MGOGORO WA ELIMU. ISHARA ZA UNABII WA RAISI SAMIA WAZIDI KUTIMIA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 87

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 Місяць тому +5

    HUDUMA YA KRISTO samahani naomba jina la huu mziki (instrument). Ni nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @shadracktarimo2675
    @shadracktarimo2675 Місяць тому +3

    NABII wa Mungu barikiwa sana ,kazi yako njema .kazi ya NABII Nikufikisha taarifa kazi iko kwa anaepewa taarifa Amen.

  • @loycep7785
    @loycep7785 Місяць тому +2

    Amina
    Sema sababu ni nini kama umeambiwa na Mungu
    Changamoto za uongozi ni ngumu tunaelewa kama umetumwa waambie watu waombe Mungu anajua
    Yeye alichaguliwa kwa katiba hajaomba Mungu mwenyewe atajitwalia utukufu
    Soma Yeremia 28 10-17 uone habari ya Nabii Hanania yaliyompata

    • @vitalisantony239
      @vitalisantony239 Місяць тому

      Si kila kitu kinahitaji mtu aombe mengine yanamhitaji mhusika achukue hatua mheshimiwa. Mfano Nabii Yona alipeleka unabii Ninawi, kwani alikuwa ameshindwa kumwambia Yona aombe kwa ajili ya ninawi?.

    • @JonasMathias-s6m
      @JonasMathias-s6m Місяць тому

      Mungu hahojiwi Babu akisha sema Kesha sema

  • @norahfrank
    @norahfrank Місяць тому +2

    Mama.Samia
    Hawa TRA. Wana shida hawatembelei biashara za watu zaidi ya kukaa maofisini na kuandika madam ya kodi kwa simu.huku wakijua kuwa biashara zilishakufa siku nyingi.watembee ili kupata ukweli

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Місяць тому +2

    Amina Mtumishi,Mungu hataunyamazia utawala wa wakati huu ambao ni wa uharibifu,hatuna budi kuadhibiwa!

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances Місяць тому +2

    TIME WILL TELL, Acha Wapuuze na Kudharau Unabii"

  • @billmkushi849
    @billmkushi849 Місяць тому +2

    Sitakuelewa, namwelewa Mungu tuuu

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 18 днів тому

    Aache king'ang'anizi aende kwa amani sio kwa vita,

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 18 днів тому

    Anang'ang'ania maslahi yake sio ya wananchi

  • @jesaminzo
    @jesaminzo Місяць тому

    Amen! Breaking News: Rais Joe Biden wa Marekani amejitoa kwenye kunyang'anyiro cha urais!

  • @jumamnemo8383
    @jumamnemo8383 Місяць тому +1

    Mungu wako inaonesha kuwa ni mlevi akeshalewa ndipo anakupa unabii.

    • @hudumayakristo
      @hudumayakristo  Місяць тому +1

      Huyu mungu aliye mlevi utamuona baada ya siku 7 akikutendea ulevi.

    • @jumamnemo8383
      @jumamnemo8383 Місяць тому

      @@hudumayakristo acha kutishia watu wenye akili huyo mlevi mwezako hana uwezo wowote.

    • @nenolauzima5281
      @nenolauzima5281 Місяць тому

      ​@hudumayakristo
      Usimjibu mpuuzi

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 Місяць тому +1

    Nisivyokuelewa ni pale tu unapodhani Magufuli amekufa kwa ajili ya kupisha hayo unayosema mama Samia kayamaliza. Wewe sema alipaswa akimalizia miaka ya Magufuli baada ya kifo chake, yeye Samia atoe nafasi ya ushindani huru kwa kugombea nafasi hiyo ya Urais na sio kudai kwamba jina linapita pasipo kushindaniwa kwenye chama chake. Huo ndio ibinafsi6na kunogewa na madaraka. Maana ni KWELI analazimisha nafasi hiyo pasipo uhalali.

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 Місяць тому +1

    Mbona kwa kagame hakuna mambo kama haya ya unabii hayapo tuseme kule hakuna MUNGU anae tumia unabii hawa manabii

  • @MonicaBeni
    @MonicaBeni Місяць тому +1

    Ebu Muulize Mungu kua watanzania wanauliza maandamano rasmi rasimi lini? Alafu tuletee majibu sawa nabii wa samia.

    • @vitalisantony239
      @vitalisantony239 Місяць тому

      Punguzeni mzaha mpendwa Mungu hadhihakiwi, ni vema kuamini Mungu yupo kuliko kutokuamini kuwa hayupo, ukamkuta.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Mungu atawaonyesha kwa sababu Mungu adhihakii hata siku moja. Mungu azidi kukuonyesha zaidi

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому +1

    Anang'ang'ania kwa nini? Basi arudishe Inchi yake Zanzibar katika Muungano bila kufanya hivyo Mungu pia atamfanyia kwa sababu hakuna haki yo yote.

  • @gladysdyamvunye1212
    @gladysdyamvunye1212 Місяць тому +1

    Uko vizuri sana mtumishi wa Mungu. Nimekuwa nikifuatilia baadhi ya jumbe zako,nabarikiwa na nafurahi kuona nchi yetu Mungu anajishughulisha nayo kwa wema. Linalonisumbua tu mtumishi unisaidie au kama kuna wa kunisaidia,je mheshimiwa Rais wetu mama Samia, anaziona hizi jumbe zote zinazomhusu? Na hata wengine wanaopewa ujumbe huu wameusoma/umewafikia?

    • @hudumayakristo
      @hudumayakristo  Місяць тому +1

      Jumbe zote anaziona100%

    • @HezronJeremia
      @HezronJeremia Місяць тому

      Shalom, mtumishi wa Mungu endelea kusema yote Mungu anakufunulia

    • @gladysdyamvunye1212
      @gladysdyamvunye1212 Місяць тому +1

      @@hudumayakristo Afadhali kama anaziona. Ni yeye tu sasa aamue kuzingatia,madam ameziona hizo jumbe. Asante sana mtumishi kunijibu.🙏

    • @gladysdyamvunye1212
      @gladysdyamvunye1212 Місяць тому

      @@HezronJeremia Kabisa, Mungu amtie nguvu na ujasiri,asiogope kusema ukweli ambao Mungu kamtuma auseme.

  • @basilwamba2182
    @basilwamba2182 Місяць тому

    Nabii hajawahi kulazimisha ujumbe wake ueleweke, huu sio unabii ni umbea tu

    • @JonasMathias-s6m
      @JonasMathias-s6m Місяць тому

      Nilazima tusisitize kwakua kizazi hiki nichaukaidi kizazi Cha nyoka

  • @corporatethugsent7380
    @corporatethugsent7380 Місяць тому

    Mtumishi samahani tupunguzie sauti ya back ground music.inakula sauti ya waongeaji.muombe unjinia wako wa aweketu tu sauti ya chini sanaa iskike kwa mbali yan itanoga tu sana maana kakinanda nako yah ni katam sana lakin kanaharibu kakiwa juu kupita kiasi maana sana kanaumiza na kukosesha sauti za waongeaji

  • @OmbenOmary
    @OmbenOmary Місяць тому

    Sema tu mtumishi was MUNGU haijalishi watasikia au hawatasikia maana ni kizazi chenye shingo ngumu.

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 Місяць тому

    Mimi nafurahia sana maana hatujui tunaelekea wapi

  • @rosekennedy2075
    @rosekennedy2075 Місяць тому

    Ameeen

  • @HafidhMwinyi-fp2po
    @HafidhMwinyi-fp2po Місяць тому

    Nabii wa shetani

  • @saramss7262
    @saramss7262 Місяць тому

    AMINAAA barikiwa shaloom

  • @JonasMathias-s6m
    @JonasMathias-s6m Місяць тому

    Hakika wewe nimtumishi wamungu nayote uliyo yaongea yatatimia kwakua mtumisjhi wamungu Rais magufuri walimzurumu nafsi yake damu yake inawalilia hakika hakuna kiongoz aliye fanya dhuruma atakaye pona

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 Місяць тому

    Huu sio unabii hata kwa kutazama na macho nchi inavyoongoza haya hayaepukiki ( mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake)

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому +1

    Abdul anapelekewa hizo pesa sasa kwa nini huyo mama yenu asiwemo?

  • @user-sx1xi4yb2z
    @user-sx1xi4yb2z Місяць тому

    Mtumishi mie niombee my nina majanga

  • @kepharichard4183
    @kepharichard4183 Місяць тому

    Hata mimi nimepata ndoto hii kuwa nchi inakuja kuwaka moto na nikaambiwa hayo unayoyaona ni kwamba Utawala wa Mussa na fimbo yake Umeisha Sasa utanakiwa Utawala wa David kijana mdogo. Kwahiyo anayetakiwa kutawala ni mtu mwenye maono ya vijana wa Millennium na Gen Z ndio atawale Tanzania

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 Місяць тому

    MUNGU atusaidie Tz.Mziki wako huu mzuri.

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 Місяць тому

      Halafu wapo Viongozi wa CCM wanamponda Raisi wa Kenya. Maajabu sana 😮

  • @user-ev2xf1tv3w
    @user-ev2xf1tv3w Місяць тому

    Huyo anae jiita mama alisema yeye ni chura akipigwa teke ageuki au aukumsikia mtumishi

  • @mgawerevocatus8582
    @mgawerevocatus8582 Місяць тому

    Hata yeye anajua jukumu lake anelikamilisha.
    Ila Vatican ndiyo wanataka kulazinisha aendelee

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 Місяць тому

    Hivi kwa Nini watu wa system hawawashughulikii kanjanja kama hawa?
    Sasa mhusika ni Dr. Samia sisi wananchi wengine yanatuhusuni?
    Nyinyi watu wa kaskazini mtasumbuka sana, CCM iko imara.

  • @ramadhaniathumani1025
    @ramadhaniathumani1025 Місяць тому

    Neno la Mungu litimie!

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Hao watu wameruhusiwa ni halali yao. Mbona wakati wa Magufuli hiyo haikuwepo? Nawambia wanaruhusia na watawala wa ccm.

  • @ZawadyKaoneka
    @ZawadyKaoneka Місяць тому

    Haelewi sasa!

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Місяць тому

    JINA LA HIYO INSTRUMENT PLEASE

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 Місяць тому

      Instrument ni nzuri Yaani inaburudisha sana!! Imenipa kuutafakari Ukuu wa MUNGU Baba Muumba wetu . Naomba ukipata jina lake unipe. Asante

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 Місяць тому

    Wewe ni nabii wa Mungu wasiokuelewa sio waombaji

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 Місяць тому

    MWALIMU NYERERE AMBAYE NI BABA WA TAIFA ALISEMA MAENDELEO YA NCHI YAENDANE NA MAISHA BORA YA WANANCHI.
    FLY OVERS, DAT, TRNI ZA MWENDO KASI HAZITAKUWA NA MAANA KAMA WANANCHI UMASIKINI WAO UNAONGEZEKA

    • @jumamnemo8383
      @jumamnemo8383 Місяць тому

      @@nabiimgongolwa8728 kwani Nyerere ni nani muda wake umekwisha.

  • @Leeeeeeee-96
    @Leeeeeeee-96 Місяць тому

    mungu ni mwema kaka aendelee kukutumia wanaokupiga madongo hamjaitwa umu 😂

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 Місяць тому

    Mnayembebesha mizigo mabegan hana uwezo wa kuibeba!

  • @ezrakaturitsaofficialtz7873
    @ezrakaturitsaofficialtz7873 Місяць тому +1

    Ndio Mtumishi wa Mungu kabisa

  • @user-qy4gb1kn4z
    @user-qy4gb1kn4z Місяць тому

    😊

  • @OinotiMbessere
    @OinotiMbessere Місяць тому

    LAKINI HUYU MTUMISHI ANAONGEA, TUSIDHARAU, TUFWATILIYE

  • @user-do1ug7de3g
    @user-do1ug7de3g Місяць тому

    Yote yote tukusaidie nini wakati mambo yako yamevilia damu tena yenye usaha

  • @user-ql4qw3ow4r
    @user-ql4qw3ow4r Місяць тому

    Naona unachoongea no ukweli mtupu

  • @user-ew9cp4jh9e
    @user-ew9cp4jh9e Місяць тому

    Oo

  • @happinessmosala2217
    @happinessmosala2217 Місяць тому

    Kwa hiyo ndio kituko ulichotabiri?😏

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 Місяць тому

    Hakuna nabii baada ya nabii MOHAMMAD SAW eti nabii wa uongo mtupu

    • @clarencehilary5588
      @clarencehilary5588 Місяць тому

      Mohard hakuwa nabii alikua jini lilitumwa na majini wenzie kuja kueneza ujjini hapa duniani

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 Місяць тому +1

      @@clarencehilary5588 ina maana wewe ni mmoja wapo katika majini.

    • @KhadijaSaidi-bg6nc
      @KhadijaSaidi-bg6nc Місяць тому

      Wee ndio chizi kabisa Akili huna hujielewi🥹🥹

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 Місяць тому

    Acha ujinga huo, umevurugwa akili na matamanio ya nafsi yako. Iko siku utajua kuma mboga ni kitoweleo ni dawa ya maumivu

  • @DannySanga-gh1oj
    @DannySanga-gh1oj Місяць тому

    Vyombo vya habari vipi viko huru?

  • @knight6757
    @knight6757 Місяць тому

    🇹🇿😪

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 Місяць тому

    KÈSHÒ ŸÀKÒ ĤUIJÙI ÙTAĴÙÀ

  • @YOSHUANYAMAHANGA
    @YOSHUANYAMAHANGA Місяць тому

    Usiseme vitu kinyume na Maagizo ya Mungu, Au upo kwenye kampeni mbona unaongopa. Mungu yupi amekueleza.

  • @user-cz7bd9tc5k
    @user-cz7bd9tc5k Місяць тому

    Wajinga Tupo wengi sana Uta tudanga kadri una vyotaka Huyu Mwongo na Tapeli lakini wapo wengi wana Mkubali

    • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
      @SmilingFlowerBouquet-hs2hv Місяць тому

      Ndiyo unaanza kumufatilia Leo sisi tulianza muda sana na anavyo visema vina tokea sijui ww ndiyo mugeni

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr Місяць тому

    Mm toka nyerere sijaona mtawala ninayemkubali zaidi ya huyu mama na ni no 2 ktk marais bora Afrika..kwa takwimu za mwezi huu

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 Місяць тому

    WAKATI WA MJOMBA PALE NAMANGA NA HOLILI PIA MALORI YALIKWAMA SANA TU TENA ZAIDI YA WIKI.
    MNAJIBEBESHA KANISA MABEGANI ILI.MUONEKANE NI WATU WA MUNGU.

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 Місяць тому

    Acha uzandiki

  • @user-qy4gb1kn4z
    @user-qy4gb1kn4z Місяць тому

    nyie mnaompinga huyu kijana mnauwelewa kweli manabii wote wanasema samia hana nafasi inayoonyesha kwa atakuwa Raisi 2025 tuompee nchi yetu mmeona nguvu ya uma iliotokea kenya mpaka Ruto ameomba pooom msichese na mda ukifika mimi kamanakuta na Rais samia nikapata nafasi ya kuongea nae na akataka ushauri kutoka kwangu.ningemshauri mambo matatu 1 awazikilize wanainchi 2 amwondoe mwigulu kwenye nafasi
    mwigilu ndie anaesababisha wananchi wachukie uongozi wa samia 3 Raisi akatae sifa .za machawa wanao sifa bira kukosowa hawa ndio wabaya wake babdae kama raisi ana washauri wake au mtu anaemshauri ajane nao hawa msaidi Raisi atumie akili yake na mungu wake nakumbuka hotuba alioitowa Raisi wakati anaingia madarakani angetembea mlemle pasi Rais wetu angekwa kipenzi cha wstanzania sisi tulio chini huku kila kona popote ukienda inchini watanzania wanalalamikia uongozi wa Rais wetu mimi hunitoka machoni nikiona mama ya kuonewa huruma anatakiwa asaidiwe wasaidizj wake hawamsaidie wanapaki kumsifia raisi kinafiki

  • @user-ew9cp4jh9e
    @user-ew9cp4jh9e Місяць тому

    Umelaanika chuki za kidini zimekutawala mungu Gani alokutuma wewe

    • @Ufalme1
      @Ufalme1 Місяць тому

      Don't crash him, aske yourself. What new thing do you expect from Hon: this one being talked about?.

    • @user-jl5uh1xq9f
      @user-jl5uh1xq9f Місяць тому

      Utajuwa kama ujuwi