Kings Music - Abdukiba X Cheed X Killy X K-2GA - TOTO (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • Instagram: @KingsMusicRecords
    Facebook: @KingsMusicRecords
    Twitter: @KingsMusicTz

КОМЕНТАРІ • 6 тис.

  • @salumyasin9029
    @salumyasin9029 5 років тому +57

    utabaki kuitwa kiba alafu kunatofauti kati ya kuanza na kufata wewe kiba unaanza alafu watu wengine tunafata no one like wewe gonga like kwa kiba

  • @rajahiv9723
    @rajahiv9723 5 років тому +318

    Mdogo wangu kaniambia siwezi fikisha like zaidi ya 3 kwa #kingsmusic
    Kama ww ni #Team_kiba #Kingmusic #WCB basi like hapa 🦅🦅

    • @rajahiv9723
      @rajahiv9723 5 років тому +2

      Ndio mzee baba acheni kubania like team wehu

    • @hadijarama8152
      @hadijarama8152 5 років тому +3

      Kenya hatujalala jamani shemeji yetu anatoa toto

    • @kibangahassan8773
      @kibangahassan8773 5 років тому +1

      Haaaaaaa tuendeleeee Ku views zaidi maana tamu sana

    • @kipepohimself7209
      @kipepohimself7209 5 років тому +1

      Huna akili

    • @aluteharija9402
      @aluteharija9402 5 років тому +1

      @@hadijarama8152 hahahahahaha ok mashemej

  • @mutevas7624
    @mutevas7624 5 років тому +709

    Team kiba munachonifanyia sio fair toka ni comment sijawai kupata Like leo mukinipa like mia tu zinatosha nami nijisikie kuwa moja wa mashabiki wa Team ya upendo lakini King music mmetisha hii ngoma sio ya nchi hii

  • @majimakali6589
    @majimakali6589 4 роки тому +7

    Sijui gundu hata like moja khaa much love toto

  • @dennicjude
    @dennicjude 5 років тому +20

    USA 🇺🇸 naicheki mda huu wa saa tatu usiku ARIZONA weka like zako hapa kama umewaelewa KINGS MUSIC 🎶

  • @G_254
    @G_254 5 років тому +155

    Hapa Kenya tunatambua Alikiba..siombi likes hata but nasema tu ukweli

    • @yagalbyyaayuni7247
      @yagalbyyaayuni7247 5 років тому +2

      Kweli jamani shem yuko sawa

    • @misswamboh9585
      @misswamboh9585 5 років тому

      You can say that again💯

    • @supertallone4905
      @supertallone4905 5 років тому

      neymare gershon n vzur mkawajua na hawa aliowaibua

    • @JAELBOY
      @JAELBOY 5 років тому

      neymare gershon ua-cam.com/channels/Z8nPsT41XHQxRh5CG3MRtw.html

    • @axelnelson8413
      @axelnelson8413 5 років тому +1

      kibaa ni pure talent ..nampenda Diamond pia lakini King kiba ni mnomaa

  • @saidikutwambi1799
    @saidikutwambi1799 5 років тому +256

    Aliyerudia Mara 50 kuview hii ngoma kabla haijafika 1M viewers like hapa

  • @idayakey6886
    @idayakey6886 5 років тому +360

    Team kiba tuna jisahau sana ngoma ikifika viwes miliyoni 1basi tunalizika siyo vizuli inabidi tusapoti benga kwa benga

  • @jandaboytztz6314
    @jandaboytztz6314 5 років тому +76

    sisi wakenya venye tunasema hii gomakalisa sana like mingi kwa sisi bakenya

  • @azizalydiaaziza6051
    @azizalydiaaziza6051 5 років тому +53

    team kiba ya 🇨🇦 usiku mwema namaliza kuangalia kichupa kipya usiku mwema sote na asubuhi njema kwa wenzetu wa🇹🇿

  • @babuu4098
    @babuu4098 5 років тому +101

    Hivi siwezi kuapata like kama hizi kweli😂 kam kweli gonga tu tapah👍 #alikiba toto hii ngoma ni noma baba ake 🔥🔥maswala ya konki konki hatuhitaji 😂😂

    • @salimaamir5561
      @salimaamir5561 5 років тому +2

      Fyeeeeka mbli team wamama kiba yebabaa

    • @babuu4098
      @babuu4098 5 років тому

      @@salimaamir5561 😂😂

    • @fallymetoo191
      @fallymetoo191 5 років тому +1

      Congratulations wa king kiba nyote... mbona patam apa 👌

    • @babuu4098
      @babuu4098 5 років тому +1

      @@fallymetoo191 😂 mchezo usiuchezee 😂😂 kiba ni 🔥 hamn wakuzima

  • @zaitunimussa4752
    @zaitunimussa4752 3 роки тому +2

    Uyo mwenye Rasta anacheza mpk sio powa

  • @hameedmbogo3633
    @hameedmbogo3633 5 років тому +60

    Director wa hii video ni mkenya wakenya hebu tumpe Bosco junior likes

  • @ziadaibrahim9872
    @ziadaibrahim9872 5 років тому +70

    Jaman wakwanza kutazama naomba like kiba atali na watoto wake sauti tu me napagawa nawapenda sana jaman

    • @salimaamir5561
      @salimaamir5561 5 років тому

      Twaa buree

    • @chipochink0087
      @chipochink0087 5 років тому

      No Mimi ndio wa kwanza Niko 251 hapa adama city Ethiopia from tz

  • @justinadamiane3496
    @justinadamiane3496 5 років тому +170

    Namimi ni likeni basi team kiba msiwe wachoyo wa like 😊

  • @abdulfrance1548
    @abdulfrance1548 5 років тому +103

    Kings Music ni tiba ya fleva tuliyotaka kuipoteza

  • @jumambarouk
    @jumambarouk 5 років тому +183

    jamani na mm pia ni shabiki wa kingmusic niko barani Asia naombeni like zenu japo sijui vizuri kiswahi

  • @fuadabdalla7097
    @fuadabdalla7097 5 років тому +121

    wale wa 254 tupigie likes zote hapa hawa wa 255 wajue kiba ni wetu sote twendeni nalo goma hili

    • @jumaabbasi3197
      @jumaabbasi3197 5 років тому +3

      kawaida ya mwisho wa mwaka lazima king king king yeeees

    • @jumaabbasi3197
      @jumaabbasi3197 5 років тому +1

      kawaida ya mwisho wa mwaka lazima king king king yeeees

    • @adamshabani7437
      @adamshabani7437 5 років тому +1

      atali mme tisha xana

    • @jonasamos555
      @jonasamos555 5 років тому +1

      Nyimbo haina ushindani kwa sasa watu tunatqka bengers

    • @salimaamir5561
      @salimaamir5561 5 років тому +1

      Kenya kama kawa tumekamatika na ttozy

  • @abuusaidimsigwa9654
    @abuusaidimsigwa9654 5 років тому +128

    Oooooooooooooooyo wale wotye Tim kiba usiach like kama zote

  • @selestinerchristopher8405
    @selestinerchristopher8405 5 років тому +2

    Jaman team kibah😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘fire aseee

  • @jumaboy9762
    @jumaboy9762 5 років тому +185

    Kama umeirudia hii nyimbo kuiangalia mara kadhaa hebu zama ndan npe like yako hapa

  • @fridajoseph6642
    @fridajoseph6642 5 років тому +106

    wimbo mzuri mtamu kuusikiliza,,,video ipo bomba pia,,,tuloamkia kuusikiliza huu wimbo like hapa plz😘

  • @rilldoserfromtrc2678
    @rilldoserfromtrc2678 5 років тому +27

    najua unaheshim kaz za king kiba so comment km zoteee kwake
    & like zisipungiwe m1

  • @hbizoclassic4142
    @hbizoclassic4142 5 років тому +1

    Muzikiii ndio huuu unaotakiwa #killy umetisha #Abdu mzaziii umewakilisha vyema bila kumsahau K2gaa wp Cheed mkoo vzr King Music

  • @mahmudkiba82
    @mahmudkiba82 5 років тому +47

    king music wanafanya mziki mkubwa sana alikiba umewatengeneza vizur sana cheed k2ga killy na. Abdukiba nasema hivi king music levels zingine hahahaha kama umemuona DJ Kiba gonga like

  • @youngrappertz1735
    @youngrappertz1735 5 років тому +75

    kama unaikubali label ya AliKiba Gonga like hapa....❤❤❤❤❤

  • @officialvanillano6817
    @officialvanillano6817 5 років тому +21

    nimekua.wa 72 kuangalia iih vidio naomba ka like jaman

  • @jojoflash1454
    @jojoflash1454 5 років тому +16

    Wow my music we mtoto we mtoto unanivuruga akili kama mtoto 😘😘😘😘😘🙏🏻

  • @ntawurusigajaphetomari882
    @ntawurusigajaphetomari882 5 років тому +155

    Watanzania na warundi tuungane mnipe like Kama munaangalia na kusoma comment Kama mimi

  • @eyfdfhuf1830
    @eyfdfhuf1830 5 років тому +258

    Team kiba mimi sijawah kupata like hata siku moja kwaiy fany km unalike twende sawa

  • @barytz5977
    @barytz5977 5 років тому +158

    Kama umerudia kungalia hii ngoma wacha #like 2juane

  • @teejoee993
    @teejoee993 5 років тому +18

    Nan yuko hapa tena🙋...king kiba+ king music=gud music 😊

  • @princenewton
    @princenewton 5 років тому +59

    Happy birthday king kiba kama unamtakia King miaka Mingi ya kuishi kutu shushia hits Gonga like +(254) Hii ngoma moto wa kuotea mbali tushafunga mwaka sasa💥💯

  • @barbiemilleye8276
    @barbiemilleye8276 5 років тому +175

    Team kiba muache unfki munipe likes zangu bwana 🗣🗣🗣🗣🗣

  • @barytz5977
    @barytz5977 5 років тому +31

    Nani mwengine anangali huku akisoma #comment za wa2

  • @justinkbzo1178
    @justinkbzo1178 5 років тому +4

    In fact kama wakubali kama #teamkiba ndo KING OF BONGO FLEVA 😍😌gonga like hapa

  • @beautyforall1783
    @beautyforall1783 5 років тому +123

    Daaah....+254 ebu musintenge pia mm like kwa ILI DUDE LA MWAKA

    • @JAELBOY
      @JAELBOY 5 років тому

      Hashim M2 ua-cam.com/channels/Z8nPsT41XHQxRh5CG3MRtw.html

    • @khalfamo8874
      @khalfamo8874 5 років тому +1

      Alikiba n atareee

    • @hadijayusuf8083
      @hadijayusuf8083 5 років тому

      Kali sana

  • @BeneguPro
    @BeneguPro 5 років тому +194

    Achia video mxzee baba embu weka like kama zote kama una mkubali King 👑 Kiba mwenyewe

  • @averinamarco5808
    @averinamarco5808 5 років тому +58

    Kama umeliona uno la huyo dogo K2ga gonga like twende sawa

  • @marktumain1140
    @marktumain1140 5 років тому +2

    Wangapi wanajaribu kulinganisha ukomavu wa kwenye ruhmba na too

  • @jumakibabe3548
    @jumakibabe3548 5 років тому +61

    Nipo Colombia sijui kiswahili ila hili ji song la King kiba nimelielewa balaa 😀😀😀🔥🔥watu wa Colombian like hapa 🏃🏃

    • @marwaabdalla9306
      @marwaabdalla9306 5 років тому +1

      Hujui kiswahili na mbona umeandika kiswahili?

    • @mandatanamasapata4330
      @mandatanamasapata4330 5 років тому +1

      npo tayari kkupa tafsiri la dude zima ju tayari wachina wanalifagilia

    • @frankakuno.9511
      @frankakuno.9511 5 років тому

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @JAELBOY
      @JAELBOY 5 років тому

      ua-cam.com/channels/Z8nPsT41XHQxRh5CG3MRtw.html

    • @issakitamuyo7437
      @issakitamuyo7437 5 років тому

      SR_ dullah manyoko wew

  • @BongoZaKitambo55
    @BongoZaKitambo55 5 років тому +85

    Wallahi Hii Ngoma Kali Sana, Cheed Anajua Sana

    • @kelvinmasalu7352
      @kelvinmasalu7352 5 років тому +1

      Zungu Berry yaan hawa watu Mm waeniacha dialema, kila mtu kaua kwa nafasi yake. Hawa watakuwa majini maana sio kwa uimbaji huoo,,, much congratulations to u teacher kiba! maana wewe ndo kiwanda chenyewe. #King's musics

    • @shomy902
      @shomy902 5 років тому +1

      King"s atali sana

  • @ericksonjackson1321
    @ericksonjackson1321 5 років тому +46

    mi ni team wcb ila ngoma kali jaman ukweli lazima tuseme mziki ukiwa mzuri tunatakiwa tusifie pia

    • @shamsheryaj18
      @shamsheryaj18 5 років тому +2

      Nimekuelewa sana hapo ulipo kama ngoma ume idownload bas ipigwe kwa pongezi kutoka kwa #shamshery_aj47
      Huo ndio ushabiki kwamba

    • @omarsadiki8580
      @omarsadiki8580 5 років тому

      Geophrey Chinaco mbo lvyo jama

  • @aminamrisho6903
    @aminamrisho6903 5 років тому +2

    Haijawah kuisha cku bila kuickiliza hii ngoma

  • @thomasmwaipale2621
    @thomasmwaipale2621 5 років тому +32

    ukiwa kama Mimi mpenda muzik mzur like hapa

  • @williamrutophd2987
    @williamrutophd2987 5 років тому +122

    toka kenya mimi... nasema kiba ndo king wa afrika mashariki... ako dope.... like nipate kibao wanaumkubali

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 5 років тому +30

    Wale wa kusoma comments nipe like ya KINGKIBA

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 3 роки тому +2

    Killy on file💯💯💯💯💯 ingawa wote mpo vizuli

  • @rajabukulandea827
    @rajabukulandea827 5 років тому +131

    kama umerudia kuicheki ngoma kama mimi gonga like twend sawa

  • @abeidsocco9912
    @abeidsocco9912 5 років тому +54

    Abdu umetereza,,,,,vizuriiiii kabisaaaa,,,,afu K2GA mbona unanichanganyaaaa kwa radha yako ya sauti,,,,me nikajua kateleza king kiba kumbe wewe dogo 😂 😂 😂,,,,, """"unanikomesha katisha datishaa.... "",,,
    kila mtu kaimba vizuri, yaani Kama kitabu basi kila mtu Kavaa uhusika wake..
    moooooko,,,, ,Umetisha saaaana,,respect kwa director.!!, video kali.,,sauti zote bombaaaa,, Hakuna hata chembe ya tusi,,Hikika najivunia kuwa na upenzi wa muziki mzuri toka kwa king music.
    #king kiba
    #abdu kiba
    #killy
    #cheed
    #K2GA
    Nawakubali Sana.
    Team kiba twenzetu na like ili hii nyimbo iwe funga mwaka.

    • @shamsheryaj18
      @shamsheryaj18 5 років тому +2

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂khaaaakhaaaaaaakhaaaaaakhaaaa
      Baba nambie wapi kwa ku record voice maaaaaaana nimecheka hadi furaha tumbo linauma
      Inamaaaaaana ulijua fundi ndie kafunguka maswaga yake kumbe ni K-2GA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @jumamasaka9162
      @jumamasaka9162 5 років тому +1

      😁😁yebaba

    • @hashimuismail5587
      @hashimuismail5587 5 років тому +4

      Duh mm nina bahati mbaya. Yaani sijapata like hata moja

  • @musamsumari5998
    @musamsumari5998 5 років тому +19

    Kama umechelewa kazini kama mim kingoja hii ngoma gong like

  • @santanamassawe4944
    @santanamassawe4944 5 років тому +19

    Ase hii ngoma nikal mazeeee nataka like zangu km na ww unauelewa huu mzigo.!

  • @blackmask2715
    @blackmask2715 5 років тому +17

    Kama umerud hapa mara kumi na bado utarud Nipe like na urud million in 24hrs let’s keep it going #yebaba#yap#popitin

    • @laurentchimbirani3434
      @laurentchimbirani3434 5 років тому +1

      tunarudia rudia had tufike 1M

    • @salimaamir5561
      @salimaamir5561 5 років тому +1

      @@laurentchimbirani3434 iko no ngapi sai mana sipati picha kwa uno la ki2ga atauwa haswa Kenya mi mwenywe binfsi amenifinish mmaeee

  • @mwajumanjanga6631
    @mwajumanjanga6631 5 років тому +68

    Mi nakupendaga tu kiba🔥🔥🔥na timu yako.
    Ata mkiniimbia wimbo wa taifa nitaipenda tuuuu😀😀😀
    Like hapa kama na wewe tupo njia moja king kiba 4rearly

  • @mcwillehard5422
    @mcwillehard5422 5 років тому +21

    Kama Umependa ngoma hii zaidi ya ile ya kwanza GONGA like hapa TUJUANE

  • @celinebaddest
    @celinebaddest 5 років тому +2

    Uyu mwenye rasta anavocheza mie hoi

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 років тому +181

    Tulio angalia hii video kabla haijafikisha 1m views tujuane bhac😂

  • @ayanseef4433
    @ayanseef4433 5 років тому +80

    Kuna siri kubwa Kiba anaifanya nimesha fahamu kuwa sasa hivi ategemei media kupromote Nyimbo zake anangalia watu wana mfatiliaje bila ya promo kwenye media video ameiweka asubuh mpaka sasa ina Fanya vizur bila promo wala kuzindua pala xxxl au play list au kipind chochote hii anataka ajue ukubwa wake je anaweza kuwa kubwa kama media na amefanikia jamani video mpaka sasa hivi ni vizur jamani 👏👏

  • @bachirncadebachir7099
    @bachirncadebachir7099 5 років тому +130

    sasa hu munao nifanhiya ni ubaguzi.eti to ni Nmozambike ndomana ata like kwangu sioni . haaa jamani like zeno. obrigado.kings music 4 life.

  • @markmuchiri5666
    @markmuchiri5666 4 роки тому +1

    Cheeeeeeddddd🙌🙌🙌🙌🔥...wale majaji waliosema ukiimbe hatutajua kama.ka kike ama kakiume sasa hivi wanaona ulivyo lidume.. mashallah...talents 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @juniorsonofgod5675
    @juniorsonofgod5675 5 років тому +28

    daah mi ni team mondi ila nisiwe mnafki kwakweli hii ngoma kali sana.kama umependa alivoimba abdukiba gonga like kama zote apa

  • @jamalmainde4135
    @jamalmainde4135 5 років тому +147

    kwani team #kiba tunafanyiana ubaya?
    haya naombeni like kama tunapendana

  • @mabulamsabula3125
    @mabulamsabula3125 5 років тому +317

    Team kiba naomba tujuane kw kugonga like

  • @nicolausvicent3006
    @nicolausvicent3006 5 років тому +6

    Daaaa yani nyie jamaaa mnaboa sana yani sio kujua mme pitiliza zaidi ya kujua daaa aiseee hongeren san mnajua mpk mmevuka mipak saaa nice kz nzuli zd ya nzul

  • @yusuphsamwel2064
    @yusuphsamwel2064 5 років тому +351

    Sauti ya @ki2ga kama king Mwenyew kama unaamin hivyo ganga like

    • @Mariaclala536
      @Mariaclala536 5 років тому +3

      Huyu jamaa aliimbaga wimbo unaitwa Rosa watu walijuaga kiba anajua sana

    • @hameesabdalah3780
      @hameesabdalah3780 5 років тому +4

      inabidi k2ga achukue number king au unasemaje yusuph

    • @yusuphsamwel2064
      @yusuphsamwel2064 5 років тому +2

      @@hameesabdalah3780 hahahahah.......daaah.......kwel ban

    • @shafiikaorata4862
      @shafiikaorata4862 5 років тому +3

      Sauti ya king so prince anafanya yake

    • @anithaandrew5324
      @anithaandrew5324 5 років тому +4

      Huu wimbo sichokii kuusikiliza

  • @jembekali2658
    @jembekali2658 5 років тому +51

    Waaaaaah kizazi sana homa la East Africa hili hapa gonga like kama umeikubali hiii....nipeni like mwenzenu

  • @duceronlinetv3910
    @duceronlinetv3910 5 років тому +100

    Kumbe tupo weng tunaosubili dude💣💣💣like kama we team #kiba

  • @ommyweather346
    @ommyweather346 5 років тому +2

    Ebhn hii bonge la ngoma kila Day lazima nilipitie

  • @shanizyusuf8210
    @shanizyusuf8210 5 років тому +17

    waaa round hii niatari km wakubaliana na mm weka like twende sawa

  • @baransagirije
    @baransagirije 5 років тому +37

    Wale wa #TEAMKIBA na #KINGSMUSIC 👑 kwa ujumla gongeni like hapa tujuane 😎😎

  • @bshowtee7253
    @bshowtee7253 5 років тому +134

    Kama we team kiba like hapa acha uchoya..kiba festival inakuja like

  • @edsonprosper6587
    @edsonprosper6587 4 роки тому +1

    Jaribu kuja kidogo zama ndani tazamaaaa usjeleta zogoooo king nomaaaa?????

  • @andjelaninyassa1468
    @andjelaninyassa1468 5 років тому +20

    Kama 😍naweweni team kiba ngonga like tusonge mbelee

  • @marumswhly4186
    @marumswhly4186 5 років тому +49

    Nimerudia mara3 Eti jaman goma tam hili naomba like zenu twende sawa guys 👏

  • @samanthatotoctoto4519
    @samanthatotoctoto4519 5 років тому +42

    Team 254 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 chukuenu register apa 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @kombakomba7922
    @kombakomba7922 5 років тому +6

    Naipenda hii nyimbo kinoma noma!!!!!! Huyo mwenye rasta anavyocheza ananifurahisha mno,

  • @star1online8
    @star1online8 5 років тому +18

    jamani hii nyimbo imwnifanya nihamie team kiba mazima
    nimeona huko upande wa pili wanazingua
    naombeni team kiba mnipokee

    • @mashadaudi8862
      @mashadaudi8862 5 років тому +2

      kalibu sana mpnz tu nakupenda pia 💝💝💝💝💝💝

    • @shazdahofonly2377
      @shazdahofonly2377 5 років тому +2

      Karbuu mwanetu cye atuna roho mbaya

    • @salimaamir5561
      @salimaamir5561 5 років тому +2

      Karibu bby team hatunaga ubishoo karibu × zote

    • @joanshishi3423
      @joanshishi3423 5 років тому

      Babylon Lonboy karibu bro

  • @OffcialKp
    @OffcialKp 5 років тому +52

    Chama la wasomaaa comment mko wapiiii

  • @yohnafanuel6489
    @yohnafanuel6489 5 років тому +42

    Wale Team kubwa King kiba+Kings music nipate like bac

  • @nadedjanadedjinakimanu1685
    @nadedjanadedjinakimanu1685 5 років тому +24

    Nawakubali sana kings musics 👍👍❤️

  • @hamismalimungu9959
    @hamismalimungu9959 5 років тому +80

    Sijawah kupata like kwa king kiba

  • @abykeny9395
    @abykeny9395 5 років тому +44

    Kama unaamini k2ga ndo mrithi wa kiba twende sawa hapaa🔥🔥🔥

  • @daisonseilas5611
    @daisonseilas5611 5 років тому +30

    Hawaamini wanacho kiona 😂😂😂😂😂#TeamKiba tupo Wañgai tujuane

  • @gaivakonk510
    @gaivakonk510 5 років тому +4

    #Jamanikiba uyukiba shetani aujini manaDah iingoma kali pakakelo

  • @emanuelndamo7748
    @emanuelndamo7748 5 років тому +150

    kama umedata na hii ngoma weka 💞💞💞💞 ya kibabe hapa

  • @bahopamountana8226
    @bahopamountana8226 5 років тому +71

    King always king and forever king good music alive achana na mamb ya nyegee

  • @feisalbaruan7227
    @feisalbaruan7227 5 років тому +28

    bora king kiba umebadilika atleast umeweka mdundo wa maana tumepumzika na sebene ila ngoma iko fireeeeeee...

  • @mohdeddy123
    @mohdeddy123 5 років тому +1

    Daaah i abdul moco kwa zenji no.moco kama umaarufu wang kinngggggggg king's na wanawe tunatishaaa video kama na saut soul

  • @khadijarocky4378
    @khadijarocky4378 5 років тому +41

    Bonge la nyimbo,Sijui BASATA watafungia kutokana na hayo mavazi ya beach

  • @cieranmanuel9295
    @cieranmanuel9295 5 років тому +111

    Hili uno la K2ga😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 nachekaa tuuu 🔥🔥🔥 Ntaman niwanunue nyieee ahhhh😜

  • @MrMtulivu
    @MrMtulivu 5 років тому +52

    Kamawakubali hawa vijana wakosawa basi gonga LIKE hapo.

    • @montestz7094
      @montestz7094 5 років тому +1

      Hii wiki ni kama wabongo mmeamua kutunyoosha.. Ben Pol, Vee money, Shetta, King Music🔥🔥

    • @JAELBOY
      @JAELBOY 5 років тому

      ua-cam.com/channels/Z8nPsT41XHQxRh5CG3MRtw.html

  • @zulekhamnyaturu6341
    @zulekhamnyaturu6341 5 років тому +149

    Wale wa 2019 tujuane kwa like

    • @georgendimila6405
      @georgendimila6405 5 років тому

      Team Kiba mwanzo mwisho sifa peleka tandale hapa kazi tuu

  • @novidahtv9354
    @novidahtv9354 5 років тому +326

    Acheni uchoyo team kiba naomba like zangu

    • @salimaamir5561
      @salimaamir5561 5 років тому +1

      😂😂😂😂😜

    • @novidahtv9354
      @novidahtv9354 5 років тому

      @@salimaamir5561 😸😸😸

    • @guulajini3596
      @guulajini3596 5 років тому

      😂😂😂

    • @JAELBOY
      @JAELBOY 5 років тому

      ua-cam.com/channels/Z8nPsT41XHQxRh5CG3MRtw.html

    • @JAELBOY
      @JAELBOY 5 років тому

      ooyoh ...watch it comment and subcribe .....thanks🤟🏼

  • @erickmlokaonlinetv3861
    @erickmlokaonlinetv3861 5 років тому +151

    Sasa unapitaje bila ku like hapa kwangu👇👇like ili wajanja tuongezeke kwa kumpa sapot mfalme wa muziki Africa mashariki..

  • @hastvtz1170
    @hastvtz1170 5 років тому +104

    Chema chajiuza kibaya chajitembeza ikiwa unaukubali usemi huu like ngoma hii dah"bonge LA songi kiulweli

  • @bonifacelawrence1667
    @bonifacelawrence1667 5 років тому +2

    Hawa jamaa wanajua ile mbaya big up sana

  • @hdelvostar2068
    @hdelvostar2068 5 років тому +110

    Kama Ww Umeikubali KingsMusic Like Apa👑👑

  • @jeccaonline7755
    @jeccaonline7755 5 років тому +19

    Jomoniiiii jomoniiii alikiba we ni nyokoo sana umenikamata yaan ngoma imenikamata sana fundi was madude na bado yebabaa

    • @hassansaid9925
      @hassansaid9925 5 років тому +1

      Jescka habari 😂😂😂😂😂😂👦😂 Kama mm

  • @ayanseef4433
    @ayanseef4433 5 років тому +36

    alikiba HAWA watoto umewatoa wapi sio kwa kufanya mziki mzur kama huu walifanya mwambiesina nikasema si yupo Kiba director Wa mziki wamebaatisha kumbe eehh na hii dude wamenipa KO mamae eehh king music amna wapinzani jamani abdukiba cheed k2ga killy love u

  • @leahkaneza1731
    @leahkaneza1731 4 роки тому +2

    😍😍😍😍mnanipa raha sana