Joh Makini Ft Young Lunya- Mchele [Official Music Video]
Вставка
- Опубліковано 1 сер 2019
- #JohMakini #Mchele #YoungLunya #Slidedigital
(C) Slide Digital
Joh Makini Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Written & Performed by Joh Makini
Follow Joh Makini on:
/ johmakinitz
/ johmakini.tz.1
/ johmakini
/ johmakini
Joh Makini is a top Tanzania Bongo Hiphop artist.His witty ryhmes and wordplay have made him into a household name in Tanzania and Africa,He is a renowned rapper known for his skillful use of metaphors, wordplay, and freestyle abilities.
Born as John Simon Mseke in Arusha, Tanzania on August 27th, 1980, he began his career as part of the River Camp group and released his first hit, "Chochote Popote," in 2006. The following year, he released his debut album titled "Zamu Yangu."
He has collaborated with many international artists, including the late AKA, Davido from Nigeria, and Navio. His talent has earned him the Best Hip-Hop Artist award at the Tanzania Music Awards in 2012.
Get a taste of Joh Makini's unparalleled lyrical prowess now !
For bookings and inquiries johmakini@gmail.com
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
Waraaa wimb mzur sanaa 😍😍😍❤️❤️❤️❤️naomben like jman
Sawa
Tuliokuwa tunasubir verse ya lunya na tumefeli tuombeane kwa Mungu
😃😃😃😃
😂😂😂😂😂mizogaaaaa kbs
Alex Gamaya 😂😂😂😂
Yan kwann hakuchana lkn!!!?????
Good song!, nice msg, but local..am local too.. I like mchele. #money thats hw we go now.
Wangapi walikuwa wanasubiri verse ya lunya...mlike hapo chini kama ishara ya masikitiko.
Me mwenzio DINGIIII
Huyu lunyaa ni mkali
KING IS BACK..........mm niljua Lunya angepita na verse moja 🤔 ila sio mbaya maana VIBURI FLOW vimesikika HIP HOP IS BACK AGAIN 🔥🔥🔥
Fasihi imetumika
Tamathali za semi zimetumika
ngoma fire
Hii no balaaaa walahiii ngom kalii saana hii track motoo saaaaan
Eban eee....Mwamba, King Joh makin, Asante kwa zawadi hii nzuri. Nimeipokea kwa mikono miwili.🙌🙌🙌
Duh ngoma nzuri sana mangi...nimeisikiliza siku nzima leo na jana.huyo lunya ndo nimemjulia kwenye hii ngoma.
Shida moja ya joh *ni the baddest...legend.. Good bro
Hapo sasa ama kweli Joh umenena, tufanye biashara zinazoinua kilimo vijana wenzangu mnaonaje?@ 🇹🇿 we love you, @ Africa let us stand up
🔥🔥🔥❤
KWELI MWAMBA NI MWAMBAA....!!!TIXHA SANA JOH...
Joh Makini wa Simon....hawatoweza#W.E.U.S.I
Pumbu iloooo Saimoni kaliachia kazi kwenu wadau 😀😁☝✌
Ooooyooo kaka nGomA Qariiiiii mchele
This song deserves millions of views.🙆🏾♂️
Fayaaaaaa
Mchele means pesa Joh katumia fasihi ndio sanaa halisi hongera king job
Respect kwako brother @johmakini kwa kazi poa sana ila unge itengenezea dance yake kama Olamide Amini Dunia na ingeacha kusikiliza mziki wa Nigeria. Asante
Pw sana
Au mzee unaonaje
Hiki ndo kichwa changu ninachokikubali tz,Africa maxhariki mwambaaaaaa
Ngoma kali sana, Young Lunya pia hajakuangusha Joh
Now this is what we were missing . Slow bt dancerble 254
Mibongo sijui vipi!!!
Wanaenda sapotii marapa wa ajabu ajabu. Wakatii King wa Flow Rap anajulikana. JOH MAKINI
Kabisaaa... wabongo hamueleweki #fromBurundi
Wayaaa
Upo Makini sana, kweli bila mchele ni giza
Asee mwamba utabaki kua mwamba daima🙌🙌👌💥
Sijui tunafeli wapi nyimbo kali kama hii masaa 16 bado views 8+k ?
😔😔😔
Promo sio kubwa
Ubaya watu washakerimisha watu frani wakiimba tu ndio wanawafuatiria
Ni Hit Song 4Real
Kwa sababu hamfanyi promo Kenya, wakenya wanapenda anasa ikichezwa redioni Siku moja tu mtapata 1m views
Bonge la nyiiimbo
mtu kama lunya sio wa kumuacha apige verse hata moja, utasahaulika we mwenye ngoma, uyu unamuacha aseme hata a e i o u basii.
Hahahahahaha
Darasa anawatambulishaga video vixen vizuri. Nawaona huku hawa wa ule wimbo wa RELAX
Innocent Tendwa sio Darasa hao vixen wanaetwa na Hanscana
JOH asantee ,,,,, uwezo mkubwa
Oya makini mzee baba
Iko safi
This is high level..ngoma kali sanaaaa.
Makin unahama sana
nmebaki nkisubirii kumsikizaa lunyaa mpk ngoma imeishaa..sjaelewa apoo mwamba
Praygod Kimaro mi nilikuwa napelekapeleka mbele ili nisikie verse ya lunya lakini wapi ni Mchele mchele
@@ramadhankassimurassa946 apo sijaelewa kabsa yanii...lbda atafafanuaa
🙆🙆🙆mm nlikuwa namsubili young lunya tu nayy kakauxha😜🤭
Mwamba wa kaskazin💝
Any beat, Joh anaua!! 🔥🔥🔥🔥 king for sure!
Mwamba ni mwamba🙌🙌
Kwa tunaoijua USA RIVER gonga like twende sawa
Joh makin naakubaliiiii Kaká we ni zaidi yao ani ni fire + weuuuuuusi wapoloooo
Siyo nyimbo zako nyingi najua alakini much respect to you from Kigali
Nimeikubal sana ❤❤❤🎉
Hatareeeeee this is kapungaa makini jo wape habari kapunga kuna mchele kama wanataka mchele og
Bless Up Brother Mwamba 🙏
Yes, this is my hottest hip pop star! Mwamba wa kaskazini tupo pamoja toka "Hao"
Kazi hii imetulia sana!
Mwamba
Wen mama is cooking n u were so damn hungry..nataka mchele mchele ...bonge lq song
mchele ni song tamu balaaaaa
Kapunga moja hiyo mambo ya mbalal mbeya mwendo wa mchelee 2 kubal xan joh makin
Mwambaaaaa kaskaziniiii
Kimbizakimbiza huseinbolt.#mcheleekwadunia
imetulia kinoma noma kalii sanaaa
Nyimbo Kali sana
Kabisaaa Dunia Bila Mchelee haiendeii jombaa big up
Viburi flow....mchele from makin wa saimon hip hop is not dead big up joh
Sijaelewa young Lunya humu ndani ana shughuli gan!!
Huyu ndo joh wa perfect na mchele wake best hiphop song of the year
Joh ni Makini sanaaaaa
😷😷😷me xn meng #Arusha nijuuh.... Dondoxha like twende sawiah......
First South African to hit the like button. Don’t understand the lyrics but I’m feeling that beat. Chele.
NHLANHLA D MOYANA ww nae
Man talk about money in metaphorical way using rice as money.
Ha haaa
You must be meaning to say #mchele 😂😂😂🇹🇿
hahaa . Its mchele dear
Mbona Lunya hajaimbaaaaaa
Pow bhan Lunya kaimba wap mzee baba
MWAMBAAAAA
Kwambaaaaa ni #mikolezoo_Joh
Kaka anajua sana mwamba wa Kaskazini ......Chugaaaaaaaa
Mchele kazi kaliiiiiiiiii sanaaaaaaaa
Kaskazini in the building... 💯
Kali sana...navoendelea kuiskiliza inazidi kuwa tamu eerday
Mcheleeeeeee
Uwo
Makini umetisha sana mwamba wa kaskazini
ngoma kaliii....
Ngoma ni yente sana,naelewa kazi kazi
Yente Bablai
Mchele noma sana babu
Lunya Angepewa Nafasi Tu Ya Verse Moja Bhasi Najua Angeharibu Sana,Ndo Maana Mchizi Kaona Apite Chorus Tu😁
Hatari lakini salama
Ngoma qaliii
Huwa nakuponda unapokosea nanahisi uwa unakasilika sana japo kunambia huwezi ukiisi labda utanipandisha,,, hapana bro John.....Huwezi andika concious ukasikia naponda.. nafsi itanisuta sababu hatujapewa vipaji kama vya kwenu kwa kuimba ila tumepewa vipaji mbadala wa hivyo vya kusikia kama wanabii wa muziki nini kimeimbwa na kuandikwa..... Hii ni nyimbo ambayo inanipa nafasi nyingine kukwambia kuwa "Hii ni nyimbo kaka" na iweke Miongoni mwa nyimbo utazoulizwa popote duniani utajivunia...inayokufanya niamini kuwa hujabahatisha kuanzia uandishi na kila kitu... Mchele ni nyimbo bora kati ya nyimbo zako.keep it up.
Kama kali ni kali👏👏👏👏
Joh Makini mtu makini
Kawimbo kabaya kweli😏
Huyu ndo joh ninaemjua mm...kaa Humo...
Joh hongera Sana brother
Inatisha aiseeeee
Big up bro kiutu uzima zaidi
#Nataka mchele#Natafuta mchele#mchele mchele#
makin kambania lunyaaaaa
Mchele mchele ngoma kali sna
luuuuunyaaa+bro Joooooooooh😎😎😎😎😎😎💪
kitu pekee kilichomfanya joh kupona ni kumnyimq lunya verse, angepotea sana amini
Hunipati vibaabaa..vikao serena
bonge la ngoma da
Mwamba wa kasikazin ni hatari! Kali sana bro
Mwambaa hii ya kimwambaa
Kama magugu yan ni mchele tu mchele sana brathar bonge la ngoma arusha sema SUWA SUWA
duh we jamaa... dah una noma yako sana
Huyu jamaa (joh makini) anajua
hiphop kama ina boom from mwamba wa kaskazinii
SIYO kila siku dagaa
yani kwa neno mchele umetoa nyimbo nzima kweli kichwa timamu hicho
Niko apa leo 29.12.2019.hii ndo ngomaa yanguuu nafungaaa nayo mwakaaaa sawa
King ka relax, taratiiibu anadeal na Michele..
Big up, man, mziki mkuuubwaa jombaaa 👑
Hili goma noomaaaaaa