Still listening to this song I first heard in 1975 when still a kid.Now as a grandfather in 2024 I still find it very entertaining. Live long Congolese music
Everytime I hear this song I cry. It reminds me of you; late sister Joyce Mapenzi. You would be making chapatis and KBC would play this song without fail every morning of Christmas...and through Christmas of course. Chapatis had to wait until you would have finished enjoying the song. Rest in peace my lovely sis...I miss you...I still listen to your favourites....tchiku,paulina,kajituliza kwake kasuku...say hi to Francis,tell him I still remember him singing along,...nakufyokola,nakufyokola,nakufyokolate...cette belle époque me manque...Bofu.
I remember those old days in christimass when we used to walk in groups of the same age set almost 12-15 years old.... yeees entering here and there in streets eating Rice with meats .We trusted 25th December emotionally we felt as participated with Jesus in one table.Please if you enjoy hit like button.
Wimb huu umekua ukinipa hisia za ndani kabisa ya nafsi yangu toka nilipoanza kusikia wakati Niko mdogo miaka ya tisini mpaka Sasa Niko na familia daaaaaaaa 🥦😭😭😭😭
Christmas 2024 hasante Mungu kwa uhai Baba Mungu tujalie tuione Christmas 2025 tukiwa na afya njema "Pia nijalie mwisho mwema hapa duniani kwa wale wote niliowakosea kwa kujua au kutokujua naomba msamaha ! Na wote walionikosea nimewasamee lam 63 yrs old now safari ilikuwa ndefu iliobaki si ndefu tena"
When the names Uchumi and Supermarket were still one and the same thing, When treetop juice, chapati, soda and new clothes were synonymous with Christmas, with a Sanyo, National or Panasonic radio blasting in the background. This song brings back very deep memories indeed.....
Ukisikia wimbo huu wakati huo ulikuwa unapata hisia kuwa Christmas iko kwa kona. Soda wali kuku nguo mpya na hela ya kwenda kutembea vilisherehesha siku hii na kuifanya tofauti na ya kipekee
Naukumbuka huu mziki mwaka 1977 mwezi sikumbuki katika send off ya ndugu yangu, ulipigwa mziki huu kijijini hapo vumbi lilitimuka!! Unanikumbusha mbali enzi hizo nikiwa mtoto drs 3
This song reminds me of my late Father's buying clothes for all his children on a Christmas day in 1978 from an Army shop in Kitwe parklands. A codral jean and a jacket and shoes. Wow! Those were really days. MSRIP. KASONGO WA KASONGO, MWIKALEBWE.
Rest in peace Kasongo wa Kanema. Lead vocalist here before joining Super Mazembe. I celebrate you, i mourn you. Continue Resting in Peace Baba Gaston wa Ilunga wa Ilunga
Leo tarehe 25/12/2020 ni Christmas tena.Wimbo huu unanikumbusha enzi ya utoto wangu.Maisha yalikuwa mazuri sana.Sikukuu ilikuwa sikukuu kweli.Inanikumbusha pia marehemu baba yangu.Ohio!Nostalgic...
Utoto wangu nilipata shida sana ya chakula na nguo mpya sasa ukiwa ni hapa sasa unaskia huu wimbo kwa watu majiran wanaupiga wanafrahi wamevaa vzr waenda kanisa na wakirud wanakula vzr niliumia sana wajamen yotekwa yote Mungu ni mwema!
Huu wimbo niliusikia maramoja tuu halafu sikujua muimbaji ni nani, kilichotokea rhythm yake ilibaki kichwani kwangu kwa miaka miwili huku nikitafuta muimbaji ni nani?, leo nimeenda sehemu nikasikia unapigwa ikabidi niswitch on shazam fastaaaaaaaa Thanks to shazam kwakweliiiii
Hakika nimekumbuka mbali sana, ikiwemo kumkumbuka marehemu baba yangu Dr Anselm Luhega , ambaye alikuwa mpenzi wa wimbo huu enzi hizo mimi nikiwa mtoto
Inanikumbusha utotoni wakati huo Christmas ni Christmas kweli kweli si kama sikuizi sherehe inakuja na kupita kimya kimya wengine hata hawajui kama ishafika au ishapita kwao hakuna tofauti utoto tulicheza kula kupitiliza mialiko kibao sikuiz no mialko noma sana..
My upper primary school days flash before my eyes every time this song plays. My classmate Robert Banda from Paradise compound in Lusaka West had a way of whistling the instrumentals of the this song. Beautiful days indeed.
I first listened to it in 1977 and it thrilled me since then. It was Christmas time and there was a prominent shop called Hajji and Hajji Emporium which used this song in advert.
I vividly remember the year 1981buying my first leather shoes from a local bata shop back in my rural home and this song was being played almost twice in one hour
Dah, enzi za muziki wa kiutu uzima! Asante kwa kutuwekea huu wimbo ambao ni timeless! Pia natafuta wimbo wa Baba National talaka talaka mpakani, natafuta youtube siupati.
One of the song that reminds me when I was around 7 to 10yrs.... I don understand the meaning but it reminded me the old age living peacefully life in 80s , playing freely and the love between the relatives was real 😅
Every time this song played, it reminded how excited we the young men and women of those enjoyable yesterdays, àfter chapatis we would proceed for tea evening parties packed with great hits such this Kolele viva christmas
This song was our Christmas National Anthem during December. It brings me those old memories. I still enjoy listening to it. Reminds me of my childhood friends that I grew up with who have passed on to the next world. Thank you UA-cam for reserving such old songs on your platform..
Thank you God for letting me see this Christmas as I listen to my favorite song of viva Christmas. I miss those old days. It used to be a real Xmas. Viva Christmas
Many found solace in this unique song being bellowed during the Christmas week in 70's and beyond. Fewer songs made better sense during this period than this one. Most likely NONE! The niceties that accompanied the period can be compared to NONE. No Christmas without Baba Gaston! How about the holiness associated with it? Kasongo wa Kanema did it with precision as Lead Vocalist. Who can dispute these Legends, in their own rights? May their souls continue resting in everlasting peace. Dr. Ogeto International
WIMBO HUU KILA NIKIUSIKIA NAKUMBUKA NILIPOKUWA MDOGO MIAKA YA 90 TULICHEZA SANA. HADI LEO UPO JUU HAUJAWAHI KUCHUJA NI WIMBO BORA KABISA WA KRISMAS. RIP.BABA GASTON
Captivating infectious song of the yesteryears when Christmas week was fanthomlessly important occasion in Humanity. Never underrate this song if you are youthful because you cannot measure the sweetness with your necked eyes!!! It was a Bombshell, I tell you!! Live in hope. Dr. Ogeto International
Enzi hizo jamani nikiwa mdogo hapo 📻 mkulima wetu anadunda ndani mimi nipo namenya mihogo na ndizi kwa ajili ya chai asubuhi kwa kweli tulifurahi sana, halafu jioni tunaingia disco na hiyo lazima upigwe tulicheza sana
Nani yuko hapa 25/12/2024 tuburudike pamoja?Tiya Like kama uko hapa!
Mungu tupe afya njema tunaosikiliza xmass hii ijayo ya 2025
kama na wewe uliinjoy miaka hiyo ya 1970 gonga like za kutosha
Nakumbuka miaka 1990 babayangu akiwana rediomkulima
Poa
I remember Baba in Uganda Kampala International Hotel now Sheraton hotel playing in the night club
For me it was mid 80s and listening to the song today I feel like it's just like yesterday.
😅😅😅 nilikuwa na baba mwiaka hiyo mzeewangu
hii nyimbo imenifanya nitoke machozi kiukweli 😢😢😢😢
Nimekumbuka mbali sana
Nakuelewa ndugu yangu
Kbs
Good Old Days Utotoni.... BEST Days.... Leo ni 2024 Dec. God is good!
For sure!✅🎉
Kama unasikiliza Kama mimi gonga like tufahamiane
I still enjoy the music,❤😂🙏🌟👏👍🙋🤗🎼🎶🎧🎵💯 right.i love it so much
Enzo hizo ilikuwa ni motooo kweli ya kale ni dhahabu
Me ni wasasa ila Namsikilizisha babu
Wimbo Christmas ulibamba sana Enzi zile from November to Desember llikuwa lazima upigwe redioni
Enzi hizo ilikuwa nikisikia tu wimbo huu mawazo ya Christmas yanatawala.moyo wangu,bila wimbo huu kupigwa niliona kama bado Chrismas
If you are watching this now 😢😢❤ for Xmas 2023 you are a hero.
If you're still watching this till now you're the really legend 2022 🇹🇿✌️
T🇹🇿nzania
Now Im a grandmaa. I still remember this song which I used to and still like since my teenagerhood in the mid seventez.
Nakumbuka Christmas 1979 nilicheza sana hiyo Wimbo nikiwa kijana.
Mimi Mara ya kwanza kuusikia wimbo huu ni 1978 nilikua bukoba mjini. Nani kaucheza kama mimi ?❤
Still listening to this song I first heard in 1975 when still a kid.Now as a grandfather in 2024 I still find it very entertaining.
Live long Congolese music
Kumbe ya zamani sana hii nyimbo, to be honesty my fiirst time to heard it was 2000's years
Everytime I hear this song I cry. It reminds me of you; late sister Joyce Mapenzi. You would be making chapatis and KBC would play this song without fail every morning of Christmas...and through Christmas of course. Chapatis had to wait until you would have finished enjoying the song. Rest in peace my lovely sis...I miss you...I still listen to your favourites....tchiku,paulina,kajituliza kwake kasuku...say hi to Francis,tell him I still remember him singing along,...nakufyokola,nakufyokola,nakufyokolate...cette belle époque me manque...Bofu.
Pole sana, Love from your next door neighbour
Tanzania 🇹🇿
I remember those old days in christimass when we used to walk in groups of the same age set almost 12-15 years old.... yeees entering here and there in streets eating Rice with meats .We trusted 25th December emotionally we felt as participated with Jesus in one table.Please if you enjoy hit like button.
Wow!
Wimb huu umekua ukinipa hisia za ndani kabisa ya nafsi yangu toka nilipoanza kusikia wakati Niko mdogo miaka ya tisini mpaka Sasa Niko na familia daaaaaaaa 🥦😭😭😭😭
Christmas 2024 hasante Mungu kwa uhai Baba Mungu tujalie tuione Christmas 2025 tukiwa na afya njema "Pia nijalie mwisho mwema hapa duniani kwa wale wote niliowakosea kwa kujua au kutokujua naomba msamaha ! Na wote walionikosea nimewasamee lam 63 yrs old now safari ilikuwa ndefu iliobaki si ndefu tena"
Nakumbuka mbali Sana mnooo happy holiday
I cry for my late parents everytime I hear this song around 25th December....We will meet again in heaven
When the names Uchumi and Supermarket were still one and the same thing, When treetop juice, chapati, soda and new clothes were synonymous with Christmas, with a Sanyo, National or Panasonic radio blasting in the background. This song brings back very deep memories indeed.....
M
umesema bila ukabila 100%
I ❤ this comment bro reminds me so many items you have mention above Wacha tu miaka ni hiyo bwana still listening that track up to date 20/12/23
@@Johnbabu-n9d it's the "Xmas National Anthem " for me, a must play.
Man you got it perfect I'm listening to this music Right today waiting to cross brother ❤❤❤
Hii ni nyimbo bora ktk histolia yangu ya kuwepo duniani
Enzi hizo jamani
Enzi hizo jamani nikiwa mdogo, nipo namenya mihogo na ndizi kwa ajili ya chai asubuhi, tuliifurahi sana,
Nakumbuka mbali ,baba alikuwa anatupenda sana tunasikiliza pamoja tunaimba wimbo huu nalia sana nikitafakali upendo wa Mungu kwa mwanadam
Ukisikia wimbo huu wakati huo ulikuwa unapata hisia kuwa Christmas iko kwa kona. Soda wali kuku nguo mpya na hela ya kwenda kutembea vilisherehesha siku hii na kuifanya tofauti na ya kipekee
Hapo tayari nna gauni Lina kofia na kimkoba chake 😂😂😂
Hela ya kutembea😅
Naukumbuka huu mziki mwaka 1977 mwezi sikumbuki katika send off ya ndugu yangu, ulipigwa mziki huu kijijini hapo vumbi lilitimuka!! Unanikumbusha mbali enzi hizo nikiwa mtoto drs 3
This song reminds me of my late Father's buying clothes for all his children on a Christmas day in 1978 from an Army shop in Kitwe parklands. A codral jean and a jacket and shoes. Wow! Those were really days. MSRIP. KASONGO WA KASONGO, MWIKALEBWE.
Huu mwimbo sichoki kuusikiliza uliimbwa vizuri sana big up baba gaston ,hauchuji yaaan km umetoka jana ,unaenjoy kuusikiliza kiukweli
Viva Christmas vile nimetafuta huu mziki
Hata mimi nimeutafuta sana
Wimbo mzur sana umetulia
Rest in peace Kasongo wa Kanema. Lead vocalist here before joining Super Mazembe. I celebrate you, i mourn you.
Continue Resting in Peace Baba Gaston wa Ilunga wa Ilunga
Leo tarehe 25/12/2020 ni Christmas tena.Wimbo huu unanikumbusha enzi ya utoto wangu.Maisha yalikuwa mazuri sana.Sikukuu ilikuwa sikukuu kweli.Inanikumbusha pia marehemu baba yangu.Ohio!Nostalgic...
Ukiwa na nguo za sikukuu jikoni nako kunanukia ebwanaeee acha tu
Leo 25/12/2022 nausikiliza…mzuri sana. May he Rest In Peace
Baba gasto hii nyimbo ni nzuri Sana nimekua nikiisikiliza miaka ya 90 lakini hadi leo bado inakamata
Rest in peace Baba Gasto, wimbo ambao hauweza kuchuja, nakumbuka nimeanza kuusikia na ukawa muziki bora wa xmas in 1976
Safi sana
moja kati ya nyimbo bora za Xmas!
Amezaliwa 🙏, it was not Christmas until Jim Reeves, Boney M and Baba Gaston had sung on VOK / KBC
Correct ✅️
Utoto wangu nilipata shida sana ya chakula na nguo mpya sasa ukiwa ni hapa sasa unaskia huu wimbo kwa watu majiran wanaupiga wanafrahi wamevaa vzr waenda kanisa na wakirud wanakula vzr niliumia sana wajamen yotekwa yote Mungu ni mwema!
Huu wimbo niliusikia maramoja tuu halafu sikujua muimbaji ni nani, kilichotokea rhythm yake ilibaki kichwani kwangu kwa miaka miwili huku nikitafuta muimbaji ni nani?, leo nimeenda sehemu nikasikia unapigwa ikabidi niswitch on shazam fastaaaaaaaa
Thanks to shazam kwakweliiiii
Hakika nimekumbuka mbali sana, ikiwemo kumkumbuka marehemu baba yangu Dr Anselm Luhega , ambaye alikuwa mpenzi wa wimbo huu enzi hizo mimi nikiwa mtoto
Sisemi kitu ..sikia rhythm gitaa.. sweet memories wakati muziki ilikuwa muziki.. asante sana Congo.. this guy's were really gifted
Inanikumbusha utotoni wakati huo Christmas ni Christmas kweli kweli si kama sikuizi sherehe inakuja na kupita kimya kimya wengine hata hawajui kama ishafika au ishapita kwao hakuna tofauti utoto tulicheza kula kupitiliza mialiko kibao sikuiz no mialko noma sana..
Inanikumbusha 1995 nikiwa darada LA ii huko iringa
Usiseme bwana hairudi tena
Leo December 25, 2024 nimerudi hapa kuiskiliza. Maisha ya Secondary. Good memories
The days when Christmas was true to its name! I was in my early teens. Oh! So nostalgic!
Nostalgia of the 80s. Reminds me of the humble beginnings. I thank God
Acha kabisa wakati huo kiti moto kwa oda maalum kabla ya Noel mwezi mmoja kabla
My upper primary school days flash before my eyes every time this song plays. My classmate Robert Banda from Paradise compound in Lusaka West had a way of whistling the instrumentals of the this song. Beautiful days indeed.
Huo wimbo tulicheza sana Christmas 1979 kwa party ya class ya samba baada ya C.PE exam
Class of 1979 viva
I first listened to it in 1977 and it thrilled me since then. It was Christmas time and there was a prominent shop called Hajji and Hajji Emporium which used this song in advert.
Iga Lawrence Kampala Uganda ; I remember those days in 1970s (RIP relatives and friends of those days)
Uganda my favorite country and second home.
I love Uganda, i love Ugandans .
Love from 🇹🇿 Tanzania
Tulio like 2019 mwez12 mungu atuvushe salama,,,haka kawimbo kananitoaga machoz
I vividly remember the year 1981buying my first leather shoes from a local bata shop back in my rural home and this song was being played almost twice in one hour
I love this song...Baba, Gaston, viva Christmas 🎉... Merry Christmas to you all...
Best Christmas Rhumba song to date
Kitambo sanaaa
We have come from this far. Memories are made of such songs. Nostalgia can surely kill.
Bonge la wimbo. Thank you for posting a clear version. Oh, the memories this lovely song brings.
God bless.
Dah, enzi za muziki wa kiutu uzima! Asante kwa kutuwekea huu wimbo ambao ni timeless! Pia natafuta wimbo wa Baba National talaka talaka mpakani, natafuta youtube siupati.
One of the song that reminds me when I was around 7 to 10yrs.... I don understand the meaning but it reminded me the old age living peacefully life in 80s , playing freely and the love between the relatives was real 😅
Bado inashika chati, RIP❤
Oh my,God to God be the glory it is t new year today 2024 in lusaka listening to this fantastic hit produced maney years ago when i was a boy.
Baba Gaston; the best Christmas song ever. It is my number one
Namimi ni nyimbo naipenda kulikozote duniani.nacheza naimba
nyimbo safi kabisa enzi zangu
This song reminds me when it was time for Christmas, my father and mom lest in peace 😢
Nakumbuka Christmas ya miaka hiyoo iliyopita
Every time this song played, it reminded how excited we the young men and women of those enjoyable yesterdays, àfter chapatis we would proceed for tea evening parties packed with great hits such this Kolele viva christmas
This song was our Christmas National Anthem during December. It brings me those old memories. I still enjoy listening to it. Reminds me of my childhood friends that I grew up with who have passed on to the next world. Thank you UA-cam for reserving such old songs on your platform..
Thank you God for letting me see this Christmas as I listen to my favorite song of viva Christmas. I miss those old days. It used to be a real Xmas. Viva Christmas
Ninakumbuka mbali,miaka ya 80,nikiwa Handeni,mitaa ya Kivesa,ya kale ni dhahabu
Viva Christmas ,noma sana ,hakina Kasongo and many others God bless
Wimbo wangu unanikumbusha mbali hakuna xmas bila huu wimbo 👌
Nakumbuka miaka ya 1987 baba na mama yangu wakiwa hai wrote kwa pamoja walisema yesu ni mwokozi
Amen! Ni kweli: Yesu ndie Mwokozi peke yake! Jina la Bwana liinuliwe. Anastahili Kuabudiwa milele na milele.
I hope you've given your life to Jesus, Your parents were right.
Be blessed
Good enough! Mpiga rhythm ni mtanzania pekee ndani ya wataalamu wa Congo (Zaire enzi hizo) hongera sana Baba Gaston, Ilunga wa Ilunga RIP
Nani huyo aliyepiga rhythm hapo?
Nimemsahau kidogo, nilimsikia miongoni mwa waimbaji wa wimbo huu ndugu kosongo alipokuwa anahojiwa na TBC (masoud masoud) nafatilia ntakujulisha
Kasongo wa kanema amesema mtanzania alipiga drums. Jina lake ni Robert Mtinange. Angalia interview yake na Africa Live Tv hapa UA-cam.
@@jafarym77 Nadhani Robert Mtinange alipiga Bass Guitar
Inthe 80 s without Baba Gaston s Viva Christmas , for me it was not Christmas. Rest in peace Baba & kasongo.
Was synonymous with Christmas. A week or two before Christmas you were sure to hear it on VOK and later KBC in Kenya
I love this song,so sweet
Nous sommes enn1977 au grand Zaïre. La belle époque
Huu ni wimbo maalumu.Niliusikia mara ya kwanza na umri wa miaka inne 1974 lakini hadi leo utamu wake haukomi
This Was A special Xmas Song Played From My Dad's Record Player During My Primary School Days In The 1970s. Old Is Indeed Gold!
ONCE UPON A TIME WHEN I WAS JOUNG THIS WAS ONE OF THE BEST CHRISMAS SONGS.. I STILL LOVE IT.
The perfect Christmas song
1/1/2020 mungu tubariki tuanze salama na kuumaliza salama ninamba nzuri zenye radha
Hujambo ndugu
Tungali hai mungu ni mkuu
Best ov the best, Xmas song the world ever witnessed! Good job, the great Baba Gaston - Ilunga wa Ilunga! RIP
Many found solace in this unique song being bellowed during the Christmas week in 70's and beyond. Fewer songs made better sense during this period than this one. Most likely NONE! The niceties that accompanied the period can be compared to NONE. No Christmas without Baba Gaston! How about the holiness associated with it? Kasongo wa Kanema did it with precision as Lead Vocalist. Who can dispute these Legends, in their own rights? May their souls continue resting in everlasting peace. Dr. Ogeto International
Mh Wengine hata dalili kama tutakuwepo DUNIANI hahahah kakolele
Napendaga sana napigagaa atacama si skuuu
Nostalgic moments....in the seventies and eighties...
Mindule kitoko penzaa
WIMBO HUU KILA NIKIUSIKIA NAKUMBUKA NILIPOKUWA MDOGO MIAKA YA 90 TULICHEZA SANA. HADI LEO UPO JUU HAUJAWAHI KUCHUJA NI WIMBO BORA KABISA WA KRISMAS. RIP.BABA GASTON
Vumbi na jasho jioni kila week end 1977.Rulindo college .15 years old.
Nawapongenza wote waliozaliwa 1957 wali enjoy wimbo huu!
Sina hakika kuja kupata wimbo wa tukio kama huu, what a brilliant song! Viva xmass, viva Baba Gaston Ilunga wa Ilunga!
Frederick Sanga kweli enzi hizo zilikuwa nzuri Sanaa!
@@marymkwizu3800 Yaani we acha tu ndugu yangu maisha yalikuwa mazuri pamoja na muziki!
Hutachoka kuusikiliza salut Kwa baba gosto
Viva Christmas, moto ya kuotea mbali.with over 45year,today,2021_huuh
Captivating infectious song of the yesteryears when Christmas week was fanthomlessly important occasion in Humanity. Never underrate this song if you are youthful because you cannot measure the sweetness with your necked eyes!!! It was a Bombshell, I tell you!! Live in hope. Dr. Ogeto International
Viva Christmas 🎄 ♥ 🎉
Old is Gold.....what a songggg
Viva xmass inanikumbusa Bali jameni
Miziki ya bana bakulutu Zama zao akina Baba Gaston miziki ya kutuliza moyo ndio hiyo
Wimbo unanikumbusha wakati nakua. Nguo mpya, pilau, soda na mitoko vilikwenda sambamba tukiishi mji mdogo wa Tunduma.
Yaan kipindi hicho haunambi kitu🤣🤣🙆
My father just sung this song to me, special moment
I can never stay a week without listening
Enzi hizo jamani nikiwa mdogo hapo 📻 mkulima wetu anadunda ndani mimi nipo namenya mihogo na ndizi kwa ajili ya chai asubuhi kwa kweli tulifurahi sana, halafu jioni tunaingia disco na hiyo lazima upigwe tulicheza sana
Wimbo juu nikiusikiliza huwa unaniliza
Astonishing ❤🎉🎉
Times of record player and old xmass songs
(1970s )