Alhamdulillah msneno unayo ongea yakweli yamenigusa yakitokea kwa baba yetu tulikuwa wengi ira nani atajitolea kutowa pesa kumuguza mimi nikajitolea sitaji mchango mpaka kifo chake akuna alie shudia nimimi tu ata alielala nae ospital akumuona nilipofika mimi tu yeye akatoka nje mimi nikampakata bale pale akafa kwenye miguu yangu km alikuwa ananisubili namshukuru mungu
Ya rabbi wasamehe wazazi wangu na uwarehemu kama walivyonilea na nakuomba umsamehe baba yangu aliyetangulia mbele ya Haki na mjaalie mama yangu kauli thabiti atakaporudi kwako
Ya Allah warehemu wazazi wangu uwaepushie adhabu za kaburi uyafanye makaburi Yao yawe raudha minraudhati jannahtul firdaus na waislamu wote Kwa jumla Amiin Ya Rabbal Alamiin
Mawaidha mazuri sana shukran ustadh Allah akulinde na sharri balaa na husda,na akupe husnul khatima mwisho wa maisha yako na akupe daraja kubwa katika jannatul Firdausi Ameen Ameen
Allahmdulilah mimi nimeodokewa na wazazi wote wawili Allahmdulilah kwa wale wazazi wao wako hai wafanyea wema wakiodoka utakua na uzito kubwa walai ya Rabbi nakuomba wajalie wazazi wetu jannatul fardoz na pia sisi tupe mwisho mwema hapa Duniani na kesho Akheira 🤲 ukweli hakuna mtu hanakupenda kama wazazi wako❤️❤️❤️ Allahmdulilah Allahmdulilah Allahmdulilah 👏
Ya allaah .namuombea mama yangu umpumzishe pema peponi na msameee makosa yake na kumfungukiya pepo firdaus iwe makazi yake na nawaombea wazazi wote waliyotangukiya mbele ya khaki allah wapumsihe pema peponi 😢😢🤲🤲🤲
Yaaallah,nijalie niwatunze wazazi wangu wawili.Nijalie mema kupitia vinywa vyao uwape subra juu yangu uniongoze nizidishe wema said ya huu ninaojaribu ya Rabi kuwatendea. Uniepushie Kila dhara na dhira juu Yao uwape pepo.lnsha allah
Alihamndulilah rabila allamin sheikh Mohammed bahero ulipo kuja singida nilifurah sanaaaaa nilipo jaliwa kuusikiliza maneno yako yatakuwa ni yenye kuendelea kila siku huwa narudia kila wakat mawaiza
Yaa Allah wape utulivu wazaza wangu kwenye makaburi yao na ujaalie majirani zao wawe ni malaika wema na waja wema walotangulia. Alla akuhifadhi uzidi kutufungua na kututoa katika giza lilotuzunguka
Maashaallaah allaah atuzidishie mapenzi kwa wazazi in shaallaah na kware waliotangulia mbele ya khaki bas allaah awarehemu nas tuwazidishie duwa in shaallaah
Ewe Allah 😢 wajaalie wazazi wetu waliopo hapa duniani na waliokwisha tangulia mbele ya haki 🤲🤲amiin.. nawapend san wazazi wang🥰,, Allah wape furah wazazi wang popote walipo inshaallah
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHER INSHALLAH ALLAH ATUJAALIE TUWE NIWENYE KUWAPENDA WAZAZI WETU INSHALLAH NA MWISHO MWEMA INSHALLAH❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yaa Raab, wenye wazazi hawajui thamani,mie nnalia kwa kuwakosa. Yaani pepo mie siipati kwa bonus ya bir ul walidein😭 pepo chini ya nyayo ya mama nmeikosa. Yaarabi wahifadhi makazi mema palipo na wema, unikutanishe nao katika pepo yako Ya Allah
Allah amulekhem baba yangu😢😢 kabaki mama yangu. Alhamdulillah. Nikiwa nacho hua nampa hata kama hajaniomba najiongeza namtumia nimemtibia baba yangu mpaka katuondokea mikononi mwetu innalilah wainallh rajiun
Ewe mwenyez mungu waondolee adhabu za kabur wawazi wangu na uwangize pepon kwa rehema zako
Yaa RABBI wajaalie wazazi wangu maisha marefu inshaAllah ili niweze kuwafanyia kila wanachohitaji
Ewe mwenyezimungu mjalie mam yangu mwishomwema na umjalie afya njema. AMINA
Alhamdulillah msneno unayo ongea yakweli yamenigusa yakitokea kwa baba yetu tulikuwa wengi ira nani atajitolea kutowa pesa kumuguza mimi nikajitolea sitaji mchango mpaka kifo chake akuna alie shudia nimimi tu ata alielala nae ospital akumuona nilipofika mimi tu yeye akatoka nje mimi nikampakata bale pale akafa kwenye miguu yangu km alikuwa ananisubili namshukuru mungu
Ya allah tusamehe sisi na wazazi wetu na utujaze mapenzi❤
Yarab. Wasamehe wazazi wangu wote na uwaepushe a dhabu ya Kaburi
Yaa allah mpe maisha marefu sheikh huyu na mpe wepsi apate elimu zaidi aminii na wajalie wazazi wangu afya njema wote wawili
Jazakallahu khaira allah akuhifadhi
Ya rabbi wasamehe wazazi wangu na uwarehemu kama walivyonilea na nakuomba umsamehe baba yangu aliyetangulia mbele ya Haki na mjaalie mama yangu kauli thabiti atakaporudi kwako
🤲
Amiin ya rabiil Alamiin🤲🤲🏻
Ameen rabil Allah min
Ya Allah warehemu wazazi wangu uwaepushie adhabu za kaburi uyafanye makaburi Yao yawe raudha minraudhati jannahtul firdaus na waislamu wote Kwa jumla Amiin Ya Rabbal Alamiin
Allahummah aamin kwa sooote In Shaa Allah 🤲
Ameen
Amin amin
Allahumma aamin
Amin😢
Mawaidha mazuri sana shukran ustadh Allah akulinde na sharri balaa na husda,na akupe husnul khatima mwisho wa maisha yako na akupe daraja kubwa katika jannatul Firdausi Ameen Ameen
Allah Wareham wazazi wangu kama walivyo nilea mimi kwa iman na mimi nizidishie imani kwa wazazi wangu na wazazi wa wenzangu na waislam wote kwa jumla
SUBHANA ALLAH! ALLAH Atustiri Ya Rabb. Baaraka Allahu Fiik Wa Jazakah Allahu Kheir. Allahumma Amiin 🤲
Allah Akbar 😢
Shukran saana kwa Élim yaa sheikh. Allah akujaze Iman 🤲🏼🤲🏼🤲🏼
Amiiin Amiin
Maa shaa Allah sheikh nakuitikia Ameen Allahhumma Ameen yaraab kwa dua zote ulizoombewa
Ewe Allah mjalie mama yng afya njema na umpe maisha mema hapa na kesho akhera na umraham baba angu na Islam jamii
Amiina I
Amiin ya Rabb 🤲
❤kweli kabisa ďawa nzuri Allah akulipe sheikh
Islam jamii
Aamin
MashaAllah Tabarakallah mwenyezi Mungu Akuhifadhi Sheikh wetu 💓💖❤️💓💞💯
Mashallah Jazakallahu kheyraan mawaitha mazuri Mola awarehemu wazazi wangu na jamii ya islam
Allah wajalie wazazi wangu wa wili pepe
Allahmdulilah mimi nimeodokewa na wazazi wote wawili Allahmdulilah kwa wale wazazi wao wako hai wafanyea wema wakiodoka utakua na uzito kubwa walai ya Rabbi nakuomba wajalie wazazi wetu jannatul fardoz na pia sisi tupe mwisho mwema hapa Duniani na kesho Akheira 🤲 ukweli hakuna mtu hanakupenda kama wazazi wako❤️❤️❤️ Allahmdulilah Allahmdulilah Allahmdulilah 👏
Allah awajaalie kauli thabit lakin bado tunalazimika kuwafanyia wema hatakama wametangulia Allah atujaalie tuwakumbuke wazazi wetu
Amin
Mungu akuzidishie elim shekh wangu hakika mawaidha yako ni Zaid ya lulu
Ya allaah .namuombea mama yangu umpumzishe pema peponi na msameee makosa yake na kumfungukiya pepo firdaus iwe makazi yake na nawaombea wazazi wote waliyotangukiya mbele ya khaki allah wapumsihe pema peponi 😢😢🤲🤲🤲
Ahsante Kwa somo zur naomba Allah awajaalie wazaz wangu waliopo mbele ya haki awajaalie pepo
Ewe Allah mjalia mama maisha marefu hapa dunian na kesho akhera.
Yaaallah,nijalie niwatunze wazazi wangu wawili.Nijalie mema kupitia vinywa vyao uwape subra juu yangu uniongoze nizidishe wema said ya huu ninaojaribu ya Rabi kuwatendea. Uniepushie Kila dhara na dhira juu Yao uwape pepo.lnsha allah
Allah akuhifadhi, akuongoze na akuridhie Muhammad. Atupe nasi watoto wema. Amiin kwa dua yako
Subhanllah Allah awalaze wazazi 😢 wangu mahala pema peponi uwakabidhi vitab vyao kwa mkono wakulia
Ewe Allah uwape wazazi wangu maisha marefu na uwakinge na maradhi uwape mwosho mwema nitazidi kuwafuraisha wazazi wote 2 nawapenda sana
Mawaidha mazuri Allah awajalie wazazi wangu Rehema leo na kesho akhera
Wema kwa wazazi wawili ni ibada kubwa zaidi
Kweli shekh. Tuombe radhi sana kwa wazazi wetu na tuwapende zaid.
@@KhadijaRajabu-hr6tskiikjkkkkkjklklllllll0ⁿ⁰ò⁰⁰0
Allahuma wajaalie wazazi wangu afya njema na kheri nyingi hapa dunia na kesho kesho akhera Inshaallah
Mungu akujaaliye mema she wangu nawaisilam masomo haya tuyafanyie kazi inshaal
Maashallh mafundisho mazuri sana mwenyezi mungu akuripe ustadhi wetu
Mashallah khutba nzuri yenye mafunzo mema
MashaAllah Ajaab walahi may Allah swt reward you abundantly Sheikh MBS
MashaAllah barakaAllah fik.
Allah akulipe kheir na akufanyie wepesi katika maisha yako amiin umesema maneno makubwa sana
Alihamndulilah rabila allamin sheikh Mohammed bahero ulipo kuja singida nilifurah sanaaaaa nilipo jaliwa kuusikiliza maneno yako yatakuwa ni yenye kuendelea kila siku huwa narudia kila wakat mawaiza
shukran sheikh jazakallaahu kheyr Allah Akuzidishie umri mrefu yenye baraka
Mashaa Allah, Maneno mazito na nasaha ya busara nyingi.Mwenyezi Mungu awatiye fikira hawa watoto wa leo na watukuze wazazi wao
بارك الله فيك ياشيخ كبير جزاك الله خيرا
MashaAllh allh akuzidishie ilmu na uwape watu wengine amin
Jazaq llahu khayraa Allah akulipe sheikh Muhammad kwa ukumbusho mnzuri Allah akujaalie mwisho mwema kwa uu ukumbusho🎉
JazakaAllahu khyran wa barakaAllahu feek. Allah anijaalie wanangu wawe kama ulivo na zaidi kwa dini. Ameen.
Allah Akbar shukran saan kwa elim ya sheikh Allah akujaze iman
Allahu Akbar walillahil hamd, shukran jazillan brother. May Almighty Allah make it easy for us.
Maasha Allah. Allah akulipe malipo stahiki kwa kuumbusha umma. Nacc atuzidishie Imani na uwezo wa kumtiiaaaaaa yy na wazazi wetu
Mashaallah tarakaallah ya Allah wajaliwe na uwarehemu wazazi wetu Inshallah 🙏🙏
SUBHANALLAH ALHAMDULILLAH ALLAHU AKBAR...ALLAH akuhifadh sheikh.
Allah amjlie baba yngu noor ktka kaburi lake na ampe maisha marf na amraham mumngu mzaz alieslia hai
Yaa Allah wape utulivu wazaza wangu kwenye makaburi yao na ujaalie majirani zao wawe ni malaika wema na waja wema walotangulia.
Alla akuhifadhi uzidi kutufungua na kututoa katika giza lilotuzunguka
Maashaallaah allaah atuzidishie mapenzi kwa wazazi in shaallaah na kware waliotangulia mbele ya khaki bas allaah awarehemu nas tuwazidishie duwa in shaallaah
Asante sana kwa masomeso nzuri sana. .mullah wetu akulipe inn Sha Allah
Allah amjlie na kmurhm mum yngu Khadija ampe maixha marfu hpa dunian na imjlie janatul fatdoos atkpopndwa zaid n Allah..
Allah akuifadhi ustadh fill dunia walakhera akujaze kwa kila hal na sisi atuogozee wanawetu wawekaa wewe yarrabh❤❤❤
hakika ilah barky shekhe allah akuhifadhi na atujalie sote kwa vizazi vyetu viwe vinyoofu biidhinlah karim aminy aminy
Ewe Allah 😢 wajaalie wazazi wetu waliopo hapa duniani na waliokwisha tangulia mbele ya haki 🤲🤲amiin.. nawapend san wazazi wang🥰,, Allah wape furah wazazi wang popote walipo inshaallah
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHER INSHALLAH ALLAH ATUJAALIE TUWE NIWENYE KUWAPENDA WAZAZI WETU INSHALLAH NA MWISHO MWEMA INSHALLAH❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ya Allah na mm nijaalie Imani kumbe ya kumtii mzazi wangu
Ewe mola wang wa khaki mjaalie mama angu kila lenye kher na umuondoshe na kila la shari na utujalie mwisho mwema wa maisha yetu ya dunian inshallah
Masha Allah. Shukran ustadh kwa mawaidha . Allah akulipe ujira usio n mwisho . N atujaalie tupate radhi kw wazazi wetu . Amiin
Nitumie no yako
MashaAllah MashaAllah my brother Mungu akupe afya na elimu Zaidi
Yaa Raab, wenye wazazi hawajui thamani,mie nnalia kwa kuwakosa. Yaani pepo mie siipati kwa bonus ya bir ul walidein😭 pepo chini ya nyayo ya mama nmeikosa. Yaarabi wahifadhi makazi mema palipo na wema, unikutanishe nao katika pepo yako Ya Allah
Asant mwalimu kwa mawaida yako mungu miepushe mama na adabu zakaburi kisha afuguliwe mulango wa peooni amiini
ASLAM Alekm: shukran Sheik kwamawaitha mzuri ALLAH akujalie kilalakheri
Shukran sheikh Allah awape umri mrefu
yah allah nijalie niwatii wazazi wngu,na wape wazazi wangu maisha mema ya Dunia na akhira
Mungu akuzidishiye elmu na Mimi anifahamishe amin
Ya Allah,,mrehemu mmangu na umsamehe makosa yke yarab,,na umpe shufaa y haraka bbangu kwa ugonjwa alionao yarab
Allah akupe umri,na baraka uzidi kutupa mawaidha.Allah atupe hurma Kwa wazazi wetu .
Mashallahu ALLAH Akuzidishie ILMU ZAID
بارك الله فيك شيخنا الفضيل وجزاك خير جزاء
Aaa😂😂 honorable shikh is shikh muhammad baroooo
aslm alkm maashallah mungu akulinde na kila shari yote ulio ongea hyo ni ya kweli sheikh wangu
Yaa Allah warehemu wazazi wangu wote wawili na uwajalie afya bora InshaAllah 🤲🏼
الله يفتح قلبك ويزيد علمك ويستفيد غيرك.
اللهم امين يا ربي.
Jazakallah khayran sheikh
Masha Allah m mungu akuifadhi shekh let ❤
Ya rabi mola wape pepo wazazi wangu uwaondoshee adhabu za kaburi uwaghufirie madhambi yao uwasamehe wazee wangu
Kwa kweli kabisa shekh wangu umesema kweli kabisa kwani ndio mambo yalivo kwani wengi wetu uwa twakosea Sana wazi wetu
Ya allah mpe maman yangu maisha mema na mazuri. Aishi vizuri na umpe mwisho mwema ...
Allah wajalie wazazi wangu afya njema na nguvu ili niendelee kuwaangalia mungu atulinde inshallah.
Ewe Allah Umujali mama maisha mema apa duniani na kesho ahera
Na umu rumiye kama vile ulikuwa ukini rumiya utotoni ya rabbi
Allah mpe mamangu afya na umri na mwisho mwema
Mashaallah tabaraka Allah shekh Allah barq akupe qauli thabt
Allah akubariki na akuhifadhi
Sheikh
Shukran kwa ukumbusho
Shekh Allah akulipe kila lakheri akupe umri na hekma zaidi
Ewe Allah bless my mom and my dad and my aunt and help my aunt to recover in his sickness amin
Allah awajalie wazazi wangu Jannaht Firdos, amin amin
Ya allah mjaalie afya njema umpe uzima wake umpe kila la heri na mjaalie mwisho mwema na pepo ya daraja la juu ameen
Mwenyezi mungu uwape wazizi wangu wote wawili afya njema hapa dunian na akhera
Ya allah wajaalie wazaz wang afy njem na umr weny kher na ss watt tuw ni sababu yakwend pepon
Ewe Allah nipe maskizano na wazee wangu tuondolee misukosuko ya familia tupe amani nyumbani yaa Allah🤲 😢
Ewe Allah wajalie wazaz wng maixh mema hapa dunian na akhera wajalie mwxh mwem amiin
Shekh Allah akikupa umri mrefu basi kila baadae yamda mawaidha haya yarejee Allah akulipe kheri zaidi
As-salam alaykum,, shukuran kwa ukumbusho,,,enyi mnaodharau wazazi mutubu kabla ya umaut
Ya allah wape wazazi wangu furaha apaduniani nakesho aghera inshaallah ninakuomba kwajili yawazazi wangu allah🙏🙏🙏🙏🙏
Mashaallah shekh bahero Allah akulipe
Mungu akupe umri mrefu n ilmu
Allah wajalie afya njema wazazi wangu na waingize peponi Kwa rehma zako
Allah atujaliee tuwe wenye kuwapenda wazazi wetu
Mashaallah mwenyez mungu akujalie afya njema
Allah amulekhem baba yangu😢😢 kabaki mama yangu. Alhamdulillah. Nikiwa nacho hua nampa hata kama hajaniomba najiongeza namtumia nimemtibia baba yangu mpaka katuondokea mikononi mwetu innalilah wainallh rajiun
Mashallah ALLAH akuhifadhi ❤