MTOTO WA MWAKA MMOJA AFARIKI KWA SHOTI YA UMEME, CHANZO WAYA ULIOSHIKA NGUZO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 7

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 День тому +1

    Pole sana ndg yangu. Mungu akupe wepesi. Mtoto harudi lkn tafuta wanasheria.

  • @ManaseMoleli
    @ManaseMoleli День тому +3

    Mh! Yesu tulindie watoto poleni wafiwa

  • @danielmeshack1633
    @danielmeshack1633 День тому +1

    Pole sana Mwalimu wangu

  • @ReganUiso
    @ReganUiso День тому +1

    Uzembe mkubwa pia kwa watu wa tanesco..unafungaje waya kizembe hvyo

  • @AmusedFencing-mj9wx
    @AmusedFencing-mj9wx 12 годин тому

    Mbna wao wanaweka nyaya chini tanesco wachukuliwe hatua

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v День тому

    Tanesco. Sasa watoto ninyumban kwao wangefanuaje?

  • @elizalazaro8008
    @elizalazaro8008 День тому

    Inauma poleni