CHUCHU KANIPONZA KWA KWELI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Dada kataka tumpime brown

КОМЕНТАРІ • 558

  • @mwarabuofficial5241
    @mwarabuofficial5241 Місяць тому +13

    Usikute huyo dada kashapewa umbea na shoga yake kuwa bwana ako malaya sana mfosi mkapime. 😂

    • @KuluthumuMsuwakollo
      @KuluthumuMsuwakollo Місяць тому

      @@mwarabuofficial5241 sasa ndo na camera jmn loooh haya angepigwa hapo kwanza ashkur hyo kaka ni mstaarabu mwanaume mwingine anakuzibua utajuta kumfaham

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 Місяць тому +12

    Huyo mwanaume atakuwa na ukimwi ase siyo kwa hasira hizo😂😂😂😂😂

    • @noureenkaaya9467
      @noureenkaaya9467 Місяць тому

      😂😂😂😂

    • @asharamdan363
      @asharamdan363 Місяць тому

      yaaan mmmmh kama mtu unajiamini asira ya nn sasa

    • @jafarinauma6798
      @jafarinauma6798 Місяць тому

      Dada kashapata majibu ukiwa salama kupima siyo issue kabisa tatizo ukiwa hujiamini au umewaka

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 Місяць тому

      @@asharamdan363 ujinga tu

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 Місяць тому

      @@jafarinauma6798 kabisa ukiwa unajiamini yani mm ukimwi na pima Kama maleria tu🤣

  • @JuxOmari
    @JuxOmari Місяць тому +19

    Kk mi ni mkongomani🇨🇩 wakwanza ambae nakuwaga na like vidéos zako adi naitaji ufike kwanza Congo 🇨🇩 ila sja wai kuona like Yako ata kwemye comment YG

    • @amaniomballa1855
      @amaniomballa1855 Місяць тому +1

      Kupima ni inshu personal bhna na inahitani utayari mim Niko upande wa Brother Vidada vya 2000 huwa vina kihele hele sana na vina penda kiki..haya sasa umeambiwa una kipengele huko nyumban kakandwe😂😂

  • @batihubadiy3106
    @batihubadiy3106 Місяць тому +17

    Jamaaa nmemuelewa sana misimamo na nlichokipendaa ni kumwambiaa Dem Funga Duka thn tukutane Home nnakipengele na weye Yaan Makavu bila Chenga

    • @asharamdan363
      @asharamdan363 Місяць тому +1

      😂😂😂😂

    • @asharamdan363
      @asharamdan363 Місяць тому

      @@batihubadiy3106 nikwel kabsa

    • @asharamdan363
      @asharamdan363 Місяць тому

      @@batihubadiy3106 yaaan hata mm sijapenda alinyo fanya huyu mdada

  • @AraphaGombe
    @AraphaGombe День тому

    Kupima ni secret jamani😢,.mbona kuzalilishana😂😂😂😂😂😂

  • @garigajoelgesegeti6493
    @garigajoelgesegeti6493 Місяць тому +4

    Kwani mr uk ni daktar
    Swala lakupima linahitaji guidance and counseling big up sana kwa mwamba

    • @gaetanmndeme4320
      @gaetanmndeme4320 Місяць тому

      nakuanga mkono na kingine mtu kama uyo mr uky bro una fnyakz ndio ila angalia mipaka na heshimu mahusiano ya watu ndo maana ata ukiend hosptal awatangaz n siri na inabdi kupewea ushaur ten mkiwa wa wili we n mwenzi wako asa w umekuwa hosptal yan umevuka mipaka . leo ni uyo siku utajichanganya utaingia kwa mtu asiyeinglika na utaibika we kabla ujfnykt fkria

  • @sophiarajab5476
    @sophiarajab5476 Місяць тому +3

    Huyo jamaa ana ngoma uyu sio buree,ana ngomaaaaaa😂😂😂😂kauajiii

  • @dativamtui2329
    @dativamtui2329 9 днів тому +1

    Your not arrange me baby 😂😂

  • @imanuelzakayo8703
    @imanuelzakayo8703 Місяць тому +3

    Akili za wanawake mbovu sana kaka nakuunga mkono huyu dada mpuuzi sana

  • @jeysenbenedict
    @jeysenbenedict Місяць тому +15

    Kingereza cha Mr uky 😂🙌

    • @SuzyGodwin
      @SuzyGodwin Місяць тому

      😅😅😅😅acha kbsa

    • @SalvinJastin
      @SalvinJastin Місяць тому

      😢😅😅ni huzuni

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 Місяць тому

      Just Kuna situation apa😂😂😂 ua nacheka jmn

    • @SalvinJastin
      @SalvinJastin Місяць тому

      @@eggysulle7988 🤣🤣🤣🤣

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 Місяць тому

      @@SalvinJastin 🤣🤣🤣n huzun kubwa shoga ang shishi kapata kaka 😄😄😄

  • @jumerbaron4408
    @jumerbaron4408 Місяць тому +4

    Daaaah kingereza jau sana 😄😄😄💔 Your not arrange me baby 😄😄😄

    • @thuwaybarajab6099
      @thuwaybarajab6099 28 днів тому +1

      😂😂😂😂😂nmelia sana

    • @user-fc9cx8qg4d
      @user-fc9cx8qg4d 23 дні тому

      Mm nipo ICU juu ya hilo😂😂​@@thuwaybarajab6099

    • @juanajuan3198
      @juanajuan3198 10 днів тому +1

      😂😂😂😂 you are not arrange me bebii

  • @beatricesway5782
    @beatricesway5782 Місяць тому +6

    Mmmmh huyu mwanaume simuamuni😢😢dada run 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️

    • @walizanasiri4963
      @walizanasiri4963 Місяць тому

      Ata akiondo kashafanyanae sana ananyichanganya uyo dada

    • @MauaDumba
      @MauaDumba Місяць тому

      Eti huyo ndio mchumba,,kaka mke huna hapoo

  • @AbuuHaj
    @AbuuHaj Місяць тому +2

    Nimeipenda hi kaka unamsimamo sana❤❤❤❤❤

  • @allyonlinetv3487
    @allyonlinetv3487 Місяць тому +1

    I real appreciate your work bro work hard
    It's just matter of time but in any activity has its challenges

  • @LindaLinda-r8k
    @LindaLinda-r8k Місяць тому +5

    Jamaa atak kupima ni sawa lakn dada kazingua nae kwa sehem yake

  • @user-zd9wd8ms3x
    @user-zd9wd8ms3x Місяць тому +6

    Maziwa kudondoka maziw kudodokea wallah ndoa han😢

    • @Khadija-ne8ul
      @Khadija-ne8ul Місяць тому +1

      😂😂😂😂😂 hadi nimerudi kuangalia dah

  • @GraceShirima-cl4yx
    @GraceShirima-cl4yx Місяць тому +2

    Ana ukimwi uyooo dada we we nyenyekea ukimwi hapo uyo ni mwadhirika anaetumia dawa bila kukosea😂

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we Місяць тому +21

    Alivosikia zawadi alikua anacheka alivo ona vipimo tuuuuh mambo ya ka haribika 😅😅😅😅😅kupima sio mchezo 😅😅😅😂😂😂😂

    • @asharamdan363
      @asharamdan363 Місяць тому

      yaaan nikwel kabsa

    • @user-xy9ze1od3w
      @user-xy9ze1od3w Місяць тому +1

      Pana shida hapo sio bure

    • @AishaMaganga-vd1jg
      @AishaMaganga-vd1jg Місяць тому

      Hapo kunashida. Dem hajakosea cose kasema hata wakiwa wa2 huwa anaomba wapime, jamaa hataki. Why? Musilale nawanaume before kupima. Tamaa yapesa jamaa anaonekana anapesa.😢

    • @juliusjkalela9164
      @juliusjkalela9164 Місяць тому

      Hata ungekua wewe kpima ukiwa unarecodiwa sio fea huyo Dem hajatumia hakili

  • @andrewpeter4321
    @andrewpeter4321 Місяць тому +3

    Huyu mwanamke mjinga sana yaan mm nkapime mbele ya wateja huyu mwanamke anakichaa

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de Місяць тому +5

    Niliwah kuwa na mwanaume anaishi mbez kila nikimwambia tupime hatak " tena mkali sana" tunakutana na kinga" nikachoka nikamwambia siwez kutumia kinga kila siku nikaandaa vipimo aliamka hakulala mm nikajipima nikampa majibu ya gu" nikamwambia skutak tena" akasema yy anadokta wake posta twende tukapime nikajua hili tatizo had leo hii mwaka wa 3 nimeachana nae simtak tena🙌

  • @user-gy5fo6zv6w
    @user-gy5fo6zv6w Місяць тому +6

    Et maandarizi,, kwani damu umeiacha nyumban au 😅😅😅😅😅

  • @user-yr5wj5bz4w
    @user-yr5wj5bz4w 13 днів тому

    Huyu kaka anaukimwi huyu ndio tunakuwaga ivi ivi😂😂😂😂😂

  • @user-mf2jf6dp7z
    @user-mf2jf6dp7z Місяць тому +9

    Jamaa yuko sawa jiulize kitu ungekuwa wewe mbele ya kamela demu ambaye una malengo na yeye anakuja kukuzalilisha ni kukuchoresha kwa wanawake wengine uyo mimi sita muoa ni kieleele sana je ukimuoa hatapenda kila kitu apost mtandaoni sio demu uyo anatamani maisha ya mtandaoni

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI Місяць тому +1

      Hakuna demu hapo. Trending ndo anapenda

    • @TareeqIshaack
      @TareeqIshaack Місяць тому

      Sio kamela ni camera

    • @middoTv
      @middoTv Місяць тому

      ​@@TareeqIshaack sio Camera ni Kamera

  • @SafinaKhamis-p5t
    @SafinaKhamis-p5t Місяць тому +17

    Ila jamn swala la kupima laitaji moyo pia unatakiwa utulize akili zen ndio upime na c kukurupuka na ni siri baina ya doctor 🏥 na mgonjwa na sio pabrik ivyoo 🏃🏃🏃 kama kweli ni mgonjwa ndio dunia nzima wajue, ata mm ningekaaaa😢

    • @johasaeed391
      @johasaeed391 Місяць тому

      Mpenzi wake hawajawahi kupima au wanafanya mapenzi kwa kinga😂😂 sijaelewa

    • @jafarinauma6798
      @jafarinauma6798 Місяць тому

      Sawa ni kweli na dada hapo ndio kapata majibu angekuwa pouwa angefurahi tu angepima wabongo tunajijua

  • @LightnesskamoneyKamoney-lr1sn
    @LightnesskamoneyKamoney-lr1sn Місяць тому +2

    Daaaa bby polee that man duuuuh mungu akusaidie bby kama cyo wako cyo tuu utapata wako

  • @chrisantfredrick663
    @chrisantfredrick663 Місяць тому +5

    Makofi kwa jamaa mwanaume inapaswa kuwa hivo....makofi kwa mkurugenzi na iwe fundisho kwa wanawake wenye akili kama huyo 👏👏👏👏

  • @DayanaPeter-pd9yf
    @DayanaPeter-pd9yf Місяць тому +6

    Kanaogopaa kupima umalaya tu kupima Aaaaaaaaah 😂😂😂

  • @Diyankurze
    @Diyankurze Місяць тому +1

    pete inakudanganyaaaaa eeh😂😂😂 umeuponzaa

  • @Edithanicrausi
    @Edithanicrausi 12 днів тому

    Kakirusi hakoo ogooaa😂😂😂

  • @user-rb6pm4pu8v
    @user-rb6pm4pu8v Місяць тому

    Nimependa safi sanaa mwanaume unatakiwa hivyoo wameumbuka😅😅😅😅

  • @user-qw8zv9io8u
    @user-qw8zv9io8u Місяць тому +3

    Sema kimeumana 😂😂😂

  • @missfetty4173
    @missfetty4173 Місяць тому +3

    Ziwa ndara kama langu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @lahdadibrahim5006
      @lahdadibrahim5006 Місяць тому +2

      Hhhhh mm napenda maziwa ya aina iyo nipe namba zako fetty

    • @missfetty4173
      @missfetty4173 Місяць тому +2

      @@lahdadibrahim5006 kanyeee

    • @lahdadibrahim5006
      @lahdadibrahim5006 Місяць тому

      @@missfetty4173 hhhh ss kwani vibaya mamy nimronan naee kwenye comment niache namba zako unakisa baati au nikupe zangu

  • @rahymaaa4357
    @rahymaaa4357 Місяць тому +3

    Huyu sister ni fala saaana kuleta kwenye mitandao kaona very short cat simple kuliko secret huu ni upuuzi ana haki ya kuachwa huyu dem mpuuzi saaana 😂😂😂😂😂

  • @user-yh7ui7hw1i
    @user-yh7ui7hw1i Місяць тому +2

    Kwa hio akimuita pembeni yeye anajuwa watu hawamuoni😢😢

  • @janefrolakalinga5664
    @janefrolakalinga5664 Місяць тому +4

    Kwa wapenzi kupima ni jambo la maan sn ila dem kazingua kumfata mshikaji job tena na makamera ndo wapime apo apana sio sawa kabisa na majib aliyojib mshikaji yuko sahihi kabisa

  • @OmanSalalah-of7uk
    @OmanSalalah-of7uk Місяць тому +5

    Huyu daaah yuko sawaaaa jamani wanao semaa. Kakoseaa. Ndo Wana mambo mengii😢😢😢

    • @kamonyo1168
      @kamonyo1168 Місяць тому

      Sasa kwann asipme

    • @luciamrope693
      @luciamrope693 Місяць тому +2

      Hayuko sawa majibu ya mtu ni siri yake mwenyewe sio unaweka hadharani hivyo hata kupima ni hiyari ya mtu mwenyewe

    • @polejeremiah
      @polejeremiah Місяць тому +3

      She is absolutely wrong sweetheart, huwezi pima mbele ya watu na camera hiyo ni against hata ukirejea sheria za upimaji ni hairushusiwiiiiiiiiiiii
      Kasome principles za health privacy kipengele cha HIV utaelewa

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 Місяць тому

      ​@@luciamrope693umalaya tu hakuna kitu kwani kupima Nini

    • @JudithAdonis
      @JudithAdonis Місяць тому

      ​@@deogratiusyudatadei5658
      Huelewi unachosema ndugu

  • @AishayoutubeMoosa-zn1co
    @AishayoutubeMoosa-zn1co Місяць тому +25

    Jmn mr UK nipe like kila siku wa kwanza

    • @Dylan0nly
      @Dylan0nly  Місяць тому +8

      Thenk you kwa sapoti yako

  • @samiahjmlimanzilla9354
    @samiahjmlimanzilla9354 13 днів тому

    Namuunga mkono huyo mwanaume kupimwa ukimwi majibu ni Siri sasa hapo ikitokea mwamba kaasirika au wote mmeathirika tiali mshajichora mwanamke mwenzangu hapo umezingua

  • @lucyabel2643
    @lucyabel2643 Місяць тому +1

    😂achana nae kaungua huyo namjua

  • @BeatriceAletas
    @BeatriceAletas Місяць тому +7

    Jamaaa anazingua

  • @AgnesMakono-yg3lv
    @AgnesMakono-yg3lv Місяць тому +1

    Mr uky umekosea sana mtafute mwamba umwombe msamaha

  • @petrobukerebe215
    @petrobukerebe215 Місяць тому +2

    Hapa kwa kifupi kila mtu hana uhakika na afya yake😂😂😂

  • @NeemaHenry-v6c
    @NeemaHenry-v6c Місяць тому +1

    Kaka pamoja na kuwa umesema uko OK ila imekuma nii sehem ya changamoto polee Naa Mungu akuwezeshe ufike juu

  • @samoblaza
    @samoblaza 14 днів тому

    huyu jamaa anajua kuigiza sana anafaa awe kwenye jua kali

  • @mrmartinipaul2464
    @mrmartinipaul2464 Місяць тому +1

    Kiherehere kwiiiisha😂😂😂😂

  • @user-ew3zj8ig4n
    @user-ew3zj8ig4n Місяць тому +1

    Lkn kosa la mwanamke sio Mr uk

  • @halimashaban3858
    @halimashaban3858 Місяць тому +1

    Ila uyu dada sjapenda alivyo mzalilish mwenzie

  • @KuluthumuMsuwakollo
    @KuluthumuMsuwakollo Місяць тому +10

    Nimempenda huku kaka safi sana kwakua na msimamo kupima kunahitaj utayari

  • @user-kc8sf6vg8k
    @user-kc8sf6vg8k Місяць тому +3

    Watu wafupi wabishi khahhh😂

  • @user-nh9fl5tv9u
    @user-nh9fl5tv9u 12 днів тому

    Dada huyo nimgonjwampimishe

  • @imoo_blackgold
    @imoo_blackgold 9 днів тому

    😂😂😂😂😂😂 hii kazi ngumu duuuuhhhh

  • @user-mo3wn6cc7h
    @user-mo3wn6cc7h Місяць тому

    Kwani wanaume mnaogopa kupima kisa nn jamani mnaogopa afya zmeharibika😂😂😂😂😂

  • @Ezraloyibobo10
    @Ezraloyibobo10 Місяць тому +1

    Kwani kupima sikitu simple kwa mwenye anajiamini kweli iyo si issue Ila uyo nikama hajiamini Ata na afya yake nikama sioni iko sawa 😢😂❤🇧🇮

  • @gebsonmathew6544
    @gebsonmathew6544 Місяць тому +2

    Kamwamba hakataki kupima but kapo sawa tu coz kupima ni swala la siri

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 Місяць тому +1

    mwanaume yupo sahihi kbsaa

  • @jacksonabbas3933
    @jacksonabbas3933 Місяць тому +53

    Mwamba yuko sawa huez pima mbele ya camera demu kazingua

    • @KuluthumuMsuwakollo
      @KuluthumuMsuwakollo Місяць тому +7

      Kazingua sana tena sana ni mpuuz

    • @kibouttv7148
      @kibouttv7148 Місяць тому +3

      Mwanaume anayekupenda hatojali chochote atachojali ni ule upendo no matter what and where and how? Hakuna haja ya kumind yani inshort bongo hakuna romantic men wengi blah blah tu kwani kama unajiamini kwanini usipime vikaisha mbona simple tu huyu demu pls achana na huyu kaka njoo kwenye chama la wazungu hawana konakona na huu ujinga hapa hakuna mwanaume dada 🏃‍♀️ huyu ni red flag

    • @MaryKondo-ro7lt
      @MaryKondo-ro7lt Місяць тому

      ​@@kibouttv7148acha ujinga kupima n siri baina yke n dem wake wat if apime vipimo vitoke tofauty??

    • @AfricanPrincessLabel
      @AfricanPrincessLabel Місяць тому +2

      We acha zako kila sku umwambie dem tupime agome kila sku autashtuka

    • @feruzman9571
      @feruzman9571 Місяць тому

      ​@@kibouttv7148kweli kabisa

  • @neemadavid8848
    @neemadavid8848 Місяць тому +2

    Huyu dada kakosea sana

  • @user-mf2jf6dp7z
    @user-mf2jf6dp7z Місяць тому +2

    Mwanamke kama uyu ni mpuuzi sana uwa vinajiona kama vimalaika ili kupritendi kuwa kapo peke yake akuna mwanaume wa ivyo rabda yesu ambaye alikuwa ana mke wala mpenzi wayaudi wakamuua 😂😂😂😂mtume alikuwa ana wanawake zaidi ya wanne😂😂😂

    • @QueenQueenjames
      @QueenQueenjames Місяць тому

      Mpuuzi ni wewe Malaya mnajistukia umalayat

  • @kulwalikombe4307
    @kulwalikombe4307 Місяць тому

    Bro yupo sahihi sana,uyo mwanamke afai kuolewa maana Hana maadili na ajafumzwa.

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct Місяць тому +1

    Huyu demu vipi . Uko sawa kakaa anakuzalilisha huyo .ukijiona mzuri unaamua chochote .haya umeumbuka leo

  • @restypeter1141
    @restypeter1141 Місяць тому +1

    Ange vya miwan tuone reaction yk

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 Місяць тому +1

    Naukimwi wasikuizi ulivyo wakisenge sasa yani unakuwa nao mwanamke na mwanaume anakuwa hana au ana kuwa nao mwanaume mwanamke anakuwa hana namnakuta mnaish nyumba moja mke na mume😂😂😂

  • @elishebakanani3707
    @elishebakanani3707 Місяць тому +2

    Mdada kakosea kabisa hata mm Siwez kubali kupima kunahitaji maandalizi psychologically

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 Місяць тому

    😅😅😅huyu kaka yupo seriously kweli,kupima tu ndo povu lote.Hakuna mme hapo

  • @user-mb7jn6ed4l
    @user-mb7jn6ed4l Місяць тому +1

    Daah mimi niwe mkweli tu demu kazingua ... Naeudia demu umezingua hata kama unaitaji kitu ... Usije ukatumia nguvu tujaribu kutumia akili 😊

  • @FatimaOman-wb8tn
    @FatimaOman-wb8tn Місяць тому +1

    Kam unajiamn wallai kupima nharak sn lkn km unamashak ww nmgonjwa mbwakini san😅😅

  • @gaetanmndeme4320
    @gaetanmndeme4320 Місяць тому

    big up bro umeonyesha msimamo na icho kit ni cha private cyo matangaz..

  • @ReylaMalambo-qy6ei
    @ReylaMalambo-qy6ei Місяць тому

    Kazingua sana huyu dem utapimaje mbele ya camera😂😂ashakosa ndoa😅😅

  • @luckg12_tz_10
    @luckg12_tz_10 Місяць тому +1

    Hyu mwanamke Hana akil nzur

  • @ElizabethHeche
    @ElizabethHeche Місяць тому

    Man🤗🤗
    Nimependa msimamo wako umesimama kama mwanamme

  • @oscarmartinavito3167
    @oscarmartinavito3167 Місяць тому

    Huyu mwanaume atakua na ukimwi ndomaana muoga

  • @georgenkanawa7156
    @georgenkanawa7156 Місяць тому

    Msimamo ndo kila kitu✊🏼

  • @user-xb7wi3lc9b
    @user-xb7wi3lc9b Місяць тому +1

    Mbele ya media,hata mimi ningegoma😂

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s Місяць тому

    Huyu si mchat wangu jamani 😂😂 mchati wangu....

    • @user-pz2mk1mf8v
      @user-pz2mk1mf8v Місяць тому

      𝙆𝙬𝙡 𝙖𝙪 😂😂😂

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s Місяць тому

      @@user-pz2mk1mf8v natania 😂😂😂😂

  • @dullahvan9886
    @dullahvan9886 Місяць тому

    Jamaaa kaungua uyooooooooo😂😂😂😂

  • @HeriethFrank-re8qe
    @HeriethFrank-re8qe Місяць тому +16

    Ila wanaume wako vizuri kugeuza mada

  • @SuzyGodwin
    @SuzyGodwin Місяць тому

    Wew dada nawe unampimaje mume wako hadharani😅😅😅😅

  • @SamiraseifAlfan-ph4ke
    @SamiraseifAlfan-ph4ke Місяць тому

    Umeyatafuta umeshayapata sasa walia liaaa😂

  • @RobsonLugomi
    @RobsonLugomi Місяць тому +1

    Guy is very smart

  • @sayuni123-kl6xk
    @sayuni123-kl6xk Місяць тому +4

    Mtu mwenye uhakika na afya yake asingekataa kupima hizo siku zote

  • @MagrethEmmanuel-qn4ud
    @MagrethEmmanuel-qn4ud Місяць тому

    😂sa bro hicho kipengelee😅 kwanza mbona umetoka tu mauzo sasa😅😅

  • @user-ku4hm2qx9y
    @user-ku4hm2qx9y Місяць тому

    Heee heeeiya hii imeenda 😂😂

  • @JacklineMayra-sz1hi
    @JacklineMayra-sz1hi Місяць тому +1

    Kwahyo kama kaathirika tujue woteee

  • @ZephaniaHenry-ks6fd
    @ZephaniaHenry-ks6fd Місяць тому

    Mdada alikosa subira kdgo sana😮😮😮 kupima wangepima lzma kma kwel walkuwa kwa process za ndoa but kwenye camera😐😑 hope kila k2 walisolve vzr japo mwanaume ametukumbusha nn hasa wakiume inapaswa uact kweny issue serious 👏👏👏👏

  • @evaamedeus430
    @evaamedeus430 Місяць тому +8

    Huyo mwanaume mgonjwa

  • @IreneMtoto-un5lg
    @IreneMtoto-un5lg Місяць тому +4

    Ata huyu mwanaume ako na roho nzuri amejizuia hii mm siwezi nini unaonyesha watu sas

    • @user-vz4xv7lg3x
      @user-vz4xv7lg3x Місяць тому

      Umeona eh? Yan angelambwa makofi

    • @IreneMtoto-un5lg
      @IreneMtoto-un5lg Місяць тому

      @@user-vz4xv7lg3x Tena mengi sana yaani huyu baba ni mwanaume na nusu😒😒

    • @user-vz4xv7lg3x
      @user-vz4xv7lg3x Місяць тому

      @@IreneMtoto-un5lg bado tupo wachache wa kuvumilia ujinga 😅😅😅

  • @MarthaMoris-zg2bj
    @MarthaMoris-zg2bj Місяць тому

    Huyu dada hama akili afu linacheka kama chizi

  • @afreytonemajidi6909
    @afreytonemajidi6909 Місяць тому +1

    Mwambaa ni katoa maamuzi ya kiumee sana

  • @LuneLoth
    @LuneLoth Місяць тому +1

    Jump jump no position 😂😂😂

  • @Aishatheboss117
    @Aishatheboss117 Місяць тому

    Part 2 plz

  • @andechakimasso7841
    @andechakimasso7841 Місяць тому

    Mutakuja muyatimbe siku walah angalieni watu munao wamidu ndo muwafanyie challange ona sasa mumeingia kwa siro😂😂😂😂😂

  • @ElizabethNelson-bh2ij
    @ElizabethNelson-bh2ij Місяць тому

    Wanawake wa daa tulizen akili zenu jaman!!!😢😢Yesu awape hekima kwakwel

  • @HarryAnderson-z3w
    @HarryAnderson-z3w 5 днів тому

    Brown Sharon Rodriguez Kenneth Gonzalez Mary

  • @mohamedhyolaje7967
    @mohamedhyolaje7967 Місяць тому

    Huyu jamaa akili hana. Kama yuko sawa kwanini anapanic?

  • @Shadia544
    @Shadia544 Місяць тому

    Ipo siku mtapigwa wewe na @kiredio wako😂😂😂 Kwa kupima kuna shido gani 😢

  • @AzahOmary-kd2db
    @AzahOmary-kd2db Місяць тому +1

    Ila nyie 😂😂😂😂 hizi challenge zinafufua mambo

  • @happygift9055
    @happygift9055 Місяць тому

    We bhana embu pima, kama unajiamini unahanya nn sasa, mbn ishu ndogo tuu.... Ulitaka upangwe ili umeze panado vvu isionekane?? 😅😅😅😅

  • @nolexkanyittahsuit
    @nolexkanyittahsuit Місяць тому +1

    D mbili zitumike hapa 😅😅

  • @EngelLameck-nz5nk
    @EngelLameck-nz5nk Місяць тому +4

    Huyo jamaa kanenepean utazani mzima anaumwa kweli mbn anakataa kupima ningekuwa me ndo huyo dada ningeachana nae bola apime ajue Moja Mdada wa watu km anaendelea na mahusiano😢😅

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 Місяць тому

      So km. Kakataa jambo laupima hafya ni pasonal na azarani kwan angemwambia na wangeenza hospital angekosea wp adi kuita hawna shira wadu

    • @EngelLameck-nz5nk
      @EngelLameck-nz5nk Місяць тому

      @@nishaabdula5015 lakini SI huwa anaambiwa Kila siku huwa hataki swala la kupima hataki ndo maan kaletewa Media

    • @user-zv2rw1sm1s
      @user-zv2rw1sm1s Місяць тому

      Umeona eh alafu anajiblandi sana hana lolote njaa to 😂😂 usikute kitambi cha mchongo😂

    • @EngelLameck-nz5nk
      @EngelLameck-nz5nk Місяць тому

      @@user-zv2rw1sm1s nakwambia huyo kashaoza sema inaonyesha wanapendana

  • @emmanuelzwallo3933
    @emmanuelzwallo3933 Місяць тому

    Uko sahihi kabisa jamaa yangu.kuna mambo mengine siyo ya public