Siku zote mimi namkubali na kumthamini Rais wetu - JPM kwani ni mzalendo, mchapa kazi, mwenyewe dhamira njema kwa taifa, mwaadilifu, SIYO kigeugeu katika maamuzi na utendaji wake wa kulipeleka mbele taifa letu - Tanzania. Tumuungeni mkono.....
Bado ICC haujafika. Umerudisha nchi nyuma sana. Tuelrze fedha za watu za korosho ziko wapi?. Una kesi 600 za kuwaua watu. Kila kichwa kesi moja Duh. Umeleta Wachina kazi zao kuiba tu na kutuletea samaki wenye sumu.Umeua Demokrasia Tanzania na kufilisi watu. Lazima tukufunge.
Safi sana Mh Raisi wetu, Dk john pombe Magufuli, Allaah! Akuongoze, pia tunashukuru kwa kukipa kipaumbele Lugha yetu ya Kiswahili kama wenzetu wanavyo thamini lugha zao, tuwe wazalendo na Lugha yetu na tujivunie nayo lugha yetu ya kiswahili na tuithamini.
Mh Magufuli anajua km za barabara karibia zote Tanzania ashindwe vip kujua kingereza ambayo ni lugha rahisi tuu.Mungu akubariki Rais wetu piga kaziI Baba
We Mbeshi matako kabisa kwani unajua nn kuhusu ulimwengu huu. Nakupa mifano ya hoja North Korea most of them hawaongei English, China, Russia hawaongei na hata maraisi wao pia je hawana uchumi bora.????? Msipende kubishana vitu ambavyo hamvielewi bado.
@@jacksonmbilinyi8019 hayo uliyotaja ni mataifa makubw usilinganxh na tanzania, wao wna uwezo wa kujitgmea mambo yao mengi cc hpa mambo mengi tnatgmea nje ambako kiingrza ndo kmetawala uko,kiingereza kina nafas yke kw mataifa kma hya ya Tanzania sema kiswahili tusikidharau tu
@@maikotrinity4939 kumbe ww ndio kima unaeabudu matako ya wazungu hujui kama kiswahil inakua kupitia kuongezeka kwa watumiaj kwahiyo itumike ngel hata kwenye nchi yako maanake nn?kima usiye jitambua ww
Hajui!!! Usome kwa kiingereza mpaka phd kuongea kiingereza iwe shida!! Huobmfumo si unashida bado mwahitaji tochi!! Afu mifano ya china na korea msituletee!! Mfumo wao wa elimu ni kwa kugha zao !!!
How can a single man do all this success by himself and I got the answer it's when you are with God that everything aligns itself. Magufuli's not just a great leader but he was a God fearing man as well RIP great man and may the Lord forgive where you went wrong and accept you in paradise
wanaompinga huyu mzee ni mazwazwa kama yule zwazwa alioko polisi mm nna mwamini JPM 100% kuwa ni ile 1st generation of leaders ile ya kina Jk nyerere. na Nkurumah maana ni mkweli JPM sio mnafiki
@@franklinedward8123 pumbavu ni wewe mshenzi wa adabu usiyeona kinacho endelea wewe ni sawa na mlemavu wa akili au nyani ...ww ni mmoja wapo wa wale nyani mliotoroka porini.
@@imbatokamoyoni2209 wapo waliokamilika ndio.kama huamini wapo waliokamilika pole. 2+2=4 lakini sio lazima iwe nne inaweza kua ata 8 ukiamua so waliokamilika wapo toka hapa.
Kiswahili ni lugha tamu sana kuliko zote duniani. Ninafanya kazi na watu wa mataifa mengi duniani ninajua lugha taño za mataifa mageni ikiwemo Russian. Cha ajabu hao wazungu na watu wa mataifa mengine wakija huku wanatamani kiswahili. Halafu mtanzania anakibeza na ni lugha yake
Ndio maana watanzania tunaelewana sana nyumba moja ya kupanga dini,itikadi ya vyama kabila na mengine mengi tu run as tofautiana lakini hakuna matatizo mkewangu ccm mimi chadema mwanangu act lakini tunaenda sawa
Africans shud be proud of their language Swahili infact measures shud be put in place to ensure every foreigners coming to Africa shud undergo 5 months Swahili classes to get a visa
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa!
Yaan kwa hili kama unamkubali rais magufuli acha majungu yaan anajua kiingereza vizuri kuliko hata waingereza wenyewe kama umemuelewa MPE like zake please
Huyu ndio raisi peke wa Tz mwenye ako na uzalendo na kujali wananchi wake... I wish miracle hapen again in Tz 2025 tupate mtu kama huyu. Mungu ibariki Tz.
Katika swala la lugha hapa ni muhimu sana raisi ,kaongea vema sana,halikwepeki,ila tatizo kasumba zimetujaa,miongoni mwetu watanzania,kujua lugha au kutojua ni swala la mapenzi tu,isiwe kigezo cha kusemana vibaya,ila binafsi naona lugha zote mbili kwa mazingira tuliyonayo zinafaa,WATANZANIA TUNAKOSA FURSA NYINGI SANA HUMU MITANDAONI SABABU YA LUGHA,, KISWAHILI MUHIMU ILA ENGLISH PIA SIO YA KUBEZA,, AHSANTE
Mh raisi kaongea point kubwa sana kuna bazi ya watanzania ni wapumbavu kwanza nikiswahili Motherlanguage harifu uonge hicho kingereza chako unachokijuwa wewe na mkeo Pumbavu big up mr president
Hilo tatizo siyo Tanzania tu.huku Burundi wengine wakienda ufaransa wa kikaa kule week mbili wanajifanya eti wamesahau kirundi.kama hujui kirundi manayake wew ndo msomi.
Mimi nawaambia Vijana kwenye Siasa ndiko kwenye mitaji hawataki kunielewa. Sasa kwenye Kampeni za Mwaka huu msikilizeni Membe na Tundu Lissu ndio mtamjua mgombea wa CCM ni Mtanzania wa aina gani. Magufuli amemaliza Rushwa Tanzania kwa kujenga miradi hii mikubwa sana kijijini kwake ha ha ha ha! HIFADHI YAKE - ua-cam.com/video/FRHSrSDBJFU/v-deo.html UWANJA WA NDEGE - ua-cam.com/video/IcI8lAI6DqY/v-deo.html HOTEL - ua-cam.com/video/i62hBXbq3Y0/v-deo.html
Nakupenda Raisi wangu mpaka Nikilala usiku naota nimekaa na wewe tunapiga stori wewe sio rais wa miaka kumi tawala hii Tanzania miaka zaidi ya 30 kama allah atakupa uhai mashaallah.
Tatiz mikataba iko kingereza nenda tanesko.bado karatasi ni kingereza usome yaaani inatakiwa kuvujwa mikataba yote ya kingereza ibaki ya kiswahil hao.wakija watasoma mbon.sie tunSoma.chao
Daaaaa umetutoka baba MUNGU akulehemu, umetufunza mengi ndani ya miaka5 tu daaa siamini, nitajivunia wewe milele nakupenda Tanzania 🇹🇿🇹🇿 na wananchi tunakupenda Magufuli tutaendelea kukuombea,
Watanzania Kwa pamoja tunakuomba raisi magufuli peleka ndege kule sauz afrika ukawachukue watanzania wenzetu wana zalilika kule kama engekua ni wazungu egekua washachukua RAIA wao zamani nasisi msituzarau nasisi pia ni watu au mnasemaje watanzania wenzangu ?
Mtanzania akiongea kizungu yani ajiona ndio msomi watu watamjuaje kama kasoma au anajua kizungu ushamba huo bado tunao anazungumza na watu ambao hawajui kizungu basi ndipo ña yy anachanganya kiswahl na kizungu maana kuna maneno mengine ajifanya kwa kiswahili hawezi kusema au kulitafasiri
kiswahili kitukuzwe. napenda sana mtindo huu wa kitaanzania wa kuzingatia lugha yetu ya aafrika. kenya tuchunge sana tumeingia utumwani mwa lugha za kikoloni
Mimi mkenya lakini napenda uelewavyo undani waulimwengu hata ukienda UN ama ulaya ongea kwa kiswahili rais wenyewe watafte wagalimani aka translator kama wafanyavyo wachina WA Russia hata na waarabu ...jenga lugha yetu.tutaanza kumaliza ukoloni kwakua no lugha yetu kama waafrica
kama unamkubali magufuli mpe like apaa mtu wa wanyonge big up wanaokuchukia hawajielewi hapa kazi tu🙏🙏🙏🙏
Kama unakubali alichosema baba etu utanzania kwanza gonga like twenzetu 🙏🙏🙏🙏😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁🔫
Siku zote mimi namkubali na kumthamini Rais wetu - JPM kwani ni mzalendo, mchapa kazi, mwenyewe dhamira njema kwa taifa, mwaadilifu, SIYO kigeugeu katika maamuzi na utendaji wake wa kulipeleka mbele taifa letu - Tanzania. Tumuungeni mkono.....
Jamridi Issa Huyu jamaa in bal@@@ kwa l@nguage
Baba yako mwenyeweee
Bado ICC haujafika. Umerudisha nchi nyuma sana. Tuelrze fedha za watu za korosho ziko wapi?. Una kesi 600 za kuwaua watu. Kila kichwa kesi moja Duh. Umeleta Wachina kazi zao kuiba tu na kutuletea samaki wenye sumu.Umeua Demokrasia Tanzania na kufilisi watu. Lazima tukufunge.
@@evansmlalo4049 mfunge sasa unasubiri nini kama uwezo unao na uchama unakusumbua wewe
Waliokuja hapa baada ya kifo chake ngonga like
Shenzi sana
@@drfrank512 matusi tena ya nini?
samahani sana kaka ila hukubonga vizuri kwenye coment lako.Magufuli in shujaa achana na upinzani.
@@ko3053 bwana waishi wapi haswa??
Tena ningependa tubonge on WhatsApp if possible please. Thanks I see u are a man of your words.
Like ya nini tena..,?
Safi sana Mh Raisi wetu, Dk john pombe Magufuli, Allaah! Akuongoze, pia tunashukuru kwa kukipa kipaumbele Lugha yetu ya Kiswahili kama wenzetu wanavyo thamini lugha zao, tuwe wazalendo na Lugha yetu na tujivunie nayo lugha yetu ya kiswahili na tuithamini.
gambos
This Man to be Honest he was a Legend,,,,,Rest in peace baba😭😭😭😭
Mh Magufuli anajua km za barabara karibia zote Tanzania ashindwe vip kujua kingereza ambayo ni lugha rahisi tuu.Mungu akubariki Rais wetu piga kaziI Baba
Asant mungu kwakutupa nguvu za kumchagu huyu big
Christina Msoka hhhhhhh huyu mzee ni genius.
KO mm xd
Tatizo wabongo tumezoea ukiongea kingereza eti ndiyo msomi,tudumishe lugha yetu watanzania
Frank Ngoloka acha umatako wewe udumishe nini wakati kila kitu kimeandikwa kingereza
We Mbeshi matako kabisa kwani unajua nn kuhusu ulimwengu huu. Nakupa mifano ya hoja North Korea most of them hawaongei English, China, Russia hawaongei na hata maraisi wao pia je hawana uchumi bora.????? Msipende kubishana vitu ambavyo hamvielewi bado.
@@jacksonmbilinyi8019 hayo uliyotaja ni mataifa makubw usilinganxh na tanzania, wao wna uwezo wa kujitgmea mambo yao mengi cc hpa mambo mengi tnatgmea nje ambako kiingrza ndo kmetawala uko,kiingereza kina nafas yke kw mataifa kma hya ya Tanzania sema kiswahili tusikidharau tu
@@maikotrinity4939 kumbe ww ndio kima unaeabudu matako ya wazungu hujui kama kiswahil inakua kupitia kuongezeka kwa watumiaj kwahiyo itumike ngel hata kwenye nchi yako maanake nn?kima usiye jitambua ww
Sasa ongeakiingeleza Na watoto wako Kama mtaelewana sisi tutaongea kisawahili
Kama na ww umeisikia hiyo your ohoong,'oooh ya mzee nipe ngonga like hapa
Bb achana nao so
Kbxa
Hahaaaaaaaaaaa
Ujue au usijue hilo ni jukumu lako alikuambi hujui ni nani?
Hajui!!! Usome kwa kiingereza mpaka phd kuongea kiingereza iwe shida!! Huobmfumo si unashida bado mwahitaji tochi!! Afu mifano ya china na korea msituletee!! Mfumo wao wa elimu ni kwa kugha zao !!!
Hahaha I just love this man from Kenya wapi likes zake
Nampenda na kumheshimu sanaa huyu Rais wa Tz🙏 daah..love 255💪
Mazishi ya mengi
ņyumbani kwnza....pend sna rais wng mungu akuliňde
Wewe ni shujaa
@magufuliTz
Nakuelewa sana rais wangu
ernest karia big up mr maguful
Safi mnooo my presedent John Magufuri
Tadei Mwaipaja huyu ni rais jamani
Mzee uko sawa tu. Ao achana nao
nakubali sana rais wetu makufuli fanya kazi
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆Mzee baba unanipaGa furaha sana #BigUp rais wngu
piga kazi baba wanaosema ujui kiingereza bora uongee kijita tu
wanaojua kiingereza walitusaidia nini? maneno matupuuuuu
Raise anayo ongea niyakwelii kabisa wala hajakosea
How can a single man do all this success by himself and I got the answer it's when you are with God that everything aligns itself. Magufuli's not just a great leader but he was a God fearing man as well RIP great man and may the Lord forgive where you went wrong and accept you in paradise
Acha MUNGU aitwe MUNGU kweli😭😭😭😭🇹🇿💔🕯️ tuta'kukumbuka baba JPM 🇹🇿tutaku'enzii daima
R.I.P baba
Asante sana Rais JPM kwa kuacha Legacy tanzania kwanza pumzika kwa amani shujaa wetu
Kweli baba hata mm nitagonga kiswahili mwanzo mwisho lugha nyingine ni ziada tu
Ndo Mana Nampenda sana huyu Mzee Ee M/Mungu Nakuomba umpe Maisha Marefu Mno JPM wetu
Hulijui ulitendalo!
Eva Mmile jtm
jtm
🤗🤗🤗
wanaompinga huyu mzee ni mazwazwa kama yule zwazwa alioko polisi mm nna mwamini JPM 100% kuwa ni ile 1st generation of leaders ile ya kina Jk nyerere. na Nkurumah maana ni mkweli JPM sio mnafiki
free huru PUMBAVU KABISA
@@franklinedward8123 pumbavu ni wewe mshenzi wa adabu usiyeona kinacho endelea wewe ni sawa na mlemavu wa akili au nyani ...ww ni mmoja wapo wa wale nyani mliotoroka porini.
ndugu yangu unakosea,hakuna aliyekamilika kwa kila jambo,penye kusemwa atasemwa ila si vema kuhukumu jambo usilolijua
mazwazwa walikuepo tangu enzi na hawataisha
@@imbatokamoyoni2209 wapo waliokamilika ndio.kama huamini wapo waliokamilika pole. 2+2=4 lakini sio lazima iwe nne inaweza kua ata 8 ukiamua so waliokamilika wapo toka hapa.
Ni kweli Kiswahili kinakuja na kasi sana. Hata hapa Marekani bahazi ya vyuoo vikuu vina somo ya Kiswahili.
Safi
Asilimia 90 ya walimu wa kiswahili waliopo ulaya wanatokea kenya
Kwel kabisa... Watanzania bado tupo nyuma kwenye kuchangamkia fursa.
watema emmanuel, ndugu mwnzetu uko malekani. Niajili hata kazi za ndani kwako
Kiswahili ni lugha tamu sana kuliko zote duniani. Ninafanya kazi na watu wa mataifa mengi duniani ninajua lugha taño za mataifa mageni ikiwemo Russian. Cha ajabu hao wazungu na watu wa mataifa mengine wakija huku wanatamani kiswahili. Halafu mtanzania anakibeza na ni lugha yake
Mweshimiwa rais wangu magufur nakukubali sana mungu akusaidie katka uongoz ulio bora
Baba LA baba 😂😂😂😂😂😂
Arusha 24 at
Dj Arusha
We noma DJ ad uku upo hakija apo pamoja
👏👏
Ndio maana watanzania tunaelewana sana nyumba moja ya kupanga dini,itikadi ya vyama kabila na mengine mengi tu run as tofautiana lakini hakuna matatizo mkewangu ccm mimi chadema mwanangu act lakini tunaenda sawa
Africans shud be proud of their language Swahili infact measures shud be put in place to ensure every foreigners coming to Africa shud undergo 5 months Swahili classes to get a visa
🙌🙌🙌UTANZANIA Kwanzaa
Ooooyi!!!!!!!!???
😂😂😂 nimerudia tena 2020 kwa ajili ya lile neno alilosema " You ng'ooo" kati hata uingereza hujawahi kufika.😂😂😂
Rest in peace uncle Magufuli i miss you badly
Mashaallah rais wetu tunakugubali sana😘😘😘😘😘😘😘😘😘
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa!
:YES YES
Thank you Brother
1:26 -1:29 Danke schön, Auf wiedersehen🤩 Mzee ulikuwa vizuri, hadi kijerumani dah!
Ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba enderea kumuongoza vyema raisi wetu
Yaan kwa hili kama unamkubali rais magufuli acha majungu yaan anajua kiingereza vizuri kuliko hata waingereza wenyewe kama umemuelewa MPE like zake please
Hata Rwanda,Burundi,wanaongea lugha yao,na sio kiingereza.MKUU upo vizuri sana.Utanzania kwanza.
You will be remembered sir
Huyu ndio raisi peke wa Tz mwenye ako na uzalendo na kujali wananchi wake...
I wish miracle hapen again in Tz 2025 tupate mtu kama huyu. Mungu ibariki Tz.
LEGENDS NEVER DIE
Rest In Peace gentleman.
As a Kenya, I agre with you whole heartedly.
Lazima tujifunze na tukitumie Kiswahili.
AMA na na Agni Jameni?
Baba jamani you're kind and lovely. RIP DAD
Taratibu wataelewa tu hao wala usijikaushe uzazi bure 🤣
Hahaaa
Hahaaa
Katika swala la lugha hapa ni muhimu sana raisi ,kaongea vema sana,halikwepeki,ila tatizo kasumba zimetujaa,miongoni mwetu watanzania,kujua lugha au kutojua ni swala la mapenzi tu,isiwe kigezo cha kusemana vibaya,ila binafsi naona lugha zote mbili kwa mazingira tuliyonayo zinafaa,WATANZANIA TUNAKOSA FURSA NYINGI SANA HUMU MITANDAONI SABABU YA LUGHA,, KISWAHILI MUHIMU ILA ENGLISH PIA SIO YA KUBEZA,, AHSANTE
Kweli utanzania kwanza siyo you know you know hata uingereza ujafika😂😂😂
Kabisa mzee baba kiswahili kitamu,nipo Muscat nimefurahi juzi kusikia moja kt ya redio wanaitagaza kwa kiswahili
Safi
Safi sana!,mimi nakuelewaga sana,Pambana mkuu tupo pamoja sana,tunaendelea kukuombea Mungu Akutie nguvu.
Tuko Pamoja mzee
watapata tabu Sana juu yako
Jesus is good ooh and JPM.
Maana ya mzalendo ni mtu anayekitetea kitu chake hata kama kina madhaifu..
Kiswahili Kwanza 🇹🇿👏🏻👏🏻👏🏻❤️
Lala salama baba yetu😭😭😭😭
Mh raisi kaongea point kubwa sana kuna bazi ya watanzania ni wapumbavu kwanza nikiswahili Motherlanguage harifu uonge hicho kingereza chako unachokijuwa wewe na mkeo Pumbavu big up mr president
I can't believe you left us papa 💔, may you rest in peace papa we will always remember you in history 🙏🙏🙏
Rearly
I miss this person dearly,rip jpm
@@kensongodfrey1876 ....Kaka huu no msiba Tena cjui Kama tutapata wakufananaye!
mungu akujalie raisi wetu hakuna mkemia asiejua kingeleza lengo lao kukukejeli mungu akusaidie sanasana natutafika
Mungu akulinde baba Magufuli. ur the best President
Mungu yupo na wewe kwa kila jambo..
Nakuelewa nakukubali sana piga kazi
Kweli kabisa mueshimiwa rais wetu
Daaah mekukumbuka sana we mzee magufuli aisee hakika hakuna kama wewe
Kuna baadhi ya watu wanadhani kujuwa kingereza ni usomi ndio unaonekana umesoma Sana'a
I will miss him terribly..
Still missing him in August 2023, when the world is so much in need of human leaders. Kweli kifo hauna huruma😢❤
Nakukubali miaka yote
Kama unabishana na jpm ww ni zuzuu!!!
Wapashe mkuu
Ndg zang watanzania, ifike wakati wa sisi kuwa na sauti moja katika kuipai lugha yetu nzuri na yenye radha yake duniani....!!
Hata uingereza hujafika unaanza.You hooooooo!! Jivunie Identity yako!! Tz 1
Safi sana Rais wetu, hahahh nakukubali mzee ! Unajuaaa , waache mbwembwe!
sasa nyie mnaombishia hajui kingereza mtuhakikishie nakutupatia ushahidi kwamba hajui,maana naona watu povu linawatoka hapa
Tafufa utube xlip yake akijojiwa na mzungu lugha kuhusu rushwa mbona mseveni ndio alikua anamjibia. haaaaa
au ushahidi gani tena unataka, we tafuta utube kuna video imeandikwa raisi akiongea kiingereza mbona huruma
Vivian Dada yangu sio utube night UA-cam,,,,,, kithungu buana 😅😅😅
umaskini mambo leo wako
Vivian Lenard duuuh tafufa tn?
Hilo tatizo siyo Tanzania tu.huku Burundi wengine wakienda ufaransa wa kikaa kule week mbili wanajifanya eti wamesahau kirundi.kama hujui kirundi manayake wew ndo msomi.
Safi sana mjomba mangu kama unamkubali raisi wetu like pls
Mimi nawaambia Vijana kwenye Siasa ndiko kwenye mitaji hawataki kunielewa. Sasa kwenye Kampeni za Mwaka huu msikilizeni Membe na Tundu Lissu ndio mtamjua mgombea wa CCM ni Mtanzania wa aina gani. Magufuli amemaliza Rushwa Tanzania kwa kujenga miradi hii mikubwa sana kijijini kwake ha ha ha ha!
HIFADHI YAKE - ua-cam.com/video/FRHSrSDBJFU/v-deo.html
UWANJA WA NDEGE - ua-cam.com/video/IcI8lAI6DqY/v-deo.html
HOTEL - ua-cam.com/video/i62hBXbq3Y0/v-deo.html
Kifanyeni basi kiwe kinatumika kwenye ujifunzaji mashuleni,laiti tungekuwa tunatumia kiswahili mashuleni watu tungetusua sana!
Hahahaha nimeipenda hiyo
Saidi Amiri sidhani kama ungeweza kuelewa.
kufeli kupo tu
kufeli au kufaulu ni uelewa wa mtu,kuna somo la kiswahili sidhani kama ndio somo linaongoza kufaulisha ,kama huelewi ni haulewi hata iweje
Hahaha nimeipenda upo sawa ndg
Naomba Naomba Naomba sana Mheshimiwa Rais Magufuli aongezewe muda angalau miaka 20 katiba yetu sio msahafu ibadilishwe!!!!!
kingereza sio
ugaliii wa watanzania kama umependa maneno ya mzee wa kazi gonga like hapa
MUOVU KABURI LINAKUSUBIRI KILLER JAMBAZI HUNI JAHIL MWIZI KAMPIGA NDUGU YAKE 🔥🔥🔥 MOTO UNAWASUBIRI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😁😁maghufuli mungu akupe maisha marefu unatufuraisha wananchi wako🙌🙌🙌🙌🙌😱😁😁😁😁😁😁😁😁👏👏👏🙌🙌🙌🙌😁😁😁
Nakupenda Raisi wangu mpaka Nikilala usiku naota nimekaa na wewe tunapiga stori wewe sio rais wa miaka kumi tawala hii Tanzania miaka zaidi ya 30 kama allah atakupa uhai mashaallah.
Waoooo
Mungu akupumzishe mkuu
Mungu ailaze roho yke mahal pema peponi
Mzee anajua Lugha nyingi sana
Ha00000000
I love your statements
NImefurahi sana na hili neno Rais wa Muungano waTanzania alichosema. Inabidi tu linde luga yetu ya kiswahili.
We ndie mwenyewe,love from rwnd kgl
Utanzania kwanza
Mungu ibariki Tanzania
safi sana raisi wetu waonye nawasanii watzd waache mathis is kwenye intavyuu zao
Tatiz mikataba iko kingereza nenda tanesko.bado karatasi ni kingereza usome yaaani inatakiwa kuvujwa mikataba yote ya kingereza ibaki ya kiswahil hao.wakija watasoma mbon.sie tunSoma.chao
MTEI TV c nd apo ss
safi sana baba wambiye hao watumwa wamkoloni sisi tunapenda luga yetu kiswihili kitukuzwe tanzania bila kingeleza inawezekana🇹🇿🇹🇿
Leo nimekuerewa xn msukuma
He was a good leader by stopping corruption in tanzania
Daaaaa umetutoka baba MUNGU akulehemu, umetufunza mengi ndani ya miaka5 tu daaa siamini, nitajivunia wewe milele nakupenda Tanzania 🇹🇿🇹🇿 na wananchi tunakupenda Magufuli tutaendelea kukuombea,
Safi sana kiswahili lazima tukienzi japo si dhambi napo kutumia kiingereza maana kiingereza ndio lugha ya dunia kwa sasa !
Tutumie kiingereza Pale kiñapohitajika na du kila mahala ni pakuongea kingereza. Kiswahili kwanza.
Kingereza ogea na mumeo kwanza kiswahili
New Song Celebration kbs hajitambui
Utanzania kwanza....nakubali baba
Watanzania Kwa pamoja tunakuomba raisi magufuli peleka ndege kule sauz afrika ukawachukue watanzania wenzetu wana zalilika kule kama engekua ni wazungu egekua washachukua RAIA wao zamani nasisi msituzarau nasisi pia ni watu au mnasemaje watanzania wenzangu ?
exactly kabxaa Mr rais wetu
I miss him so much❤️😥
Safi sana
safi sana muheshimiwa
Semaaa Mr Rais kiswahili mwanzo mwishoooooooo
Daaaah we mzee☹️☹️☹️ endeleaa kupumzika Baba 💪
Mtanzania akiongea kizungu yani ajiona ndio msomi watu watamjuaje kama kasoma au anajua kizungu ushamba huo bado tunao anazungumza na watu ambao hawajui kizungu basi ndipo ña yy anachanganya kiswahl na kizungu maana kuna maneno mengine ajifanya kwa kiswahili hawezi kusema au kulitafasiri
ANGALIA YANAYOJIRI MITAANI TV .MAGUFULI ana himiiza kusoma
Uncle magu respect Mr president nakukubali kinyama sana umenisanua sna kufanya kaz na kusakua hella
Umenifurahisha sana mh.