Maua Sama - AWAY ft. Young Lunya (Official Audio)
Вставка
- Опубліковано 15 вер 2021
- Song: AWAY
Artists: Maua sama ft Young Lunya
#MauaSama #AWAY #YoungLunya #Mziiki
Stream/Download: smartklix.com/Away(feat.Young...
Follow Maua Sama:
/ mauasama
/ mauasama
/ mauasamaofficial
AWAY Lyrics:
Maua Sama:
I’m about to leave the terminal
Baby baby punguza usongo
You better come pick me up
Coz I don’t really need your longo longo
I came down all the way for you
Hii ni special kwa ajili yako tu
Siunajua kitu nime’miss from you
Give it to me gimmi good good
Nivute chumbani nipe za giza giza
Tusionane vile ukiniangamiza
We sukari utamu wako me ndo ushanimaliza
Give to me baby gimmi dat good good yeah
Don’t tell me that you’ll not be prepared
Nifike afu nikute things not okay
Hey you’ve been waiting all day
I’m almost there only one call away
Chorus
My love is only for you baby let me give you some
Don’t wanna give it to nobody
Na tuvitu vitu
Usinipunje ongeza utamu usimpe no body nobody like
For you baby let me give you some
Don’t wana give it to nobody
Na tuvitu vitu usinipunje ongeza utamu usimpe nobody nobody like
Away away away away away
Don’t wanna be away from you
Away away away away away
I miss you I miss you
Away away away away away
Youuuuu
Away away away away away
Awayyyyy heyyy yeahhh
Young Lunya:
AwAay AwaAy, Awaay Awaaay,
Nataka kuwa na wee na wee.
Na weee Na weeee
Oooooh Maai, Yeaah
Kusema ukweli naziwaza lips zako nime’miss kuzi’kiss Mama
Mbali na wewe ila sisikii drama
Naambiwa una’cheat ila hizo habari Habari siziskizi sana
Coz nakujua na nakuamini sana
Na mara nyengine nakuwa busy ile kinoma naomba unisamehe
Nazitafute ili ukomeshe Gucci na Channel,
ma’LUV na mapochi ya Brand yanayouzwa bei
Tuhame kiwalani tuhamie Obey
Tukiongea nikaskia sauti yako napata mzuka
Na mpaka pressure inapanda inashuka
Pia ukinambia umeni’miss nasisimka napata kichupa
Kama unaitaka naikata nakupata
Hata ikitokea wamekubambia kesi we nitaje mimi
Ukitongozwa pia nitaje mimi
Hata kama hawependi sisi ndo tushapendana sasa kwani nini?
Jina la mwisho pia nitaje mimi
Na kasura kako kama katoto
Ndo kanafanya napeleka Moto
Ndo kanafanya nipitie msoto
Wakikutaka nitawasha moto
Pekupeku kama Mpoto ‘hot sana wamoto
Tuvizie Danger days mana nataka tupate Watoto
Chorus
..............
Produced By: Mr Simon
M&M Mr Simon
Visual Art: GratiusFX
Photographer: Shaylula
Thanks for Watching 🌍 🔥 Nawapenda sana, Enjoy Good Music. #AWAY Available in All Digital Platforms.
Keep on Streaming/Download smartklix.com/Away(feat.YoungLunya)02
Poa
Keep it up
Sista unakaa mda sana haujaachia jtahd mda usiweunakuwa mref
You have never disappointed maua, we ndo yule super⭐⭐, 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
We love uuuuuuuu
Ngoma kali sanaaaaa ila lunya umezengua ulivyoamza umeanza ka uyu dogo wa konde gang Country boy ulitakiwa tu uwanze na Oooh My 💥💥 @Young_Lunga #Maua_sama
This is Maua samaa Ninae mjuaaa💥💥💥💥💥
Sahiii mkuu💥
Cheki mama samia alivompa zawadi Huyu kijana kweli kwa hiki mitano mingine 👉👉👉ua-cam.com/video/mZemMCK5sI8/v-deo.html
ua-cam.com/video/mZemMCK5sI8/v-deo.html
ua-cam.com/video/mZemMCK5sI8/v-deo.html
Reaction lini
Yani hizi ndo code zake!
Noma kwel
maua nilikuwa nakufikiria hv karibuni 2...dah bonge la pini...lunya kill it
Mauaaa umeuaaaa na unajuaaaa
NitAje mm lunya🔥🔥🔥🔥
Tunaorudia verse ya lunya tujuane
Nitaje Mimi👉❤️☀️👈
Navyo kukubali Dada yangu sijui nani anakubalika ivi kama navyo kukubali bonge LA nyimbo bonge LA kazi
Nakupenda sana sana ukipita ulivyo pita unajua sana 🙏🙏🙏🙌💃✍️✍️
Napenda uzungu wake 🇰🇪🇰🇪
Ile bongo flavour yetu tunayoipenda🇹🇿🔥🔥🔥🔥.. asanteni sana maana mmegundua tumechoka amapiano za kiduanzi
Penda sana hikitoto sama bby unamavituvitu....tafuta danger zone tutafute mtoto lunya mwamba OMG ma blood #Away..wajanja wote utatukuta huku
This song next level. Nani anabisha .Kwa mbali na muona Allia
Dada unajua sanaaaaaa akuna anae kuzuia dada angu mungu yupo utafanikiwa zaid na zaidi .ila pole sana kwa changamoto uliyopitia dada angu mungu atakutia nguvu
Ngoma ni kali sana aseeee daaah hiii ngoma ni ya kuombea penzi kabisaaaaa
Aaaaah Mauaaaa usije ukawaza kuquit hii game napenda mziki wako unakipaji, huna kiki, mziki unaenda mbali, ngoma zako kinyamwezi sana, huna skendo, we malkia usiongelewa na usiejiongelea mpole mwenyewe maneno umekataa mziki unaimba na kujitangaza mwenyewe...!!!! Goma kaliiiii sana na huyo kijana aliepita na ukali wake he is a GOAT!!! 🙌🙌🙌
Hii mgoma noma sana sauti jaman ya sama mashalaah mmeuwa kwakweli 💕💕💕♥️ plus ujumbe
Hit Balaa, Maua Sama Katisha kwenye vocals... Lunya kama kawaida hatuangushagi
Maua sama anajuaaa sanaaaa
Hawa sjui wakina zuku nndy etc hamnaloloteeeee
Ni hatariiiiiii.... Maua ufaikuishi tz nenda kwenu Hollywood... Uwiiiii
Mauwa jamanii bonge la 🎵🎶🎵🎶song me nakukubali sana
This gal is so underrated, such a lovely voice.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Rudi kwenye kiwango chako, umepooza. Always huwa unachangamsha wimbo, ila huu umepooza sana
Samaaaa roho inaumaga sana unasikiza mziki kama huu afu haupati kile inastahili #goodmusicalive
dah bongo kuna watu wanajuamuziki wow
Lunyaaah!!nimekuelewa mbuzi!!
Poleee na matatizo my love,welcome back
Maua sama💥💥🇹🇿
Mauwa kweli umetokea mukopsi
Production ya huu mdundo ni 🔥
Much respect Mr Simon
hata ikitokkea wamekubambikizia kesi we nitaje mimi,wakikutongoza pia nitaje mimi @younglunya you killed it🔥🔥🔥🎶🎤
Mbuzi 🐐🐐🐐🐐 #lunya ooooh my so verse lako poaa Mzee nipeni likes z lunyaa
bonge la nyimbo good na perfomanc nzur kutoka kwa young lunya
Ngomaaa kaliii kweli
Yes yes yes yes maua yes ila tu please video usitufanyie kama ile iokote wimbo mzuri sana jitahidi na video isipoe
maua ni jini
Goma la kuombea mkopo hili,, wanyama wawili ❤❤
Tiwa savage wa Bongo🔥🔥🔥🙌
ngoma. sammaaa hujawai niangushaaaaa ata kidigooo
Mau hii ni komesha
Ww ni best female singer wa muda wote
Daaaah iiiih ngoma atar sana
Kama mbele Ngoma kali 🥰🥰🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯
sauti nzur ya kuimba kwa kweli wellcom back sama
Daaaaah umerudi nilipokua nakusubiria
We proud of mbuzi lunyamila wa bongo hiphop
Yani we mwanamke unasauti nzuri sanaa, nyoko wewe
Queen wangu is byakiiiii..
Maua Sama the vocalist unafanya mziki uonekane rahisi sanaaa hahaha keep the fire burning mdada
kmk lunya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Maua! Maua! Mauaaa!!...Nakuita mara tatu!
After so long Maua bless us with the banger let's run it up to the world 🔥🔥🔥🔥🔥
Kitu kipo mwakeee dopest kabsa
This is pure fire , this is what kind of music we want maua
Cheki mama samia alivompa zawadi Huyu kijana kweli kwa hiki mitano mingine 👉👉👉ua-cam.com/video/mZemMCK5sI8/v-deo.html
ua-cam.com/video/mZemMCK5sI8/v-deo.html
ua-cam.com/video/mZemMCK5sI8/v-deo.html
Na imani uko poa. Nakuomba utumie mda wako kunisupport kijana mwenzenu kwa kuisikiliza nyimbo japo kwa dakika moja na utoe comment na ushauri katika mziki wangu 🙏🏻🙏🏻
ua-cam.com/video/dSg8jg_p_IQ/v-deo.html
Jamani ngoma bado lina 30 sec ila comment eti “ngoma liko fire” 😂😂😂 ila wanadamu bhana
Nyimbo kali sana mwenzetu...remix yake mpe Rapcha.
Maua sama ktk muziki habahatishi she is professional
Goma limeweza hatari sana mauwa dadangu
Diffination ya MUSIC mzuri na mwana-music mzuri good song maua and mbuzi...
Mauaa nomaaaaa🤟🤟🔥 huja wah kosea
🔥 nyie wanangu sana
Nakasura kako kama mtoto ndo kananifanya ni nakula msoto song🔥🔥🔥
Bonge la nyimbo!!! Big up Maua🔥
Na imani uko poa. Nakuomba utumie mda wako kunisupport kijana mwenzenu kwa kuisikiliza nyimbo japo kwa dakika moja na utoe comment na ushauri katika mziki wangu 🙏🏻🙏🏻
ua-cam.com/video/dSg8jg_p_IQ/v-deo.html
Ngoma kali sana lunya na maua mmeua sana
Country boy angeua zaidi kweny hii beat naamini kuliko Lunya cema ni smash hit😁
Ngoma Kali San ila lunya ameupiga mwingiiii
Nyimbo nzuuuuuuuri waaaoooh
Hii ndo maana ya muziki wa Next Level
Haishiiii utamu, maua unajua
Ngoma kali sana 🔥 🔥 🔥
Wabongo kizungu kimeshaenda shule sasa
Tengeza ngoma kali uimbe n ali kiba itafanya vizuri
Noma sana
Nawakubaliii Sanaa hawaaa watu
Maua sama fundi katika ubora wakooo🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
We Maua weweee🤔
Mi napenda sana utundu wako 😋
Atal daaa safi sana maua
Vocal most wanted
#Maua The Bongo Flavour Diva #Mbuzi Lunya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Maua sama ft mbuziiiii ni 🔥🔥
Maua Uko real sana
Hauna ngoma mbovu
Real Voice , Real Talent
I see New Jide Of All the Time
Maua sama katisha sanaaaa "Rihana wa TZ"
Nyimbo kali sana yaani kama mambele yani
Hongera kipenzii 🔥🔥🔥🔥
Maua ni hatari unasauti yako tu..!
Dangerous person #MBUZI 🔥🔥🔥
Moshi nyumbani tunaipokea kweliiiiiiiiii
Maua maua maua daaah unajuaaaaaa
Cool saaaana maua styl nzuri sana from congo
🔥🔥🔥🔥🔥💃💃💃💃
Mauwa nakukubali xana uxje kuacha mziki
Jamani wimbo mzurii sister ❤
Maua nakukubali Sana baby
Kama unaitaka naikata nakupa💥💥💥💥 Lunyaaaa🤣🤣🤣🤣
Maua sama to the world 🇹🇿🌍
Kazi nzuri Dada mkuuu
Maua km maua
Hajawahi angusha taifa🇹🇿🔥🔥
Young lunya amepokea vizuri
Kaliii tunasubiria video