Mwaka 1990 pale kijijini Izava kule Mkoani Dodoma, walikuwepo Wasomali waliokuwa wana mashine ya kusaga nafaka paliitwa kwa SENDEMA. Nikisikiapo kibao hiki huwa nasisimka sana pia nahuzunika sana. Nakumbuka sana enzi za utoto wangu lakini pia nakumbuka muziki huu ulivyokuwa dhahabu!.
1989 Serengeti disco Mwisho WA Mwezi kuna Staff sitamtaja kwani alishatangilia Mbele za haki lkn daa alikua akiomba huu wimbo urudiwe Kila yaani ukipigwa wimbo Mmoja ufuatao Mashoga Marquis:
Kitambo sana yaani nakumbuka mida hiyo narudi shule njaa inauma sana halafu unakuta mama hayupo nyumbani kaacha redio inapiga muziki kipindi cha mchana mwema ha ha ha ha
Ukisikia nyuzi bin nyuzi ndio hizo kitambo sana. Mzee wangu alikua anafanya kazi RTD basi kila bendi ienda kurekodi wanapata santury 1kila staff wa pale Ila hii ilikua balaa
Rafiki yangu mwimbaji was marquis Parash Parash unatisha na akina audax! We mungu irejeshe dunia miaka 20 back ili tupate raha man's Sikh hizi karaha tupu
Mimi kila nisikiapo hizi nyimbo, km.niko mahala fulani, huwa najisikia km.nimekuja kwa gari langu mwenyewe, kumbe nimekuja kwa mguu, na wala taili ya gari tu, sijawahi kuwa nayo.

Dah Mpaka Leo hii 2023 Nawasilikiza wana wa Maquis,, Nakumbuka kiwalani na Ukumbi mzuri Ruvuma mpaka Maputo, uwanja wa ndege Karakata 1990
Bila kusahau ukumbi wa Ndumbaro pale kijiwe samli
Hatari sana....nakumbuka miaka hiyo ya 80 natoka shule nina ubaoo lakini nikisikia hii miziki njaa yote inaisha yaani. Maquis walikuwa wanatisha sana
Kitambo sana yaani nakumbuka mida hiyo narudi shule njaa inauma sana halafu unakuta mama hayupo nyumbani kaacha redio inapiga muziki kipindi cha mchana mwema ha ha ha ha
Kaka umenikumbusha mbali miaka ya 90 nikiwa lwati primary school,,kule mbozi
Duh miaka ya 90 baba yangu marehemu akiwa anafundisha Newala na mwm makumbuli pale kitangari
newala one
Nilipenda sana hapo kwenye MAQUIZEEEEE..¡ MWASEMAJEEE!! SENDEMAAA!
Nakumbuka pia school mate Tabora boys,Norman Lugendo,aliupenda sana wimbo huu
dah kitambo kile, Ruvuma mpaka maputo hapo, Twila guy in Berlin Germany since 1997
Dekula kahanga Vumbi kwenye Solo
Mashoga ukwelimtupu katika hiii nyimbo
Huo wimbo wa mashoga naupenda kinoma
deo blandes badili mwenendo wako no wimbo was Marquis pia mbona siupati
Isa nundu huyo htr htr mno daresalam ikiwaka kweli
Enzi hizo mamboyalikuwa bam bam.😀😁😎
Ukisikia nyuzi bin nyuzi ndio hizo kitambo sana. Mzee wangu alikua anafanya kazi RTD basi kila bendi ienda kurekodi wanapata santury 1kila staff wa pale Ila hii ilikua balaa
I was in primary school (chozi linalilenga) Nyimbo zenye mafunzo..
Albert Mariki pole kaka
Rafiki yangu mwimbaji was marquis Parash Parash unatisha na akina audax! We mungu irejeshe dunia miaka 20 back ili tupate raha man's Sikh hizi karaha tupu
Bado nyimbo nyingine kama ugomvi wangu na sallehe, kisebengo nk.
Ebana eeh, hizo ngoma sijazisikia tangu 1989-1991. Zinapatikana wapi?
lang'ata kinondoni zama hizo/we have come a longway"Hamisi Dale Boston massachussets
Iko poa sana
lang'ata inanikumbusha marehemu Mzee Anthony WA Kilimanjaro Hotel alikuwa hakosi halo lang'ata Mwenyezi Mungu amuweke mahali Peña peponi Amiin
Issa nundu ,bobo sukari,fredito butamu,paresh,audax,mbuya makonga,hao waimbaji,bass banza mchafu,splp vumbi dekula kahanga,ukumbi lang'ata social club kinondoni ,
Long time songs..Kitu sendema...
Enzi hizo polisi Barraks kilwa road, sendema kweli.
Da enzi izo std xi kilimanjaro pr. School. Hawa jamaa mziki walikua wanaujua asee
Kaka nguzo kuna vitu havijasikika humu. Sarah - Marquiz original, Tupendane - Mk beats, Kila jambo nawakati wake- Mk beats. Ninyi ndo mnatukumbusha wahenga
mbona mimi 's iwachunguzi
Hatari sana
hatare,mpini wa Nguza Viking uo!!!
Mpini wa Dekula Kahanga "Vumbi"
Weeee Vumbi huyo
Nakumbuka Kinondoni oysterbay
OSS
Mimi kila nisikiapo hizi nyimbo, km.niko mahala fulani, huwa najisikia km.nimekuja kwa gari langu mwenyewe, kumbe nimekuja kwa mguu, na wala taili ya gari tu, sijawahi kuwa nayo.
L13