Professor Jay Ft Young Lunya & Maua Sama - Shikilia (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 9 лис 2021
- Shikilia By Professor Jay Ft Young Lunya & Maua Sama (C) 2021
Booking Info:
ProfessorJaytz@gmail.com |
Follow Professor Jay on:
/ professorjaytz
/ professorjaytz
/ professorjaytz
BoomPlay: www.boomplaymusic.com/share/ar...
MKITO: mkito.com/artist/1111
iTunes: itunes.apple.com/us/artist/pr...
Spotify: open.spotify.com/artist/1Q5oC...
Dezeer: www.deezer.com/us/artist/4096310
#Shikilia #ProfessorJay
Gengetone love. Ka unapenda gengetone gonga like kasonge kakisonganga.
El proffesor mwenyewe
Shikilia poa
Legend
Afu wote nawapenda maua, lunya na kaka yaoo profesa💋💋💋
Ndio Mzee Naona Maujanja Sana Na Mr Mbuzi One Love Alafu Hicho Ki korasi Maua Kaua Sana👂👏✅👌
Shikilia profesa jy aminia baba yani Dah we noma mzee mwenyezi Mungu askuchukue mapema dingi bado tunakuitaji dingi upewe miaka 59 mingine
Kama huu wimbo umeirudia zaid ya mara2 gonga like twende woto
Huyu young lunya anajuwa mpaka anakeea💥💥🙌🙌🙌
Broo wengine huwa wanaacha vifua wazi! Wewe umeacha tumbo wazi,!!! %usiache KUTABASAMU%
Kudadadeki hii ni nyimbo au linyimbo daaaah fantastic songs 🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯mmetisha San Jay Bado upo San kwenye game🙏🏿🙏🏿💪🏿💪🏿
Proj Jay ur time is out now is new generation mashabiki wako wamekuwa watu wazima leo unamwimbia shikilia au utanambia n unataka kumtambia nani mzee watu tunataka kumskia Jay wa JINA LANGU , SAUTI YA GHETTO na ect sahv huwez pata attetion kwa kizazi hiki zaid utajishushia heshima tu
Kali sana mbunge🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Unyama kabisa 🙌🙌kweli ng'ombe hazeeki maini.... Seme lunya kaimba kidgo Sana duuh
Shikilia ngoma Kali kinoma 👊👊👊👊👊🇹🇿❤️
Nyie maua kwenye hiz collabo anaua balaa 💯
Legendary professor my number one heavy weight Mc tangu shule niko shule ya msingi miaka ya 2000
Weuuuuuh Goma la Taifa Hili..much love Mkuuu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tunawapenda sanaaa...wakenya gonga like kuonyesha support
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html guy
Professor,maua,ft mbuzi.....Ngoma ya night club....✌️✌️✌️
Mwamba huyu Hata miaka 1000 ukirudi kusikiliza mziki wake bado utakuta upo kwenye chart 📉. Professor Jay The Legend himself .
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8h/v-deo.htmli
Maua ni mkali hadi anakera 🔥🔥
Gonga like kama unaamn proff jizee amemkimbiza lunya kwa kutupia humu kwenye chupaa 💪💪♥️
Nimeaza kuujuwa mziki wa Tanzania kupitia wewe
Prof jay wewe ni tunu za taifa
Ningeomba kazi zako zikwe kwenye majumba ya kubukubu ya taifa
Duuuuuh Jize bwaana😁😁😁😁huyu mzazi anaenda na muda Ase🥰🥰🥰🥰😘
Mungu atusaidiye kwenye game yetu yamuziki tuenderey kuwa namtuu kama professor Jay kixazi sana✌️
Another chance for Kaligragh Jones to do a collabo with Professor Jay🔥🇰🇪
Ambwene Yesaya was rigth,,Zee ulikuwa mbele ya mda sana hivi vitu ushavifanya kitambo sana
Shout kwa ngoma ni kali sana
Since chekechea hadi leo nasikiliza nyimbo zako na zipo on trend.We ni mwamba the real LEGEND in TZ @P.J Mnyama
Ngoma kaliii sana💯💯💯🙌🙌🙌
Litakufa jitu
Hawa watoto ukiwashirikisha unatakiwa kua na energy kama Jaymoe, sio mbaya sana ila kama bado brother Jay hajazoeleka humu
Ishi sikunyingi kaka J, wa mitulinga hi saanaa bado inakuhitaji Sana#shikilia🤝❤️
hii ngoma itakuwa ndio ngomba bora kwa miezi hii mitatu bonge moja la goma la club kabisa
kweli wa zamani wanajua sante profer gonga like hapa🔥🔥🔥
AY; longtime kishawahi kusema moja Kati ya mtu anaemuogopa kwenye Game la music Tz, ni Prof; kwa sababu Prof Hatabiriki
Wazee hawafeli sikuzote 🔊🔊🔊🔊🔊📢
Anaitwa young lunya 🙈🙈🙈🙈
Hataree sana 🔥🔥🔥💥
Pr. J shikilia goma kali asee huishiwag mashair mzee baba.
MBUNGE ANAYE ONGOZA BINADAMU HADI WANYAMAA 🤞🤞🤞🤞
Kazi imekubalika🤗😌
Professor wa ukweli kweli iyo nyumba ya sanaa
Jina la prof j haliji kupotea kwenye industry daima
At the first time nasikia huu wimbo hapo alipoanza kuimba prof ckufaham kama ni yeye nikawa najiuliza nani huyu all in all umeuaaaaa maunyama kama yote 💥
Ngoma nzuri sana , enjoying it from Rwanda🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Proffesa Jay kimbiza watoto wote
Young Lunya ndo mkali mwingine. Nawakubali ndugu zanguni. Hii collabo imeweza sana
Nasubiri Jay wa Mitulinga
Kweli we ni professor 🤐🤐🇰🇲🇰🇲🇰🇲 comoros
Oyoooooo wamitulingaaaaaaaaaa. Hujawai feli
Teacher Professor legend yote one at a time. SALUTE.
N Ji i. ua-cam.com/video/L0HUlvg01XA/v-deo.html
ua-cam.com/video/iCkUJ-eJMrs/v-deo.html
*Ngoma kali sanaaaaaaa 💥 Like here guys.!!!* 🙏
Mp hatari kwenye bunge na mziki...professor j 🔥 🔥
Mzee wa mitulinga... Naisubiria kwa hamu mistari yako ya kikubwa bila kumsahau mlembo Maua Sama
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html DDT h
Much love from Rwanda 🇷🇼 🇹🇿
Young lunya is getting on another lever #OMG
Lunya kafanya unyama huku kaleta njaa💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥 LIKE KUMI TU ZANITOSHA
Umechange sana humu professor 🙌🏾🔥 alfu umeua 🔥🔥. Lunya na muendelezo wa kazi zuri. Maua you killed it mama
Show love pls
Snowua-cam.com/video/iCkUJ-eJMrs/v-deo.html
Young lunya sauti ya rap huna!! Unabana sana pua!! Bora ungeimba!!
Hi noma ndio maana m upe pro J
Rudi kwenye fani yako mkuu. Achana na upande ule uliokuwepo ulikuumiza kichwa tu
my bongo role model
Waaaaaaas song ni Moto 🔥🔥💯👌 ama kweli nyinyi kiboko kweli 😜😜😜
Jizooo ft Lunyaaa & Sanaa mmeua sana #BinLaden Biti🔥🔥🔥
Lunya Mnyamaa baaaasiii...😀😀😀
The king of Rap in Africa is here killing it in different styles in one song 🔥🔥🔥🔥.Proffesor my role model 🔥🔥🔥
Wamwisho Huyo amefunika profesa, el professor monster hivo unamachia ateleze hivo
Yani ww na king kiba💥💥nyie ndo wasanii wangu wa siku zote bgp San chupa ni💥💥
Harmo na mbosso ndo wasanii
Legends never disappoint......... professor j is 🔥🔥🔥🔥🔥
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html to it u
Rt. ua-cam.com/video/L0HUlvg01XA/v-deo.html
baba mzazi wa mziki prf JAY
Mbona mbuzi a.k.a lunya kauwa Omg bado ipo 🔥🔥🔥🔥
Mfalme amerudi ....salute kamanda wangu
Yooooooooung Lunya🥰🥰🥰mkaaaali
Hatuna uhasama bro
hatariiii mbonge la nyimbo club hukai
Anachana huku anabana pua lkn ni mkali 👏👏👏👏👏👏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Killing this
waaaaaaaa.....hehehehe...BROOO NI KUBAYA TZ....WAAAAA
Tuache utan huyu MAUA tumuangalie kwajicho latano cjawah ona ameshirikishw kweny Ngoma akaharibu BINAFSI NAMUELEW SANA HUYU BI'DADA 🥰
This song can cure some disease in our bodies. Respect to my favorite musician in East Africa ( professor jay )
Iko poa,,,,, much respect to professor j
Am sure this is another version of Jay,,more Kenyan love the legendary
Atari sana
Samaaaaaaaa
Professor Jay Ashajigamba ngozi.. kazi ianze sasa...
Mimi nilikuwa najuwa professor tayari ameisha acha music
He is a Deadly Bazz Boss,, Punchlines Bad Boss. Professor back to the Office.
Shukran sana professional wa muzik kumuamin mbuzi hapite kwenye hii kazi🙏🙏
Mbuzi✨
MauA....daaah...!!!* Unajua mpka uboha..Maan.sautiii ni yenyewe kbx..sio Kubana...Nyororooo...then MBUZI daaah.!!!🔥🔥🎤...ni dhailiii ZUCHU NA.Nandy...watasubiliiii...Solute..kwa DINGI..Tunajua hzi.ni Mambo zako.🎤🎤 ...MAUAAAA...NEED MOre 🔥🔥🔥🔥🎤
Profesa hakujua lolote kuhusu kesho yake. Kweli kesho yetu ni fumbo
Bonge la chemistry
Shikillia 🔥🔥🔥
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aka bachuchu mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Baba yao
P Jay kisu cha bucha unazeheka na makali yako 🔥🔥🤸♂️
Dah...Mkuu umeua sana hii kitu 🔥🔥🔥
*Tokea umetoka bungeni hii ngoma ndiyo umtoa kali umevunja*
Maua sama ♥ since day one hujawai niangusha
NUMBER 1 kesho mapema tu
Lunya kama lunya na utamwambia nn na ameisha ISHIKILIA hii gomaaaaaa
Kwli mkubwa ni mkubwa tuuu sana prof J mwanalizombe big up kaka
Nimekuelewa pr jay umekuja kivingine hongera sn
Ni ndotto ya lunya ya muda pull up🔥🔥🔥 #Shikilia
Legend j💥💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥
vibe ya noma sana ile collabo yetu vipi