Christmas Orchestre Maquis

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 66

  • @mamadida6100
    @mamadida6100 4 роки тому +3

    Nakumbuka marehem Baba yangu ilikua siku ya bday yangu trh 25.mwenyez mungu amlaze pema pepon amn

  • @kassimungemba5830
    @kassimungemba5830 4 роки тому +9

    Nikisikiliza huu wimbo natamani kulia. Unanirudisha nyuma sana nikiwa mdogo, mitaa ya temeke, ikifika mwezi wa 12 RTD ilikuwa unaupiga sana huu!!😭😭

  • @goodlucknyamubwe1945
    @goodlucknyamubwe1945 5 років тому +9

    Ilikuwa balaa,Christmas na bana Maquise! Huachii Redio!RTD mchana mwema hiyo! Rahaa

  • @kokombwana8625
    @kokombwana8625 Рік тому +2

    Nakumbuka enzi za utoto,nyumbani kwetu Kivesa Handeni,tukiwa na redio dudu proof 😊😊, hakika ya kale ni dhahabu,R i p ndugu na marafiki wa wakati huo

  • @newcountryhotel
    @newcountryhotel 7 місяців тому +1

    Nakumbuka Pongwe Tanga miaka hiyooo 1982 na 83.. nikiwa na umri mdogo wa kama miaka 8,9 ivi!! Sasa nina miaka Hamsini(50yrs). Kweli old is real gold!!

  • @RamadhanMkoka
    @RamadhanMkoka 16 днів тому

    Unanikumbusha miaka ya 1980 mwanzoni nikiishi KIBAKWE MPWAPWA ❤❤❤

  • @sammyseame7114
    @sammyseame7114 7 років тому +13

    Jamani Maisha,ni safari!! Nakumbuka nikiwa nalima shamba,redio nimeweka juu ya mti mwezi december huo!!

    • @simoniwisi8292
      @simoniwisi8292 3 роки тому +2

      Mpango mzima ...!! Wazazi wetu walale salama amen ..! Mpangilio wa music huu ni ustadi wa hali ya juu sana...!💪🏾💪🏾

    • @nyangejoseph3755
      @nyangejoseph3755 2 роки тому

      Kikumbi Mwanza Mpangoal maarufu King Kiki, acha kabisa ananikumbusha mbali sana mwanzoni mwa miaka ya themanini, acha acha kabisa shughuli ilikuwa pevu sana enzi za balehe . Vhinyama Chiyaza Chichi acha kabisa

    • @charlesodero7502
      @charlesodero7502 Рік тому

      😂.... nice memory lane

  • @doriskabogo3743
    @doriskabogo3743 Рік тому +1

    Huu wimbo ni mzuri sana enzi zile ukipigwa kila mtu hucheza pale alipo. TBC waanze tena kipiga nyimbo za zamani kwani ni za taratibu na nzuri sana.

  • @amonijustini119
    @amonijustini119 7 років тому +5

    Nakumbuka December Kwa miaka ya nyuma(early 80s). shamra2 zilikuwa nyingi. Kweli maisha matamu lakini mafupi.

  • @joemwinjo1478
    @joemwinjo1478 3 роки тому +1

    Imenikumbusha mbali sana hii nyimbo enzi hizo zetu.................tene when music was music

  • @sylverywangalila17
    @sylverywangalila17 6 років тому +8

    Hii ndiyo miziki iliyocharazwa kwa utalaam wa hali ya juu siyo miziki ya kileo

  • @kokombwana5865
    @kokombwana5865 Місяць тому

    Nyumbani Handeni,miaka ya 80,hakika old is gold,siku hazigandi😭😭😭😭

    • @DeograsiasMhaiki
      @DeograsiasMhaiki 18 днів тому

      Hata mimi miaka hiyo nilikuwa naishi Handeni mtaa wa Kwaseuta nikisoma Shule ya Chanika

  • @kokombwana8625
    @kokombwana8625 5 років тому +3

    Mmh! Kwakivesa ,Handeni,miaka ya utoto

  • @simoniwisi8292
    @simoniwisi8292 3 роки тому +2

    Power Nguzo hapa umevuta hisia za wengi sana kati yetu...bravo brother !!

  • @kennethbahebenginilla1657
    @kennethbahebenginilla1657 4 роки тому +1

    Imenikumbusha mbali sana hii nyimbo enzi hizo naisikiliza sana mwaka 1992,93,94 shule ya msingi krismasi unasubiri matokeo ya darasa la 7,kweli ya kale dhahabu.

    • @allykitto4176
      @allykitto4176 2 роки тому

      Sawa jamaa enzi zao kiukweli hakuna wa kuwapiku mpaka leo.nyimbo za miaka ya 70 80 tayari kweli

    • @hamisikipita7946
      @hamisikipita7946 Місяць тому

      Siku hiz matokeo ya la saba hayashtuwi maana ndan ya mwez yametoka wakat miaka hiyoo tuliyasubir kwa miez mitatu presha juu😂😂😂

  • @goodluckkaluwa9728
    @goodluckkaluwa9728 4 роки тому +3

    Nakumbuka zamani wimbo huu sikukuu zilikuwa ni ifuraha tupu

  • @husseinmasoud9409
    @husseinmasoud9409 2 роки тому

    Xmas ya 4 hii nipo hapa shimo la tewa Mombasa. Sauti tamu ya King Kiki yanikumbusha mbaali. Maisha kweli safari ndefu saana. Alhamdulillah

  • @TwahaAliMtumbi
    @TwahaAliMtumbi 15 днів тому

    1984 nikiwa majumbasita ukonga. Na Kaka yangu wamolaga

  • @jacksonzebedee4668
    @jacksonzebedee4668 6 років тому +8

    Enzi hizo serikali ilinunua vibasi aina ya Isuzu (UDA Nusu-mkate) ndogo-ndogo kwaajili ya wanafunzi, nauli ikiwa sent 50, baadae UDA ikaingiza Icarus kutoka Hungary, basi wakati wa Krismasi ilikuwa ni Khataree!.

  • @karolimwikola5265
    @karolimwikola5265 3 роки тому +1

    Namshukuru mangu nimetoka mbali

  • @mamadida6100
    @mamadida6100 2 роки тому

    Dah Acha kabisaa ilikua ni 🔥❤️

  • @sylverywangalila17
    @sylverywangalila17 6 років тому +4

    Hii ndiyo ilikuwa Miziki Gita likicharazwa kwa umahiri

  • @mussamtalika243
    @mussamtalika243 2 роки тому

    Maumivu makali sana nakumbuka mbali sana mama baba dadazangu Rose mail cathe mpeji inapigwa ngoma unajua sikukuu imefika hadija hussein dah wote mbele ya haki wapi hamisi yanga

  • @djoeloficial
    @djoeloficial 3 роки тому +4

    Good night, greetings from Colombia. I have seen that he likes to share the music of tanzania on his channel. I would like to make a query about a song and a musical group that I have been looking for, I would like to know if you can help me with the investigation. I am a young Colombian who likes the music of tanzania. If you could give me your email or some help where I can contact you it would be a lot. Thanks!

  • @dbzfreak66
    @dbzfreak66 5 років тому +3

    Classic! Mziki bila jasho

  • @matembelerichard9416
    @matembelerichard9416 7 років тому +3

    nakumba radio tanzania enzi hizo na radio ya mkulima

  • @kalistuschonya8596
    @kalistuschonya8596 2 роки тому +1

    Tumetoka shule tupo likizo na tupo shamba radio Philips ipo kwenye tuta. Safari ya Marshall hiyo.

    • @MbogaTatu
      @MbogaTatu Рік тому

      Yaani wewe umenikumbusha mbali hapo kwenye radio ya Phillips! 😂

  • @kokombwana9006
    @kokombwana9006 7 років тому +2

    Duu! Miaka ya 80,nikiwa kivesa Handeni

  • @raskenneth1981
    @raskenneth1981 29 днів тому

    Noel(Xmas) Bonanee(New Year),oh Noel Mama Xmas oyee Bonanee 😍🙄🙄

  • @gilbertmasaki2965
    @gilbertmasaki2965 7 років тому +3

    Muziki umenitupa Mbali Kweli. Safi sana

  • @leonardkipondya4216
    @leonardkipondya4216 5 років тому +2

    Nakumbuka Christmas 1977

  • @salumkyelula443
    @salumkyelula443 Рік тому

    😢😢😢all good days

  • @IddaItuga-o9d
    @IddaItuga-o9d Місяць тому

    Nakumbuka soo far

  • @brownee20007
    @brownee20007 3 роки тому +3

    Saxophone Chinyama au?

  • @rajababdul7257
    @rajababdul7257 4 роки тому +1

    25 December 2020

  • @allyomary4764
    @allyomary4764 2 роки тому

    Kwa kweli yakale ndahabu

  • @gabrielsamwelhokororo7624
    @gabrielsamwelhokororo7624 4 роки тому +2

    Kwa Nini wanamuziki wa sasa hatungi nyimbo za matukio huru na kughani nyimbo hizo Bila kuiga au kukopi kwa mtu? Kweli itarudia hii?

  • @arnoldmasaki6198
    @arnoldmasaki6198 Місяць тому

    Sad King Kiki ameondoka.

  • @temmytayari164
    @temmytayari164 3 роки тому +1

    INANIKUMBUSHA ZAMANI KAHAMA

  • @MarijaniMsofe
    @MarijaniMsofe Рік тому

    Mwaka 2023 Desemba 24 Christmas

  • @aloycetemba8652
    @aloycetemba8652 6 років тому +1

    X-Mass oyee

  • @dr.jonathanchikomeler.8031
    @dr.jonathanchikomeler.8031 5 років тому +1

    25 Dec 2019..

  • @emmanuelmsoffe933
    @emmanuelmsoffe933 3 роки тому

    Desemba 24 2021

  • @peterkikwati5475
    @peterkikwati5475 Рік тому

    Enzi hizo weee acha

  • @kennethbahebenginilla1657
    @kennethbahebenginilla1657 4 роки тому +3

    Imenikumbusha mbali sana hii nyimbo enzi hizo naisikiliza sana mwaka 1992,93,94 shule ya msingi krismasi unasubiri matokeo ya darasa la 7,kweli ya kale dhahabu.