tu. Hata Yesu alikuja na Neno lake na kulidhobitisha pia kwa matendo

    • @clarisbanza6066
      @clarisbanza6066 14 днів тому +1

      Nyinyi wote mnaopinga ukweli huu na kuteteya uyo agent wa shetani mwamposa nyinyi wote ni wajinga na vipofu wa kiroho

    • @FestoYohana-ll4wk
      @FestoYohana-ll4wk 7 днів тому

      ww ndio kipofu mbona yy kaz yake haionekani kaz mdomomdomo hata mgonjwa wamafua hajawahi kumuombea akapona

  • @SifaMwakisambwe-kn3yl
    @SifaMwakisambwe-kn3yl 15 днів тому +9

    Mwamposa ni mtumishi wa Mungu. Anamuhubiri Yesu hadharani kwa hekima kubwa Sanaa. Usiwe kama Baalamu na Baalack. Mungu alitumia punda kuubariki mji. Mkuu Mungu kamtumia kama punda kudhihirisha hakika huyu ni mtumishi wa Mungu. Usihukumu mbingu huna. Unapenda watumishi wa Mungu tuwe wanyongeee. Hubiri neno tukusikilize hii haijakaa sawa. Unampinga kristo.

    • @user-xd7gb9ub4t
      @user-xd7gb9ub4t 15 днів тому +1

      Huyu Cassian Huwa anasoma Neno ila hatafakari Neno hiyo ndio shida yake na Wala sio Mtumishi mbaya ila anahitaji Elimu tu ya Neno la MUNGU, roho wa BWANA ampatie HEKIMA yake, Ili kuyafikia mataifa ila sio katika njia hii Maana hataweza kuleta faida katika ufalme wa MUNGU, zaidi ni kupotosha...(Wanajuhudi katika MUNGU lakini si katika maarifa.

    • @osmondulotu2701
      @osmondulotu2701 14 днів тому +2

      Hakuna Mungu hapo kwa Mwamposa hakika, Tumaini la wanaadamu nimeangukia kwenye kutegemea mafuta ya Mwamposa , na kuacha kumtumaini Mungu, !!! Imefikia maali watu wanatembea na mafuta kwenye mikoba yao , Sikia wewe Mtu wa Mungu hakika huo Ni Ushirikina,!!!! Aina tofauti na mtu anayetembea na irizi,, !! Maana Tumaini lake huyo mtu lipo kwenye irizi aliyobeba,!!! Asikiaye Ujumbe huu na kuacha hizo aImani mbaya potofu, Ataokoka, Asema Bwana wa Majeshi,

    • @Namaize-lc8sh
      @Namaize-lc8sh 14 днів тому

      Hakika

    • @DaimonMwapelele
      @DaimonMwapelele 14 днів тому +1

      Amin cassian ni mtumish wa mungu Tena akiwa na ujumbe wa bwana Kama unawaamin akina mwaposa jua umetekwa ma umepotea akinawamposa ndio manabii wa uongo waliotabiliwa

    • @barakaelias1116
      @barakaelias1116 14 днів тому +1

      Mungu akusaidie ndio Maan anakuuzia mafuta

  • @FrankBororo-dk1fv
    @FrankBororo-dk1fv 14 днів тому +5

    Hata waumini wenu sasa wanachoka na mahubiri yenu ya watu badala ya kuwasaidia matatizo yao. Wanakuja makanisa kumtafuta Mungu aliyewaahidi ahadi nyingi katika neno lake. Mungu ameahidi kuwaponya magonjwa yao,kuwainua na kuwatanirisha,kuwafungua kufungwa kwao,na wanataka waone hizo ahadi za Mungu zikifanyika kweli kwenye maisha yao. Sasa ikatokea hawajazipata chini yako,na wakaenda kwa huyo mnaemuita ana nguvu za shetani,na wakapokea hizo ahadi za Mungu,sahau kuwaona tena kwako. Mnamuinua sana shetani mpaka inashangaza! Mtu kapona uvimbe wewe unasema ni shetani! Mtu kapona kifafa wewe unasema ni shetani,mtu alikua fukara sasa kainuka wewe unasema ni shetani,watu wanafunguliwa mapemo na vifungo mbalimbali wewe unasema ni nguvu za shetani!

    • @christopherkaroli9365
      @christopherkaroli9365 13 днів тому

      @@FrankBororo-dk1fv umeandika mambo mengi sana lkn itoshe kukuambia hivi kuwa hata shetani ana miuujiza yake, na palipo na Mungu wa kweli panajulikana tu, Mungu wetu anatafuta utakatifu sana na mengine yote tutazidishiwa je kwa nini mtu ahubiri injili ya mafanikio tu bila injili ya utakatifu? au kukemea dhambi pia nikuambie kuwa Mungu anajitegemea hatumii vitu mfano mafuta, maji mara udongo kumponya mtu, tumeambiwa kwa jina la Yesu tutatoa pepo na kuponya wagonjwa.

    • @PeterGabriel-vm5yy
      @PeterGabriel-vm5yy 13 днів тому

      Ukiponywa magonjwa ukabaki kua mzinzi inakusaidia niji? Ukinunua mafuta na kwenda kunyunyiza baa na ukajaza wateja ukapata pesa inakusaidia nini? Ukipata pesa lakini ukawa hujui kumuheshimu Mungu kwa pesa zako inakusaidia nini? Miujiza yooote ikiwa jina lako halijaandikwa katika kitabu cha uzima ni bure. Na Mungu hutenda kwa wakati wake na hata asipotenda bado anabaki kua Mungu.

    • @joycelucas405
      @joycelucas405 12 днів тому +1

      Tatizo hajielewi na sio vizur kumsema mtumishi mwenzako vibaya.

    • @FestoYohana-ll4wk
      @FestoYohana-ll4wk 7 днів тому

      kama mnafikiri kasian yupo sawa mtajikuta mnaenda moron msihukumu maine mkahukumiwa mungu mwenyewe ndio anajua wakwake

    • @unileverldsengineering9541
      @unileverldsengineering9541 6 днів тому

      Dikika 53:32

  • @JacklineMroso-gy6ej
    @JacklineMroso-gy6ej 16 днів тому +4

    Paza sauti mtumishi wa Mungu hata wakati wa nuhu wapo waliomdharau lakini gharika ilivyokuja waliita sana Nuhu tufungulie lakini hawakupata msaada.Wenye kuokolewa kwa hudumu yako wataokolewa wengi usikate tamaa fanya hudumu uliyoitiwa na Mungu.

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 16 днів тому +11

    Kweli watu wengine ni mifano ya watu duniani..nafsi ziko kuzimu..
    Mungu mtie nguvu na ULINZI mtumishi wako Cassiani .
    Siku za mwisho tunagundua mengi..maboxi yanaongoza watu duniani mpaka wapagani wanashangaa..Wana WA MUNGU tusonge mbele .tuzalishe Wana WA MUNGU Kona zote ..Agizo kuu linatusubiri Mathayo 28:19-21

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 15 днів тому +2

    Mungu wambingu akulinde sana manaa maaduwi wataluwa wengi kwa sababu injili yako niya ukweli lakini watu sikuhizi hawapendi ukweli Mungu akuyinuwe❤❤❤❤

  • @bernardmushi4869
    @bernardmushi4869 15 днів тому +4

    Kukusanya watu wengi hata MICHAEL JACKSON alikusanya watu wengi sana lakini usingeweza kusema MICHAEL JACKSON ni MTUMISHI WA MUNGU.PASCHAL CASSIAN AMETUMWA NA MUNGU,WENYE JICHO LA ROHO MTAKATIFU TUNAONA.WENGI WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.

  • @user-xd7gb9ub4t
    @user-xd7gb9ub4t 16 днів тому +14

    Wewe una roho ya mpinga kristo ndani yako, nahisi roho wa MUNGU alisha kuacha umebakiza maneno yasiyo na nguvu.

    • @user-ri9gj8uh2c
      @user-ri9gj8uh2c 16 днів тому +3

      Sio kweli nafikir ww biblia husomi

    • @WilsonEmmanuel-bs6op
      @WilsonEmmanuel-bs6op 16 днів тому +2

      Achaseme ukwel watu waende mbingun wew

    • @JJTSUPERCLEANER
      @JJTSUPERCLEANER 16 днів тому

      Acha kumsema mtumishi wa Mungu vibaya je unataka na wewe uhalalishe kuwa pombe ni soda😊?

    • @GeofreyKalo-ot3we
      @GeofreyKalo-ot3we 15 днів тому

      @@user-xd7gb9ub4t ndugu yangu Mimi nilishaona Muda mrefu sana kuwa huyu mtu ni mpinga Kristo anaejificha kwenye uinjilist

    • @deniskilumile612
      @deniskilumile612 15 днів тому

      No .paschal yuko sahihi..na ukiona kitu kinaongelewa jua kipo au kipo njiani..au know that kuna something wrong

  • @user-yj5es1jw8c
    @user-yj5es1jw8c 16 днів тому +4

    Nakukubali sana mahubili Safi yasio goshiwa mtu imala tukopamoja

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 5 днів тому

    Hutabaki pekee yako tupo nyuma yako tunao jua Neno la Mungu Ubarikiwe sana Muny akulinde

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 5 днів тому

    ❤❤Amina mtumishi wa Mungu Mungu awe nawe daima ponya nafusi za watu zinazopotea

  • @amanimushagalusa8752
    @amanimushagalusa8752 15 днів тому +1

    Naitwa Amani z naishi kwa inchi ya Africa ya kusini nakufatiliya kiumakini Sana Kazi zako naipenda sana Mungu anaendeya kutulinda nakukutiya nguvu

  • @isacksimonmahungilo
    @isacksimonmahungilo 16 днів тому +4

    Iko Sawa hapa naona machawa wanawaka wazee wa mikate na bia piga nyundo Kaka usiangalie mashabiki Hata akiwa mmoja mtu nmuhimu kuliko Hao vipofu

    • @AGM19697
      @AGM19697 15 днів тому

      Z 10:18 humo humo kwenye mikate na bia watu wamepata neema ya kumjua Kristo

  • @FrancisHaonga-mp8oy
    @FrancisHaonga-mp8oy 8 днів тому

    Wenye maskio na wasikie neno ilo mwenye macho watazame bwana yu karibu Mungu azidi kukupa maisha marefu mpaka kusudi lake litimie kwako

  • @ignatiomatimba3554
    @ignatiomatimba3554 16 днів тому +5

    Usihukumu usije ukahukumiwa na toa kibanzi kilichomo jichoni kwako na ndipo utoe boriti kwenye hicho la mwenzio. Pascal anajinadi kuwa alikuwepo huko kwenye ujenzi huru na akajitoa, je, amepewa uhalali na nani kuwasema watumishi wa Mungu ambao hakubaliani nao? Tuendelee kumhuburi Mungu wetu wa kweli bila kunyoosheana vidole hakuna ubaguzibwote tunaitaka Pepo njema ya YESU KRISTO WA NAZARETH

    • @DottoMussa-ro6rw
      @DottoMussa-ro6rw 15 днів тому

      sio kweli nyamaza kabisa,,sauli alikuwa wapi na mtu wa namna Gani kabla hajawa Paulo,,je maisha ya manabii na wafalme yalikuwaje na hatmae za manabii zilikuwaje?,,km unapenda maneno Laini muujiza na upako,,basi huo sio utume wa paschal,na Mungu anao watu wake sehemu mbali mbali wengine bado ni makahaba kwa sasa,ila watakapo itwa ndipo mtakapo pishana milango wataingia nanyi ntatoka,,km neno limekukera basi Kuna shida ndani Yako,,omba sana hio roho iondoke ili uridhike na maonyo yakubadilishe na yasikukasirishe

  • @SafiAkinyi8361
    @SafiAkinyi8361 16 днів тому +42

    Mimi husoma tu comment za watu lakini acheni niwaambie watu ambao mnatusi huyu mtumishi wa BWANA na ametumwa jueni ya kwamba mnajichimbia kaburi lenyu wenyewe na ndo huwa mnasikia watu wakisema tumerogwa na kumbe ni nyinyi wenyewe mnajiroga kwa kutukama mtumishi wa MUNGU huyu MWINJILISTI Cassian ametumwa na BWANA Aliye hai so endeleeni kukaidi mtakipata cha kwenu Amen God cannot be mocked ukweli utajulikana as soon as possible

    • @GeorgeChitemo-kt8sw
      @GeorgeChitemo-kt8sw 16 днів тому

      @@SafiAkinyi8361 Acha kusema mtumishi WA Mungu wakati muadu rusifa

    • @cellinamuro6872
      @cellinamuro6872 15 днів тому

      Hizi ni zilebnyakati mbaya wanakuja kama kondoo lakini ndani ni mbwa mwitu asikiae na afahamu kuwa hu ni ule wakati wa manabii wa uongo ndio huyoooooo watu watasombwa sana kuzimu hata wateule biblia imesema

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 15 днів тому +2

      CASSIAN PASCHAL anampinga Mungu hakuna aliyempinga Mungu akafanikiwa . NAJUA HILO TOKEA KITAMBO NA Nimemshauri sana kwa njia hii AMESHUPAZA SHINGO.NAMWACHIA MUNGU ATAMJIBU KWA WAKATI NA MAJIRA YAKE

    • @user-jl5un4wf3u
      @user-jl5un4wf3u 15 днів тому

      shetani hana chamkuuwa mkoawala wafalme wala wenye akili baali ana vivutio vyakukupeleka kwenye aanguko akiwemo namwenyewe swalanikujua kweli yaneno huge nimkuuwa moka wakuzimu siwaraiawa wa jamuhuri ya Tanzania hatagamoliayake hata viongoziwakeanawadhalilisha hatofautishi mvinyowa wayahudi wa wakatiule navyakula vyao vyamikate hiyo walishushia kunywa juice zabibuiliziwasaidie kupatahajakubwa kwa urahisi saanyingine niushamba uliopitiliza kutamukamaneno sawanamatapishi yakomwrnyewe mbele yaumawadunia nzima halafu unadhalilisha walikuteua kujaza watusisikitu chakipimo chawenye hekima wewe. Charamila mpingakiristo uliwahikuona analoga? au anajifanya yeyekamakiristo ...hujifanya yeyenizaidi ya Mungu hivyo chungasana ulimiwako we ye jamii. Wananchi wanaujuzuzi kulikowewe chukuahilo.

    • @user-tt7cu2et1x
      @user-tt7cu2et1x 15 днів тому

      Yahn watu wako tayari kujaa kwenye maovu na cyo kutubu uovu wao😢😢😢ole wa inchi na wote wakaao juu yakee..mwamposaa siend mybe niwe maiti at Roho mt amenishuhudia saana alishaasi.njia ya msalaba tulianza naye maimoriaa. Akiwa na hema na mikesha ya maombi alikua vizuri.after kufika dar basii iman ya kwel aliichia mosh😢😢😢😢jamn watu mkikanywa msikiee

  • @justinocarlitosduas7357
    @justinocarlitosduas7357 16 днів тому +4

    Wewe umebarikiwa na mungu ntumisi

  • @user-ko5it5hz6b
    @user-ko5it5hz6b 16 днів тому +5

    Mungu akutunze maana taji Yako ni kubwa wachungaji wetu wamekaaa kimya Wala hawasemi kwa kwa jina la Bwana

  • @ZachaliaJoseph-rp7nt
    @ZachaliaJoseph-rp7nt 10 днів тому +1

    Mungu akulinde mtumishi Cassian najua vita ipo juu yako lakini Mungu kasema vita ni vya BWANA piga nyundo

  • @christopherkaroli9365
    @christopherkaroli9365 14 днів тому +1

    Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu, endelea kuwafua maajenti ya mashetani yote.

  • @renatus5687
    @renatus5687 15 днів тому +2

    Wewe casian muhuni tu sem unajua wa tz wanapenda umbeya ndo maana unawapiga kanisa ulilokuwa ukiomba sadaka umalizie kulijenga liko wapi kama n ww sio muhuni tena unachuki sana ww jamaa na wivu mkubwa

  • @user-mn2hb7xt9k
    @user-mn2hb7xt9k 13 днів тому +1

    Hata waumini wko walienda Kwa mtumishi WA mungu mwamposa mpakwa mafuta

  • @geeoutfitdesgner
    @geeoutfitdesgner 16 днів тому +3

    anawivu huyuuuuuuuuu kaaah pole sana na kanisan kwako hatuji hutuacheee😂😂,mbona huwasemi dini zngine unasema wakristo wenzio acha wivu baba😂

    • @gilbertbidimbuka9104
      @gilbertbidimbuka9104 15 днів тому

      Hakuna Mkristo aliyesemaa hapo ila kawasema waganga wakienyeji na waovu wale wa mfuatao

    • @geeoutfitdesgner
      @geeoutfitdesgner 15 днів тому

      kwa kuna waganga wanaotaja jina la yesu????,au wakristo ndo huwa wanajata jina la yesu mkuu tafakar na uelewe bac

    • @user-jn4vw5mv5s
      @user-jn4vw5mv5s 12 днів тому +1

      Nyie msio elewa ndo mnapotea sasa na vile hamtaki kulielewa neno la MUNGU linasema nini mnajiona mko sawa kabisa

  • @goldermeirshoo1228
    @goldermeirshoo1228 16 днів тому +11

    Hawa unaowazungumzia mtumishi hawana mbingu, achana na habari zao, wewe hubiri neno la Mungu bila kuwataja watu majina yao, kweni huwezi kutoa neno bila wao,labda hawamuabudu Mungu wako, wewe hubiri neno la Mungu, Chalamila ni Mroma, wanaruhusiwa kunywa, hubiri neno achana na Mambo ya watu

    • @jeniphermyingajeniphermyin8029
      @jeniphermyingajeniphermyin8029 16 днів тому

      Binafsi namwamini huongea vinginr kweli,lkn kwann wnahubiri kwamajina yawatu jamani,ama WOTE waongo YEYE ndiye mkweli PEKEE.,mmmh ALISEMA MTU mmoja SK zinakuja wakristo mtapigana wenyewe kwawenyewe.

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 16 днів тому

      basi dunia n nzima yeye ndo wa kweli umeongea point sana kila madhabahu anaisema 😊​@@jeniphermyingajeniphermyin8029🎉🎉🎉🎉

    • @mwakatimbamahenge3196
      @mwakatimbamahenge3196 16 днів тому

      Umenena vema sana, yaani kama yeye ametumwa kuwaokoa watu basi awahubirie watu hata siku moja. Anasema tusiwaamini hawa sawa enhe tusipowaamini tukamwamini yeye then anatuhubiria nini sasa?

    • @eliagospel
      @eliagospel 16 днів тому

      Cassia Yuko sahihi

    • @eliagospel
      @eliagospel 16 днів тому +1

      Jaman Cassian ametumwa tusipuuze ipo siku huyu mtumishi atakumbukwa na mungu ana makusudi naye

  • @dyanamotz
    @dyanamotz 16 днів тому +6

    We nae unatuvuruga!! Yaan mtu anatani akufatilie lkn kutwa hutii moyo watu unaongelea mabaya watu tu !! Sasa siuwatafute uwaambie mbona unazunguka

    • @CatherineDaniel-t5b
      @CatherineDaniel-t5b 9 днів тому

      @@dyanamotz Hizi siyo nyakati za kutiana moyo mpendwa mara utanunua gari utajenga nyumba wewe amka

  • @bethmahela2182
    @bethmahela2182 14 днів тому +1

    Acha uongo bwana toka lini pepo akamtoa pepo mwenzie,

  • @bernardmakengochuma5989
    @bernardmakengochuma5989 15 днів тому +1

    Acha hzo ww Cassian unawivu sana huna lolote hujui bible Sasa ww mkuu wa mkoa amekukosea nn mwambosa amekuzidi Kila kitu ww unawivu kwa sababu huna waumini alafu ujue kumkashifu mtu nikosa kisheria ww ni mpuuz sana

  • @irenemuia2718
    @irenemuia2718 16 днів тому +4

    DAMU ya YESU ikufunike daima 🙏🙏🙏

  • @ShukraniChomolla
    @ShukraniChomolla 15 днів тому +2

    Kwani lazima ukihubiri utaje watumishi wengin sasa mwamposa anaingiaje hapo badala uwahubirie watu neno la Mungu

    • @justinmayback5552
      @justinmayback5552 14 днів тому

      huyu jamaa anajiona yeye yuko sahihi mpuuz sana anaongelea watumishi tu

    • @ShukraniChomolla
      @ShukraniChomolla 14 днів тому

      @@justinmayback5552 yeye ahubirie watu wapone na si kutaja watumishi wengine bana

  • @PiusMaira
    @PiusMaira 16 днів тому +3

    SoMa maandiko mtumishi , Mwamposa anafuata maandiko , acha kashifa unatenda dhambi na usipo badilika utakinyea kikombe. Na tutajuaje umetumwa na Mungu make inaonesha hufahamu neno .

    • @Berenaldo77
      @Berenaldo77 16 днів тому

      No

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 16 днів тому

      una akili sana kuna manabiii wanaomsema kana kwamba anatumia biblia ya kuzimu kila mtu na wito wake naona angezingatia kuhubiri zaidi wati wafunguliwe

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 16 днів тому +1

    Kujaza watu na kutenda miujiza sio hoja, hoja ni kuhubiri neno la Mungu kikamilifu kwa moyo wako wote.
    Naam, baki mwenyewe kuihubiri haki ya Mungu kwa wahitaji wanaona kweli yako, nao waokoke na kufanyika wana wa Mungu.
    Mungu akutunze na akuepushe na adui.

    • @AGM19697
      @AGM19697 15 днів тому

      10:18 Fika ukajionee mwenyewe usihadithiwe mitaani na vijiweni. Kila siku watu wanafungiliwa na kumpokea Yesu bila shida. Baada ya kujua kumbe Mungu ni halisia na sio maneno matupu

    • @AGM19697
      @AGM19697 13 днів тому

      @@martinahlighare6495 Ndugu achana na story za vijiweni chukua hatua msikilize Mtumishi Mwamposa hata kwa utube ndio uncomment.
      Huwa anahubiri neno kwa ufasaha, anafungua watu vifungo vyao kwa njia rahisi kabisa, mwisho anaongoza watu sara ya toba kwa yeyote atakaye kumpokea Yesu.
      Mm nimwokoka na natokea mojawapo ya madhehebu makubwa ya kilokole, nimemsikiliza mara nyingi sana na sijaona wapi pa kumpigia mawe.
      Acha ushabiki chukua hatua binafsi kufatilia

  • @goldermeirshoo1228
    @goldermeirshoo1228 16 днів тому +3

    Wanaokwenda huko wanalijua neno , ina maana Mungu anaongea na wewe tu duniani, watumishi woote hawaendi anavyopenda Mungu, jichunguzeee vizuri mtumishi, ina maana dunia hii ni wewe tu unaejua neno la Mungu

    • @user-ks9ui8td7y
      @user-ks9ui8td7y 16 днів тому +1

      soma BIBLIA utaona kwaba anasema ukweli

    • @clarisbanza6066
      @clarisbanza6066 14 днів тому

      @goldermeirhoo1228 wewe ni ibilisi isiye jitambuwa kuwa makini ujuwe kwamba hapa ni mazabauni pia MUNGU atakupiga vibaya kama utoacha kizarau neno la kweli

    • @julianajeremiah4353
      @julianajeremiah4353 13 днів тому

      Nawe unapenda kukosoa sana Sasa we ndio umetumwa na Mungu kila kitu unakosoa umewaita wewe? Na ukifika Mungu hayuko hivyo we inuka hubiria injili watu waokoke unadhani ukisema ivyo ndio utazuia? Na Bado unataka michango ya watu ukianza kuhubiri injili tutachanga lkn kukandia watu hapana

    • @agnesspaul1866
      @agnesspaul1866 5 днів тому

      Ukweli ndo huo na haupingiki Muñgu alishakazaza vileo casssia mtumishi ubarikiwe

    • @goldermeirshoo1228
      @goldermeirshoo1228 5 днів тому

      @@clarisbanza6066 Mungu Ahache kukupiga wewe unae simama na madhabahu za wenzako, ACHA KUSIMAMA NA MADHABAHU ZA WATUMISHI WENGINE, HUBIRI NENO, ACHA KUHUBIRI MADHABAHU ZINGINE HATA KAMA HAWAENDI MBINGUNI SI UWAACHE

  • @SteveMulenga-i1c
    @SteveMulenga-i1c 15 днів тому

    Mtumishi wa mungu paza sauti kukemea uovu Ili watoto wa mungu wasipotee Asante sana mtumishi wa mungu ubalikiwa na bwana.

  • @Anza_tz
    @Anza_tz 16 днів тому +1

    Sasa kaka pascal hivi unashindwa kuongea bila kukioromesha hiyo sauti yako watu tunasikia vizuri tuu ukiongea kwa ukawaida wako maana sauti mpaka tunasahau ulianzia wapi na umeishia wapi....Jambo lingine kama ni kweli Roho wa Mungu amekuambia mwamposa sio mtumishi wake basi mimi ninakupa support 100000% lakini mtumishi kama una hubiri kwa hisia zako nataka nikupe tuu onyo kuna siku unachokiumba kitakurudia na wewe kuna watu watainuka juu yako kwa maana auae kwa upanga atapigwa sawa sawa

  • @brunomeela1436
    @brunomeela1436 14 днів тому

    Luka.5:31-32.Yesu akawajibu akawaambia,Wenye afya hawana haja na tabibu,isipokuwa walio hawawezi.Sikuja kuwaita wenye haki,Bali wenye dhambi,Wapate kutubu.Mheshimiwa alisimama kwenye madhabahu ya Mungu aliyeumba mbingu na nchi na kuombea Amani kwenye taifa lake.je,ulitaka asimame wapi?Kwa Waganga wa kienyeji au kwenye Madhabu ya Mungu aliyeumba mbingu na nchi.Je angesimama kwenye huduma yako na akatamka hao ya Kumsifu Yesu Kristo ungesemaje?Mitume na Manabii Mlioitwa na Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi endeleeni kuwasaidia watu.Walio wagonjwa,wasiozaa wazae.Waganga wote wajisalimishe kwenye madhabahu ya Mungu aliyeumba Mbingu na nchi.Katika Jina la Yesu kristo Amen.

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 16 днів тому +1

    Wanaalika watu kwenye maadhimisho ya ugonjwa wa figo na tunaambiwa pombe ni chanzo kikuu wanadai matibabu ni gharama kubwa na watu wanakufa leo kiongozi anahamasisha kweupeee..si uislamu wala ukristo unakubaliana na kauli hiyo.. Mungu akutane nae uso kwa uso

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 15 днів тому +1

    Mungu anasema.ombeni lolote.mtapata.Basi mwuombeeni Mwaposa.kuliko kukashifu.hapo hamna jibu.

  • @reginamarwa8636
    @reginamarwa8636 15 днів тому +2

    Sauti ya mtu aliaye nyikani......

  • @FudidohwcbOfficial
    @FudidohwcbOfficial 15 днів тому +1

    Yani wewe unafuta bangi sana mimi nakwambia kila siku mbona unapenda sana kwingilia kanisa la Mwanzako inakuuma nini moyo wako kwa mwamposa?

  • @dorahisinika7576
    @dorahisinika7576 15 днів тому +1

    Mathew 14:13b-16..[.I LOVE JESUS SO MUCH ] ❤

  • @phillipowwilliam1131
    @phillipowwilliam1131 15 днів тому +1

    Acha ukosaji wewe mtumishi go and win souls sio kuja kuponda watumishi wa Mungu, think before you talk

  • @Leeeeeeee-96
    @Leeeeeeee-96 16 днів тому +8

    kaka tuonyeshe mungu alie ndani yako na kazi zake zizihirike akuna aja ya kupambana na mwamposa wala manabiii wengine sioni kiutumishi kama inaleta afya

    • @GeofreyKalo-ot3we
      @GeofreyKalo-ot3we 16 днів тому +1

      Huyu Jamaa ni mnafiki na wivu

    • @DamianUlaya
      @DamianUlaya 16 днів тому

      Afya gan unaitaka wacha waseme ukwel

    • @misscesty5817
      @misscesty5817 16 днів тому

      ​@@GeofreyKalo-ot3wewanadamu hampendi ukweli ndio maana neno la mungu hamjisomei wenyewe

    • @WilsonEmmanuel-bs6op
      @WilsonEmmanuel-bs6op 16 днів тому

      ​@@misscesty5817Amin umeongea ukwel dada

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 16 днів тому

      @@DamianUlaya aendelee kuongea mdomo mali yake lkn kiutumishi kila mtu anatakiwa kuwa na hekima 😂😂😂😂😂

  • @Davidgeorge-xq8me
    @Davidgeorge-xq8me 4 дні тому

    Jamani tunaishi nyakati za hatari,msiambiwe YESU Yuko huku,mara kule mkasadiki,wateule muwe macho ,YESU yuko hapo ulipo ni wewe kumwamini tu na muombe MUNGU lolote kwa jina la YESU utapewa

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 16 днів тому +2

    Pambaneni Mimi sipo nacomment tuu hapo wanangangania sadaka 😅😅😅

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 15 днів тому +2

    Cassian hubiri neno

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 13 днів тому +1

    Hawa manabii wa uongo waabudu mashetani watakokota wengi kuzimu. Wateule tuwe macho, Yesu yu karibu malangoni.

  • @SifaMwakisambwe-kn3yl
    @SifaMwakisambwe-kn3yl 15 днів тому +3

    Usihukumu usije ukahukumiwa. Tukifika mbinguni utashangaa taji zao zinang'aaa.
    Mungu akusaidie mtu wa Mungu.

  • @jubilethfestourio450
    @jubilethfestourio450 10 днів тому

    Sema kweli watu waponeDamu yayesu ikulindi mtmsh wa Mungu aliehai

  • @MosesWiliam-ms8hu
    @MosesWiliam-ms8hu 16 днів тому +2

    Ira usiwe unagusa viogoz kaka hao ndo wenye madaraka

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we 16 днів тому +3

    Acha wivu imekuuma sanaaaaa! Na bado

  • @RUBENNGAYA
    @RUBENNGAYA 15 днів тому +1

    EE MUNGU TUREHEMU,TUFUNZE KUHUBIRI NENO LA MUNGU KAMA MWINJILISTI CHRISTOPHER MWAKASEGE,Sijui kama kuwasema wengine ndo KUHUBIRI?? TUOMBE TOBA NI MAKOSA KUWASEMA WENGINE,MUNGU MWENYEWE AMEKATAA,LET LOVE OF JESUS CHRIST LEAD US.

  • @BYAMUNGUGERLASMASHAURI
    @BYAMUNGUGERLASMASHAURI 10 днів тому

    Endelea Ku pasa sauti Zaidi na Zaidi. Tunakuombea Mungu Aendelee kukusimamia

  • @SimulizinaPerfect
    @SimulizinaPerfect 16 днів тому +4

    Mwamposa amesaidia wengi na mpk sasa anasaidia wengi kama naww unaweza jaza tuone

    • @GeorgeChitemo-kt8sw
      @GeorgeChitemo-kt8sw 16 днів тому

      Kwahyo kujaza watu wengi ndio sifa ya kuwa na Mungu WA kweli, mbona diamond muabudu Shetani Kama mwamposa wote wanajaza watu.??

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 16 днів тому

      @@GeorgeChitemo-kt8swwewe usiende ukiona ni freeamanso sisi tupo na mwamposa sako to bako mpaka kiama 😅😅😅😅

    • @user-zs4qz4wm2n
      @user-zs4qz4wm2n 16 днів тому

      ​@@GeorgeChitemo-kt8swdiamond kaabudu shetan lini acha wivu na umasikini wa akili

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 16 днів тому

      Jamani MSiyatupe Maneno jamani Mnyamaze ikiwa Mtyu ajui chochote nakushuhudiwa Na MUNGU cassian Muinjiristi Muachen Aongee yeye MUNGU .die Atasema Nae Na Ya Mwamposa MuyaacheMuzidi kumuomba MUNGU nakumuuliza Tuwe karibu na MUNGU Ii atufahamishe Zaidi Tukwepe zambi Na Machukizo na Kusoma Neno KUPOKEA ROHOMTAKATIFU Atatushuhudia na kutufundisha .

    • @abelmbata37
      @abelmbata37 16 днів тому

      Shida watumishi wengi kilicho wajaa ni wivu kutwa kucha kusemana tena kama unawafuasi wengi. Kama Paschal ni mtumishi wa kweli si asitishe huduma ya Mwamposa? Ina maana Mungu wake ni wa maneno tu?
      Kusemana ya nn wakati watanzania kibao hawamjui Mungu kwa nn asihangaike na hao. Waislam wangapi wanao kesha bar wangapi kwa nn unakuwa na uchungu na asilimia ndogo hii ya watanzania? Wivu tu

  • @mwakatimbamahenge3196
    @mwakatimbamahenge3196 16 днів тому +1

    Inatosha kuponda watumishi sasa hubiri neno tukuelewe sio unakesha kuhubiri kuhusu manabii na watumishi wengine tu. Tupe agenda yako sasa

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h 15 днів тому +1

    Siku Mungu ashuke na gadhabu yake ndipo watakapojua nisawa kama hawajarudi kuwambia watu watubu kwa gadhabu aliyoshusha

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 16 днів тому +2

    Kazi imeanza wao kwa wao

  • @user-fw6tj8kt4n
    @user-fw6tj8kt4n 11 днів тому

    Kwanini hatutaki kusoma neno la Mungu . Binadamu tusimame kwa neno la Mungu mbona linatufundisha vizuri.

  • @PROPHETLWITIKO-rr4gc
    @PROPHETLWITIKO-rr4gc 10 днів тому

    BROTHER Pasco kasiani acha kuchafua MTUMISHI WA MUNGU BONIFACE MWAMPOSA mimi namjua BONIFACE MWAMPOSA akiwa anatumiwa na MUNGU zaidi ya miaka 20 iliyo pita MBEYA miaka iliyopita nimemuona MUNGU Akimtumia BONIFACE MWAMPOSA brother wewe ndiye unsye halibu kazi ya MUNGU uengeenderea kiimba tuu

    • @CatherineDaniel-t5b
      @CatherineDaniel-t5b 9 днів тому

      @@PROPHETLWITIKO-rr4gc KUMJUA MTU SIYO TATIZO MPENDWA MOYO WA MWANADAMU NI KICHAKA

  • @GiftMkwizu
    @GiftMkwizu 16 днів тому

    Amen mungu akubariki

  • @user-fw6tj8kt4n
    @user-fw6tj8kt4n 11 днів тому

    Nyesu ni Mtoto wa Mungu alijaribiwa na shetani lakini Yesu alimushinda shetani kwa Neno la Mungu .

  • @user-jf2gp7wb9i
    @user-jf2gp7wb9i 15 днів тому +1

    Sasa wewe shida iko wapi km Chalamila na mwamposa wanamamakosa
    wewe sio Jaji muachie Mungu mwenyewe
    unaweza wewe ukakuta una makosa
    wivu anao Mungu wewe nyamaza
    unampenda mama Samia wengine hawampendi acha wivu mchungaji

  • @NassonSanga
    @NassonSanga 15 днів тому +2

    Na wewe ombea watu wapone, wafunguliwe, usilete wivu, kwani mungu wako hana nguvu?

    • @AGM19697
      @AGM19697 15 днів тому

      Hiyo hata mm ntamuelewa 😊

  • @PriscaNzegenza
    @PriscaNzegenza 15 днів тому +1

    Palipo na tai ndipo tai hukusanyika , wivu haukuanza leo

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 16 днів тому +1

    Cassian ana sema ukweli juu ya mwamposa huyu mwamposa ni mwongo na ni agent wa shetani

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 15 днів тому +1

    Mweeee!! Jamani😢😢😢😢 pamoja na cheo alicho nacho lakini shetani anasema sikuachii lazima unitukuze

  • @mashakalupindo
    @mashakalupindo 16 днів тому +1

    Wewe inaonekana mtu mwenye wivu mkubwa sana na huduma za watumishi wenzio, Fanya kile MUNGU amekuitia. Lakini wivu utakupoteza katika huduma Yako.

  • @mashakalupindo
    @mashakalupindo 16 днів тому +2

    Kwanini mnawapinga watumishi wenzenu wa kikisto mbona hamuwapingi watumishi wa upande wa pili kama kweli wewe ni mtumishi wa MUNGU

    • @AGM19697
      @AGM19697 15 днів тому

      Hapo hata mm nashangaa, wapo wengi wanaupinga ukristo tena hadharani hamjasema kitu. Ila huyu anamuhubuli Yesu kama wewe ila kwa namna yake aliyopewa unampiga mawe, kuna nn hapo?

  • @CassianNziku
    @CassianNziku 11 днів тому

    Huyu mwamposa sii mtumishi wa bwana sii kila anaye litaja jina la yesu ni mtumishi wa bwana kuna na mna yakulitaja jina la yesu wewe tazama tuu na anavyo litaja jina la yesu unaona analitaja kishkaji hii ya kikawaida kawaida lakini tafuta mtumishi wa bwana uangalie jinsi anavyo litaja jina la yesu anapolitaja unasikia kabisa sauti ya imebeba authority ndani yake sasa tazama yeye au tafuta kusoma biblia juu ya habari za wale wana wa skewa walipo enda kumkemea mtu mwenye pepo kwa jina la yesu na lile pepo lilivyo sema lili sema paul tuna mfahamu na yesu tunamjua na sasa nyinyi niakina nani sii kila anaye litaja jina la yesu niwa yesu kuna neno linasema sikuile wapo watakao sema bwana bwana nilitoa pepo kwa jina lako niliponya kwa jina lako lakini yesu aliwajibu siwajui mimi nyinyi mtendao maovu na sii kila muujiza anaufanya mungu Mathayo 24:24 kwa maana watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo naowatatoa ishara kubwa na maajabu wapate kuwapoteza kama yamkini hata walio wateule" kwahiyo sii kila muuji anafanya mungu hizi nisiku za mwisho yesu anarudi nasawa sawa nayaliyo andikwa kwenye Mathayo 24:24 ndiyo yanayo yendeka sasa hivi tulio wateule wa mungu tukaeni macho siku zimekwisha na ambao macho yamefungwa na roho za udanganyifu zimepita kwao na kujenga katika fikra zao ngome na elimu iliyo kinyume na elimu ya mungu kwa jina la yesu kristo wa Nazareth hizo ngome na elimu zika vunjike na hizo roho za udanga nyifu zikawa ache kwa jina la yesu na huoupofu walioingiwa nao kwenye macho yao unaosababisha wasione sawa sawa tunakiangusha hicho kiambaza kwa damu ya yesu.

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 15 днів тому +1

    Nchi hii vichaa hawataisha, wewe pascal na Mbarikiwa ni wivu tu

  • @faridashabanifaridashabani5950
    @faridashabanifaridashabani5950 16 днів тому +4

    Kwakweli Mungu ndo anasitahili cheo hicho Ila ukiona Mungu kanyamaza basi siku ikifika msiseme hamkuwambiwa kiongozi waserikali unaongea hivyo kweli shetani amewalewesha Mungu atusaidie 🙏

    • @AGM19697
      @AGM19697 15 днів тому

      Nijuavyo mm taarifa za kiongozi ni za nyakati mbili tofauti.
      Moja kabla hajafikiwa na neema ya Mungu na nyingine baada na yeye kufikiwa na neema hiyo. Mtu haukumiwi kwa matendo ya kale. Anahukumiwa kwa matendo ya sasa

  • @andreachanai6658
    @andreachanai6658 16 днів тому +2

    watumishi wa Mungu mnatuchanganya sana badala la ya kuhubiri neno mnatumia muda mwingi kusemana nyie watumishi we hubiri neno watakakufuata watakufuata lakn sio kutupiana madongo kwa kuwataja watu majina hapo unakosea mtumishi

  • @bithiasizimwe660
    @bithiasizimwe660 7 днів тому +1

    Damu ya Yesu ikufunike

  • @user-fw6tj8kt4n
    @user-fw6tj8kt4n 11 днів тому

    Njia ni mobility za kwenda mbinguni tukumbuke njia nyembamba watakao ingia ni wachache . Na njia pana watakao ingia ni wengi.

  • @user-cz7bd9tc5k
    @user-cz7bd9tc5k 14 днів тому

    Mkuu wa Mkoa sio Mtumishi Wa MUNGU Yeye ni Mtumishi wa Selikali Na jua Yeye Ha muamini Mungu kwa imani yako Wewe kwake kila kitu sawatu Makahaba ni Mali ya MUNGU Walevi pia Yeye ndie Aliye Waumba

  • @kayombotv9758
    @kayombotv9758 15 днів тому +1

    Hatukuelewi una hubiri enjili au kazi yako kuwasema watu. Tena untumia hasira nyingi sana ya nini ndugu.

  • @pastormichaelkayombopendec2497

    Tunakupenda tuko pamoja na wewe kupigwa sio kosa acha wakupinge lkn kweli imefika

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 16 днів тому +1

    Usipokuwa wa rohoni Kuna mengi yatapongezwa na mawakala wa dunia hii maana wako kazini..
    Hata Afrika kusini Kuna kanisa la wanywa bia..
    Fimbo ya Bwana itembee

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 9 днів тому

    Kaka Acha Mungu awaumbue

  • @haloterinternant
    @haloterinternant 14 днів тому

    Achaa unafiki we ubili neno la MUNGU Achana na mwamposa mtumishi wa MUNGU

  • @user-jc1do5gf3w
    @user-jc1do5gf3w 16 днів тому +2

    Du mnyukano huu,yangu macho

  • @kaztv9765
    @kaztv9765 15 днів тому +1

    acha kutembelea content za watu bro hiyo haisaidiii
    maneno yako kamwe hayawezi kubadilisha imani ya mtu. wewe unaejifanya ndo mlokole wa kweli endelea na hiyo imani yako ya kweli
    kumbuka mkuu wa mko unae mnanga hapo ni kiongozi wa serikari pia kumbuka serikari haina dini.
    anaweza kuongea kitu chochote kutokana na sehem aliyopo Acha ufinyu wa akili Acha kujaza watu ujinga
    mkuu wa mkoa ni kiongozi wa watu wote walio na dini na wasio na dini
    Acha kuunganisha matukio ili upate maudhui.
    nakuona mshamba tu tu we jamaa.......

  • @MeshackDaniely
    @MeshackDaniely 4 дні тому

    Mungu tusaidie kabisa mana duniani kunatisha

  • @user-kr9xx8br4o
    @user-kr9xx8br4o 5 годин тому

    UPONYAJI WA YESU KRISTO HUJA KWA MSAMAHA WA DHAMBI, NA WALA SI KWA KUKANYAGA MAFUTA.

  • @barakaelias1116
    @barakaelias1116 14 днів тому

    Amina niko na wew mtumishi niko zanzibar nakufatilia

  • @user-ij7tw5zl1c
    @user-ij7tw5zl1c 10 днів тому

    Ushindwe kwa damu ya yesu na ushindwe na mazabao yako

  • @costofamily4861
    @costofamily4861 14 днів тому

    Kuna siku Cassian watakukumbuka ni kweli unaonekana kama umechanganyikiwa lakin hawajui kuwa hiyo ni hasira ya Mungu inawaka Ndani yako!!! piga Injili

    • @AGM19697
      @AGM19697 13 днів тому

      @@costofamily4861 Mwamposa anachukiwa zaidi na watu wa aina tatu au nne.
      1. Wenye wivu nakuona hawawezi kufikia viwango vyake vya imani na mamlaka ktk jina la Yesu.
      2. Watumishi wanaodhani washiriki wao ni mali yao na sio wa Mungu.
      3. Wachawi na washirikina anaowaharibia kazi zao na kuwaabisha hadharani kwa kufungua watu na kuchoma tunguri na uchawi wao adharani.
      3. Watumishi wanaoona watu wakienda kwa Mwamposa sadaka zinapungua kwao

  • @FudidohwcbOfficial
    @FudidohwcbOfficial 15 днів тому +2

    Mimi siwezi kukusikirizi chizi Kama wewe paschal wewe sio mtumishi WA mungu yani wewe ndo mtumishi WA watu WA bifu

    • @user-vn7zu3jr8n
      @user-vn7zu3jr8n 10 днів тому

      Umeshamsikiliza Alaf mm naweza kukuamin lakin kama una rafik Ako mwamposa ww ni mwiz au mchaw tatzo mwamposa ni shetan

    • @FudidohwcbOfficial
      @FudidohwcbOfficial 10 днів тому

      @@user-vn7zu3jr8n paschal sio shetani mafundisho yake ni la bifu na lakutafuta makiki kwa watu au anaogopa watu wake kukimbia kanisa kwake

  • @samweljoseph-kp8ne
    @samweljoseph-kp8ne 3 дні тому

    Yesu akusimamie mtumishi sema ukweli

  • @GiftMkwizu
    @GiftMkwizu 16 днів тому

    Mungu akubariki

  • @EnaraMfwango
    @EnaraMfwango 15 днів тому

    Nakupend xàn kak but tuhubilie nen la mungu usituhubilie abar za mwamposa tumechok ndug tuhubilie abàri za mungu na namn gan tutaingia mbinguni kil xik mwampox mpak tumechok mpak tut kuj tukuon unamuhubur mwampox

  • @RUBENNGAYA
    @RUBENNGAYA 15 днів тому +1

    UNAMAANISHA SHETANI NDO ANA NGUVU KULIKO MUNGU??TUMIA NENO LA MUNGU KWA HEKIMA YA KIMUNGU YA KUWAHURUMIA WANYONGE,MASKINI NA WALIOONEWA,OGOPA KUWAGUSA WATUMISHI WA MUNGU UTAUMIA..SHAURI YAKO.

    • @AGM19697
      @AGM19697 15 днів тому

      Sasa watu wanaanza kujufuru kwa kumpaisha shetani.
      Mtu akifanya vitu vikubwa hata kama ni vizuri sifa wanampelekea asiyestahili

  • @shakuratradeservices5919
    @shakuratradeservices5919 9 днів тому

    Mungu gani kamtuma mtumishi kushambulia wengine kila siku? TUJITAFAKARI

  • @user-zj9op4fb7w
    @user-zj9op4fb7w 14 днів тому

    Mungu akulinde Kaaian

  • @ed2simon
    @ed2simon 14 днів тому

    EV CASSIAN-- UMENENA VYEMA MUNGU AKUBARIKI SANA ZIDI KUFICHUA YALE YANAYOFANYA ILI KOMBOA NDUGU ZETU WANAO ANGAMIA HUKO

  • @PaulDavis-wz7rd
    @PaulDavis-wz7rd 8 днів тому

    Njia ya kwenda mbinguni ni ngumu mno kuliko vile wanadamu wanavyoichukulia! wokovu sio kitu rahisi! sio kujaza watu mamilion! sio kusifiwa na watu!

  • @irenemuia2718
    @irenemuia2718 16 днів тому +1

    JAMANI Vijana na WATOTO wetu ,eee MUNGU wa huruma tuhurumieee 😭😭😭😭😭

  • @Advancedkingdomministries
    @Advancedkingdomministries 16 днів тому +3

    BLABLA NYINGI SASA TUONESHE NGUVU ZA MUNGU ZA KWELI ULIZO NAZO WEWE SIO KELELE TU HATA NGUVU ZA MUNGU NAZO HUNA KIJANA
    1 Kor 4:20
    Maana ufalme wa Mungu hauwi katika neno, bali katika nguvu.
    UNAPIGA MIKELELE WEEE ILA UKIAMBIWA UMEFANYA NINI KATIKA MAISHA YAWATU UTASEMA NIMEWAPA NENO KWAKUWASEMA WATU BIBLIA INAKUKATAA INATAKA UTUONESHE NGUVU ZA MUNGU ULIZO NAZO WEWE BAADA YAKUTUONESHA ZAWATUMISHI FEKI SASA TUONESHE ORIGINAL ZA KWAKO TUNATAKA KUKUONA MUNGU ANAVYOKUTUMIA KAMA HUWEZI FUMBA KINYWA CHAKO MALA MOJA. HATUTAKI BLABLA HAPA ONYESHA NGUVU ZA MUNGU.

    • @justinocarlitosduas7357
      @justinocarlitosduas7357 16 днів тому

      Soma vema bíblia utajuwa anacho kiongea Kassian

    • @AGM19697
      @AGM19697 15 днів тому

      ​@@justinocarlitosduas7357Inabidi kamkutanishe na Mwamposa nina uhakika akitoka huko ataamuwa kuwa mwanafunzi wake

  • @EstherjesseySenyagwa
    @EstherjesseySenyagwa 10 днів тому

    Ww baba uko sahihi toka nipo mdogo sijawahi kukanyaga madhabau za watumishi feki coz najua everything kuhusu shetani ni nani na watumishi wengi wanajificha ushetani wao usionekane ila sisi wenyewe macho ya rohon tunaona vingi