Yes that was in Dar es salaam Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 back in 1980s to 1990s at Wapiwapi bar they use to perform every weekend. Ohh that was the never miss dancing days. Wale wazee wenzangu mnakumbuka teremuka teremuka chekechaaa💃💃🕴️🕴️🕴️
huu ndio muziki enzi hizo bana nakumbuka sana laizoni langu, bugaluu la kitambaa cha mpira shati la slim fit florida na bonge la afro bila kusahau mkanda wangu mpaaaana.
Yes that was in Dar es salaam Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 back in 1980s to 1990s at Wapiwapi bar they use to perform every weekend. Ohh that was the never miss dancing days. Wale wazee wenzangu mnakumbuka teremuka teremuka chekechaaa💃💃🕴️🕴️🕴️
Hii ni kati ya tracks za Maquis zinazoniondolea stress, huu ndiyo muziki
One of the most popular "Congolese" Bands in East Africa and its music had a distinct signage!
Those were the the days the music that has stood the test of time . The melodies that have remained evergreen.
Enzi hazirudi masikini 😭😭😭😭
Enzi azirudi o passando não volta
O passado não volta que pena
King Kiki, God bless You, ulituchangamsha enzi zetu, hutasahaulika
Nawakumbuka sana, mzee. Mwema Mujanga,kwenye sax, Nguza, viking, Chinyama chiaza, Mafumu Bilali
Old Good Days will never come back
Vickings alikuwa kijana mdogo sana wakati huo! Duh! Siku zinaenda kasi sana
Nan anasikiliza hii burudan leo 29 mai 2022
Wapi zamani chini ya mti
Nimependa sana huku kwenye sebene
ASANTE SANA KWA KUTUJUZA KWA UFUPI JUU YA HII BAND
Ugonjwa wangu ulikuwa hiyo saxaphone na solo guitar.
Kazi yangu baharia ilipigwa na maquies
Good old days
Oh quelle chance....
Oh quelle chance!
Mziki Bila Jasho ...!!!
Saxophone Moto sana 🔥🔥🔥🔥🔥💯 right
Bwisi baa
Nguzaaa katembea na kente had nasisimka mwili..
Hakuna mpini kama huo mpaka leo nguza ni habari nyingine
@@edwardmushi4183 kabisa.
Napenda sana hizi nyimbo
Hii ngoma inapigwagwa mishale ya sa7. .pale laprima ...namkumbuka sana Kabea Badu rip
Emanuel Mchani full team at white house
Kabea badu is still alive
Hes working with Dekula Kahanga(vumbi) in sweeden
Kabea Badu yupo hai
Yupo nadhan Sweden
Acha kabisa ndugu yangu ili safi raha ujana wetu
wakati huu hautoludi tena
Nyimbo hizi zanikumbsha enzi za white house ubungo
Asante nguza,banza mchafu,audax,
napenda sana hizi nyimbo
Miaka ya 80 dare salaam yachemka kama bahari
enzi za white house utapenda
Radio Dodoma 1 pm daily those days, big up guyz.
Duuh! nakumbuka enzi hizo pale WHITE HOUSE,palikuwa hapatoshi
Natubela mabe nasala na bato= I repent the bad things I did to people
Sublime - thankyou!
Kitoko mingeeeeeee
😭😭😭😭😭😭
Hakika ilikuwa ni burudani hasa hiyo saxophone
😭😍😭😍😭😍😭😍
Nakumbuka miaka mingi,nipo std.six
@msaniiTZ Bwana leo nafanya nyama choma napiga ZP songs
huu wimbo umefanya akina dada wasivae thong kazi ipo. mungu
awasamehe.
asante
Rayvvan will poul
Du sijuhi niseme nn namkumbuka rafiki yangu marehem abdarah a.k a fungo
OMACO,aa kifo cha CHINYAMA kiliwafanya wakose muelekeo lkn wangebaki na mawazo yao nahisi leo hii wangelikuwa wametoka
Unamkumbuka Shani?
bado moja ile nimepigwa ngwala sipati vipi
Hii NIMEPIGWA NGWALA - ua-cam.com/video/UQ_nm1kjUgc/v-deo.html
Old school tu
wapi nitapata kopi ya single ziada ya kabeya badu
Kosa lilifanyika hakukuwa na video by then lkn tungetamani tuwaone hasa sisi kizazi cha sasa
IDDI CHAMSHAMA siyo kosa, ilikuwa haijafika
@@patriciamaganga3891
Mipini yanguvu
Nani kwenye sax?
Nadhani ni Chinyama Chiyaza
Chinyama Chiyaza
jamani naulizia ile nyimbo kazi yangu mie baharia nikirudi nyumbani mke wangu kaondoka hayuko ilipigwa na bendi gani?
Maquis Original - Kasongo Mpinda Clyton
Hii hapa link yake - ua-cam.com/video/m5k7-Cn6dsY/v-deo.html
NA MIDOMO YA BATA JEEEEEEEEEEEEEE ?
duh.. long time.. bro dekula huna za masantula?
huu ndio muziki enzi hizo bana nakumbuka sana laizoni langu, bugaluu la kitambaa cha mpira shati la slim fit florida na bonge la afro bila kusahau mkanda wangu mpaaaana.
asrams unasahau kuwa na Afro kichwani hata sura aionekani zinaonekana nywele tu wewe hacha kaka hilo kamanyola aliwezi kurudi mpaka mwisho wa Dunia
Jamani hatari sana huyu mzee anaitwa nguza viking solo hakuna mpaka leo 2019 bass banza mchafu balaa tupu
Nimependa sana huku kwenye sebene