Upo vzr mh lisu huyi nae apumzike na ndo maana chama chenu akisongi mbele hongela lisu hapo wanachadema tutawapoma kwa hili kuwa kwali mnaujua umhimu wa mtu anaekifia chama
Viongozi wa chadema jifunzeni kwa act wazalendo,kupitia zito zuberi kabwe (aka)mwami Ruyagwa,amekiongoza chama akiwa mkuu wa chama muda wake ulipo fika Aliachia nafasi yake ya ukuu wa chama, na kama mnadai mabadiko yaanzie ndani ya chama chenu kwanza.
UnASTAhili kwakuwa unaheshima kubwa katika chamq chetu.ila ikitokea haujapata nafasi siyo kukicjukia chama.au isiwe ndio bjia yakutafuta mchawi nani.nakuamini
Tundu lisu nikushauli kitu kimoja ukitaka kugombea na upate kula za wanaichi wanyonge acha kumsema magufuli vibaya unaweza usipate kula hata Moja kwasababu Kila mtanzania anampenda sana magufuli kuliko loho yake
..kuna jambo jingine CHADEMA wanapaswa kufahamu na nadhani wanafahamu lkn wanachukulia poa..kuna kundi kubwa sana la vijana ndani ya chama ni mamluki..lengo walilopewa kufanya ni kuleta fujo kuvuruga MAAMUZI..chama kijihadhari sana na maamuzi yanashinikizwa na vijana..lugha za jazba, ushabiki km wa ccm, matusi, kejeli na dharau na fujo zingine, mkiwafahamu watu hawa dawa ni kutojali sana wanachosema..kwangu mimi bora kubaki 5 ndani ya chama kuliko kuwa na kundi la vijana wa aina ya waliopo CHADEMA kwa sasa.

Ni kweli. Ila nina uhakika hakuna mwananchi ambaye hajui Magufuli kama alitaka kumuua Lissu na naamini wote tunalaani hicho kitendo licha ya kuwa tunampenda Magufuli. Na ndugu yangu Haruni hakuna mwanadamu ambaye anaweza kumsema vizuri adui yake; ili umseme vizuri adui yako unahitaji neema ya Mungu.
Mmh Dicteta tena 😢😢 kwa kufungiwa mirija yenu
Simwoni wakushindana na Samia kwa wenyevit wa vyama
Upo vzr mh lisu huyi nae apumzike na ndo maana chama chenu akisongi mbele hongela lisu hapo wanachadema tutawapoma kwa hili kuwa kwali mnaujua umhimu wa mtu anaekifia chama
nilishasema tudu lissu,mwakabuzi na slaa hawana nia njema na MBOWE!!
bila mbowe chadema itasahaulika!!chama hakiendeshwi kwa mdomo!!
Wewe ni muongo kwa hiyo bila mbowe chama hakipo?achen kutumika vibaya
😂😂😂😂huku sasa kumeanza kunoga😂😂😂....ngoja tuone yajayo..yatakavyofurahisha
Muda wa lisu kukiama hiki chama umefika sasa
Soon mtasikia katekwa au kamiminiwa risasi then muanze kumlaumu Makonda
Viongozi wa chadema jifunzeni kwa act wazalendo,kupitia zito zuberi kabwe (aka)mwami Ruyagwa,amekiongoza chama akiwa mkuu wa chama muda wake ulipo fika Aliachia nafasi yake ya ukuu wa chama, na kama mnadai mabadiko yaanzie ndani ya chama chenu kwanza.
UnASTAhili kwakuwa unaheshima kubwa katika chamq chetu.ila ikitokea haujapata nafasi siyo kukicjukia chama.au isiwe ndio bjia yakutafuta mchawi nani.nakuamini
Tundu lisu nikushauli kitu kimoja ukitaka kugombea na upate kula za wanaichi wanyonge acha kumsema magufuli vibaya unaweza usipate kula hata Moja kwasababu Kila mtanzania anampenda sana magufuli kuliko loho yake
..kuna jambo jingine CHADEMA wanapaswa kufahamu na nadhani wanafahamu lkn wanachukulia poa..kuna kundi kubwa sana la vijana ndani ya chama ni mamluki..lengo walilopewa kufanya ni kuleta fujo kuvuruga MAAMUZI..chama kijihadhari sana na maamuzi yanashinikizwa na vijana..lugha za jazba, ushabiki km wa ccm, matusi, kejeli na dharau na fujo zingine, mkiwafahamu watu hawa dawa ni kutojali sana wanachosema..kwangu mimi bora kubaki 5 ndani ya chama kuliko kuwa na kundi la vijana wa aina ya waliopo CHADEMA kwa sasa.
Ww stafu kiheshima waachie vijana mzee lissu...utanishukuru baadae
Lisu na samia nani astafu
Kwa nini ugombe
Muwe wazalendo kama Zito kabwe
Mboe pumzika kukinusuru chama kisigawanyike pls
Hahahahaahaaaaa!! Msalimieni mzee wa gia za angani
Mnafki ccm chawa
Jamani heche huko wapi huyu jamaa ugombee hafai kabisa .Heche gombea na wewe utuokolee jahazi litazama kwa huyu kibaraka wa ulaya
Tunawaamin wote ila wanachama wataamua nani akalie nafas.pia uwe ni sampo ya uchaguz nchini.ustarab na mambo mengi yazinfatiwe ikiwemo sheria
Hii mbwa haistahili kuongoza hata kijiji
No vby kumuita binadam mwenzio mbwa kua na kauli nzur
Tundu lisu nikushauli kitu kimoja ukitaka kugombea na upate kula za wanaichi wanyonge acha kumsema magufuli vibaya unaweza usipate kula hata Moja kwasababu Kila mtanzania anampenda sana magufuli kuliko loho yake
Ni kweli.
Ila nina uhakika hakuna mwananchi ambaye hajui Magufuli kama alitaka kumuua Lissu na naamini wote tunalaani hicho kitendo licha ya kuwa tunampenda Magufuli. Na ndugu yangu Haruni hakuna mwanadamu ambaye anaweza kumsema vizuri adui yake; ili umseme vizuri adui yako unahitaji neema ya Mungu.
Wapi Henche nae agombee nafasi ya makamu
Sasa ccm wajipange mliyemtaka na kumlilia aja Rais 2025
Hapo mbowe huwez kumng'oa hata iweje
Wachaga wamenuna hapo .no chaga
KUMEANZA KUCHANGAMKA XX
Tatizo analalamika haombi wampigie kura awe mwenyekiti......af mgonjwa af anamsema dikteta marehemu ila huyu naye duh pumzika mzee nawe
Hiyo sio kambeni ni nia
Wameanza kuhombana sasa
ua-cam.com/video/Lbm0deu-wfw/v-deo.html Oya Umeona Hii 😂😂😂
Liss big up
DICTETA MWENYEWE MBWA WEEE
Sio uongo