MFAHAMU ALIYETAKA KUMPINDUA NYERERE/ NI KOMANDO WA JWTZ/ALIJIPANGA AIRPORT/ USALAMA WALIZUBAA! PART4

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #iringa #nyerere #mapinduzi

КОМЕНТАРІ • 94

  • @BarakaMsukuma-g1q
    @BarakaMsukuma-g1q Місяць тому +1

    82 siyo 92

  • @tulipotokazamani
    @tulipotokazamani Рік тому +12

    Msimuliaji anaonekana anapenda historia lakini vitu anavyosimulia vina dosari nyingi sana. Simulizi zake ni kama zile za vijiwe vya kahawa. Hii simulizi ya mipango ya mapinduzi ya mwaka 1982 ameieleza ikiwa na makosa makubwa akiwa ameongeza chumvi nyingi. Simulizi hiyo ilielezwa na Luteni Eugene Maganga ambaye alikuwa ni mmoja wa wahusika wakuu wa mipango ile. Simulizi yake iliwahi kutolewa mfululizo kama makala kwenye Gazeti la RAI mwanzoni mwa miaka ya 2000. Alieleza kwa usahihi na kwa kirefu.

    • @Fred-Ma
      @Fred-Ma Рік тому +5

      Hujaelezea makosa na chumvi ya Msimuliaji..Mpaka sasa sisi ambao hatukuisikia Simulizi unayoisema tutabaki kwa Yericko mpaka hapo utakaposimulia wewe.

    • @robartifabiani
      @robartifabiani Рік тому

      Kama kawaida yetu binadamu kutokusaport

    • @michaelmaja-1699
      @michaelmaja-1699 Рік тому

      Omba na wewe interview

    • @kipohao1469
      @kipohao1469 Рік тому +1

      😀😀😀hata Maganga mengine hakuyaandika ila ujasusi ni darasa la taaluma maalum ila nimwambie tu Tanzania wapo idadi haipungui 16 kama wote wapo hai

    • @walterp.makundi5640
      @walterp.makundi5640 Рік тому +4

      A lot of incorrect news. Kwa mfano Dr Kleruu aliuliwa jumapili na sio jumamosi.pia Captain Tamim aliuliwa na maafisa usalama akikimbia kutoka nyumba uliyokuwa kinondoni mkwajuni na sio from airport, a lot of incorrect news/ narration

  • @andrewshustle1331
    @andrewshustle1331 Рік тому +2

    Yeriko nyerere mwamba anamadini sana #appreciate 💎🔥

    • @hassanmpangachuma2715
      @hassanmpangachuma2715 Рік тому

      Huyu Yeriko ni muongo sana vitu vingi havijui ila inaelekea amesimuliwa

  • @AcroBantu
    @AcroBantu Рік тому +2

    Hamjui kusimulia story, mnafeli sana

  • @benedictoIgogote
    @benedictoIgogote 4 місяці тому

    Uko sawa

  • @erasmusmujuni727
    @erasmusmujuni727 7 місяців тому

    Hii haipo sawa,1992 Mwalimu Nyerere hakuwa Rais Wa JMT alikuwepo Rais Alli Hassan Mwinyi

  • @kilululucaskulimba2554
    @kilululucaskulimba2554 9 місяців тому

    92 Rais alikuwa Mwinyi Siyo
    Nyerere

  • @HamadiMwambe-vk2fh
    @HamadiMwambe-vk2fh Рік тому

    Huyu jamaa yuko vizuri sana

  • @Mfundo272
    @Mfundo272 7 місяців тому

    Wewe Yerricko Nyerere umezaliwa mwaka 1983, hilo jaribio ambalo unalizungumzia limetokea 1983, Maana Yake umehadithiwa na hukafanya utafiti sasa tutafute cc tuliokuwepo mwaka huo na tukupe taarifa kamili nini kilitokea, wacha habari za vijiweni zinapotosha vizazi vipya, ukiwa na miaka 2 ndio mwalimu alistaafu, Maana yake hata uongozi wa mwalimu huujui

  • @Joseph-u8z
    @Joseph-u8z Рік тому +2

    Mfanya Biashara aliehusishwa na Mapinduzi 1992 alijulikana kwa jina la LUGAKINGIRA

    • @Joseph-u8z
      @Joseph-u8z Рік тому

      Regebisha 1992 kuwa 1982

    • @Mfundo272
      @Mfundo272 7 місяців тому

      Hakuna mapinduzi yaliojaribiwa 1992 mmnatoawapi story za uongo 😊

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 7 місяців тому +1

    yerikobnyerere huku kigamboni tunakuitaji uwe mbunge wetu kupitia cdm au chadema unatufaa huku

  • @cypriansambagi
    @cypriansambagi Рік тому

    Hapo sawa

  • @davidjackson700
    @davidjackson700 Рік тому +2

    Nyapara nae ana machawa wakee🤣

  • @helpers10
    @helpers10 Рік тому +3

    Hakuuliwa ubalozi wa Marekani bali Kinondoni Mkwajuni. Nyuma tu ya nyumba ya mama yake. Hakuu askari yeyote bali alidandia Gari la soda akawa anarusha chupa kabla ya kupigwa risasi.

    • @Robust78
      @Robust78 4 місяці тому

      Yaani huyu Jamaa ni mwongo sijapata kuona.

  • @ondieckotoyo1143
    @ondieckotoyo1143 Рік тому +1

    Sababu ilikuwa ni utaifishaji wa mashamba siyo kukataa kulima alikataa amri alali ya kutaifishwa shamba lake na amri ilitolewa na waziri mkuu edward moringe sokeine

  • @Ngarambeboy
    @Ngarambeboy Рік тому

    safi sana

  • @benedictoIgogote
    @benedictoIgogote 4 місяці тому

    Wapo acha kabisa Akina Mayunga,Waulize M23 Balaa lake

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 Рік тому

    Aliyetoroka Nairobi asikamatwe ni Rugangira.

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 Рік тому +1

    Jamaa muongo huyu Tamim aliuawa kinondoni mkwajuni kweli lakini aliishi maeneo hayohayo ya mkwajuni

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 7 місяців тому

    Huyu jamaa ki umri ni mdogo lakini anajua sana, story zote anazozieleza kweli tupu 7babu mimi ninajua!

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 Рік тому +3

    Waulize wanaojua usidanganye watu

  • @bwisofredrick8047
    @bwisofredrick8047 5 місяців тому

    Uyu jamaa anasimulia kama hana uhakika😂😂 hiz n story tu sio mahojiano😊

  • @zaidyabdalah3691
    @zaidyabdalah3691 Рік тому +3

    Huyu hajuwi chochote nadhani alipata habari vijiweni. Kama kweli mbona hajamtaja Hans Pop, hana lolote. Kwanza anaonekana ni kijana mdogo wakati huo hangeweza kuyajuwa hayo yote.

    • @clifftayana1476
      @clifftayana1476 Рік тому

      Kwanza huyu dogo vitu vingi anapotosha. SANA.anatakiwa kusoma historian. Vvzzuri. Ila nimjanja wa kupiga. Stori. Za kufikiria na uwongo

    • @michaelmaja-1699
      @michaelmaja-1699 Рік тому

      Yeye ndo wa familia husika kayakuta apo kwao lazima ajue

    • @jamesmasome359
      @jamesmasome359 Рік тому

      Ukweli huyu jamaa nayeye amesimliwa tu...

  • @MohamedLohar
    @MohamedLohar Рік тому

    Hao wote wawili ni wapiga porojo...

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 6 місяців тому

    92 au 82

  • @alesantamakiko801
    @alesantamakiko801 5 місяців тому

    Ni kweli Tamimu kazi yake iliishia Kinondoni .Mkwajuni.
    Na zaidi DR Kiluruu kutokana na kazi yake nzuri /usimamizi akitokea Mikoa ya kusini ndipo aliamishiwa Mkoa wa Iringa na kukutana na kisanga hicho.Je Dr Kileruu alikuwa ni mzaliwa wa Mkoa gani?
    Iringa au Kilimanjaro?

  • @jeffpaul7968
    @jeffpaul7968 Рік тому

    Kwa faida yako kwa kupenda historia , nakufahimisha kuwa Mwamindi alikuwa na wakili alikuwa anamtetea kwenye case yake hiyo ya mauaji ya Dr.Kleruu, na si kweli kwamba alijitetea mwenyewe.
    Wakili aliemtetea Mwamindi alikuwa mhindi ambae ofisi yake ulikuwa kwenye corner ya Jamhuri street na Zanaki street jina lake ni Advocate Jadeja.

  • @kilululucaskulimba2554
    @kilululucaskulimba2554 9 місяців тому

    Maganga hakuwa mahabusu Butimba ni uongo eti makomandoo walitoroka jela uongo walitoroka gereza keko pekeyao😂nao ni Hatt MaCgee Rugangira wakisaidiwa na mama Dunia na askari magereza mmoja

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Рік тому +1

    Hii story ni kama naikumbuka nilikuwa primary hivi na tuliazipata tukiwa chipukizi ni za kweli .

  • @MrJackpull
    @MrJackpull Рік тому

    Sauti ya msimulizi haisikiki ipo chini saana

  • @medyproductionTz
    @medyproductionTz Рік тому

    Hamjui Kabisa Kusimulia Story Anae simulia Zero (0) na Anaesimuliwa nae Zero (0)😂😂😂😂😂

    • @Mfundo272
      @Mfundo272 Рік тому

      Anapenda history lakini hana details za ukweli

  • @maomacatta9770
    @maomacatta9770 Рік тому

    Huyo kijana ni muongo sana kwanza alikuwa na umri gani wacheni kuibia watu MB zao

  • @FrancisMaganga-x7c
    @FrancisMaganga-x7c 8 місяців тому

    Mambo mengi ya mapinduz ya akina Tamim huyajui unadanganya kizazi cha leo Tamim amefia Kinondoni alipigwa risasi na Mfalingundi enzi hizo tulikuwepo hivyo basi kajifunze upya history hiyo

  • @muhammedkaku9972
    @muhammedkaku9972 Рік тому

    Hati maghii Haku uliwa ubarozi alirukua Gari ya bia toyota stauty pick up ambayo ilikuwa imetokea ugawaji kinondoni pale usawa wa mwanamboka njiapanda ya kwenda surrender ilikuwa karibu ba nyumbani kwetu na alipigwa risasi na mrema ba akakamatwa akafia muhimbili

  • @hilalal-busaidi4007
    @hilalal-busaidi4007 Рік тому

    NDIZI INASAIDIA KULAINISHA HAJA KUBWA

  • @RAMADHANKHAMIS
    @RAMADHANKHAMIS 6 місяців тому

    ANAYEHOJIWA NI NANI?
    SIO KILA ANAYETIZAMA NI MTANZANIA ETI.

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 7 місяців тому

    Huyu jamaa anaitwa nani kwani anajua sana?

  • @kilululucaskulimba2554
    @kilululucaskulimba2554 9 місяців тому

    Usalama alikuwa mahiga

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 Рік тому

    1992 au 1982. Media inaandika....

  • @jeremiahkavakule8354
    @jeremiahkavakule8354 Рік тому

    Huyu jama hajui hisitoria akawaulize wakongwe watakujuza

  • @emmanuelyeliamajele-yk8hb
    @emmanuelyeliamajele-yk8hb Рік тому

    Nikitu Cha uongo sana

  • @OmaryKaniki-hs5mz
    @OmaryKaniki-hs5mz 6 місяців тому

    Sasa wewe unaumligani mbaka ukayajuwa yote hayo

  • @emmanuelyeliamajele-yk8hb
    @emmanuelyeliamajele-yk8hb Рік тому

    Jamaa muongo sn

  • @haggaikinyau1395
    @haggaikinyau1395 Рік тому

    Washenzi sana hao jamaa walitutesa sana kulala nje miezi mingi tukiwa kwenye alert 100% wakati huo tulikuwa JKT Kambi ya Mgambo. Wakati huo Kenya kulikuwa kumechafuka na Tanzania kumechafuka pia, hivyo ilibidi tupewe SMG full magazine na kulala kwenye mahandaki kuilinda nchi yetu. Vijana wa siku hizi hawawezi kuelewa haya mambo.

    • @ondieckotoyo1143
      @ondieckotoyo1143 Рік тому

      Kuna sehemu haukubani vizuri Wala chanzo pia mwaka wa wajaribio ya mapindu siyo 1992 ni 1982 baada ya maskari wetu walikuwa wanatoka Uganda kunyang'anywa vifaa na Mali waliyora Uganda kitendo kilichowakasirsha maaskari histori ulizotoa Zina mapungufu

  • @oscarmario466
    @oscarmario466 Рік тому

    Msimlizi ana code za kinyaru anaonekana wa igungindembwe

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 Рік тому

    Aniambie litakalomkuta kesho

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 11 місяців тому

    Njoo na wewe utusimulie usijificjee

  • @minabw7301
    @minabw7301 Рік тому +1

    😂😂😂😂 kwa kupata story ya uhakika muulize mlinzi mkuu wa mwalimu Nyerere Mr. Peter Bwimbo ana miaka 94 yupo hai na ana akili timamu mjini Dar as salaam na ana kitabu Kiko Google na Amazon kinaitwa Mlinzi mkuu wa mwalimu Nyerere. Huyo ndio mlinzi wa mwalimu, black belt in judo and karate ndio aliyemficha mwalimu siku hiyo na kuokoa nchi matatizoni.

    • @aminburhankyaruzi731
      @aminburhankyaruzi731 Рік тому

      Lakini kumbuka hata mlinzi wa mwalimu hakuwa kwenye tukio naye alifanya kusimuliwa tu

    • @minabw7301
      @minabw7301 Рік тому

      @@aminburhankyaruzi731Acha dharau wewe what do you mean? President secret service anasimuliwaga na who? Angalia picha ya siku ya uhuru Ile gari ya wazi ( convertable)uwanja wa taifa kulikua na watu watatu mwalimu, mlinzi ambaye ni Peter D. M. Bwimbo na dereva for a reason. Mwalimu trusted him to die for him, trusted his qualifications,there were only a handful that could be trusted even now. There is no where he went without him, America, Europe allover Africa. He was not There for Instagram op or fame, he was there for a job a very tough job. There was no mother fucker who could have gotten to mwalimu just like that, no f&*% commando no bull sh&*@ t. There were a lot of defectors even now but P. D. M Bwimbo was ngangari, true Tanzanian son and that's why he received a gallantry medal, hayumbishwi na majasusi, hayumbishwi na defectors waliopo nchini with you being one of them. Hata mama si mnanichukia mnadharau kwakua ni mwanamke maana mmezoea kudharau hata mama zenu mko mitaani kama mmezaliwa na mafisi mmepauka visigino kama mnacheza sindimba kwenye mabanda ya nguruwe. Kazi yenu kudharau viongozi wa nchi, sasa kamjaribuni si unaona walinzi wake wanawake na kazi yenu ni kudharau wanawake, unadhani walinzi wa maraisi ni wa kispotispoti nenda wakakupapase manyonyo pekeka vitako vyako vilivyosinyaa pale jitoe ufahamu ujichanganye ukalianzishe uone wale wanawake watakufanya nini ukitoka hapo utakua na mimba ya kiserikali haizaliki na haitoki. Like I said kwa stori ya uhakika mtafute Peter D. M. Bwimbo, Tanzanian son, son of chief Bwimbo of majita mountains. You seem to know other countries history but zero about your own. Fanya appointment maana huwezi kuingia Ile ngome kifalafala utashutiwa na ukijilengesha kiholela Ile area polisi defender watakubeba jujuu na vikamera vyenu

    • @stewartdyamvunye-wz6rn
      @stewartdyamvunye-wz6rn Рік тому +1

      Ndgu zangu, kuandika kitabu ni utafiti. Lazima uwe umepitia maandiko mengi kama si yote na simulizi (interview) za awali kuhusu mada unayoandikia nyingi kama c zote ili kujiridhisha na kanuni (facts). Nakubaliana na waliosema jamaa anayesimulia kitabu chake ni mwongo. Kwa kuanzia Eugen Maganga alikuwa c commando bali alikuwa ofisa wa kwaida wa jeshi (infantry officer). Na mitandao ya jamii mkwepe cheap popularity, fanyeni mchujo kabla ya kurusha taarifa ili muwe na mashiko (credibility)!

    • @minabw7301
      @minabw7301 Рік тому

      @@stewartdyamvunye-wz6rn That's very true, anatupiga kitu kizito huyu jamaa huku waliokuwa katika hayo matukio wako hai na akili zao timamu ingawa ni wazee miaka zaidi ya 90

  • @Robust78
    @Robust78 4 місяці тому

    Uongo mtupu.

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Рік тому

    Sema jomba hii kwenye cabon 14 umetupiga bhan mbwa ww

    • @hermankihwili1095
      @hermankihwili1095 Рік тому

      Huyu mwandishi wa Habari sijui mtangazaji naye ni zero kichwani hewa kabisaa una danganywa hata hupingi wala kumuuliza maswali yenye logic mbaka watoto wa primary hapa wanajua historia vzuri

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 Рік тому

    1992? Mwalimu hakuwepo madarakani? au mnamanisha nini?
    Carbon 14 imechambuliwa katika namna isio sahihi!. Carbon 14 inapima muda tu kwa mfano mfupa unaweza kupimwa kwa kutumia C14 ikaonyesha umri wa kiumbe hicho

    • @mwanobruno
      @mwanobruno Рік тому

      Lakini huyu kijana anajitahidi Sana baadhi ya maelezo yake n so

    • @gregoryntibani6640
      @gregoryntibani6640 Рік тому

      Uongo umetawala. Hizi ni kama story za vijiweni.

  • @medyproductionTz
    @medyproductionTz Рік тому

    😂😂😂😂😂

  • @richardmoses7470
    @richardmoses7470 Рік тому

    Ya 92 au 82 msimulizi anapenda 92 😜

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 Рік тому +1

    Dokotor gree alipigwa lisasi na mwamwindi ambaye yeye slikataa kulima pamoja. Mwamwindi alimpiga na gobole na akampeleka mwenyewe polisi

    • @johnsinyinza7450
      @johnsinyinza7450 Рік тому

      Alinyongwa. Mimi mtoto wake nilifanya naye kazi DMT.natulisindikiza kwenye maombolezo ya baba yake .

    • @davidsemvua5336
      @davidsemvua5336 Рік тому

      Tutemeke sanga alinunua degree

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Рік тому +3

      @@johnsinyinza7450 Mwamwindi aliona mbali sana..yeye ndiye aliyesafisha pori kufungua shamba kubwa..wapo wazee wengi waliofanya kazi sana kwa spirit ya mjerumaani walinyang'anywa mashamba ili wagawiwe wavivu.. hata mzee wangu na wengine yaliwakuta..tulinyang'anywa ekari 40,tukabakiwa 8 tu.

    • @mariammembe
      @mariammembe Рік тому

      @@josephlorri431 huyu ajaitendea haki hiyo stori sio hivyo aende akatafakari tena hiyo sio sahihi asidanganye

    • @mkakatimaluhwago74
      @mkakatimaluhwago74 Рік тому

      Shortgun

  • @ndiiyolazaro1125
    @ndiiyolazaro1125 Рік тому

    Noma sana

    • @hermankihwili1095
      @hermankihwili1095 Рік тому

      Duuh Tamimu alikuwa anaishi mkwajuni kinondon nanaliuwawa kinondon siyo Airport huyu jamaa ana potosha watu achukuliwe hatua kabisaaa na hicho kitabu nani kaki pitisha Cha uwongo hivyo ana danganya jamii