Hapa ni Hamza Kalala alipotoka Vijana jazz na kuunda kundi hili la Bantu group. Wimbo huu una mapigo yaliyofanana na wimbo uitwao Chiapo alioutunga Hamza akiwa na Vijana Jazz. aante sana Eddy Nassoro
Kuna wimbo wa msondo unaimbwa hivi "tahadhari eweeh mwanguu usijione ni hodari utakujaaa tesekaa eweeh mwanguu sikiaaa" sijui jina la wimbo naomba utanitajie km unaufaham
+Eddie Nassor uncle mimi ni mpenzi sana wa hizi old songs,kwani hunikumbusha maisha yetu halisi ya kipindi kile,kwani tulizoea kuzisikia RTD,na nyimbo zilikuwa zina maadili,tena zina ujumbe makhsusi,na pia zilikuwa zinafunza,ndio maana zinanipa kumbukumbu sana.sasa Uncle naomba wimbo wa Tabora Jazz band uitwao ....Halima barua yako ulionitumia nimeipata.....naupenda sana sana mara ya mwisho kuusikia nafikiri ni mwaka 1974 ila sina uhakika sana,nitafurahi sana ukipatikana.naitwa Mariam Fritsi,nipo uswis.12.03.17.
Kaka habari za siku, upo ndugu yangu, umekaa kimya sana. Mimi naburudika na hizi nyimbo. Ukiweza turushie ule wimbo unaitwa "Isaya mrithi wangu" sikumbuki uliimbwa na nani. Pamoja sana kaka.
Naweka sawa hapa commandoo hamza kalala alipotoka vijana jazz hakwenda kuanzisha bantu group bali alinda kuanzisha uda jazz band wana bayankata na uyu ndio aliyemlea mwijuma muumini na hapo sauti ya mwijuma hipo.
Hamza kalala ndio ametoka vijana kwenda kuanzisha UDA jazz? Sijakuelewa hapa kalala katoka vijana au Ushirika ndio amekwenda kuanzisha Wanabantu Stars group
Sahihisho, Hamza Kalala alivyoondoka Vijana ndiyo alienda kuanzisha Washirika na kina Eddy Sheggy. Baadaye akatoka na kuanzisha bendi ya Bantu Group. UDA ilikuwepo miaka mingi kabla ya hapo.
Wakati huo RTD .. WAKATI MUZIKI UNGALI MUZIKI..
Napousikilza huu wimbo namkumbuka marehem baba yang alkua anaupenda sana
Huu wimbo siuchoki kuusikiliza moja kati ya nyimbo zangu Bora kabisa hapa Tanzania
Penzi ni shahada ya pili katika maisha ❤
Mwimbo bora mtunzi bora
nyimbo nzuri na zenye hisia,mimi nazipenda sana nyimbo kama hizi.
Hapa ni Hamza Kalala alipotoka Vijana jazz na kuunda kundi hili la Bantu group. Wimbo huu una mapigo yaliyofanana na wimbo uitwao Chiapo alioutunga Hamza akiwa na Vijana Jazz. aante sana Eddy Nassoro
kabisa Saad Mazen, hivi Stella ni na vijana au Bantu Ngoma? Eddie anatisha na hii collection what a memory!
Sufa07 ni ya vijana hiyo
Stella vijana jazz@@Sufa07
Nyimbo nzuri sana naomba kaka tuwekee nyimbo shegi mwisho wamwezi unambo naupenda sana
Huu wimbo ukiusikiliza unaweza kufikiri umetungwa jana
Nyimbo za zamani zilikuwa zinaeleweka
Fantastic song
Hatakama nimechoka nikuonapo huwa na nguvu lilee penzi letu.
Komandoo Hamza Kalala ktk ubora wake. Vya kale ni shahabu. Naomba wimbo uitwao Suluhisho la mapenzi uliopigwa na DDC Mlimani Park.
Kuna wimbo wa msondo unaimbwa hivi "tahadhari eweeh mwanguu usijione ni hodari utakujaaa tesekaa eweeh mwanguu sikiaaa" sijui jina la wimbo naomba utanitajie km unaufaham
Penzi ni kama mirindiko ya kinyonga , sawa na malimwengi ya fikira nzuri. Nani atayabisha? Dr. Ogeto International
Nyimbo tamu sana hii. Ubarikiwe mkuu
Maneno ayo ya kweli saana kea enzi zile enzi izi vibwagizo tupu
Komandoo kalala kwenye gitaaa zitoo
Wimbo bora kabisa
Wimbo huu nakumbuka mbali Sana!!!
asante kwa wimbo mzuri. naomba uweke wimbo wa "watoto wamekuja juu"
Huu ndo music sasa
Ya kale dhahabu
Umetisha kaka kwa kutushikisha nyimbo za kweli
Hahaa,ahsante ndugu.Burudika
+Eddie Nassor uncle mimi ni mpenzi sana wa hizi old songs,kwani hunikumbusha maisha yetu halisi ya kipindi kile,kwani tulizoea kuzisikia RTD,na nyimbo zilikuwa zina maadili,tena zina ujumbe makhsusi,na pia zilikuwa zinafunza,ndio maana zinanipa kumbukumbu sana.sasa Uncle naomba wimbo wa Tabora Jazz band uitwao ....Halima barua yako ulionitumia nimeipata.....naupenda sana sana mara ya mwisho kuusikia nafikiri ni mwaka 1974 ila sina uhakika sana,nitafurahi sana ukipatikana.naitwa Mariam Fritsi,nipo uswis.12.03.17.
baba jeni nr 2 eddie tafadhali
Kwanza kuzaliwa, pili mapenzi tatu ni kifo...
🔥🔥🔥
Kaka habari za siku, upo ndugu yangu, umekaa kimya sana. Mimi naburudika na hizi nyimbo. Ukiweza turushie ule wimbo unaitwa "Isaya mrithi wangu" sikumbuki uliimbwa na nani. Pamoja sana kaka.
Levis Gamba Levis,nilienda kuvuna kaka.Tege sikio tu ndugu!
Issaya mrithi wangu wa baadae umeimbwa na ddc mlimani park muimbaji kiongozi alikuwaw hussein jumbe.
Kama kuna anayeikumbuka kikosi kamili cha bantu group wana kasimbagu
Baba jeni
Natamani kuusikiliza huu wimbo
Nakumbuka enzi hizo Mabibo external(Mandela road)
Naweka sawa hapa commandoo hamza kalala alipotoka vijana jazz hakwenda kuanzisha bantu group bali alinda kuanzisha uda jazz band wana bayankata na uyu ndio aliyemlea mwijuma muumini na hapo sauti ya mwijuma hipo.
Hamza kalala ndio ametoka vijana kwenda kuanzisha UDA jazz? Sijakuelewa hapa kalala katoka vijana au Ushirika ndio amekwenda kuanzisha Wanabantu Stars group
Sahihisho, Hamza Kalala alivyoondoka Vijana ndiyo alienda kuanzisha Washirika na kina Eddy Sheggy. Baadaye akatoka na kuanzisha bendi ya Bantu Group. UDA ilikuwepo miaka mingi kabla ya hapo.
Kwakweli comandoo kalala hana mpinzani kwa solo tanzania...
Hii staili yaķe ilipigwa na Mabera inaitwa kente
Kwa Tanzania waliiweza watatu tu Mabera,Komandoo na marehem Kasheba
@@saidimwanja9159siyo hao kente pia alipiga mbaraka mwinshehe na Nguza vikings
Kaka kama inawezekana kupata siwema ya juwata jazz nitashukuru sana
Hamisi YR Hamisi,nitaurusha hewani kaka tukijaaliwa
♥️
kulikuwa na wimbo wa bantu group unaitwa baba jane
NAMASUMANDA DUH
Vicky
hivi babu edi unapatikana wapi nakutaka face to face
Seif Said Hahahaa ni inbox Seif
Naweza pata cd au flash yenye hizi collection za zilipendwa
Raha tupu
Kaka habari, hivi kuna ngoma moja ya MK Group inaitwa Kitendawili, naomba posti yake kaka
Acha niuchungulie ndugu,Nikiuona nitaurusha
Mambo vipi Eddie? Mbona umekuwa kimya, hujadownload kitambo. Vipi uko poa?
brownee20007 browneeeeee,nilisafiri kaka.Sasa nipo hivyo tege sikio:)
Welcome back Cuz! my ears wide open!!!!