VITU VIWILI HIVI NDIO CHANZO CHA WEWE KUTOKUFANIKIWA KATIKA MAMBO YAKO - SHEIKH OTHMAN MICHAEL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лис 2023
  • #QiblateinOnline
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / qiblatein_onlinetv
    FACEBOOK; profile.php?...
    UA-cam; / @qiblatainonline

КОМЕНТАРІ • 168

  • @gracemumbua9326

    Asalam aleikum, walia nilikua na dhalili mingi sana izi bt nlipoanza kufanya dhikri Allah ameniondolea yote, allhamdhulillah,...shehq mwenyezi mungu akubarki sna akuzdishie elim amen

  • @abouassifmabrouk

    Kisha cha mwisho unachukua nguo unakucha fundo, Quraan! Hapo sikuelewa pamefahamishwa nini aliefahamu anisaidie kunielewesha alichosema

  • @user-rd1ix1hd3y

    Shekh bindo la qur ani huja eleza vizur unakunja au nivipi tunataka kujiondosheya hasadi

  • @user-sn9ip6qr3l

    Jaman mbona dalili zote ninazo😢😢yarab niondoshee kwakwel,vip jinsi gan naweza kuepukana au kujitibu?

  • @fahmedharoub2139

    Unakunja pindo la nguo yako kw chini unalowanisha kwny yale maji ikisha unakamua nguo.

  • @Mhinamadi4

    Kwene.nguo rudiya hapo.mimi.sijaelewa

  • @user-mx4wi8ic5e

    Shukran sheikh wetu Allah akuhifadhi na balaa zote fi dunia wal akheira...ulinitibu hasad na hivi niko sawa alhamdulilah

  • @user-xl1wx3mw9k

    Ni kweli sheikh,Majini na Hasad ni vitu vibaya saana,kiukweli mimi naathiriwa sana na vitu hivyo..naomba msaada wako

  • @PirfaImanipirfa-vj3oz

    Aya mambo yanatisha, asa sheikh wng kama mtu amekusifu kwamba ah bwana umekuwa na unapendeza iyo nayo ni asidi??

  • @mwanaishakama3381

    Shekh wetu apo kwa kukunja nguo chini sijapaelewa mana umetaja Qur'an nataka kufanya iyo dawa na mm

  • @HashimHussein-ps5yr

    Shekh kweli kabisa watusaidiaje waumini wako

  • @baaziabdul9439

    Am from Uganda and follow up your teachings but I understand swahili well

  • @user-lu5vg9kc7y

    Wajazakalah khaira shehk 🎉🎉

  • @buhitexmohamed4785

    Mashallah mimi iweke jwa dua yte hyo nimo inshallah

  • @saidinyomela8387

    JazakaAllahu khaira.

  • @zahramohammed3265

    jazakaAllah nimesoma mambo mengi alhamdhulillah

  • @candiesalm8995

    Kwa wale ambao hamjaelewa kwenye fundo la nguo ni hivi unachukua nguo uliovaa unakunja kwa chini then unaloesha kwenye maji halaf unakuamua ni hivyo tu

  • @hassanibinhassa7058

    Shukran jazeelan sheikh wetu, Allah akujaaliye kila kheri kwa mafundisho yako Ila kunasehemu vidéo ni kama imeruka pale ulipotaka elezea unapinda kanzu

  • @maryam-ol8nh

    Shukran sana sheikh Allah akuhifadhi.

  • @hannymasu732

    Assalam Aleykum Wa Rahmatullahi Ta'ala Wa Barakatuh.