RAIS MAGUFULI AMFUNGUKIA NAPE "UMEFANYA DHAMBI NIMEKUSAMEHE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 14

  • @ayubujackson5782
    @ayubujackson5782 5 років тому +1

    Nampenda xana Magufuli kwan nyie mnasemaje

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 років тому +2

    Hahahaa,,,,,,siasa safi sana!!!!

  • @georgesimon747
    @georgesimon747 5 років тому +1

    Ikivika elufumbili naishirin kura yanu wechukuwa asawe huongoz magu hunaujuwa hasawe

  • @ayubujackson5782
    @ayubujackson5782 5 років тому

    Safi xana Nape ila ulitaka kuyumba.

  • @alfredlimu308
    @alfredlimu308 5 років тому +2

    Huyu mzee anapiga kazi jamani tuwe wakweli

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 5 років тому +1

    Siasa ya kutumia akili😁😁😁😁

  • @hdmtanzania2617
    @hdmtanzania2617 5 років тому +3

    JPM, Man of the people

    • @noelydhahabu3503
      @noelydhahabu3503 5 років тому

      MUNGU akupe maisha marefu ingekua amri yangu nikupa miaka kumi mingine

  • @sangaambwene7009
    @sangaambwene7009 5 років тому

    Asante Rais wa saikolojia,Nape umeambiwa useme shida we unasema mafanikio kwanza duh! Tanzania weeeeeee

  • @miambayankeba1084
    @miambayankeba1084 5 років тому

    Mimi ncongomani ila na Mpenda saana mangufuli

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 5 років тому

    SIASA HIZO TU

  • @salumuhamissi3492
    @salumuhamissi3492 5 років тому

    Nape hauna jipya hata ukijipendekeza kwa mkuu, ww jipu linalosubiri kutumbuliwa polepole alishatangaza kukufyeka.

  • @wailesdeus3764
    @wailesdeus3764 5 років тому +1

    Du chuma