CHADEMA INAHITAJI ANAYEKUBALIKA NA JAMII MIMI NINA SIFA HIZO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @ernestmwasunga3021
    @ernestmwasunga3021 День тому +3

    Hivi hamnaga sela hadi mumuongelee magufuri wawatu. Inaonekana aliwonyosha maana mulikuwa wapigaji

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 День тому

    Uadilifu up zaidi ya matamko na kuwatusi viongozi wetu! Mtuache bana!!😢😢😢

  • @jacobkadesha4984
    @jacobkadesha4984 День тому +1

    🔥Mungu ni mwema

  • @Mwl.Jonathankwizera
    @Mwl.Jonathankwizera День тому +1

    Moja ya kosa alilonalo Tundu Lissu ni kumuongelea vibaya Magufuli

    • @kassimualli1755
      @kassimualli1755 13 годин тому

      Yeye anasema ukweli wake na wew Amin ukweli wako

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 День тому

    Kama kuna mtu wa karibu natamani kuja kuangalia huyu mshaurini a focus na mambo yake aachane na mzee wetu apumzike zake alete sera tumsikilize sio kila siku magufuli

  • @MathewThobias-g6d
    @MathewThobias-g6d День тому

    Huyu hana busara kabisa muache mbowe aendelee na uenyekiti

  • @godwinmrina3968
    @godwinmrina3968 День тому +1

    Video fupi wakati press ilikuwa zaidi ya masaa mawili...

  • @simumbaken4902
    @simumbaken4902 День тому

    Chadema akuna jipya

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 День тому

    Yaani hawa ni lawama tu ya kumnenea vibaya MAGUFULI! Kwani sera zenu ni zipi?? Sijawahi kusikia hiyu jamaa akishika dola atafanya nini!
    Hebu tuacheni na S.S.H wetu na amani yetu! Mapambano unapambania nini??