MWANZO-MWISHO: Mbunge Mnyika alivyotolewa Bungeni na Askari

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 460

  • @richardrogers8776
    @richardrogers8776 7 років тому +9

    Dah!!! pole sana Mnyika...wenye kuona na kusikia, tumeona na tumesikia...

  • @rahmasellemani4563
    @rahmasellemani4563 7 років тому +1

    Asante millard ayo kwa kwa kutufikishia habar kama hizi kwass ambao hatupo Tanzanian tu nafurahi kujua kinacho endelea kwenye ichi yetu

  • @saidndimbwa4976
    @saidndimbwa4976 7 років тому +9

    Naichukia sana serikali ya chama cha mapinduzi...na wabunge wake wote isipokua mh bashe na mh nape...serikali ambayo inatufanya wananchi tusijivunie kuwa watanzania...serikali ambayo inaunyamazisha upinzani kwa hila ya wingi wa wabunge ndani ya bunge...naichukia ccm na wabunge wake na rais wake na serikali yake na kila kitu ndani ya ccm....ipo siku Tanzania tutakua huru tena....

    • @kinglance9816
      @kinglance9816 7 років тому +3

      Said ndimbwA hunishindi mimi mimi mara miA saba yani ungeuona moyo wangu

    • @ramadhanmbaraka7268
      @ramadhanmbaraka7268 7 років тому

      Said Ndimbwa mtasubili sana aisee labda miaka mia mbili

  • @mussajeremia5339
    @mussajeremia5339 7 років тому +3

    Wakiambiwa ukweli CCM wanachukia kwanini Wanafanya bunge kuwa la Chama badala ya nchi mungu tizama wa Tanzania wenzangu waliko bungeni pale ambapo inafika kusema kweli na kweli kuvurugwa mungu nakusihi ukasimame mwenyewe Amina

  • @marianyari583
    @marianyari583 7 років тому +12

    Angefuata utaratibu kajifanya kidume, JOB NDUGAI anafuata sheria nakanuni zabunge safi sana.

  • @Lahyzeecrucial
    @Lahyzeecrucial 7 років тому

    Tanzania tutabaki nyuma sana bila ya kunyooshwa hao. Wanaturudisha nyuma sana watanzania. wao wakishakuchkua maposho yao na mishahara yao habari hawana tunabaki sisi majimoni mwetu hewa. Big up Speaker Ndugai kua mkali sasa.

  • @geja125
    @geja125 7 років тому +1

    Kama watu wote wataweka mihemko ya kiitikadi pembeni,,,ni dhahiri kwamba Speaker wa bunge hatoshei kwenye kiti chake kwa namna anavyotoa maamuzi kwenye baadhi ya matukio. Ktk hili la mnyika ametumia jazba badala ya kusikiliza pointi ya msingi ya mnyika ni nini na tayari kahukumu kwamba asimwone kwa kipindi fulani. 2. Na yeye katoa lugha ya kuudhi kwa askari wa bunge kwa kuwauliza wao ni askari wa aina gani. 3. Katoa maelekezo ya hukumu kwa Bulaya badala ya kuiacha kamati ya maadili kufuata taratibu za kikanuni. 4.Ametoa matamshi yanayosifia maneno ya Lusinde ambayo hayana ushahidi bungeni kama kanuni zinavyotaka..lkn amekataa kumsikiliza mnyika aliyekuwa anaelekea kuhitaji ushahidi wa kuitwa mwizi nk. Kiti cha spika kinatakiwa kuwa neutral bila kuonyesha ishara za kuubeba upande/kundi/mtu fulani!

  • @davidmushi6770
    @davidmushi6770 7 років тому +3

    tatizo la wabunge wetu ni kukosa busara na heshima, lusinde aliposikia tu taarifa alisita kuongea ili kumpa nafasi anaeendesha bunge kuamua aruhusu au akatae lakini mnyika alipopewa nafasi hata spika alipotaka kuongea hakunyamaza, ni dharau, hii ikamfanya spika kujihami mapema , sidhani kama kwa mbunge kama zito angefanya hayo..mnyika alitakiwa kuomba ushahid wa anayosema lusinde na kama haupo amtake kufuta kauli wala yasingetokea yaliyotokea

    • @montichitinti8814
      @montichitinti8814 7 років тому

      david mushi:: Unazungumza pointi alafu unaikanyaga mwenyewe point yako. Sasa angeomba vipi ushahidi wakati yule fala anayesikiliza anapolengwa yeye, alisha anza kumzuia, Nisinge muita fala kama ange msikiliza mnyika kwanza alafu ndo aamue kumtoa nje au laa, Kumbuka ile hoja ikisha pita imepita, sasa akisema asubiri ili amjibu lusinde siku nyingine yule fala atamsimamisha na atamwambia asitoke nje ya hoja ya wakati huo, kama huja nielewa, namaanisha alikuwa sahihi kutorususu ipite hivi hivi bila kujibu hata kama alizuiwa

    • @davidmushi6770
      @davidmushi6770 7 років тому +1

      Nimekupata mkuu lakini ukisikiliza kwa makini utagundua lusinde aliyosema si sawa wala sijaunga mkono lakin kwa mbunge makini kama mnyika alipopewa nafasi hakutakiwa kufanya tena kama aliyoyafanya lusinde maana alikwishaanza kutuhumu serikali badala ya kupinga alichosema lusinde..hapo ndipo aliponiangusha ..mjinga anapokutukana na wewe ukarudisha tusi wote mnakua wajinga kaka..haina maana kua yaliyofanyika ni sawa lakini kulikuwa na uwezekano wa kuyaepuka sasa wiki nzima hatokuwepo ni mangapi yatapita bila ya mchango wa mnyika..

  • @mohammedally8569
    @mohammedally8569 7 років тому

    namuomba m/mungu ayaone haya na atusaidie atuletee imani na upendo , busara na pia huruma.

  • @tipecoonlinetv1752
    @tipecoonlinetv1752 7 років тому

    Sijawahi ona taifa ambalo big role ya mwenyekiti ni kutovumilia ideas of others. Wakati wa masomo yangu ya Shahada ya kwanza nilichimbua kitu kiitwacho (THE BIG ROLE OF AN INTELLECTUAL IS TO TOLERATE IDEAS OF OTHERS) vilevile mwenyekiti wa bunge angepaswa kuvumilia mawazo ya watu wengine. Ila kimsingi anaonekana kuwa kwenye upande mmoja. Mzungumzaji wa kwanza Mh. Rusinde hoja yake haikuwa imara maana watuwezi kuwa na bungu ambalo linaifia tuu kwa kila kitu. Ndugu yangu Rusinde anachotakiwa kukifahamu ni kwamba kama hakuna differences no need of multiparty systerm. Hivi nyie wabunge wamjui kuwa kuna maisha baada ya ubunge? Kwanini hamlioni hilo? Ebu kiti kijaribu kupitia vikao ambavyo alivisimamia mama yetu ANA MAKINDA ii tujifunze kulingana na vikao vilivyopita. Unapoweka point ya kuchekesha halafu ukachukua maamuzi ya kumtoa nje mbunge mwenzako sio haki na mtambue kuwa mfalme ambae hatendihaki watu wake hawana furaha.. Ni dhahili kuwa kusema " mh. Mnyika unamchokoza Rusinde" is totally an utterance of inseriousness. Ninaamini pia kuwa hata mwenye serikali hii aliwahi sema kuwa ametukanywa sana na ameandikwa sana ata kwenye mitandao ya kijamii kwanini yeye alijikita katika kuimalisha neno analoliamini kuwa sahihi katika kuliletea taifa maslahi sahihi? Nini kinafanyika kwa mtu huyu ambae hajifunzi hata kutoka kwa mkuu wa nchi hii? Ebu tukumbuke kuwa duniani apa tupo tu sio kwa makosa ila nikwa makusudi kabisa na kakusudi hayo siyo kutumia mabavu ila kutumia kila mbinu kuimalisha utulivu katika jamii.
    Ebu tujifunzeni namna ya kusimamia watu jamani. Kuna mahala ambapo uvumilivu ni wa lazima Ila kama tunahitaji kujenga historia ya . kutoana haina maana sana.
    MUNGU IBARIKI TANZANIA
    NA WABUNGE WAKE WOTE
    WATAMBUE KUWA KUNA MAISHA BAADA YA BUNGE

  • @mosesmaembe1528
    @mosesmaembe1528 7 років тому +1

    Exactly what is going on within parliament is not what we are expecting. Being a leader does not means using power. Please not every things needs you to treat harshly some things needs you to use wisdom given by God and this proves that leaders are born and not created

  • @sharifusalema3448
    @sharifusalema3448 5 років тому

    Safiiiii sanaaa spikaa hujakoseaaa, huo ni utovu wa nidhamu alio uonyesha mnyika

  • @Felix72282
    @Felix72282 7 років тому

    Upinzania wanapenda waseme wao tu, wakijibiwa wananuna. Pole yao

  • @thadeipeter2592
    @thadeipeter2592 7 років тому +1

    Sio haki kabisa kilichofanyika dhidi ya Mnyika ni uonevu na udhalilishaji.ifike mahali tz tufanye kitu kuonyesha kwamba atukubaliani na vitendo hivi.

  • @msemalufunga3876
    @msemalufunga3876 7 років тому

    safi sana muheshimiwa lusinde kulaleki zaooooo watakoma na nawasikitikia sana jinsi ambavyo wamepoteza dira kweli JPM, NDUGAI, DKT.TULIA NA MH. LUSINDE Mnauangamiza upinzani kwa kuwatumikia wananchi katika misingi ya uwazi na ukweli safi sanaaaaaaaaaaaaaa

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 7 років тому +1

    Mungu bariki Tanzania Mungu bariki Africa 😳😳

  • @tamimusalum5957
    @tamimusalum5957 7 років тому

    mungu anawaona ndugai huna maskio yakuckia wanao zalilisha nakuwaita wenzao huna ila yakuckia mbunge alokushauri mnyika atolewe nje ulimckia nakulifanyia kazi kiukweli cc kama wananchi mnatuumiza kwani haki yabungu na uwepo wa usawa wa vyama vingi hatuuon

  • @shijalugiko4053
    @shijalugiko4053 7 років тому

    haiwezekani mnyika atukanwe then akae kimya. ni kitu chakushangaza sana. na speaker huwa anapendelea upande mmoja tu sijui kwann angekuwa ni mpinza kamtukana wa ccm angetolewa na adhabu kubwa.mungu atusaidie

  • @gibsonyshady6624
    @gibsonyshady6624 7 років тому

    hii,movie kama matangazo yako hivi sijui mwanzo wake Na mwisho wake,,bora umeme ukatwe tuu iwe gizaa@@@@Mungu tusamehe,/wasamehe

  • @boazjohn2017
    @boazjohn2017 7 років тому

    yan upinzan bongo hii sasa mtu anasupport tuendellee kuibiwa afu mambo ya kuwekana sawa wanatoka nje sasa wanatuwakilisha vip wananchi huu ni upunguan

  • @emanuelmfanga4062
    @emanuelmfanga4062 7 років тому

    baba uko vizuri ayotv nakukubali sana

  • @hamisimhenwa7082
    @hamisimhenwa7082 5 років тому

    Tusiwe malofa kushindwa kufikiri, umeagizwa na umeaminika kuwakilisha wananchi, unavurugika kweli ubongo uko sawa. Tutafakari unapopewa nafasi itumie kwa tafakari yenye maarifa, ujuzi na mtazamo chanya. Simama kwa hoja sio una bisha kipumbavu tu. Fikiria watu wote hawafikiri sawa kama unavyofikiria..... Kama hufuati mkumbo hapa kuna nini, aliyetolewa mmoja rundo la kufuatana nje ni nini bila kukaa uje utoe hoja ya kutetea. Na hoja ikija ataijibu au ataikanusha nani kama wote ni wendawazimu. Wewe panya anaharibu ndani halafu unatoka kwa kiburi kabisa eti umekasirishwa, rudi ndani umuue sio kumuachia chumba, tena uwe na rungu la kueleweka. Acheni kuyumba kaa kwenye kiti ukiteteee.

  • @sangararawarioba3016
    @sangararawarioba3016 7 років тому +5

    Nazani kama kiongozi,hutakiwi kufanya maamuzi kwa jaziba!Binafsi sioni kama kuna haki hapo!Na sizani kama Mheshimiwa Mbunge ni busara kuondolewa kwa kurupukushani kiasi hicho ,yy ni mtu mzima angetoka tu!
    Nashauri viongozi wetu kutumia busara zaidi ktk maamuzi badala ya jaziba!

  • @frankmwita6840
    @frankmwita6840 7 років тому

    Safi sana mh dugai watoke hawatusaidii chochote

  • @tumainianthony7455
    @tumainianthony7455 7 років тому

    CCM wanajaribu kubadili ukweli...Hii mikataba Mlisaini wenyewe afu mnabadili ukweli kuwa wapinzani wanasupport wezi. Wapinzani wamewataahadharisha kuhusu njia za mnazotumia na wakawapa na njia mbadala kama wanasheria....Wanacnhi tunajua CCM mlisain. Jitahidin mtafute soln. Lakini pia nakubaliana na Mbunge Kessy waliosain hii mikataba wafilisiwe na wafungwe jela hata ikiwezekana maisha,maana hata wao wamesababisha vifo vingi kwetu kwa kukosa huduma muhimu huku maliasiri zetu zikitoweka....

  • @julianamasunga3458
    @julianamasunga3458 7 років тому

    safi ndugai kazi kazi!!!!

  • @sharonsumbya6715
    @sharonsumbya6715 7 років тому

    Aisee Mungu anawaona. yaani imeniuma utadhani Mnyika baba yangu. Mungu wetu anajua kwanini haya yote yanatokea. sina siasa lakini kiroho na kibinadamu imeniuma

  • @4realonlinetv169
    @4realonlinetv169 7 років тому

    Kosa Lake lipi mbona mnadanganya watz

  • @goodluckswai7496
    @goodluckswai7496 4 місяці тому

    Leo uko wapi

  • @D-mox
    @D-mox 4 роки тому

    Thanks

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 4 місяці тому

    Enzi hizo Ndugai buana😊

  • @amanmalik6917
    @amanmalik6917 7 років тому +5

    nikisikiaga Kwenye wimbo wa Roma Akisema "SPIKA ANALINDA WATU WA CHAMA CHAKE" sijui ndo Kama Hivi?????

  • @obadiahkisonga9193
    @obadiahkisonga9193 7 років тому +1

    ukiwa shabiki wa upande Fulani unaweza usijue udhaifu uko wapi maana Mara nyingi ushabiki huegemea hata kwenye ubovu. spika alikuwa na njia ya kutuliza temper ya mnyika kwamba aliyetukana hajulikani kuliko kusema we lusinde endelea tu. hawa cdm hawawezi kuendelea kuwa wachache bungeni hivi hata baada ya miaka 20 ijayo, kumbukeni walianza 2 Leo hii ni wangapi?

  • @hedayaals250
    @hedayaals250 7 років тому +3

    tusubirie tu 2020 nahisi hayatajirudia tena haya

  • @petermashingia7128
    @petermashingia7128 7 років тому +9

    nadhani spika amefanya maamuzi ya mihemko... Hii ni mbaya sana.... hadi kukehedi maaskari... hi ni mbaya sna kwa kiti

    • @sakinaabdul4627
      @sakinaabdul4627 7 років тому

      Peter Mashingia ni hatari sana spika kuwa na jazba kiasi hicho

  • @mammyyassie7322
    @mammyyassie7322 7 років тому +2

    asante sana Mhs Spika. huyu dada aadabishwe kabisa.

  • @harounali9057
    @harounali9057 7 років тому +3

    kama kweli watanzania wana fatilia bunge kwa makini mtagunduwa kuwa, wapinzani wanvyo chukuliwa bungeni ni kama si wabunge bali ni CCM pekee ndio wabunge. Mpinzani akisimama mbunge wa CCM anaweza kusema chochote na isiwe kitu, lakini hilohilo likitokea kwa mbunge wa upinzani kulifanya atachukuliwa hatuwa, na CCTV zitawekwa na voice recorder zita chukuliwa na zulma zaidi wana fanyiwa wapinzani na naibu spika.
    Kwa nilivyo muona ndungai leo inaonekana kasha nyooshewa kidole na wenzake.

  • @ndolezipetro1
    @ndolezipetro1 7 років тому

    zitto kabwe will remain da best in Tanzania politics

  • @emanuelmfanga4062
    @emanuelmfanga4062 7 років тому

    Nimependa sana 💞mubasharaaaaaa

  • @papafikiri
    @papafikiri 7 років тому

    speaker lile la ufala ulilisikia ila hili la Mnyika kuitwa Mwizi hujasikia......R.I.P Samwel Sitta utakumbukwa daima na watanzania.

  • @danielbasilwango4402
    @danielbasilwango4402 7 років тому +19

    ubabe na kila aina ya uonevu kwani mnyika kutukanwa ni halali ila ndugai akiitwa fala watu washikwe na pingi na kiletewa .ndugai ni spika uchwara kabisa .ila hakuna merefu yenye hayana inchaa iko Siku uonevu utaisha kwa wapinzani .wanoa ingiya mikataba ni ccm kupitiya serekali yake

  • @tumydavid8848
    @tumydavid8848 7 років тому

    sijapenda kabisaaa. anatumia vibaya madaraka. haikuwa sababu yoyote ya kumtoa nje.

  • @suleimanalkindy6920
    @suleimanalkindy6920 7 років тому +1

    What goes around comes around. 2020 CCM nao watafanyiwa hivi hivi.

  • @athumanjuma2772
    @athumanjuma2772 7 років тому +2

    not fair

  • @annamalunda2732
    @annamalunda2732 4 роки тому

    Achaaa niweee CHADEMA TUU MNYIKA BULAYA NSIGWA NAWAPENDA SANAA

  • @stellahsekei1673
    @stellahsekei1673 5 років тому +1

    Ww spika hiyo si Sheria acha hizo penye ukweli paskilizwe

  • @msemalufunga3876
    @msemalufunga3876 7 років тому

    hima hima TANZANIA loves you more my country

  • @obbymyovela6254
    @obbymyovela6254 7 років тому

    bunge la Tanzania hakika hamna wanacho Fanya

  • @shukurupetro3862
    @shukurupetro3862 5 років тому +2

    futenivyama vyotevya upinzanimbaki pekenumnatuchosha ndomaana mlizuia bungelisionyeshwe live Ilimuwapeleke mnavyota

  • @mushxwaggz5258
    @mushxwaggz5258 7 років тому

    asee yangu majicho soo macho tenaa!!!!

    • @chrisantustarimo7180
      @chrisantustarimo7180 7 років тому +3

      Mungu Ibariki nchi yetu na Pia wabariki viongozi wetu uliotujalia, uwape hekma, busara na upendo katika yale wanayo amua katika nafasi walizo nazo. Asalaam aleykum.

    • @washanndulu4583
      @washanndulu4583 7 років тому

      amani iko wapi

  • @piusemma1
    @piusemma1 7 років тому +2

    Kazi kweli kweli...

  • @shabanimtua8486
    @shabanimtua8486 7 років тому

    kiwango cha elimu ya kibajaji ni ipi?

  • @michaelfutakamba9360
    @michaelfutakamba9360 7 років тому

    R.I.P SAMWELI SITTA NITAKUKUMBUKA KWA BUSARA NA FAIRNESS (USAWA) SIJUI WW ULIKUWA NA MASIKIO MANGAPI AMBAYO WENZIO LEO HII WANASEMA HAWANA. MUNGU IBARIKI Tanzania.

  • @erickmgina1136
    @erickmgina1136 7 років тому +4

    spika some time huonyeshi msimamo mbona Lusinde katukana na mwingine kasema mnyika mwizi na umewaacha inatakiwa wote watolewe Inje

  • @vicentgibore8679
    @vicentgibore8679 5 років тому

    Haya mambo yanayofanyika hamumuogopi mungu?

  • @likaldokalenga7443
    @likaldokalenga7443 7 років тому

    MUNGU WAANGALIE HAWA WANAOLIPWA HELA YA BIBI YANGU KWA KWA POSHO NA MISHAHARA..... HALAFU WANAKUJA KUTUTUKANA KWA KUFANYA HAYA..... !!!!! #MunguAnawaona.

  • @abelmachunda9494
    @abelmachunda9494 7 років тому

    habari ya Mimi kuwa na masikio mia ya kusikia kila kona sina... kwa sababu mbunge wa chama fulan kasema... daaah poleni sana upinzani ipo siku kelele zenu watanzania watasikia... maana watu hawatazami gharama tutakazoingia kwa sababu ya mgogoro huu unaendelea wa mchanga

  • @johnmkatalo8581
    @johnmkatalo8581 5 років тому +2

    Miaka iende msepe mnatupigia ,,, unafiki%1000

  • @mcjabbyevents4938
    @mcjabbyevents4938 7 років тому

    safi xanaaaaaa kk mkubwa

  • @YamunguYb
    @YamunguYb 7 років тому

    Upinzani wa tanzania ni hovyo tena wakipumbavu kabisa

    • @amanmalik6917
      @amanmalik6917 7 років тому +1

      Yamungu Athuman Kama alivyo babaako

  • @mrporcarp0014
    @mrporcarp0014 5 років тому

    Kwani bunge ni la ccm au ni la watanzania wote ccm ipo siku yenu .

  • @nellyeusto5193
    @nellyeusto5193 5 років тому +1

    Kweli Ester ni Kamanda, makamanda cku zote hawawez kuendelea kusikiliza ushuz wakat mwenzao katolewa nje bila hatia

  • @adamdudu4953
    @adamdudu4953 7 років тому +1

    wabunge wa fisiem duu!! anasema kutachimbika halaf anaunga mkono hojaaa

  • @nikundiweamosi5087
    @nikundiweamosi5087 4 місяці тому

    3:47 hili bunge lirudi tena

  • @latifaayoub5750
    @latifaayoub5750 7 років тому +2

    Ndugai nyoko kabisa

  • @user-vv5xd3ye4i
    @user-vv5xd3ye4i 7 років тому

    NIKADHANI WACHEZA KOMEDI NI WAKINA MAJUTO NA JOTI KUMBE HATA WABUNGE...!! DU..acha nifurah mieee...yangu kuona tuu

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 років тому

    wapinzani jaman.....

  • @manyweletheboss6053
    @manyweletheboss6053 7 років тому +1

    ccm hadi kichefuchefu Leo ndio mnajua tunaibiwa

  • @getrudemax9770
    @getrudemax9770 7 років тому +12

    wabunge wa CCM wanakera sana

    • @abdululed961
      @abdululed961 7 років тому +3

      ilitakiwa awaweke sawa hasa yule alie ita mwiz na huyu Joh kuliko kuangalia upande mmoja na kushabkia mtu mwingne et kboko yao daaah.kiongoz hasira ndo imemfanya atoa maamuz

    • @mhuliguardian5934
      @mhuliguardian5934 7 років тому +3

      Getrude Max
      This is not a political. it's just a nonsense

  • @olaislukumay571
    @olaislukumay571 7 років тому +3

    Ili bunge bwana kwa kweli linahitaji maombi

    • @mackpinno10
      @mackpinno10 5 років тому

      Aliyesema Mnyika mwizi ndo aliyechochea ugomvi huu!,pia hakuna busara hata kdgo kama vile watakuwa viongozi milele cyo poa kama unahic haki haikutendeka Tonga like twende sawa

  • @mmetansanya3764
    @mmetansanya3764 5 років тому

    Tunapo enda tutafika ty mungu akipenda

  • @naomimuthoni6220
    @naomimuthoni6220 7 років тому

    unfair he is speaking truth why this happened Kenya Sikh izi hawataki ukweli.tumechoka na duo hatutaki kukaa Kenya though east or west home is the best .but tumechoka

  • @runman6832
    @runman6832 7 років тому

    nime notes kitu walivyotoka wabunge mtoa mada alibadilisha mazungumzo

  • @aswibuchacha3498
    @aswibuchacha3498 8 місяців тому

    Ndugai nalo ka jinga dudadek zako

  • @pendomwenda6190
    @pendomwenda6190 4 роки тому

    Mbona kweli kaitwa mwizi, duh bunge Ili hatari

  • @jeniphermaiko3886
    @jeniphermaiko3886 5 років тому

    rusinde uko vizuri

  • @sakinandoile9439
    @sakinandoile9439 7 років тому +1

    Mzee Sitta alikuwa ccm but hakuwahi kufanya udhuluma inayofanywa leo ktk bunge...
    mmefungia bunge live ili tusione uonevu mnaoufanya..

  • @sharomosses5516
    @sharomosses5516 7 років тому

    duh noma

  • @justinmvungi6927
    @justinmvungi6927 7 років тому

    hiv hawa watu ni cc tume waajiri au?

  • @obbymyovela6254
    @obbymyovela6254 7 років тому

    makelele 2 ndo wanajuwa kupiga hakika ningesoma sana ningeomba kazi kwa magufuri anipe kanzi ya kuwambia watu kuwa hapo hakuna wabunge hapo wanajuwa tu kuchukuwa malimbikizo ya hela zetu haaa ni hapo kazi no kazi mubunge anamwita wezake mwinz tena bungeni haaaa no few

  • @kijanaHai
    @kijanaHai 7 років тому

    Kura yangu ilivyo na thamani kuwapa hawa watu huwa inabeba vitu viwili FAIDA AU HASARA mpaka sasa kura yangu inahasara 90% sio kwa mbwembwe zinazoendelea nchi hii acha tuendelee kumpenda mama yetu #TANZANIA hamna namna haya yote ni kwasababu ya #KURAYANGU

  • @emmanuelshayo8007
    @emmanuelshayo8007 7 років тому +4

    Hehehe........ Aaaaa kwahiyo alichokuwa ana kifanya Ester kakiona na kakichukulia hatua ila John alivyoitwa mwizi alikuwa busy kumsikiliza John na Lusinde.... Huh!!

  • @josephmwalah4880
    @josephmwalah4880 7 років тому +1

    ivi ninyi wabunge Wa ccm miaka yote mulikuwa wapi kuibua hoja hizo,na huku ndo mlipitisha sheria,mciwe wanafiki

  • @anadoricekomba3064
    @anadoricekomba3064 7 років тому +3

    Wabunge wa ccm ni vigeu geu sijawahi ona, hiyo mikataba sio wao ndio walipitisha halafu leo hii wanalalamika nn khaaa! Nakerekwa

  • @vicentgibore8679
    @vicentgibore8679 5 років тому

    Japo sisi raia utuujui udhaifu. Lakini nimeanza kuujua udhaifu kupitia hili

  • @nuruomary7815
    @nuruomary7815 7 років тому

    daaaah...tukutane 2020

  • @kelvinalex5644
    @kelvinalex5644 7 років тому +1

    Nani kaweka hao wezi pumbavu zenu

  • @papaamashana3962
    @papaamashana3962 2 роки тому +1

    Wabungenimbumbumbu pamojanasioika waovyo anatetea ugolo munyikandoalikuasawa

  • @markkayuni9775
    @markkayuni9775 7 років тому +7

    Nimeamini kuwa uyaone mchana kweupe spika kashindwa kuvumilia na kuonyesha mapenzi yake zairi yupo kwenye upande wa chama chamapinduzi du Tanzania ya viwanda

    • @mathiasmalimi4555
      @mathiasmalimi4555 7 років тому

      ni sasema Mimi hizi ni siku za mwisho shika ulichonacho usikomed bila kutafakari ambacho hajaelewa nini

    • @kinglance9816
      @kinglance9816 7 років тому

      +Mathias Malimi we ndo unajua Leo kuwa ni siku za mwisho

  • @kelvnassey3236
    @kelvnassey3236 5 років тому +1

    daaa spika wabunge ona analinda watu wa cham chake na bunge nilawatu wote

  • @zulfakassim3624
    @zulfakassim3624 6 років тому +1

    alietunga hizo sheria nani kama si nyinyi ccm

  • @DAUDIBASHITE
    @DAUDIBASHITE 7 років тому +1

    YAAANI MH MNYIKA KAONEWA KABISA KATUKANWA ALAFU NDUGAI ANASEMA HAJASIKIA KABISA DAAAAH😢😢😢

  • @shukranikakati8887
    @shukranikakati8887 7 років тому

    duu mung ibarik tanzania

  • @solomonmwisala157
    @solomonmwisala157 7 років тому +1

    ccm ndoo waliowaleta wawekezaji humu nchini. hawawezi kuja tens kuwekeza.

  • @alialle6441
    @alialle6441 7 років тому +26

    Huyu mbunge lusinde cmpend hana busara

  • @simonmaige5490
    @simonmaige5490 7 років тому

    shikamoo ndugai!

  • @josephnyaumba7251
    @josephnyaumba7251 5 років тому

    Yani hawa 2020 wataipata

  • @husseinmachozi1437
    @husseinmachozi1437 5 років тому

    Nchi gani hii bora kiama kije tuu tukapate haki kwa mungu

  • @leothobias8116
    @leothobias8116 7 років тому +1

    sijui kama tutafika tunako taka.....
    hivi hawa viongozi wapo kwa ajili ya kuwatumikia watanzania na nchi kiujumla?
    daaah! baba Mungu naomba utuonyeshe viongozi wenye nia ya dhati kwa wananchi

  • @rahmasellemani4563
    @rahmasellemani4563 7 років тому +1

    Tanzanian yetu majanga tu jaman