Halima Mdee Vs Goodluck Mlinga Bungeni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Hii ilitokea bungeni Dodoma wakati wakati wabunge wakichangia bajeti ya Wizara ya TAMISEMI ambapo Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga aliposimama na kuwakosoa wapinzani baada ya kukosa nafasi ya uwakilishi wa wabunge wa Afrika mashariki, Mbunge wa Kawe Halima Mdee akalazimika kusimama kuomba mwongozo.

КОМЕНТАРІ • 329

  • @klaragreen7999
    @klaragreen7999 5 років тому +1

    YAANI NAWAHURUMIA WATU WA JIMBO LAKE..YAANI WALIKOSEA SN KUMPA HUYU MLINGA UBUNGE...5YRS ANASHINDWA MUOMBA KILOMETA 70..ATAWEZA KUSHINDANA NA HALIMA???WANA ULANGA MJIFUNZE MSIKOSEE 2020..

  • @razackkambi5903
    @razackkambi5903 3 роки тому +1

    Bunge bila ya upinzani ni bubu dhaifu

  • @walawioutreach4055
    @walawioutreach4055 4 роки тому

    mungu hapendi kwakweli hivi ninyi wabunge hamjui kwamba BUNGE NI MAHALI PATAKATIFU SANA?HIVI TUMEWACHAGUA WA KAZI GANI?NDUGU ZANGU TUJIPANGE UCHAGUZI UMEFIKA TUSIWARUDISHE WAHUNI KAMA HAWA.

  • @piusjaphet2760
    @piusjaphet2760 7 років тому +5

    Hivi hawa wabunge watafundishwa mpaka lini?tuliwachagua mtuwakilishe matatizo leo ni upuuzi tu

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 роки тому +1

    Mlinga is best ever ....Kwan kaongea uongo hapo ? Genda NI muhimu Sana kuzingatiwa....

  • @melinanelson8727
    @melinanelson8727 7 років тому +5

    Mmmmh Aibu mno bunge la sasa...... Mmmmh mara kuchokonowa Duuuh hivi hizi kauli na mipasho ndyo tulivyowatuma. Mungu hakusaidie TANZANIAN

  • @famousbox9525
    @famousbox9525 7 років тому +11

    yan nikitaka kucheka naingia zangu UA-cam natafta video za bungeni yan ni kama niko na kansiime live 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @fridgeismybestfriendwhenit7149
    @fridgeismybestfriendwhenit7149 7 років тому +31

    akiongea mlinga kaongea pumba wakiongea wengine Jambo hilohilo mnawaita magenious.... what a stupidity

  • @veronicshaiyo2786
    @veronicshaiyo2786 7 років тому +12

    mijitu mingine bhanaa kama ........halima we songa mbele achana na huyo mla majan

  • @masongatz
    @masongatz 4 роки тому +2

    Huyo Bekul ndio kalewa sasa wameshawachanganya vichwa vibovu, Huyu Mlinga ndo kabisaa hata lugha hajui ahahahaa

  • @jahhloveyou4462
    @jahhloveyou4462 4 роки тому +1

    Ndiomana ndugai atakaki mchezo maana hawa kama watoto vile

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 4 місяці тому

    Wenye masikio tumemsikia Mlingwa na Halima.Mlingwa amechanganya mada

  • @husseinhkitambi1701
    @husseinhkitambi1701 7 років тому +7

    kumbe tulia ni.mwalimu wako.halafu unamuita kilaza hahaha.jabu sana kwa hiyo.mwalimu kakufundisha ukilaza

  • @filbetkalembe2806
    @filbetkalembe2806 3 роки тому

    Wajinga nyie ndio tunawachagua nyie hakuna kitu

  • @abdulgeuka3985
    @abdulgeuka3985 Рік тому

    Bunge lilikuwa la moto mnoo😅😅😅😅😅😂😂😂

  • @yohanakishosha6542
    @yohanakishosha6542 6 років тому +3

    Muongo ww tumekuzoea angekuwa wa chadema ungeunga mkono kuwa amekosea acha upendeleo

  • @stevenmabungi3245
    @stevenmabungi3245 5 років тому +2

    Dah Naibu spika unachapa kaz sana 🤔🤔

  • @josephaty9010
    @josephaty9010 7 років тому +12

    mlinga una ubongo unaofanya kaz sana na unajua kucheza na akili za watu, mdee hakuwez kwa strong thnkng labda kwa matuc2

  • @ismailabdallah4268
    @ismailabdallah4268 7 років тому +29

    tuache upumbavu kwanini akiongea wa ccm ndiyo tatizo akisema wa chadema hata kama ni mwehu mnasema tu.

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 років тому +3

    Mlinga itakuwa viti maalum, sidhani kama alipigiwa kura huyu!

  • @nyhamapagi9694
    @nyhamapagi9694 7 років тому +7

    kumbe mbowe ni form six zerooooooooo bashite

  • @charlesmagere9020
    @charlesmagere9020 7 років тому +6

    akiongea mlinga hovyo lakni akiongea mpinzani hata kama ni upuuz yes.....huu ni ujinga wa mawazo

    • @dr.erickenock833
      @dr.erickenock833 5 років тому

      Hakuna ccm anayeongea points hapo, alichosungumza mlinga kina faida gani kwa mfano?

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 6 років тому

    if you listen carefully you will hear what mlinga says... kiukwel huyo jamaa akili nyingi sana...kawavuruga hapo wameshindwa kumuelewa...kagusa issue ya Nape mara kachange ghafla karud kwa Saanane , mbowe mara kubenea.... tunachokumbuka kaomba rami, daraja na shule zisajiliwe
    😂😂😂 yuko vzur san huyu atapita 2020 bila jasho... lkn Kubenea atusaidie kuhusu Saanane jamn.

  • @burtonsatshop2061
    @burtonsatshop2061 7 років тому +6

    Nassari kalewa konyagi 😄😄😃😃😅

  • @justinleveran6137
    @justinleveran6137 7 років тому +4

    ninyi mlikulikuwa na uhakika na mkuu wa mkuu wa mkoa kutokuwa na vyeti. ....chadema wakiguswa hadi hurumaaa wanavyotoa milio

  • @rizikijohn4594
    @rizikijohn4594 3 роки тому

    Huyu naibu mbn anapinga taarifa

  • @nessa4899
    @nessa4899 7 років тому +7

    Ndio Halima kusoma kuzuri Dada.

  • @emilymwashambwa8158
    @emilymwashambwa8158 7 років тому +10

    mulinga yupo sawa

  • @idduyusuph9408
    @idduyusuph9408 5 років тому

    Mweu tu uyu

  • @samsonmwijage1602
    @samsonmwijage1602 5 років тому +1

    Nyhama Pagi mbowe alipata division zero(0) form six(vi) Ihungo sekondari- Bukoba. Baada ya hapo akafanya kazi night club(bilicanas) akakwepa kulipa kodi majengo ya NHC hadi alipofilidiwa mali na kuondolewa hapo. Mbowe uenyekiti wake chadema aliupata kutoka kwa baba mkwe wake Edwin Mtei ambaye alianzisha chadema. Mbowe amejigeuza mfalme hataki uchaguzi hadi leo.

  • @aishaabdion9802
    @aishaabdion9802 7 років тому +15

    jmn embu tuachieni Mlinga wetu khaaaa Kwan vepeeeee sas kama kacngzwa acweke waz ili aeleweke inahuuu kuweka kitu moyon.
    Baba komaa wakatujengee madaraja yetu na umesahau maji yamebeba mahindi njaaaaa 😢😢 wenyew tunakukubali hakuna cha kiki wala pumba
    😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 6 років тому +3

    yani huyu mbunge mlinga kama anakuwa jimbon kwangu simchagui

  • @michaelmapunda6373
    @michaelmapunda6373 7 років тому +4

    kumbe mlinga unaongeaga point sometime well done

  • @Digitalhhhhhgfgg
    @Digitalhhhhhgfgg 6 років тому +5

    Kwaiyo mboe Ana zero

  • @filbertmtui196
    @filbertmtui196 7 років тому +2

    kwel nyie nyie ndio mliowashauri bongo movie waandamane, Goodluck unaweza ukawa ulkua unafaulu kuanzia kinda gate mpaka chuo kikuu ukatoka na jpa nzuri lakin usiwe na influence ya kutete hoja yako! unaweza ukawa umehtm fom four ukawa unaweza ukashawish wananchi zaid ya ww uliehitim chuo

  • @thomasikorneli3798
    @thomasikorneli3798 4 роки тому

    Thomasi. Korneli

  • @jameshagwe3063
    @jameshagwe3063 6 років тому +4

    naibu spika kwa mtazamo kama anakiburi!! ila ukweli Huyu sister anajitahidi sana na ana busara sana

  • @muhammadsalim7936
    @muhammadsalim7936 4 роки тому +3

    Mbona mnamchokonoa Halima ?

  • @gabrielaugustine6298
    @gabrielaugustine6298 7 років тому +6

    kiingereza sasa cha kusoma unasua ivoo je kuongea si ndo kitakuuua

  • @amanipima5122
    @amanipima5122 5 років тому

    chanzo chafulug bungeni nikutozingatia utaratibu unaotakiwa 1 .Hakunanidham 2.Hawatoi hojakamaipasavyo bainayachama cha ccm nachadema inatakiwa wapingane kwapoint 3. Mheshimiwa naibsipika inatakiwa uendeshebunge kamainvyotakiwa 4.Kitukingine inatakiwa utaratub wabunge ufatwe msiendeshebunge kimzahamzaha!

  • @japharymayanga3347
    @japharymayanga3347 7 років тому +3

    humo ndani mkumbuke mnatumia kodi za wananchi

  • @edlineglorycutemunis4986
    @edlineglorycutemunis4986 7 років тому +3

    ƴani huƴu mlinga ameƙua ƙomedi ɓungeni siƴo mchangiaji

  • @omaryrashid1873
    @omaryrashid1873 4 роки тому

    Hoja kali

  • @mamad1175
    @mamad1175 6 років тому +1

    Vyeo vya kupew mama kafa mpeni hana lolote

  • @makanikiamsanga906
    @makanikiamsanga906 6 років тому

    Ukiona mbunge anaongea pumba bungeni ujue hata waliomchagua nao ni pumba tu.
    ukiona mbunge anaongea matusi ujue kachaguliwa na wavuta bangi na walevi.

  • @ndavidmhanuzi2130
    @ndavidmhanuzi2130 7 років тому +2

    Mlinga nikilaza haijawahi tokea chini ya jua.Naibu spika anaharibu bunge

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 років тому +2

    kumbe mbowe nae ni six ziro ...haya.

  • @paulolaurent805
    @paulolaurent805 3 роки тому

    Kuna bunge hapo

  • @ajuaekanyima1227
    @ajuaekanyima1227 7 років тому +10

    Alima ni jembe kubalin wadau

  • @faridastephen6210
    @faridastephen6210 7 років тому +1

    Changamoto tupuuu???mlinga un educated shida iko hapo sasa ndicho kilichopo katika mijadala ya bunge kwelii aisee!!!!ccm wanalopoka ujinga lakin hakuna anaetolewa njee ila so upinzani hii nch bana🚶🚶

  • @hoseapatel7766
    @hoseapatel7766 3 роки тому

    Bunge letu hili

  • @neybenson7881
    @neybenson7881 4 роки тому

    Mjinga ovyoooooo

  • @ahmadkhattar6760
    @ahmadkhattar6760 7 років тому +1

    huyu jamaaa hajawahi kuongea point hata siku moja zaidi ya nonsense na sizani kama alipita huko bungeni

  • @winifridamungure8986
    @winifridamungure8986 7 років тому +9

    mlinga weeeh ni less point huna jipya cjui waliokuchagua wamekutoa wapi weeeh ndo unaongoza kwa kulewa ndo maana huna point.kilaza mkubwa huna jipya

  • @alialle6441
    @alialle6441 7 років тому +16

    Kwa kweli huyu mlinga chama kinatakiwa kimuangalie sana cdhani kama ni mtu sahihi

  • @emmanuelmpunza5404
    @emmanuelmpunza5404 7 років тому +3

    Daaaaaah daaaaaaah bora hamuoneshi bunge live aiseeeeeeee bora makonda mmoja kuliko ujinga wenu bungeni.
    ingawa sio wabunge wote pole sana mh naibu spika kuwaongoza haooo watu watakulaza na viatu kwa ujinga wao.

  • @edwinmoshi2523
    @edwinmoshi2523 7 років тому +1

    kumbe wananchi wako wana matatizo lukuki afu unatanguliza ujinga badala ya kuwatanguliza waliokutuma.
    TUTABADILIKA LINI??

  • @Hedva255
    @Hedva255 7 років тому +3

    mmmh bunge letu la tanzania hili eeh Mungu tusaidie....wanamsumbua huyu mama jamani chaaaaaaaaa.
    anaongea kama anaongea na watoto wa la kwanza kumbe watu wazima jamani.

  • @fetilishazomar4799
    @fetilishazomar4799 7 років тому +8

    Mpare Nakupendaaagaa sana Umeongea poa Halima,. Mlinga jiangalieeeeh Nini unaongea pumba kabisa

  • @barakaboniphace4067
    @barakaboniphace4067 3 роки тому

    Me ni ccm but halima nampenda Sana..anaongea points kbs Tena with evidence

  • @hawraymuncw9893
    @hawraymuncw9893 4 роки тому

    Sidharau bunge lakini nadharau wabunge,wanachokifanya mungeni nikuonyeshana mabavu ya kujua katiba na hila tu

  • @elminakalunga4030
    @elminakalunga4030 7 років тому +2

    MmHg! Halima nayee pumba vilevile. Mhe. Naibu Spika mbona naye kaelezea sasa.

  • @justinepaulomaheomahe3582
    @justinepaulomaheomahe3582 7 років тому +3

    duh mlinga aeelewiii!!!!?je jimbo kwake jama walizingatia nn hadi kumchagua

  • @evanskaijage5478
    @evanskaijage5478 7 років тому

    Hii ni aibu BUnge letu hakuna mpangilio kila mtu anapiga kelele wanatukanana hadharani tatizo hapa sio vyama ni system nzima... hata debate zetu za shule ya msingi hazikua na kelele zote hizi wala matusi kama hawa waliochaguliwa ku represent our image as a nation.. tuachane na ushabiki tufanye kazi

  • @simonmwakibete5388
    @simonmwakibete5388 7 років тому +4

    ssa dogo unaleta mbwembwe wakati jimbo lako lina matatizo lukuki .

  • @papafikiri
    @papafikiri 7 років тому +3

    naibu inaonekana upinzani anamkubali Halima peke yake

  • @berylfaith4001
    @berylfaith4001 7 років тому +3

    mlinga anatakiwa ajiunge comedy hana lolote

  • @joshuamshana5874
    @joshuamshana5874 4 роки тому

    Nasari kalewa

  • @zinapz5251
    @zinapz5251 7 років тому +3

    mlinga amnakitu

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x Місяць тому

    Hili ndilo bunge sasa

  • @abubakarabdulrazak5348
    @abubakarabdulrazak5348 6 років тому

    Wewe Halima huna hoja unatupotezea muda huna mpango wowote nenda KAPIKE

  • @gracerosi6179
    @gracerosi6179 6 років тому +1

    Mlinga ahsante kwakuwapa ukwel sema wenyewe kazi nikupinga tu

  • @clt9914
    @clt9914 7 років тому +1

    Hii ni chaos inayotokana na naibu kushindwa kudhibiti Bunge. Naibu anafurahia baadhi ya maneno yeye binafsi anageuka shabiki na kuharibu kazi ya kitaifa.

  • @ahmadkhattar6760
    @ahmadkhattar6760 7 років тому +3

    hawa bunge wa ccm wengi ni bendera hufwata upepo

  • @raymondfelician916
    @raymondfelician916 7 років тому +4

    Naibu spika nampenda sana

  • @divaifrank6746
    @divaifrank6746 5 років тому +4

    kuna wanaume wa ccm hapo wana mambo ya kike eti 👌

  • @sumatotv9437
    @sumatotv9437 7 років тому +5

    hahaha...safi sana hii! :)

  • @emmydzoo8729
    @emmydzoo8729 4 роки тому +1

    Jamani bungeni wanachokonoana kumbe , alomchokonoa mdee ninani tena

  • @josephcharles9477
    @josephcharles9477 7 років тому +7

    Kumbe na mwenyekiti wa chadema ana ZERO Hahahaha

    • @gracemarine6753
      @gracemarine6753 7 років тому +4

      yeye hata akiwa form six zeroo afadhali maana kasomea jina lake lakini siyo kwa kusomea majina yawatu

    • @florakimaro4880
      @florakimaro4880 4 роки тому

      Nani kasema ana zero, bora yeye ana zero tena six kuliko hao wenye zero tena lasaba na jina sio lake😏😏😏😏

  • @goodluckolesolomon5931
    @goodluckolesolomon5931 6 років тому +1

    Dah amakweli kazi ipo huyo ni naibu speaker sio bhana

  • @lucyleopold3324
    @lucyleopold3324 7 років тому

    jamani Hawa wabunge wetu wanapenda kuendekeza mambo yaliyopita badala watumie fursa kutuwakilisha vyema wananchi wao wanazungumzia mambo yaliyopita wanabore

  • @maryammaryam-jp2zg
    @maryammaryam-jp2zg 7 років тому +4

    Huyo mwenyekit wenu phd kaipata lini na WAP😏😏😏 yani wakaz Wa ulanga nawahurumiaaaaa maana co kwa kilaza hicho.

  • @chimbufredrick589
    @chimbufredrick589 6 років тому +2

    Halimaaa

  • @angeljonathan7718
    @angeljonathan7718 5 років тому

    Yaniiii mbunge haelewek anataka kuongeaa nn mara maswala ya jimboni kwake mara upinzani Yanii haelewek anazungumzia nin Hana point kbsaaa

  • @ibrahimjaphet5537
    @ibrahimjaphet5537 7 років тому +1

    halima mdee ongea kweli katka hilo

  • @fafi9092
    @fafi9092 7 років тому +3

    Mlinga oyooo hahaha

  • @nyhamapagi9694
    @nyhamapagi9694 7 років тому +4

    kumbe mbowe ni form six zerooooooooo bashite

  • @faustineandrew8568
    @faustineandrew8568 7 років тому

    hakika bunge ingekuwa live tungefikia pabaya. lkn in normal sense kwel kuna kanuni zinafatwa kuruhusu miongozo na taarifa bungen? na je kama zipo zinzfatwa ? mm kiukwel napata waswas

  • @solomonmwisala157
    @solomonmwisala157 7 років тому +2

    Huyo kichwani hamna lolote Mlinga

  • @augustinemartine6610
    @augustinemartine6610 7 років тому +13

    huyu mlinga pumba tupu hakuna kitu kichwani..

    • @samuelnuaka6266
      @samuelnuaka6266 7 років тому

      yaan huyu mlinga hakna kitu hawa ndo walioshinda kwa gori lamkono yaani duh

    • @samuelnuaka6266
      @samuelnuaka6266 7 років тому +2

      yaan huyu mlinga hakna kitu hawa ndo walioshinda kwa gori lamkono yaani duh

    • @samuelnuaka6266
      @samuelnuaka6266 7 років тому +3

      yaan huyu mlinga hakna kitu hawa ndo walioshinda kwa gori lamkono yaani duh

  • @tonnsimbasportsclub7168
    @tonnsimbasportsclub7168 5 років тому +1

    Milinga kajikoroga

  • @erastongonde4508
    @erastongonde4508 7 років тому +1

    mlinga zero nyingine kama zero nyingine kwakwwli

  • @vianeyminja575
    @vianeyminja575 7 років тому +4

    hii battle imekolea..

  • @ahmedthelegentruelegend5523
    @ahmedthelegentruelegend5523 6 років тому

    halima miaka 10 nyuma ilikuwa unaongea vzr na kutoa hoja nzito hadi tunakupenda ila sasa kazi yenu ni kutoa hoja na kupinga tu aaaaaaah mnaboa

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 6 років тому

    Kumbe kusema uongo ni kosa mbona hawa upinzani wanaongeaga uongo

  • @mkambotv5418
    @mkambotv5418 3 роки тому

    TUTAKUMISS SANA HALIMA MDEE....BUNGE LITAPOOZA SANA

  • @happynessshayo6003
    @happynessshayo6003 7 років тому +6

    form six zero lakini anawapeleka mchakamchaka mpaka mnakosa usingizi

  • @solomonmwisala157
    @solomonmwisala157 7 років тому +14

    hao wanao zomea ni vibaka. endelea mdee

  • @meyou-zz8mj
    @meyou-zz8mj 7 років тому +1

    bunge hili rubish bora wakati wa piusu msekwa wabunge wote wahuni

  • @tinnomdete4841
    @tinnomdete4841 7 років тому +3

    hamna kitu hapo nafasi yenyewe amekaimu kwa mamake yake marehemu kapewa kura ya huruma kwa angekuwa chokoraa