Hawa Vijana wa kiarusha wanaoitwa wachuga.. Wamefanya haya matukio ya hovyo kwa mda mrefu sana.. Na cha ajabu bunduki zimekaa tu vituo vya police!!!!! Izo vitu zilitengenezwa mahususi kushughulilia watu wa hovyo wa aina iyo.. Pigeni risasi hao mnawafuga wa nini wa kazi gani!!!
Mwenyezi Mungu Subhaanahu Wata'ala awaangamize hao maadui,Aamiin Yaa Rabbal Alaamiin
Mungu atusaidie .mambo mengi yanatokea ya ajabu sana vijana wadogo ni wanavuta bangi hata hawajali
Ila majirani walitushtua si walisema wamekata mkono kabisa umetoka 😢 Mungu ni mwema sana
Pole sana arusha kunatatizo aisee