uuuu .mziki mzuli ira naomba msaada mmoja unitafutiee namba ya mr touch au professor jay nitumie katika namba yangu hi 0626611496 nitakulushia shilingi 5000 ukilushia namba hizo
Professor Jay always been a Legend Toka way back! Nilijua kwamba hawezi kuniangusha!! Kila ngoma anaua kabisa. Amani kwako mzee!! Nakuheshimu Sana. A Legend is always a Legend!! By:- Lil Kaishea a.k.a Shawrunna "The Rapper"
Your my role model bro,bado sijafikia hatua fulan but mungu atujalie uzima tutafanya kazi siku moja na wewe,from 2001 up to now bado naamin kuna siku itakua.
#Pagamisa gonga like ya support ndugu yangu **""professorjay"""** **"""Mr.t.touch'''*** hii ngoma mimi naikubali sana pigenj kani kazi prof j mzee baba
👏👏👏👏 Mueshimiwa kweli n'gombe azeeki maini Mr. T touch nakuelewa baba pande zote Young dee kicheko chako ndio huwa kinanimaliza yani naku fananisha na bata mzinga wa hapa nyumbani, 😂😂😂😂 #pagamisa
Hii ni kazi bora kabisa katika wakati wa sasa. Mashairi yake yana urali mkubwa sana na mahitaji ya jamii ya Tanzania na Afrika mashariki katika masuala mtambuka tuliyonayo. Hongera sana @Professor Jay
29/04/024 nipo napagamisa like kwa 2024❤🎉
hahahahahaaaa🔥🔥🔥🔥🔥 mmetshaa kama umeikubar ngoma hii usipte bila kugonga like👍👍# Africa stand up nouma sana 2namwaga pesa
uuuu .mziki mzuli ira naomba msaada mmoja unitafutiee namba ya mr touch au professor jay nitumie katika namba yangu hi 0626611496 nitakulushia shilingi 5000 ukilushia namba hizo
Mbunge unaeongoza binadam na wanyam umetisha ngoma kali
This song was highly marketed by Mzazi Willy M Tuva
Bonge la chemistry mr t-touch ft wamituringa hallahhh🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
ebana kichupa kimesimama akijapelekwa nje ichi kimepigiwa apa apa bongo icho ww ndio mhenga wanguvu unaejitambua big up j
Haina shobo dundo shoboka nivunje chaga,,,,,mh salute kwako hakika,,,,old is gold👊👊
Upo vizuri sikuzote Bro, unazid kuwachapa kwa mkwanja, fun base, idea n muzik mzuri
Nakupali sana pia mm napenda kupadika kama ww mbunge makini hongera broo
Uwongo mbaya na ni dhambi. Hii kawaida sssaaannnaaa...
Huu mtazamo tu masela msilete chuki.
Toka zari la mentali bado Tunapagamiza nomaaa saana broo if ok am ok waaaaaaraaaa nic 1
Kiukweli jay ww hauchuji ngoma nzuri sana wasanii waige kwako
Professor Jay always been a Legend Toka way back! Nilijua kwamba hawezi kuniangusha!! Kila ngoma anaua kabisa. Amani kwako mzee!! Nakuheshimu Sana. A Legend is always a Legend!! By:- Lil Kaishea a.k.a Shawrunna "The Rapper"
Qoqlyyy ngoma nakukubali alama ya bongo fleva @lovefoeva
Kazi nzuri muheshimiwa(Pagamisa)hahaha, waue ng'ombe hazeek main
dude kali umetisha mzee baba respect
@professor jay
wakipiga risasi Sir GOD anatutoa kama TUNDULISU
Bonge la ngoma mh.jay pamoj san😚👏👏👏🙌
ngoma za zamani zako nilizielewa sana ila now du bado bora nisikie .usilie na bongo .saut ya geto
BABA MWENYE HESHIMA YA KIPEKEE JAY - PAGAMISA
Michano ok prof ni noma sijutii kuwa shabik ako ila hapo kweny pagamisa namuona ney wakawaka pia mond na rick wakawaka
Your my role model bro,bado sijafikia hatua fulan but mungu atujalie uzima tutafanya kazi siku moja na wewe,from 2001 up to now bado naamin kuna siku itakua.
Nakubali Nakubali Prof JeeZ yaan100%√
bonge la dude mh jay unatisha mbaya,mr t na dee pia saruti kwenu watapata tabu sanaa
nmependa ubunifu huu sehemu ya wakawaka mmeibadilisha imekuwa ...........aloesikia anijibu bas
#Pagamisa gonga like ya support ndugu yangu
**""professorjay"""** **"""Mr.t.touch'''*** hii ngoma mimi naikubali sana pigenj kani kazi prof j mzee baba
good
Ase bonge rangoma kama unamkubar professor jay gonga like twende sawa
pipipiiiii mtulinga hiii imekwenda salam zake bill nenga
Sijawai kuona ngoma kali kama hii Team 🇺🇸🔥🔥🔥🔥
Wasanii mtajili
"tupige hata risasi tunatokanka tundu lissu" nice sna
Legendary 🙏🙏🙏big up wote mko sawa
hii ngoma ukikaa frexh uisikilize frexh, utamu unazd korea frexh.
bonge la ngomaa....prof wa miaka ile amerudi
Naaaaaam The heavy MC ....... imependeza
Professor jay nimekutolea kofia niko out of words ur music is on another level
Inabidi Raia wafundishwe matumizi ya dislike button,sio kila kitu cha ku dislike#Props kwa Prof tisha mbaya
hii ngoma inanifanya nifikirie kuuza drugs ambazo sina.. ni fire aarifu
Yani professor, toka zera la mentali mpaka leo unaimalisha hip hop ya bongo. Wewe king for sure
👏👏👏👏
Mueshimiwa kweli n'gombe azeeki maini
Mr. T touch nakuelewa baba pande zote
Young dee kicheko chako ndio huwa kinanimaliza yani naku fananisha na bata mzinga wa hapa nyumbani, 😂😂😂😂
#pagamisa
Yaaani mwanzo mwisho hakuna ishu za mapenzi bhana wewe....ARE U OKEY!!?? IF UR OKEY AM OKEY😩😂😂🤣🤣🤣 hawa ndo wasanii dadadek
SEMA NINI SINCE DAY ONE PROF JEEZ AJAWAI NIANGUSHA ASE THE BEST MC ALL THE TYM TZ ==>EA
Mbna bnduki mchna kweupe n w2 wsiojulikana wapi amani y2.. nkuelewa xna prof wngu krbu nmanga japo wlimzulumu onesmo nangole
Big up mbunge wa watu na wanyama
Hii ni kazi bora kabisa katika wakati wa sasa. Mashairi yake yana urali mkubwa sana na mahitaji ya jamii ya Tanzania na Afrika mashariki katika masuala mtambuka tuliyonayo. Hongera sana @Professor Jay
ngoma Kali #proJay....🎶🎶🎶 #Ttouch.....youngDaddy
daaah aisee ipo poa sana mwanalizombe
The legend himself... Kali sana... tuendelee ku pagamisa... :)
Sawa mheshimiwa nakukubali noma sana
Hii ngoma kali sana... basata hawana namna ya kuichambua...imeandikwa kwa ufundi wa hali ya juu
owky...... ingekaa chorus ingekuwa kali zaidi but nawapa 78%
Daaaaah hongela m bunge wetu
Professor jay is a real legend of bongo flavour.. n T touch is a full engineer of music production... big mashups from +254.
Mheshimiwa ngoma kali sana aiseeeee
jay ngoma Kali aisee nakkbali kinoma
Safi sana Professor bonge la ngoma
Ngoma Kali Sana brother💯💯👊👊...Ng'ombe kweli Azeeki maini... M T Touch ni nooooomaaaaa
Hii ngoma Kali sana aise👉🙏💣💣
Professor still kill every time He drops a tune! Wafunze hawa watoto
Wenye mziki wake mzee #wakutulinga
nimekuelewa prof j salute my brother Mr t tuch good xana aisee
Nakubali Sana
We mkaali mheshimiwa
duuuuuu kumbe Mr T anaweza talented man
Kweli MBUNGE, wewe ni mgodi usioishiwa madini, salute kwako ewe MBUNGE wa WATU na WANYAMA.
R u ok.....then am ok....one luv one pple one continent @touch
The Professor in lyrical mastery has done it again....🔥🔥🔥
Lejendari Wakenya hatukuwezi.
KALI SANA #ProfessorJay
umeona eeh!
Kazi mzurii bro salute
Noma sana professor jay
Mh. Prof j nakukubal kinoma
Profesor..😁😁Tunapagamisa 💃💃💃then we r #OK🙌
Kama ume sikia kicheko cha Dogo Young De basi pamoja sana.
Kweli mzee ni mgodi unatembea,,,,, tangia nakuwa,,,, mpk leo bado sijaona wakukufanya usubir,,,,,,
mambo ni motoooo......
ngoma kali profesor .......
achia jiwe jingine
Professor mwenyewe 🫡
Baba j salute sana Mzee baba
kuna watu ktk sanaa nikiwafikiria naweza sema walishushwa na mungu kutuletea radha ya mziki.kama prof jay
BASATA njooni muifungie na hii nyimbo. Mamaee Prof Jay U kill it my bruh
Touch touch touch touch aisee hii jingle naielewaga kinyamaaaaaa, T touch you the best music producer in Africa
Mambo ni moto aseee nimeikubali 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥salute kwako.
Huyu mbunge yuko vizuri aisee
naona umeongeza idara br touch
Hukoseagi Mkuu. Bonge la Ngoma
Ngoma kali mzee wa #Bongo dsm,endelea kuwapa darasa vijana na wazee. Big up brother
Anyone feeling WAKA WAKA of Diamond ft. Rick Ross in this PAGAMISA? Especially the choruses?
Good music though. Club banger.
Kali sana respect TZ boss Jay
Tulimiss the Real Rap Asante kwa Ngoma Yetu Ya Kitanzania
😁😁😃😃😃Tuchape hata Risasi tunatoka kama Tundu Lisu so lit song🔥🔥🔥💡
Noma sana!! ☝🏿
pagamisa mzee baba mgodi unaotembea
Mweshimiwa professor anafaa ashikane na mweshimiwa Jaguar... Watoe bonge LA kolabo .ngoma namaree hii
Pamoja nayote brother na kukubali
Fire 🔥 🔥 🔥 🔥 ngoma ya kizazi sana wana nimewasoma legendary profesa j nakuaminiaa mzazi hujawahi yumba touch ni 🔥 🔥 salute sana
Haya ndio tunataka kusikia kutoka kwako, style ileile na mashairi ya kufa mtu, congratulation
Tupa like yako chini kama tupo pamoja. One love Joseph aule.
Mdudu unaotembea ulioshine mazagazaga......Saluuuute
#Proffesorjay
Rick Rozery wa bongoo safiiiiiiiii
Mdudu unaotembea ulioshine mazagazaga ....Saluuuuute.
Moto unawaka hapa iseee
daa umetisha mbunge nice