Orch. jobiso-Christmas

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 70

  • @ThadeiAndrea
    @ThadeiAndrea 27 днів тому +2

    Kumshukuru mwenyezi Mungu yumwema kusikiliza huu mziki

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 26 днів тому +1

    Enzi hizo kiatu raizon ngazi 4, auruali pekosi na shati imekatwa nyuma round huku imebanwa, waweza kuifunga fundo hapa mbele kakabaki kakitovu kanaonekana. Kofia jackson 5. Eenzi hizo bwana hakuna kuugua ovyo labda uumwe na nyoka😅

  • @toshamezaw1460
    @toshamezaw1460 7 років тому +11

    Mtunzi George Peter Kisaka Kelekezi, RIP - Hiki kibao mwanana kila kipindi cha Xmas na Mwaka Mpya lazima kisikike kwa umuhimu wake. Na ikumbukwe kuwa marehemu /mtunzi wa huu wimbo alikuja kufa 25-12.1992. Ni miaka 25 sasa tangu atutoke nguli huyu wa muziki wa dansi. Kundi lililopiga wimbo ni Orchestre Jobiso

    • @pelagemassae6581
      @pelagemassae6581 6 років тому +1

      safi sana Tosha kwa kumbukizi nzuri.Mf.Mimi nilikuwa sijui mtunzi wa hiki kibao

    • @richardmtavangu2659
      @richardmtavangu2659 5 років тому

      Hakika hiyo nyimbo Ni funzo kwa Kula binadamu.

    • @selemanikisalo5060
      @selemanikisalo5060 5 років тому

      Upo sahihi kaka kundi liligawanyika kutoka less wanyika

    • @jamesmwakilema7488
      @jamesmwakilema7488 5 років тому +1

      @@selemanikisalo5060 Liligawanyika toka Simba wanyika wakitengana na nduguye Mkubwa Wilson Peter ikumbukwe pia kwenye familia yao walikuwa ndugu watatu ambapo aliye hai bado ni mdogo wao William Peter.

    • @brianmathewchepkonga4065
      @brianmathewchepkonga4065 5 років тому

      @@jamesmwakilema7488 William Peter ama ni Wilson Peter????

  • @mabudaissere1039
    @mabudaissere1039 6 років тому +8

    Nyimbo km hizi ukizikiza unaweza tokwa na chozi,zama nyingi zmepita...ardhi nayo imewameza vipenz vyetu....old z gold

    • @afrahrajab5747
      @afrahrajab5747 3 роки тому

      Wakati sauti za dhahabu utadhani wameingia studio mwezi huu muziki umepangika ardhi lnameza vingi pumzikeni kwa amani

  • @Johnbabu-n9d
    @Johnbabu-n9d Місяць тому +2

    Asante mungu kwa umbali huu umenifisha tangu mwanzo hati karibu sana mwisho wa mwaka huu 24/12/2024. Asante sana mungu licha ya mengi mangumu . Once more i pray lead us to the end salama salimini.

  • @janvierwilondja9363
    @janvierwilondja9363 5 років тому +16

    Tujuwane Wale Ambao Wamekuja Hapa Baada Ya Ben Pol
    Like Hapa👇🏾

    • @directorrey8665
      @directorrey8665 5 років тому +1

      Watanzania Mnatisha kwa kuchunguza duuh

    • @yahayarashidi202
      @yahayarashidi202 5 років тому +1

      😂😂😂

    • @djbcom2546
      @djbcom2546 5 років тому

      Tayari

    • @jacksonmwalyego4933
      @jacksonmwalyego4933 5 років тому +2

      George Kinyonga Mungu Mashairi yako yatadumu daima,,Jobso Mlitulia kweli Mwaka Mpya umefika tuombe Mungu Akina Baba akina Mama tufike salamaaaa,Kuna Wengine wapoo hospital ,kuna wengine tena wameisha kufa waliobaki saidia maskini,na wewe uliyemzima shukuru,......Chrismass imefika mwaka Mpya umefika saidia Babaa tufike salamaaa.......Wapi zamaniiiiiii.

    • @selemanikisalo5060
      @selemanikisalo5060 5 років тому +1

      Bendi iligawanyika kutoka les wanyika, George peter kinyonga, akiwa kiongozi wakaanzisha bendi mpya Orchestra Jobisso

  • @abedinegongwegwe5854
    @abedinegongwegwe5854 5 років тому +5

    Daaaah! Hakika ya kale ni dhahabu! Nyimbo haipitwi na wakati hii. Wahenga inatukumbusha mbali

  • @musakalijuma
    @musakalijuma Місяць тому +2

    The message! Wow!

  • @wamliz
    @wamliz Місяць тому +2

    Wimbo mutamu kweli 2024

  • @Nyagwoka
    @Nyagwoka 3 роки тому +2

    Zama zetu. Tamu sana.

  • @rosemichael5268
    @rosemichael5268 27 днів тому +1

    Kwaraha zetuu

  • @kiatupaul9429
    @kiatupaul9429 5 років тому +4

    The music is waooh!! A golden voice, can't have enough of this. Jesus Christ remember us we have many sins but you still love us

  • @EWMachu
    @EWMachu 4 роки тому +5

    Dhahabu tupu! A song I listen to whether it's June or December......2020, tuombe Mola umalizike salama!

  • @ziadasaddy4288
    @ziadasaddy4288 8 років тому +5

    Nyimbo naipenda hii hatarii old is gold bwanaa sikuhizi keleleee tupu hamna muzik

  • @ziadasaddy4288
    @ziadasaddy4288 8 років тому +4

    Old is gold hatari ujumbe tosha unapenda kuusikiliza wakat wote, muzik zaman bwana asante Jobiso

  • @mecksonlongole6034
    @mecksonlongole6034 2 роки тому +2

    George Peter Kinyonga, na Orchestra jobiso 1989 edition, hatunaye duniani ila bado kazi yake inaishi

  • @robertchesebe6901
    @robertchesebe6901 3 роки тому +2

    'and you who is alive should thank God, to complete one year nowadays is so difficult since death is everywhere......"
    How true.

  • @geraldmagembe4428
    @geraldmagembe4428 8 років тому +7

    naamini huu ni mwimbo bora kabisa kuusikiliza kila mwisho wa mwaka.

    • @deusngowi
      @deusngowi 7 років тому +1

      Kabisa Gerald, na ndio muda wake huu sasa - 26 - 31 Dec. Tuombe tuu salama.

    • @donaldkamundi4894
      @donaldkamundi4894 5 років тому

      Hautachuja aslan...

  • @donaldkamundi4894
    @donaldkamundi4894 6 років тому +5

    Hautachuja aslan.,.Mola ampumzishe pema...

  • @amrwagason
    @amrwagason 3 роки тому +2

    wow this came with the TZ after 1979 war was epic music to now

  • @alexcharles-j6r
    @alexcharles-j6r Рік тому +1

    I love jobiso

  • @sulleimansilver5375
    @sulleimansilver5375 Місяць тому +1

    🎉

  • @abdi5146
    @abdi5146 6 років тому +5

    Back then,music must be a calling in you before standing to perform,wilson peter kinyonga in action.golden good old days,reminds me of my childhood days.

    • @joelmussira2851
      @joelmussira2851 3 роки тому

      It's George Peter Kinyonga, not Wilson Peter Kinyonga!

  • @kokombwana9006
    @kokombwana9006 7 років тому +3

    Miaka ya utoto 1980s kule Handeni,Tanga

  • @maghimbihosea1098
    @maghimbihosea1098 9 місяців тому

    Good performance

  • @johnonaka1449
    @johnonaka1449 2 роки тому

    Jobiso Kwa wakati wake na maneno ya maa dili

  • @samsonriika5681
    @samsonriika5681 2 роки тому

    I remember this song many years back

  • @kokombwana8625
    @kokombwana8625 5 років тому +1

    Nakumbuka Handeni,mayambo na kule Kivesa miaka hiyo

  • @awadhmbezi3774
    @awadhmbezi3774 8 років тому +2

    Daa inanikumbusha enzi hizo nipo mbeya kyela kasumulu borda

  • @simonlissu3004
    @simonlissu3004 Рік тому

    Very nice orch jobiso

  • @musannuru9842
    @musannuru9842 5 років тому +1

    Nyimbo nzur saaana

    • @jumannealmas7945
      @jumannealmas7945 Рік тому

      Unanikumbusha mwaka 1984 nikiwa Igogo mwanza jirani na polisi ilikuwa hatari

  • @athumanimohamed7875
    @athumanimohamed7875 8 років тому +3

    NARUDIA NARUDIA HADI RAHA JOBISO WEEEEE

  • @leonardkatamba8605
    @leonardkatamba8605 7 років тому +1

    Heartfelt feelings from George Peter Kinyonga(1945-24/12/1995).

  • @meleniafrancis9462
    @meleniafrancis9462 6 років тому

    Nyimbo hii aiseee inatufanya tujisikie laha kukaribia kuvuka mwaka

  • @pelagemassae6647
    @pelagemassae6647 7 років тому

    ujumbe wa kutosha.Wanamuziki walikuwa wametulia

  • @gloriaclement9197
    @gloriaclement9197 2 роки тому

    2022

    • @yohanamjema9666
      @yohanamjema9666 2 роки тому

      Utunzi bora kabisa wa George Peter Kinyonga enzi hizo. Bado wimbo huu utadumu milele na milele kutokana na mashairi yake kila kipindi cha mwisho wa mwaka

    • @zainamselemu10
      @zainamselemu10 2 роки тому

      Orchestra Jobiso xmass"hakika haitasahaulika hata vizazi vijavyo RIP GEORGE PETER KINYONGA" BENDERA SAME KLMANJARO mwanzoni miaka ya 1980

  • @allanodhiambo5686
    @allanodhiambo5686 7 років тому

    tamu zaidi

  • @danaseb1620
    @danaseb1620 Рік тому +2

    nakuunga mkono nakumbuka George Peter alikufa 1992 ila sijajua tarehe na kaka yake Wilson Peter kinyonga yeye alikufa 1995 sijui tarehe amebaki mdogo wao William Peter kelekezi yu hai ila ana changa moto ya maradhi ya akili na anamaisha c rafiki pakuishi ni shida je tuombe serekali ya Kenya imsaidie mbona ilikuwa MDAU???

    • @wesnsomba
      @wesnsomba Місяць тому +1

      George peke yake ndie alikuwa anaitwa Kinyonga, sio Kaka yake Wilson

  • @Stellakayr8j
    @Stellakayr8j 5 років тому

    2019 ....

  • @dangeorge6205
    @dangeorge6205 7 років тому +1

    Ever green

  • @manyangadavid7009
    @manyangadavid7009 6 років тому +1

    Kuna wimbo unaitwa "tujenge chetu" ulipigwa na hawa Jobiso. Nweza kuupata? nitumie kwenye email yangu: manyangadavid7@gmail.com